Ukaguzi wa vitengo vya mawasiliano Serikalini

Katibu Mtendaji wa Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango, Dkt. Philip Mpango (Wapili Kulia) akizungumza na Maafisa wa kutoka Idara ya Habari (Maelezo), Bw. Assah Mwambene (Wapili Kushoto), ambaye ni Mkurugenzi wa Idara hiyo na Afisa HabAri wa Idara hiyo, Bw. Frank Mvungi (Kushoto) walipomtembelea Ofisini kwake. Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango, Bi. Joyce Mkinga.

MKURUGENZI WA IDARA YA HABARI (MAELEZO) ATEMBELEA OFISI YA RAIS, TUME YA MIPANGO


Na Saidi Mkabakuli

Katika kutekeleza mkakati wa kutembelea na kukagua utendaji kazi wa vitengo vya mawasiliano serikalini, Mkurugenzi wa Idara ya Habari, Bw. Assah Mwambene leo ametembelea Kitengo cha Mawasiliano Serikalini cha Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango, pia kuzungumza na Mtendaji Mkuu wa Ofisi hiyo, Dkt. Philip Mpango.

Akiwa katika ziara hiyo, Bw. Mwambene ambaye ndiye Msimamizi Mkuu masuala ya Mawasiliano Serikalini na Msemaji wa Serikali amesema kuwa vitengo vya mawasiliano serikali vina jukumu kubwa ya kuuelimisha umma wa Watanzania juu ya masuala mbalimbali yanayojiri kwenye ofisi zao.

Bw. Mwambene ameongeza kuwa lengo kuu la kuanzishwa kwa vitengo hivyo ni kutoa elimu kwa

Fununu ya 'mlungula' yasababisha CHADEMA Geita watiane adabu


Wafuasi wa CHADEMA wakitaka kuzichapa nje ya Wandela hotel mjini Geita katika tukio la wanachama chama hicho kukutwa kwenye kikao cha siri katika hotel ya Wandela iliyopo Shilabela mjini Geita, ambapo kwenye kikao hicho ilidaiwa walikuwa wanagawiwa mlungula ili kupitisha kambi ya Katibu wa CHADEMA jimbo la Geita Rogers Luhega ambaye yuko taabani kisiasa dhidi ya mpinzani wake Mutta Robert aliyeomba kugombea nafasi hiyo.

Wanachama wa chama cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) wilayani Geita wamenusurika kutwangana makonde baada ya wenzao,wakiwemo viongozi wa matawi zaidi ya 50 kukamatwa na vijana wa ulinzi wa chama hicho (Red Brigade) wakiwa katika hoteli ya Wandela mjini Geita wakiwa kwenye kikao cha siri na kudaiwa walikuwa wanapokea rushwa kutoka kwa wagombea.

Kundi hilo la siri linadaiwa kuandaliwa na katibu wa Jimbo la Geita aliyepo sasa hivi Rogers Ruhega ikiwa ni mkakati wa kumuwezesha kurudi madarakani katika uchaguzi unaokuja ambao inaonekana ameelemewa na mgombea mwenzake Mutta Robert.

Ruhega ambaye hakuwepo katika kikao hicho, inadawa wajumbe waliokutwa Hotelini hapo ni kundi lina lohaha kila siku kutaka arudi madarakani kwa gharama yoyote na moja ya mbinu walizokuwa

Eti? "Tanzania is very poor coz watu wake are the most useless and laziest in the whole world"?Hayo ni maoni yaliyoachwa kwenye chapisho  moja katika www.kenyan-post.com

Vodacom redesigns m-pesa for the South African market


First launched in Kenya in 2007, m-pesa is now used by more than 18 million people across 13 countries to perform banking and money transfer services via mobile phone. Vodacom introduced m-pesa to South Africa in 2010 and while the initial take up was strong with more than one million people signing up, it hasn't so far enjoyed the overwhelming uptake seen in markets like Kenya and Tanzania.

Over the past two years Vodacom has assembled a new m-pesa team, bringing in external expertise in banking and mobile payments, and also studied the factors which have held the service back in South Africa and those that made it a success elsewhere. The culmination of this work is the launch of a totally revamped service which addresses four key areas: distribution, registration, functionality, and loyalty.

Speaking about the history of m-pesa in South Africa, Vodacom Group CEO Shameel Joosub said:

"When we first launched m-pesa in 2010 we had high hopes that it would have the same kind of

Nafasi za mafunzo ya kutengeneza mashine za kutotolea vifaranga

NAFASI ZA MAFUNZO YA UTENGENEZAJI WA MASHINE ZA KUTOTORESHA VIFARANGA VYA KUKU.


Taasisi ya RafikiElimu Foundation kupitia MRADI WA ELIMU YA UJASIRIAMALI MIJINI NA VIJIJINJI inatangaza nafasi za MAFUNZO YA UTENGENEZAJI WA MASHINE ZA KUTOTOLEA VIFARANGA WA KUKU.

Mashine zitakazo fundishwa kutengeneza ni INCUBATOR (MANUAL & AUTOMATIC) zenye

Rais Kikwete awasili Marekani kuhudhuria US-Africa Leaders summit


Rais Kikwete awasili Washington kuhudhuria Mkutano wa Viongozi wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Amerika na Africa (US-Africa Leaders Summit)

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Dulles tayari kwa Mkutano wa Viongozi wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Amerika na Africa (US-Africa Leaders summit) uliondaliwa na Rais Barak Obama unaoanza Agosti 4-hadi 6, 2014, ambao utatanguliwa na mikutano mingine ya maendeleo ya sekta mbalimbali na uwekezaji (2-3 Agosti, 2014) jijini Washington DC. 

Picha hapo juu na zinazofuata hapa chini, zote ni kutoka Ikulu.

Vijimambo audio: Guru G Lover alonga ni kwa nini yeye na Ali Kiba walisindwanaDj G Lover Dj wa siku nyingi katika anga ya muziki Tanzania na Dj anaepambana na kuupaisha muziki wa kizazi kipya kila kukicha leo Ijumaa Aug 1, 2014 alifanya mahajiano ya simu na blogu ya Vijimambo aliongelea mambo mengi kuhusu wasanii na sababu gani walishindwana yeye na Ali Kiba.

Msikilize wenye audio iliyopachikwa hapa chini...

Picha juu na chini Dj G Lover akiwa na wasanii mbambali wa Bongo Flava
wavuti.com imeshirikishwa taarifa hii na Luke Joe/Vijimambo blog

Call for application: USD 150,000 Innovation Prize for Africa 2015

Capturel.PNG


PRESS RELEASE

  • Innovation Prize for Africa (IPA) 2015 now open – USD 150,000 in prizes for continent’s brightest innovators to accelerate Africa’s development
  • With 2000 innovators from 48 countries entering in its first three years; IPA 2015 takes investment in unleashing and supporting sustainable African led innovation past half a million USD

JOHANNESBURG, South-Africa, August 1, 2014/ -- The African Innovation Foundation (AIF) (http://www.africaninnovation.org) is calling on all African innovators to submit their entries for the fourth edition of the Innovation Prize for Africa (IPA) competition (http://www.innovationprizeforafrica.org). The IPA is presented annually, enabling and encouraging African pioneers to develop creative ideas and techniques to overcome some of the challenges faced by the continent and support sustainable development.

“At the African Innovation Foundation we are passionate about Africa and its potential, that we firmly believe will be led by empowering a new generation of African innovators and entrepreneurs. But we also recognise that this new generation needs the resources and the opportunities to realise their

Kuhusu mfadhili mkuu wa ACT-Tanzania

TAARIFA YA ACT KWA UMMA
  1. Katika toleo lake la siku ya Jumatano ya tarehe 30 Julai 2014 Gazeti la Tanzania Daima limechapisha habari zilizodai kuwa mwanasiasa moja maarufu hapa nchini ndiye mfadhili mkuu wa Chama cha ACT-Tanzania.
  2. Kwa niaba ya uongozi wa ACT-Tanzania, na kwa nafasi yangu kama Mtunza Hazina na Mhasibu Mkuu wa ACT-Tanzania, napenda kuwataarifa wanachama na wapenzi wa chama na wananchi kwa ujumla kuwa taarifa hizi ni uzushi na uwongo wenye lengo la kuchafua taswira ya chama cha ACT-Tanzania. Napenda kuutaarifu umma kuwa moja ya misingi mikuu ya ACT-Tanzania ni uadilifu na uwazi. Kwa misingi hii, vyanzo vya mapato na matumizi ya ACT-Tanzania yapo wazi kwa mtanzania yeyote anayetaka kujua ukweli.
  3. Tangu chama kianzishwe mwezi Januari mwaka huu, kimeshapokea na kutumia jumla ya

Kipanya: Kuhusu zile ajira Uhamiiaji...


Taarifa ya UKAWA kuhusu wito wa kurejea Bungeni

Mwenyekiti wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) Profesa Ibrahim Lipumba (katikati) akisisitiza jambo wakati akiongea na wandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana wakati wa kutoa tamko kuhusu wito wa Viongozi wa Dini wa kuwataka warudi Bungeni. Kushoto ni Mwenyekiti wa CHADEMA, Mhe. Freeman Mbowe na wa pili kulia ni Mwenyeti wa NCCR-Mageuzi, Mhe. James Mbatia na anayefuatia kushoto kwake ni Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dkt. Wilbrod Slaa.

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI,

DAR ES SALAAM, ALHAMISI, 31 JULAI 2014 SAA 5.00 ASUBUHI.

Ndugu waandishi wa habari,

Kama mnavyofahamu Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba (BMK) wanaotetea kuheshimiwa kwa maoni ya Wananchi katika mchakato wa kuandika Katiba maarufu kwa jina la UKAWA- Umoja wa Katiba ya Wananchi walitoka nje ya Bunge hilo tarehe 16 April 2014.

Sababu ya msingi iliyotutoa kwenye BMK ni mkakati uliokuwa ukitekelezwa na Wajumbe wa BMK wa CCM kupuuza maoni ya wananchi yaliyokusanywa na kuratibiwa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba ikiongozwa na Mwenyekiti Jaji Joseph Sinde Warioba na Makamu mwenyekiti Jaji Agostino Ramadhani. Rasimu ya Katiba inapendekeza Muundo wa Muungano wa Shirikisho yenye Serikali Tatu. Kama waraka wa CCM unavyoeleza “Muundo wa Muungano ndiyo moyo wa Rasimu na ndiyo unaoamua ibara nyingine zikae vipi.” CCM wameukataa Muundo wa Muungano uliopendekezwa na Tume, na badala yake wanataka Muundo wa Serikali mbili ambao haujafanyiwa utafiti, haujapendekezwa na wananchi walio wengi, uliojaa na matattizo lukuki yasiyotatulika tangu enzi za