Hacker to show how possible it is to interfere airplane using in-flight WiFi

Two years a group at Las Vegas's annual hacker convention announced it could break into air traffic control systems.

Cyber security researcher Ruben Santamarta says he has figured out how to hack the satellite communications equipment on passenger jets through their WiFi and inflight entertainment systems - a claim that, if confirmed, could prompt a review of aircraft security.

Santamarta published a 25-page research report in April that detailed what he said were multiple bugs in firmware used in satellite communications equipment made by Cobham, Harris, Hughes, Iridium and Japan Radio Co for a wide variety of industries, including aerospace, military, maritime transportation, energy and communications.

The report laid out scenarios by which hackers could launch attacks, though it did not provide the level of technical details that Santamarta said he will disclose at Black Hat.

Santamarta, a consultant with cyber security firm IOActive, is scheduled to lay out the technical details of his research at this week's Black Hat hacking conference in Las Vegas, an annual convention where thousands of hackers and security experts meet to discuss emerging cyber threats and improve security measures.

"These devices are wide open. The goal of this talk is to help change that situation," Santamarta, 32, told Reuters. Click here to read more

Ebola vaccine not far away; Nigeria records its second case

US top infectious disease official says there's hope that a vaccine against Ebola will be available as early as next July.

Dr. Anthony Fauci  of the National Institutes of Health says such a preventive vaccine has been successfully tested with monkeys.

Fauci tells "CBS This Morning" that human trials with volunteers will commence in September, and by July it should be ready.

More than 1,300 people have been stricken in West Africa, and nearly 730 have died in Guinea, Liberia and Sierre Leone. Nigeria recorded its second case Monday when a doctor treating the first case tested positive for the virus. Both cases have occurred in Lagos — African's most populous city with about 20 million people.

Ebola currently has no vaccine or antidote. It is contracted through close contact with bodily fluid and blood, unlike other airborne viruses.

[audio] Hotuba ya Rais Kikwete kwa Watanzania, Washington DCKaribu kusikiliza hotuba ya Rais Jakaya Kikwete alipozungumza na Watanzania usiku wa Agosti 2, 2014 kwenye hotel ya Marriot, jijini Washington DC nchini Marekani.Shukurani ya kushirikishwa audio hii: Mubelwa Bandio/Kwanza Production/ChangamotoYetu blog

Taarifa ya Jussa: Tundu Lissu ajitolea kumtetea Mansoor Himid

Kinyume na ilivyotarajiwa, Mhe. Mansoor Himid hakufikishwa Mahkamani leo, pamoja na kwamba ni zaidi ya saa 48 tokea alipokamatwa.

Kutokana na hali hiyo, Mawakili wake wakiongozwa na Fatma Karume leo wamewasilisha ombi maalum linalojulikana kisheria kama habeas corpus mbele ya Mahkama Kuu ya Zanzibar wakitaka Mahkama iiamuru Polisi kumfikisha Mhe. Mansoor Yussuf Himid mbele ya Mahkama hiyo ili kujibu tuhuma anazotuhumiwa nazo kama zipo.

Kwa upande mwengine, mwanasheria maarufu Tundu Lissu amejitolea kuungana na wanasheria

He! Huyu Nyerere vipi? Admits posing as woman cabby, stealing money

WASHINGTON, USA (AP) -- A man who prosecutors say dressed as a woman cab driver has pleaded guilty to talking drunken passengers into giving him their ATM cards and PINs and withdrawing hundreds of dollars from their accounts instead of the fares of $10 to $40.

Fifty-year-old Nyerere Mitchell of Clinton, Maryland, pleaded guilty to five counts of first-degree felony fraud Monday in Superior Court in Washington. He faces a maximum of 10 years in prison on each count at sentencing Oct. 10.

According to government evidence, Mitchell drove an SUV and frequently wore a wig and padded breasts. Prosecutors say he offered rides to people who appeared drunk.

Authorities say riders would give Mitchell their ATM cards and PINs so he could drive up to bank machines and withdraw their fares. --- via The AP

Taarifa ya Kamanda Kova kuhusu kukamatwa kwa askari bandia

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

WIZARA YA MAMBO YA NDANI

JESHI LA POLISI TANZANIA


PRESS RELEASE
04/08/2014

ASKARI POLISI FEKI WA USALAMA BARABARANI ALIYEKUWA ANATAPELI WANANCHI AKAMATWA JIJINI DAR ES SALAAM


Jeshi la Polisi Kanda ya Dar es Salaam linamshikilia na kumhoji mtu mmoja aitwaye ROBSON S/O SEIF MWAKYUSA EMMANUEL, miaka 30, Mkazi wa Kijitonyama jijini Dar es Salaam kwa tuhuma za kujifanya afisa wa Polisi kikosi cha Usalama barabarani akiendelea na kazi za ukaguzi wa makosa ya usalama barabarani. Mtuhumiwa huyu alikamatwa tarehe 02/08/2014 huko Kata ya

Taarifa ya msimamo wa CUF kuhusu Bunge Maalum la Katiba

YAH: KUTOSHIRIKI AWAMU YA PILI YA BUNGE MAALUM LA KATIBA

Tafadhali husika na somo hapo juu.

Mtakumbuka kuwa Chama chetu kwa kushirikiana na vyama vingine vinavyoounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) tuliamua kutoka katika Bunge maalum la Katiba baada ya CCM kuamua kukiuka utaratibu wa mchakato wa kupata katiba mpya kama ulivyoainishwa katika sheria ya mabadiliko ya Katiba na kuweka Mkakati wa kupitisha Rasimu ya CCM ya serikali mbili. 

Pamoja na juhudi ambazo tumeendelea kuzifanya kama Chama na UKAWA, hadi sasa bado CCM wanaonekana hawana dhamira ya dhati ya kuurejesha mjadala wa Katiba Mpya kwa kuheshimu maoni ya wananchi kama yalivyoratibiwa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba na kuwekwa katika Rasimu ya

[video] Hatima ya Bunge la Katiba - Mahojiano ya StarTv na Zitto Kabwe

Mtanzania aliyekwenda Mkutanoni aomba hifadhi AustraliaWaafrika wapatao 25 wameripotiwa na vituo vya habari vya nchini Australia kuwa wameomba hifadhi nchini humo punde tu ulipomalizika mkutano wa 20 wa Kimataifa uliozungumzia masuala ya VVU/UKIMWI mwezi uliopita.

Inaripotiwa kuwa mara baada ya mkutano kuisha tarehe 25 Julai, wajumbe hao waligoma kuondoka nchini humo na sasa wapo katika wakati mgumu wa malazi, mavazi na chakula.

Mmoja wao ambaye anatokea Tanzania lakini aligoma kutaja jina lake kwa sababu za kiusalama amekiambia kituo cha habari cha ABC kuwa akiwa nchini Tanzania, hujishughulisha na watu wanaoishi na VVU na albino na hivyo kuhatarisha maisha yake.

Amesema kwa mfano mwezi Machi mwaka huu almanusura apoteze maisha yake baada ya kukimbizwa na watu kadhaa alipokuwa akitoka kutizama mechi ya soka. 
"Those people they saw me and then they started chasing me, it was around 8pm in the evening...."
amekaririwa kusema na kuongeza:
"So I got a very bad accident ... almost like dying. They wanted to kill me. After that crash, they disappeared completely because so many people came to give me help"

"I don't have faith [in] my own state government to protect me against these people"

"I learn that Australia has a human rights reputation, that's why I seek protection here"
Amesema anatarajia kuwasilisha fomu za kuomba hifadhi baadaye mwezi huu.

Unaweza kusoma zaidi habari hii kwenye:
African delegates from Melbourne AIDS conference seeking asylum in Australia
au 


Kuhusu madai ya Dk Slaa dhidi ya Ridhiwani, Rais Kikwete asema "Sina muda wala siwezi kupoteza nguvu yangu kujadili upuuzi na ujinga"

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA

DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS

Telephone: 255-22-2114512, 2116898

Fax: 255-22-2113425


PRESIDENT’S OFFICE,
STATE HOUSE,
1 BARACK OBAMA ROAD,
11400 DAR ES SALAAM.
Tanzania.


TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa ni mkusanyiko wa upuuzi mtupu madai kuwa yeye Rais alishiriki kumwokoa mtoto wake, ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Chalinze Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete ambaye alikuwa amekamatwa na madawa ya kulevya nje ya nchi.

Aidha, Rais Kikwete amesema kuwa Urais ni taasisi kubwa sana nchini na hivyo yeye akiwa Rais hawezi kujiingiza katika ubishani na watu wa mtaani, kama ambavyo wanataka baadhi ya watu wanamsukuma ili ashiriki katika maneno hayo ya mitaani.

“This is nonsense – ni mkusanyiko wa upuuzi. Sina muda wala siwezi kupoteza nguvu yangu

Vodacom yawezesha vilivyo robo fainali ya Dance 100 Chang'ombe

Mmoja wa washiriki wanaounda kikundi cha Street Dance cha Mbagala jijini Dar es Salaam, akionyesha umahiri wake wa kudansi wakati wa shindano la robo fainali la Dance 100 lililodhaminiwa na Vodacom Tanzania na kufanyika katika Viwanja vya TCC Sigara Chang’ombe hapo jana.Shindano hilo lilishirikisha makundi 15 kutoka wilaya ya Temeke ,Makundi matano yalichagulia kuingia katika Fainali za shindano hilo ambapo mshindi atajinyakulia kitita cha shilingi Milioni 5.

Kikao cha Kamati ya Uongozi cha BungeMwenyekiti wa Bunge Maalum Mhe. Samuel Sita akiongoza kikao cha Kamati ya Uongozi cha Bunge hilo kilichokaa leo kupanga ratiba ya Bunge hilo linaloanza Jumanne, 5 Agosti 2014 baada ya kuarishwa tarehe 25 Aprili 2014. (Picha: Owen Mwandumbya)

Kuhusu Katiba Mpya: Rais Kikwete asema anaishi kwa matumaini

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA

DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS

Telephone: 255-22-2114512, 2116898

Fax: 255-22-2113425


PRESIDENT’S OFFICE,
STATE HOUSE,
1 BARACK OBAMA ROAD,
11400 DAR ES SALAAM.
Tanzania.


TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ameueleza mchakato wa kutafuta Katiba mpya nchini na changamoto zake kama barabara ndefu yenye kona.

Aidha, Rais Kikwete amesema kuwa mchakato huo, kimsingi, unatakiwa kuongozwa na ukweli kuwa Katiba ni kuhusu wananchi wenyewe na maisha yao na wala siyo tu mchakato huo kuongozwa na idadi ya Serikali – mbili ama tatu.

Rais pia amesema kuwa ni dhahiri kuwa yapo mengi ambayo hayajakaa sawasawa katika mchakato mzima hasa kuhusu jinsi Katiba mpya itakavyolinda maisha ya wananchi na kusaidia kuboresha ustawi wao.

Rais Kikwete ameyasema hayo usiku wa Jumamosi, Agosti 2, 2014, kwenye Hoteli ya

Taarifa ya Sikika kuhusu tuhuma za Madiwani wa Halmashauri ya Kondoa

Mwenyekiti wa Bodi Sikika, Bi. Pili Mtambalike akisoma tamko la Shirika lisilo la Kiserikali la Sikika mbele ya waandishi wa Habari leo Agosti 3, 2014 kufuatia kusikitishwa na taarifa iliyotolewa na Ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri wilayani Kondoa ya kusitisha shughuli zake katika wilaya hiyo kupitia barua yenye kumbukumbu namba KDC/LGC/M/3 VOL. II/71 ya tarehe 31/07/2014. Kwa mujibu wa barua hiyo, maamuzi hayo yalitolewa katika mkutano wa Baraza la Madiwani uliofanyika 26 Julai, 2014 Kondoa baada ya kuituhumu Sikika kwamba imesema Madiwani hawajasoma. Kutoka Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Sikika Bw. Irenei Kiria na Mjumbe wa Bodi ya Sikika.
Taarifa kwa Vyombo vya Habari, 03 Agosti, 2014

SIKIKA YAKANUSHA TUHUMA ZA MADIWANI, HALMASHAURI KONDOA

Sikika imesikitishwa na taarifa iliyotolewa na Ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri wilayani Kondoa ya kusitisha shughuli zake katika wilaya hiyo kupitia barua yenye kumbukumbu namba KDC/LGC/M/3 VOL. II/71 ya tarehe 31/07/2014. Kwa mujibu wa barua hiyo, maamuzi hayo yalitolewa katika mkutano wa Baraza la Madiwani uliofanyika 26 Julai, 2014 Kondoa baada ya kuituhumu Sikika kwamba imesema Madiwani hawajasoma.
Sikika inakanusha tuhuma kwamba ilisema Madiwani hawajasoma.
Maamuzi ya kusitisha kazi za Sikika yametolewa na Halmashauri hiyo wakati shirika likiendelea na mchakato wa kuwezesha zoezi la Ufuatiliaji wa Uwajibikaji Jamii (Social Accountability Monitoring – SAM), zoezi ambalo linahamasisha uwazi, uwajibikaji na utawala bora katika kusimamia rasilimali za umma ili kuboresha utoaji wa huduma za jamii, ikiwemo afya.
Pamoja na kukuza ushiriki wa wananchi katika kufuatilia na kusimamia rasilimali zao, SAM pia huwasaidia madiwani kuwawajibisha watendaji wa halmashauri ikiwa

Tangazo la Mafunzo ya Shahada Jumuishi ya Ualimu wa Sayansi na Hisabati

Ili kukabiliana na upungufu mkubwa wa walimu wa masomo ya Sayansi na Hisabati katika shule za Sekondari nchini, Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha Dodoma pamoja na Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) imeandaa mafunzo ya stashahada maalumu ya Ualimu katika Sayansi, Teknohama na Hisabati kwa wahitimu wa kidato cha nne na wale wenye sifa mbadala. Mafunzo yatatolewa katika Chuo cha Elimu, Chuo Kikuu cha Dodoma. Mafunzo haya yatakayofuata mfumo wa Tuzo za Elimu ya Ufundi (NTA) unaoratibiwa na Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) utamuwezesha mhitimu wa kidato cha nne kupata mafunzo maalumu.

Ili kufanikisha mafunzo haya maalumu, Serikali kupitia Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu itatoa mikopo kwa wanafunzi wote watakaochaguliwa. Pamoja na serikali (wizara) kutoa nafasi ya mikopo kwa watakaofanikiwa kujiunga, programu hii ya mafunzo itawezesha wahitimu kupata ajira baada ya kuhitimu katika ngazi ya stashahada (NTA Level 6). Baada ya kufanya kazi kwa muda usiopungua miaka miwili kama mwalimu mwenye Stashahada, mhitimu atakuwa na hiari ya kurudi chuoni kwa mafunzo zaidi ya Shahada ya Ualimu wa Sayansi, Teknohama na Hisabati (NTA Level 8). Mhitimu wa stashahada anayo hiari pia kupata mafunzo ya mwaka mmoja na kupata stashahada ya juu ya ualimu (NTA Level 7).

Picha za mkutano wa Rais Kikwete na Watanzania DMVViongozi wa Jumuiya ya Watanzania DMV wakati wakimsubiri Rais Jakaya Mrisho Kikwete Jumapili Julai 3, 2014 katika hoteli ya Marriot jijini Washington DCRais Kikwete akimsalimia mmoja wa watoto waliokuwepo kumlaki

Viongozi wa Jumuiya ya Watanzania DMV wakati wakimsubiri Rais Jakaya Mrisho Kikwete Jumapili Julai 3, 2014 katika hoteli ya Marriot jijini Washington DCViongozi na wanachama wa Jumuiya ya Watanzania DMV wakati wakimsubiri Rais Jakaya Mrisho Kikwete Jumapili Julai 3, 2014 katika hoteli ya Marriot jijini Washington DCWajumbe wa Bodi ya Jumuiya ya Watanzania DMV

Iran ready to train Tanzanian Red Cross Workers

TEHRAN (FNA) - Head of the Iranian Red Crescent Society (IRCS) Mohammad Farhadi announced the country's readiness to train volunteers for the Tanzanian Red Cross.

"Iran's Red Crescent is prepared to hold training courses for Tanzanian Red Cross volunteers in Iran or send Iranian instructors to Tanzania," Farhadi said in a meeting with Head of Tanzanian Red Crescent George Nangale in Tehran on Sunday.

He also underlined the Iranian Red Crescent's readiness to supply the drugs and medical equipment needed by the Tanzanian Red Cross.

Farhadi also expressed Tehran's readiness to supply tents for the temporary settlement of the victims of

"Hakuna aliyemlzimisha Kikwete kuja na ajenda ya kuandika katiba mpya" - Msigwa

Unapokuwa na kiongozi wa nchi ambaye hawezi kuwa na maamuzi binafsi kwa ajili ya manufaa ya taifa lake ,anapotekeleza majukumu yake Kama mkuu wa nchi ,ni hatari kubwa.
Hakuna aliyemlzimisha Kikwete kuja na ajenda ya kuandika katiba mpya. Na hata asingekuja nayo haikuwa ajenda ya Chama chake. Alilitangazia taifa kwa mbwembwe nyingi kuwa anatuletea zawadi watanzania ya Katiba mpya. Jambo ambalo Chama chake kilikuwa hakitaki, mwana sheria mkuu alikuwa hataki, waziri wake wa sheria wakati ule Serina Kombani alikuwa hataki ,na walisikika kwa nyakati tofauti wakisema katiba mpya sio hitaji la watanzania kwa sasa na ni NDOTO. Swali kwa watanzania wenzangu, Kama JK ALIJUA haiwezi kusimamaia maamzi yake kwa nini aliingize taifa kwenye gharama kubwa isiyo na TIJA!
Jk aliamua kufanya mambo ya TEMBO WAKATI ANA ROHO YA SUNGURA ,SHAME ON HIM!!!
Ni nini kilichombadilisha? What kind of a leader ? Huyu ni kiongozi asiyefanya maamuzi......Kiongozi wetu huyu anaweza kuchukuliwa na Kila aina ya upepo , (if you don't know where you are going any road will take you there) does he know where is taking the national? He is too possessed by his political party ideology ...anasahau kuwa yeye ni kiongozi wa watanzania. VINGINEVYO anataka tuamini kuwa walio chini yake wananguvu KULIKO yeye...

? Tanzanian retired army staff sneak under cover for jobs in DRC

Tanzania retired soldiers are said to have sneaked under cover outside the national boarders in search for greener pastures in war zone neigbouring Congo, it has been learnt.

Confirming the statement yesterday against a published claim by the regional weekly tabloid, the Department of Information Services, through the Ministry of Information Youths and Sports said assertions by retired army staff to have been dispatched to fight a war in the Democratic Republic of Congo (DRC) had no command from the Commander-in-Chief.

The government said the truth was that, “the retired soldiers went to fight in Congo on their own will. This had nothing to do with the nation and the Tanzania People’s Defence Forces. They had their own interest and colluded with outsiders for their self benefits.”

He refuted a published claim alleging that more than 400 former Tanzanian soldiers have threatened to

Pres. Kikwete meets MCC’s new Chief Executive Officer, Dana J. Hyde

President Jakaya Mrisho Kikwete in talks with MCC’s new Chief Executive Officer, Dana J. Hyde and her delegation at the Ritz Carlton hotel in George Town Washington DC .
President Jakaya Mrisho Kikwete in talks with MCC’s new Chief Executive Officer, Dana J. Hyde and her delegation at the Ritz Carlton hotel in George Town Washington DC.