A tractor pushing a helicopter at JNIA

A TRACTOR pushes a helicopter at the Mwalimu Julius Nyerere International Airport recently. (Photo by Yusuf Badi/DAILY NEWS)
A tractor pushes a helicopter at the Mwalimu Julius Nyerere International Airport earlier this year. (Photo by Yusuf Badi/DAILY NEWS)

Lori ladaiwa kusababsha vifo 17 vya abiria wa basi la Moro Best

Basi la Morobest lenye na namba za usajili T 258 AHV lilipopata jali ya kugongana uso kwa uso na lori na kuua watu 17 katika eneo la Pandambili Wilayani Kongwa Mkoani Dodoma. Basi hilo lilikuwa likitoka Mpwapwa kuelekea Dar es Salaam

Lori lenye namba za usajili T 820 CKU na tela yenye namba za usajili T390 CKT liliokuwa likiendeshwa na Dereva wake Gilbart Lemanya na utingo wake Mikidadi Zubery Omary ambao wote walifariki papo hapo linavyoonekana baada ya kugongana uso kwa uso na basi la Morobest katika eneo la Pandambili Wilayani Kongwa Mkoani Dodoma

Watu zaidi ya 17 waliokuwa wakisafiri na basi la kampuni ya Moro Best wamepoteza uhai baada ya basi hilo kupata ajali mbaya katika eneo la Pandambili katikati ya Dodoma na Morogoro.

Mmoja kati ya mashuhuda wa ajali hiyo Joseph Mtweve aliiambia matukioco.tz kuwa tukio limetokea eneo hilo wakati lori lililokuwa limebeba mabomba kutoka Morogoro kwenda Dodoma likijaribu

British Airways to be sued over claims its pilot sexually abused children in Africa

British Airways is to be sued for damages by 16 alleged victims, some of whom are still aged just eight.

Lawyers representing the young girls and women who claim the pilot assaulted them said the airline bears responsibility because he carried out the alleged attacks while on stopovers in Kenya, Uganda and Tanzania.

The alleged period of abuse was from 2003 to 2013, when the girls were aged five to 13, law firm

Siasa at its best? Hata uichukie siasa, itakuchekesha tu! Waliokuwa Madiwani CHADEMA Shinyanga na kuhamia CCM warejea CHADEMA

"Tunavua uCCM" kama walivyovua magwanda ya CHADEMA mbele ya Nape Nauye wa CCM, leo madiwani hao wamevua pia nguo za CCM, lakini tofauti na kipndi kile leo hawakuchoma moto nguo.

Picha na maelezo kutoka kwa Kadama Malunde wa Malunde1 blog 

Ilikuwa siyo hali ya kawaida - wengi walibaki midomo wazi, walipigwa na hali ya mshangao, wenye kushika viuno haya, wenye kununa haya, wenye kutukana sawa, wenye kusema bora liende nao walikuwepo, wenye kuisikitikia CHADEMA kwa kupokea watu wanafiki na wasaliti twende, wenye kukumbuka mbwembwe za CCM wakati wa kuwanyakua Madiwani hao tena katika eneo hilo nao hawakukosekana....


... pichani ni wananchi wakiwa na Hasira kuona madiwani waliowaita wasaliti wakirudi CHADEMA tena. Hapa ni katika viwaja vya mahakama ya Mwanzo Nguzo Nane mjini Shinyanga ambako leo kumefanyika mkutano wa aina yake ambao pengine unaweza kuuita mkutano wa kihistoria, mkutano

Ujumbe wa Lowasa "Kukanusha taarifa" ya Tanzania Daima

Katika gazeti la Tanzania Daima toleo na.3536 la tarehe 30 Julai, kuna habari inayosema Lowassa aibukia ACT na kumuhusisha na Mbunge wa Kigoma Kaskazini(CHADEMA) Zitto Kabwe katika kile gazeti hilo kilichodai mikakati ya siri dhidi ya Chadema.

Habari hizo ni uzushi, na ni muendelezo wa mikakati ya kumchafua na kumgonganisha Mh Lowassa na wanasiasa wenzake wa kada na maeneo mbalimbali. 

Mh Lowassa kama walivyo wabunge wengine wa CCM amekuwa na uhusiano na wabunge wenzake bila kujali tofauti ya vyama vyao.

Mh Lowassa ni kiongozi makini ambaye hawezi kupoteza muda wake kujiingiza katika masuala yasiyo na tija kwa nchi, wananchi na ustawi wa demokrasia makini na endelevu nchini. Muda wake anautumia kusimamia utekelezwaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM jimboni kwake Monduli.

"Mimi na chama chetu, tuko busy kutekeleza ilani yetu, kuwaletea maendeleo wananchi ili wazidi kutupa ridhaa ya kuwaongoza katika chaguzi zijazo" alisema Mh Lowassa. 

Hata hivyo, Mh Lowassa anathamini mchango wa vyama vyote vya siasa nchini pamoja na Chadema katika kujenga demokrasia yenye tija kwa taifa.

Imetolewa na ofisi ya Mh Edward Ngoyai Lowassa(mb)

BoT appoints Lawrence Mafuru to handle all matters pertaining FBME Bank Limited

Lawrence Mafuru Statutory Manager  FBME Bank Limited

The Bank of Tanzania has decided to take over management of FBME Bank Limited to the exclusion of the board of directors and management of the bank. This step has been necessitated by the Central Bank of Cyprus (CBC) decision to take over the management of operations of the branch of FBME Bank Limited in Cyprus.

Considering the potential effect of the decision taken by CBC to take over FBME's Bank branch in Cyprus which may likely bring into the banking system in Tanzania, and consistent with the provisions of of section 56(1)(g)(iii) of the Banking and Financial Institutions Act 2006, the Bank of Tanzania has taken over the management of FBME Tanzania Limited effective 24th July 2014. The Bank of Tanzania has accordingly appointed Mr. Lawrence Mafuru as Statutory Manager with immediate effect to handle all matters pertaining to the bank.

The objective underlying the Bank of Tanzania's decision is to ensure safety of customer's deposits as well as safeguard the stability of the entire banking system in the country.

While the bank is under the Bank of Tanzania management, the bank will continue to provide banking services to its customers smoothly.

BANK OF TANZANIA

Info source: Arden Kitomari Tz blog

Hatimaye "Mwenge wa Uhuru" wakabidhiwa Zanzibar

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Said Meck Sadiki akimkabidhi Mwenge wa Uhuru Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi, Abdallah Mwinyi Khamis, makabidhiano hayo yamefanyika Uwanja wa Ndege Mkongwe, Kiembesamaki, leo.

Kuhusu uongozi mpya wa Wilaya ya CHADEMA Ubungo

Katibu wa CHADEMA Wilaya ya Ubungo, Goodluck Justine (wa kanza kushoto) akiongea na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam.  via Habari Mseto blog

UONGOZI mpya wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo wilaya ya kichama Ubungo unatarajiwa kujulikana Agosti 3 mwaka huu baada ya uchaguzi wa ngazi za chini katika wilaya hiyo kukamilika. 

Mbali na viongozi wa wilaya hiyo kujulikana siku hiyo, pia chama hicho kimeeleza kuwa, kimejiandaa vema kuwadhibiti mamluki wasijipenyeze katika uongozi huo.  

Hayo yalibainishwa na Katibu wa CHADEMA Wilaya ya Ubungo, Goodluck Justine, wakati akielezea mafanikio yaliyopatikana katika uchaguzi wa ngazi za msingi, matawi na kata.

Nafasi zitakazowaniwa ni ya mwenyekiti, katibu, katibu mwenezi na mhazini na kwamba, kwa ngazi ya mabaraza ni vijana, wazee na wanawake.

Justine alisema, ni fursa kwa kila mwanachama muadilifu wa CHADEMA Wilaya ya CHADEMA Ubungo kuwania nafasi anayoona ataimudu.
Aliwataka wagombea wote wa nafasi mbalimbali za uongozi katika jimbo hilo kuchukua fomu, kuanzia jana katika ofisi za jimbo ili kuwania nafasi hizo kwa ngazi ya kichama na mabaraza na siku ya kurudhisha fomu za wagombea ni Agosti Mosi, mwaka huu saa kumi alasiri.

“Kama ilivyo ada, CHADEMA kufanya mambo yake hadharani, tunatangaza rasmi kuanza kwa uchaguzi ngazi ya wilaya baada ya kumalizika ngazi ya matawi na kata. Hivyo, wanachama wa CHADEMA wanapaswa kujitokeza kuchukua fomu kwenye ofisi zetu za jimbo hapa Ubungo muda wowote, kuanzia leo (jana).”

“CHADEMA ina uhakika wa kushinda katika chaguzi za serikali za mitaa na uchaguzi mkuu mwakani. Hii inatokana na kazi nzuri na misingi tuliyojijengea katika chaguzi za ndani ya chama kwa ngazi ya misingi, matawi na kata.”

Find if you have any of these 6 toxic behaviors that push people away from youWe've seen scores of toxic behaviors that push people away from each other. And we’ve witnessed the devastation these behaviors cause – to relationships, professional success, and to the well-being of both the individual behaving negatively, and to everyone in their life.

Whether your toxic behavior is a common occurrence, or just a once in a blue moon phenomena, it’s critical for your happiness and success that you are able to recognize when you’re behaving badly, and shift it when it emerges.

The six most common toxic behaviors I see are:

1. Taking everything too personally. 

– People are toxic to be around when they believe that everything happening around them is a direct assault on them or is in some way all about them. The truth is that what people say and do to you is much more about them, than you. People’s reactions to you are about their filters, and their perspectives, wounds and experiences. Whether people think you’re amazing, or believe you’re the

Meshack Maganga: Nafasi ya malengo na ndoto katika mafanikio

Picha ni kitalu kipya cha miti ya mbao chenye jumla ya miche milioni moja ya msimu wa 2015.

Na: Meshack Maganga, Iringa.

Tangu nilipoandika makala yangu ya mwisho BINADAMU WOTE WENYE MAFANIKIO DUNIANI HAWACHOKI KUTAFUTA, sikupata muda wa kutosha kuandika makala nyingine hii ni kwa sababu ya shughuli za shamba na kazi nyingine za kijamii nilizonazo.

Siku chache zilizopita nilikuwa kwenye mapumziko ya siku 4, ilisafiri kutoka Iringa kwenda Sumbawanga,kabla ya safari ya sumbawanga nilikuwa nimesafiri kutoka kwenda Dar kwa ajili ya kununua vitabu, kuna duka maarufu sana pale mtaa wa Samora lijulikanalo kwa jina la ‘THE HOUSE OF WISDOM’ Nilinunua vitabu vingi lakini nitataja vichache hapa , Think Big cha Donald Trump, Advanced Selling cha Brian Tracy, The End of Poverty cha Jeffrey Sachs, The Millionaire Brain cha Donny, C. Na Winning The War against Poverty. Nilipomaliza kusoma kitabu cha Think big cha Trump na Winning The war against Poverty kwakweli nilijikuta nipo kwenye ulimwengu wa mafanikio kabisa, sikuona wingu la kushindwa mbele yangu.

Niliwahi kuandika kwamba, mafanikio ya kijamii na kiuchumi waliyonayo binadamu wenye mafanikio ni matokeo ya uwezo wao wa kupanga na kufikiri na kuyaweka mawazo hayo kwenye vitendo. Na