[text, video] Hotuba ya Rais Kikwete ya mwezi Julai, 2014 kwa Taifa

Utangulizi

Ndugu wananchi;
Naomba nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu, mwingi wa rehema, kwa kutujalia uzima na kutuwezesha kwa mara nyingine tena kuzungumza na taifa juu ya masuala muhimu yanayohusu nchi yetu. Mwezi wa Saba tunaoumaliza leo ulikuwa na matukio mengi baadhi yakiwa makubwa na kushtusha na mengine yalikuwa matukio ya kawaida.

Mashambulio ya Mabomu
Ndugu Wananchi;
Tarehe 3 Julai, 2014 na tarehe 07 Julai, 2014 kulitokea mashambulizi ya mabomu nyumbani kwa Sheikh Sudi Ally Sudi na katika mgahawa wa Vama kwa mfuatano huo. Kabla ya hapo, kulikuwa na matukio mengine matatu: Kanisa la Olasiti tarehe 5 Mei, 2012, Mkutano wa Kampeni wa CHADEMA tarehe 15 Juni, 2013 na Baa ya Arusha Night Park tarehe 13 Aprili, 2014. Hali kadhalika, tarehe 13 Juni, 2014 kulitokea shambulizi la mabomu katika eneo la Darajani, Zanzibar.


Kila lilipotokea shambulizi uchunguzi ulifanyika na

Fomu za kugombea uongozi CHADEMA Morogoro zaanza kutolewa

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoani Morogoro kimetangaza kuanza kutoa fomu kwa wanachama wanaotaka kuwania nafasi mbalimbali za uongozi katika ngazi ya wilaya na jimbo huku kikitahadharisha vitendo vya rushwa.

Akizungumza na waandishi wa habari katika ofisi za Chama cha Waandishi wa Habari mkoani humo,(MOROPC), Katibu wa CHADEMA Mkoa wa Morogoro, Ngonyani Ngonyani, alizitaja nafasi zinazowaniwa kuwa ni mwenyekiti, katibu, katibu mwenezi, mweka hazina, wajumbe wa kamati tendaji na mabaraza yote ya chama ikiwemo vijana, wanawake na wazee.

Alisema fomu hizo zinatolewa kwa gharama ya sh 10,000 kwenye ofisi zote za kata, wilaya na kwenye

[5 min video] Mgombea Urais DMV aongea kuhusu baadhi ya mambo ndani ya Jumuiya

Mgombea wa Jumuiya ya waTanzania DMV Liberatus Mwang'ombe akiongea kuhusu baadhi ya mambo ndani ya Jumuiya.

[audio] "Haturudi kwenye Bunge Maalum la Katiba" - UKAWA

Viongozi wakuu wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) wakishikana mikono mara baada ya kuongea na waandishi wa habari kutoa tamko la UKAWA kuhusu wito wa Viongozi wa Dini wa kurudi Bungeni.

Kutoka kulia ni Profesa Safari Katibu Mkuu wa NCCR-Mageuzi Mosena Nyambabe, Mwenyekiti wan CHADEMA Freeman Mbow, Mwenyekiti wa CUF Profesa Ibrahim Lipumba, Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi James Mbatia, Katibu Mkuu wa CHADEMA Wilbrod Slaa, Mbunge Sakaya na Julius Mtatiro wakiwa nje ya Makao Makuu ya CUF

Ripoti ya Dina Chahali, via VOA - Umoja wa katiba ya wananchi- UKAWA na Mwenyekiti wa Bunge maalum la katiba Tanzania bado wanavutana juu ya uendeshaji wa bunge hilo maalum la katiba jambo linalozusha shaka juu ya mustakbali wa upatikanaji wa katiba mpya nchini Tanzania.

Wajumbe wanaounda UKAWA chini ya uenyekiti wa mwenyekiti wa taifa wa chama cha CUF Profesa Ibrahim Lipumba wameendelea na msimamo wake wa kutokurejea katika bunge maalum la katiba linalotarajiwa kuanza tena vikao vyake Agosti tano mwaka huu, kwa siku 60 zilizoongezwa na Rais Kikwete ambapo ilitarajiwa wakikamilisha awamu hiyo itarudishwa kwa wananchi kwa ajili ya

Clinical Officer job opportunity at Bagamoyo Ifakara Health Institute

Ifakara Health Institute (IHI) is one of Africa's most eminent health research organizations. With a history of more than 50 years, IHI is an independent, non-profit organization, registered in Tanzania and led by Tanzanians. Our institute won the Asturias Award for International Cooperation (2008) and several other national and international awards. This non-governmental organization conducts a wide range of health-related research, including biomedical and environmental studies, trials of drugs, vaccines and diagnostics, health-systems research, and monitoring and evaluation.

Title : Clinical Officer

Location: Bagamoyo

Project : TB-PHARM

Summary


The TB-PHARM is a study aiming at increasing case detection in Tanzania to improve the quality of

[video] UN Official breaks down crying 'live on air' after attacks on schools in Gaza

For Chris Gunness, a spokesman for the United Nations Relief and Works Agency (UNRWA), which has numerous facilities in Gaza, it's all too much. This is the sixth time UNRWA sites have been hit during Israel's current campaign. He broke down sobbing during an interview, footage of which was screened by Al Jazeera Arabic.

[video uploaded by: Martijn Janssen]

Taarifa ya Polisi Arusha ya matukio ya uhalifu na majina ya watuhumiwa wanaopandishwa kizimbani

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI

JESHI LA POLISI TANZANIA

NDUGU WANAHABARI, MTAKUMBUKA KUWA WIKI MOJA ILIYOPITA JESHI LA POLISI LILITOA TAARIFA KWA UMMA JUU YA WATUHUMIWA SITA WALIOKAMATWA NA KUFIKISHWA MAHAKAMANI KUHUSIANA NA TUKIO LA MLIPUKO WA BOMU ULIOTOKEA TAREHE 07/07/2014 KATIKA MGAHAWA WA VAMA ULIOPO MAENEO YA VIWANJA VYA GYMKANA JIJINI ARUSHA.

TAARIFA HIYO ILIZUNGUMZIA PIA TUKIO LA KUKAMATWA KWA MTUHUMIWA MMOJA AMBAYE BAADA YA KUPEKULIWA NYUMBANI KWAKE ALIKUTWA NA

Wanyama wapagawisha vilivyo Dar-Live chini ya Vodacom Tanzania

Mwanamuziki mkongwe wa muziki wa kizazi kipya Inspector Haruni akiwapagawisha mashabiki zake kwenye Tamasha maalum la Eid el-fitri lililodhaminiwa na Vodacom Tanzania kwenye ukumbi wa Dar Live hapo jana.
Mashabiki wakipiga kelele za kumtaka Inspetor Haruni arudie kuimba wimbo wa Ndege tunduni kwenye Tamasha maalum la Eid el-fitri lililodhaminiwa na Vodacom Tanzania kwenye ukumbi wa Dar Live hapo jana.

Hoyce Temu ahamasisha: Mpigie kura Miss Tanzania USA 2014 kwenye Miss Africa USA


Miss Tanzania USA 2014, Joy Kalemera katika pozi kabla ya mahojiano na Mtangazaji wa kipindi cha "Mimi na Tanzania" Hoyce Temu nchin Marekani.

Mpigie Kura Miss Tanzania USA, Joy Kalemera anayeshiriki kinyang'ayiro cha kumtafuta Miss Africa USA. Mtangazaji wa Mimi Na Tanzania Hoyce Temu ambaye pia ni Miss Tanzania 1999 yupo nchini Marekani na amefanya mahojiano na mrembo huyo.

Usikose kuangalia marudio ya mahojiano hayo kwenye kipindi cha "Mimi na Tanzania" Jumamosi ya

Wabunge Simba na Yanga 'full' kukanyagana Uwanja wa Taifa kwenye Tamasha la Usiku wa Matumaini 2014


Makala na Nassor Gallu

SIKU ya Agosti 8, mwaka huu kutakuwa na bonge la mechi litakalopigwa katika Uwanja wa Taifa jijini Dar ambapo wabunge wanaoshabikia Yanga, watakuwa dimbani kupepetana na wenzao wa Simba.

Hebu jaribu kuvuta picha katika ubongo wako, waheshimiwa wabunge watakapoweka kando masuala ya ‘Ukawa’ na ‘Tanzania Kwanza’, kisha kukutana katika uwanja kuonyeshana umwamba kwa kusakata gozi la ng’ombe katika mchezo huu wa kihistoria.

Kila timu tayari imeingia mafichoni kujiwinda na mchezo huo ili kuhakikisha inaibuka kidedea na kujenga heshima mbele ya watani wao huku Simba wakiahidi kulipiza kisago cha bao 1-0 walichokipata mwaka jana kutoka kwa Yanga.

“Tayari tumeingia kambini kujiwinda na mchezo huu ili kuziba midomo na kelele za Yanga ambao wamekuwa wakitamba tangu watubahatishe mwaka jana,” alijinasibu Hamis Kigwangala ambaye

Taarifa: Rais Kikwete atunukiwa tuzo ya "Nyota wa Demokrasia Afrika"

Zamu hii ni la kuwa Nyota wa Demokrasia Afrika

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete kwa mara nyingine ametunukiwa tuzo la kimataifa – zamu hii kwa kuwa mshindi waTuzo la Nyota wa Demokrasia Afrika 2014 – Icon of Democracy Award Winner for 2014 in Africa.

Kwa mujibu wa barua aliyoandikiwa Rais Kikwete na kupokelewa Ikulu, Dar Es Salaam, Rais Kikwete amekuwa mshindi wa kwanza, na kwa mbali kabisa, katika mchuano na marais watatu wa Afrika ambao walifikia mwisho mwa mchuano wa kuwania tuzo hilo.

Katika barua hiyo, Mchapishaji na Mhariri Mkuu wa Jarida hilo, Pastor Elvis Iruh, akizungumza kwa niaba ya Kamati ya Tuzo 2014, amesema kuwa uongozi wa Rais Kikwete umekuwa ni hadithi ya