[video] Magoli ya Taifa Stars (Tanzania) vs Mambas (Msumbiji) Agosti 3, 2014Kocha wa Taifa Stars, Mart Nooij amesema moja ya sababu za kikosi chake kupoteza mechi dhidi ya Msumbiji (Mambas) ni wachezaji wake kucheza kwa wasiwasi katika kipindi cha kwanza.

Taifa Stars iliruhusu bao la kwanza sekunde chache kabla ya kumalizika kipindi cha kwanza katika mechi ya marudiano ya raundi ya pili ya michuano ya Afrika kutafuta tiketi ya kucheza hatua ya makundi iliyochezwa Agosti 3 mwaka huu kwenye Uwanja wa Taifa wa Zimpeto mjini Maputo.

Bao hilo katika mechi hiyo iliyomalizika kwa wenyeji kuibuka na ushindi wa mabao 2-1, hivyo

Africa summit: Pres. Kikwete seeks greater U.S. involvement in Africa

Tanzania President Jakaya Kikwete talks with The Washington Times at the Ritz Carlton Hotel in Northwest.
(Khalid Naji-Allah/Special to The Washington Times)

By Dave Boyer via The Washington Times

As more than 40 African leaders converge on Washington for a three-day summit that begins Monday, President Jakaya Kikwete of Tanzania is among those seeking a deeper commitment from the Obama administration and U.S. corporations to spend more on his country.

“At this summit, you will see now the conspicuous participation of the U.S. private sector,” Mr. Kikwete said in an exclusive interview Sunday with The Washington Times. “We want to see more and more investments and trade from the U.S. to Africa.”

President Obama is hosting the summit, the largest gathering of African heads of state ever in the U.S., to signal the administration’s comprehensive strategy for the continent. Mr. Obama lacks a signature initiative such as President George W. Bush’s program to combat HIV/AIDS in Africa and is instead

Africa summit: US to announce billions of dollars in deals and funding

 Rajiv Shah - U.S. Agency for International Development (USAID) Administrator (photo: blog.usaid.gov)

WASHINGTON (Reuters) - The United States will announce nearly $1 billion in business deals, increase funding for peacekeeping and commit billions of dollars to expanding food and power programs in Africa during a summit this week, U.S. and development officials say.

U.S. officials said the Aug. 4 to 6 summit in Washington of nearly 50 African leaders hopes to showcase U.S. interest in the fast-growing region through a series of government-private partnership deals to boost trade and investment.

The spread of the deadly Ebola virus in Liberia, Guinea and Sierra Leone is also a reminder of the vast development needs that persist in some of the region's poorest countries despite rapid economic growth and investment.

Administration officials have played down questions over whether the summit is in response to China's growing presence in the region. Instead, they have emphasized American interests go beyond Africa's oil and minerals, where China is focused.

"You will see a series of announcements on agriculture and food, and power and energy," Rajiv Shah, the administrator of the U.S. Agency for International Development (USAID), told Reuters. "We will

Ujumbe wa Mch. Peter Msigwa (Mb) kwa magazeti 'yanayowandama'

Kuna magazeti ambayo kwa mda wa zaidi ya miezi mitatu ,yamekuwa yakiniandama, kuwa natumiwa na WAMAREKANI,PAMOJA NA Nyarandu ,na wakati mwingine Lembeli amejumishwa na KUITA utatu mtakakatifu. Kimsingi magazeti haya jina langu limeonekana zaidi kwenye kurasa za mbele baada ya Mimi kuionyesha DVD ya green miles .nomba watanzania tujiulize maswali haya .1.hotuba yangu ya kwanza Kama waziri kivuli ,nilikosoa kamati ya ushauri kuhusu VITALU vya uwindaji ,sambamba na kumkosoa Msekwa kuwa amekuwa mwenyekiti wa bodi ya ngorongoro ,mtendaji kinyume cha sheria... Nini nani alinitumia wakati huo?2.hutuba iliyofuata nilimtaja katibu mkuu wa Chama kikubwa kuwa meli zake zilisafirisha meno ya tembo ,sambamba na kumtaja mfanyabiashara mkubwa kuwa EIA umemtaja kuwa anahusika na ujangili.....nani alikuwa anitumia wakati huo?3.hutuba iliyofuata nilikosoa utendaji wa Nyarandu, kumleta mwandishi, kutoka uk ,ugomvi wao na katibu mkuu , na mwisho nikatoa DVD ,kutaka serikali ichukue hatua......Leo naambiwa natumiwa ,hii NAAMINI ni kwa sababu nimegusa masilahi ya

Ndege ya mizigo ya Marekani yakutwa na maiti ya mtoto aliye-stowaway

WASHINGTON, USA (AP) -- The Air Force's top civilian and uniformed leaders said Wednesday the failure to prevent a teenager from stowing away aboard a military cargo plane, apparently while on an airfield in the African nation of Mali, was a serious security lapse.

The boy's body was found and removed from the plane at Ramstein Air Base in Germany on Sunday after it had returned from an eight-day mission to several African nations. Neither his identity nor his nationality has been disclosed.

"Whatever happened here, something fell through the cracks that this boy was able to gain access to the

Johnson & Johnson withdraws fibroid treatment device from market

WASHINGTON, USA (AP) -- Johnson & Johnson is asking surgeons not to use a line of devices for removing growths from the uterus amid regulators' growing concern that the electronic surgical tools raise the risk of spreading cancer to other parts of the body.

In April, J&J suspended sales of the devices, known as laparoscopic power morcellators, after the Food and Drug Administration discouraged doctors from using them. Surgeons use the devices to treat painful fibroids, either by removing the growths themselves or the entire uterus.

J&J said Wednesday it is conducting a worldwide withdrawal of all its morcellators still on the market. The company cited an FDA meeting earlier this month that reinforced "the complexity of this issue."

FDA is weighing regulatory actions to reduce the risk of cancer spread.

Wawili waaga shindano la TMT; Bado wiki 3 kufika fainali

Waendeshaji wa Show ya Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) Joti na Lulu wakiwa kwa steji, tayari kwa kuendelea na show hiyo iliyofanyika katika Ukumbi wa Mkaumbusho ya Taifa Jijini Dar es Salaam.

Na Josephat Lukaza - Proin Promotions Limited - Dar es Salaam.

Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) Linaelekea Ukingoni ambapo mwisho wa Mwezi huu wa nane Mshindi mmoja wa shindano hilo la TMT ataondoka na kitita cha Shilingi Milioni 50 za kitanzania katika fainali kubwa.

Shindano la TMT ni shindano ambalo limekuwa likiteka hisia za washiriki pamoja na wadau na watazamaji wa kipindi hiko cha TMT ambacho kimejizolea umaarufu nchini na nje ya Nchini kutokana na Umahiri wake ambapo awali shindano hilo lilianza kanda ya ziwa Mkoani Mwanza kwaajili ya kusaka vipaji vya kweli vya kuigiza ambapo baadae safari ilielekea katika kanda nyingine za Tanzania ambapo washindi watatu kutoka kila kanda waliweza Kupatikana na hatimaye kufanya jumla ya washiriki ishirini kutokana kanda sita za Tanzania Kuwasili Jijini Dar Es Salaam, Mwishoni mwa Mwezi wa Sita ambapo waliweka kambi na kuanza kupewa mafunzo na Mwalimu Kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam aitwaye Dk Mona Mwakalinga akisaidia na Mwl Issa.

Washiriki Hao 20 waliweza pia kupata fursa ya kufanya filamu fupi ambazo ziliweza kupima uwezo wao wa kuigiza mara baada ya kutoka darasani na hatimaye kupelekea watazamaji kuweza kuwapigia kura huku wakisaidiana na majaji wa Shindano hilo. Majaji wa shindano hilo ni Roy Sarungi, Vyonne Cherry na SIngle Mtambalike.

Mpaka sasa Jumla ya Washiriki 7 wameshatoka kwenye kinyanganyiro na kupelekea kubaki na washiriki wengine 13 ambapo washiriki watatu wanatakiwa kutoka na kubaki washiriki 10 huku kumi hao wakiwa wameingia fainali sasa ya kuzisaka zile Milioni hamsini ambazo Mshindi mmoja atajinyakulia siku ya Fainali inayotarajiwa kufanyika mwishoni mwa Mwezi wa 8.Lulu na Joti wakitoa maelekezo kwa washiriki wawili wa Shindano la TMT ambao waliweza kutolewa katika kinyanganyiro hiko kutokana na kupata kura chache kutoka kwa watazamaji wa Kipindi cha TMT kinachorushwa Kila Jumamosi saa Nne usiku.Baadhi ya washiriki wakiwa na nyuso za simanzi kutokana na Washiriki wenzao wawili kuaga mashindano hayo.
Mshiriki Ally Kiwendo ambae alikuwa ni mmoja kati ya washindi watatu kutoka kanda ya Kusini mkoani Mtwara akitoa maneno ya shukrani kwa Kampuni ya Proin Promoitons ambao ndio waandaaji na waendeshaji wa Shindano la TMT mara baada ya kutangazwa kuaga shindano hilo kutokana na Kura kuwa chache, huku pia akiwashukuru watazamaji na wote waliompigia kura
Joyce Kalinga Mshiriki wa Shindano la TMT ambae apia alikua mshindi kutoka Kanda ya Kati Mkoani Dodoma akitoa maneno yake ya shukrani na pia kuwashukuru wadau, Kampuni ya Proin Promotions na watazamaji na waliompigia kura japokuwa bahati haikuwa yake kutokana na kutolewa kwenye kinyanganyiro hiko kutokana na uchache wa kura kutoka kwa watazamaji

Ili kuweza kumbakiza mshiriki wako unachotakiwa kufanya ni Kumpigia Kura kwa wingi kupitia Simu yako ya mkononi kwa kuandika Neno "TMT" acha nafasi namba ya Mshiriki halafu tuma kwenda 15678. Mfano "TMT" 00 halafu tuma kwenda 15678 au Pia unaweza kumpigia kura mshiriki umpendae kupitia ukurasa wetu wa facebook kwa kutembelea anuani ifuatayo https://www.facebook.com/tztmt

Washiriki Kumi watakaoingia Kwenye Fainali ya Kusaka Milioni 50 watakuwa chini ya Kampuni mahiri ya Utengenezaji na Usamabazaji wa filamu za Kitanzania ya Proin Promotions ambao ndio waandaaji na waendeshaji wa Shindano la Tanzania Movie Talents, Shindano Bora na kubwa Tanzania na la Kwanza kufanyika Afrika Mashariki na Kati.

Pres. Kikwete at the National Institutes of Health (NIH) in Washington DC

President Jakaya Mrisho Kikwete and President Dennis Sassou Nguesso of the Republic of Congo, in a group photo with members of the National Institutes of Health (NIH) in Washington DC, August 2nd, 2014. (All photos by The State House)

President Jakaya Mrisho Kikwete with Reasearch fellow and Senior Lecturer at the Muhimbili University of Health Sciences, Dr Julie Makani (left) and Prof. Mwaikambo during his familiarisation tour of the National Institutes of Health (NIH) in Washington DC July 2, 2014
President Jakaya Mrisho Kikwete with Reasearch fellow and Senior Lecturer at the Muhimbili University of Health Sciences, Dr Julie Makani (left) and Prof. Mwaikambo during his familiarization tour of the National Institutes of Health (NIH) in Washington DC August 2nd, 2014

Shuka basi...


Uchumi unveils 24-hour operations for shoppers in Dar es Salaam


Late night shoppers in Dar es Salaam now have a window to engage in their nocturnal supermarket-love affair, thanks to Uchumi.

The retail company has announced it will operate non-stop at its new branch at Makumbusho, along the Ali Hassan Mwinyi road. The move is being attributed to increasing customer demand.

Speaking to The Citizen in an interview, Uchumi’s Country manager Chris Lenana said increasing customer demand, especially at Makumbusho and Shekilango branches, has forced the leading retail super market to start 24-hour operations.

“I am happy to tell our customers that now they can purchase goods at the two branches anytime they

Afisa Usalama wa Taifa "Shushushu" ni nani, anafanya nini?

Kuna ukweli mmoja usiofichika wala kupingika kwamba watu wengi sana wanapenda kazi ya ushushushu, yaani Uafisa Usalama wa Taifa.Hiyo sio kwa Tanzania pekee bali sehemu nyingi duniani. Ukiingia mtandaoni utakutana na watu wengi wanaozungumzia taaluma ya intelijensia au/na wahusika katika hali ya kutamani kuifahamu taaluma hiyo nyeti au kuwa mhusika.

Leo nitaanza mlolongo (series) wa makala kuhusu taaluma hiyo adimu. Hata hivyo ni vema nikatahadharisha mapema kwamba nitakachoandika ni kile tu kinachoruhusiwa kuandikwa hadharani. Kimsingi,taaluma ya ushushushu inatawaliwa na usiri,na mengi ya yanayohusiana na taaluma hayo yanabaki kuwa siri. Hata hivyo,kuna maelezo ambayo yapo wazi japo inahitaji uelewa wa aina flani kuchora mstari kati ya kipi ni siri na kipi ni ruksa kuwa hadharani.

Kwa tafsiri rahisi, ushushushu ni taaluma inayohusu ukusanyaji wa taarifa za kiusalama kwa njia za siri (clandestine methods). Japo kwa kiswahili ushushushu ni intelijensia, kiundani kuna tofauti kati ya

A 4min video explaining: The difference between CONFIDENCE and ARROGANCE

In the video embed below, Aaron from I Am Alpha M describes the difference between 'confidence' which can take you a long way for it seeks to lift others up from a place of satisfaction with yourself and 'arrogance' which will take you nowhere as it seeks to diminish others because of insecurity.

It may seem obvious at the outset, but it's often the most arrogant people who defend themselves by saying they're just more self-confident than others. 

Much like the difference between assertiveness and aggressiveness and compassion versus niceness, confidence is internal, and arrogance is external. 

Aaron explains that confidence is something in you, a belief in your skills and abilities, and a trust in yourself. Arrogance on the other hand rears its ugly head when people try to diminish the skills and abilities of others, usually to convince the world of their own status and push others into the background.


5 signs to help you know that it’s time to let go

1. Someone expects you to be someone you’re not.

– Don’t change who you are for anyone else. It’s wiser to lose someone over being who you are, than to keep them by being someone you’re not. Because it’s easier to mend a broken heart, than it is to piece together a shattered identity. It’s easier to fill an empty space in your life where someone else used to be, than it is to fill the empty space inside yourself where YOU used to be.

2. A person’s actions don’t match their words.

– Everybody deserves somebody who helps them look forward to tomorrow. If someone has the opposite effect on you, because they are consistently inconsistent and their actions don’t match up with their words, it’s time to let them go. It’s always better to be alone than to be in bad company. True friendship is a promise made in the heart – silent, unwritten, unbreakable by distance, and unchangeable by time. Don’t listen to what people say; watch what they do. Your true friends will slowly reveal themselves over time.

3. You have a habit of moping and feeling sorry for yourself.

– Happiness is not the absence of problems, but the ability to deal with them. Imagine all the