Trela ya filamu ya Mzee Yusuph "NITADUMU NAE"! Usikose!


Itaanza kupatikana Jumatatu ya tarehe 11 Agosti 2014 madukani Tanzania. Usikose nakala yako.


San Antonio Spurs hire NBA's First Female full-time Assistant Coach


The NBA now has its first full-time female assistant coach, as the San Antonio Spurs hire WNBA star Becky Hammon to join their bench for the upcoming season. The move comes as Hammon says she'll retire after her current season playing for the San Antonio Stars.

"I'm just thrilled for the opportunity to coach these unbelievable athletes," Hammon said.

"I very much look forward to the addition of Becky Hammon to our staff," "Having observed her working with our team this past season, I'm confident her basketball IQ, work ethic and interpersonal skills will be a great benefit to the Spurs."  Popovich told NBA.com

The Express-News has rundown of other high-profile positions held by women in basketball:

"Nancy Leiberman was head coach of the Developmental League's Texas Legends in 2009. Lisa Boyer, currently the associate head coach at the University of South Carolina, served as a volunteer on John Lucas' staff with the Cavaliers in 2001-02 while also head coach of the WNBA's Cleveland Rockers. But Hammon is believed to be the first full-time female assistant coach in NBA history. The hire brought further diversity to Gregg Popovich's staff, which also added European giant Ettore Messina as an assistant earlier this summer."

Mwanachuo UDSM kizimbani akituhumiwa wizi wa milioni 51/=

Meneja wa kituo cha mafuta cha Gudal Petrol Station cha Ubungo, Kibangu Saadi Mohamed (21) pamoja na mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM),  Edwin Mbuya (21), wamepandishwa kizimbani kwa mashitaka mawili.

Watuhumiwa hao wakazi wa Ubungo-Kibangu walipandishwa jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni wakikabiliwa na mashtaka mawili likiwamo la wizi wa fedha taslimu Sh milioni 51.6 mali ya kituo hicho.

Mbele ya Hakimu Kwey Rusema, Wakili wa Serikali, Credo Rugaju, alidai kuwa katika shitaka la kwanza, washtakiwa hao walikula njama ya kutenda kosa katika tarehe na muda usiyojulikana maeneo ya Kinondoni.

Katika shtaka la pili, ilidaiwa kuwa Julai 28 mwaka huu, washtakiwa waliiba fedha taslimu Sh 51,689,500, mali ya Kituo cha Gudal Petrol Station kilichopo Ubungo Kibangu. Washtakiwa walikana. Upelelezi umekamilika. Kesi imepangwa kusikilizwa Agosti 19 mwaka huu. -- via HabariLeo

[audio] Majibu ya Rais Kikwete kwa maswali ya Watanzania, Washington DC

Mhe. Rais Kikwete akijibu maswali ya waTanzania

Usiku wa Agosti 2, 2014, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dk Jakaya Mrisho Kikwete alikutana na Watanzania katika hoteli ya Marriot jijini Washington DC.

Baada ya hotuba yake, Mhe. Rais aliruhusu maswali kutoka kwa Watanzania hao.

Tafadhali bofya kitufe cha pleya iliyopachikwa hapo chini ili kusikiliza ili kusikiliza yaliyozungumzwa.

Karibu...

Menu ya mlo wa jioni walioandaliwa Viongozi 50 wa Afrika huko White House watatakotumbuizwa na gwiji kongwe la muziki, Lionel Richie

Roasted Tomato Soup

On Tuesday night, after the U.S.-Africa Leaders Summit sessions wrap up, the US President and the First Lady will hosts 50 heads of state and the chairman of the African Union for dinner.

The 400 guests will be treated to a traditional American meal with an African twist in a gigantic tent on the South Lawn and enjoy a performance by five-time Grammy winner Lionel Richie.

White House Executive Chef Cris Comerford said the leaders didn't travel thousands of miles to get an Americanized version of their local cuisine. She said that a lot of research went into crafting the menu, and admitted that, at times, it was stressful. The State Department was even involved.

Here's the menu:

First course:
A chilled roasted tomato soup with socca crisp (a chickpea flour crouton of sorts)

Second course:
A chopped salad with green beans, lima beans, with "soured cream" (like buttermilk) dressing with a touch of cinnamon and cumin

Main course:
Wagyu beef with a roasted sweet potato puree and braised collard greens made with chiles and coconut milk

Dessert:
Fudge cake with papaya, scented with vanilla from Madagascar

----
Menu source: The NPR
Image source: todayskitchenstore.com

Pres. Kikwete addresses Corporate Council on Africa's 'Leading the way on US-Africa Investment' in Washington DC

Delegates from Tanzania and different other African countries attending the Corporate Council on Africa's 'Leading the way on US-Africa Investment listen attentively to President Jakaya Mrisho Kikwete when he addressed them at the National Academy for Sciences in Washington DC on July 4, 2014

President Jakaya Mrisho Kikwete addresses a Civil Society Town Hall Meeting on Open Government Partnership (OGP) at the National Academy for Sciences in Washington DC on July 4, 2014
President Jakaya Mrisho Kikwete addresses a Corporate Council on Africa's 'Leading the way on US-Africa Investment in Washington DC on July 4, 2014

Bunge la Katiba lapitisha Azimio la Mapendekezo ya Marekebisho ya Kanuni

Bunge Maalum la Katiba limepitisha Azimio la Mapendekezo ya Marekebisho ya baadhi ya Kanuni za Bunge Maalum la Katiba ili kuwezesha ili kuwezesha kujadili Rasimu ya Katiba kwa muda wa siku 60 za nyongeza na tatu zilizobakia.

Marekebisho hayo yamepitishwa kufuatia Mwenyekiti wa Kanuni na Haki za Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Pandu Ameir Kificho kuwasilisha mapendekezo ya kanuni hizo mapema leo asubuhi katika Bunge hilo mjini Dodoma mara baada ya kuanza kikao cha 30.

Azimio hilo limepitishwa baada ya baadhi ya wajumbe kuchangia hoja hiyo na kuungwa

"Nataka na natamani kuwa Rais wa mwisho wa Tanzania kuongoza nchi masikini" - Kikwete

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA

DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS

Telephone: 255-22-2114512, 2116898

Fax: 255-22-2113425


PRESIDENT’S OFFICE,
STATE HOUSE,
1 BARACK OBAMA ROAD,
11400 DAR ES SALAAM.
Tanzania.

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa anataka na anatamani kuwa Rais wa mwisho wa Tanzania kuongoza nchi ambayo ni maskini na hivyo atatumia muda wake uliobakia katika uongozi kuelekeza nchi kwenye mwelekeo huo.

Aidha, Rais Kikwete amesema kuwa jambo la msingi kabisa la kama Watanzania watanufaika na ugunduzi wa gesi asili ama watabakia katika hali yao ya sasa ya umasikini ni aina ya uongozi ambao nchi hiyo itaupata, uongozi wenye uwezo wa kufanya maamuzi sahihi kwa kadri nchi inavyozidi kusonga mbele.

Rais Kikwete pia anasema kuwa Tanzania inatarajia kuanza kupokea mapato yake ya kwanza

[video] Bunge la Katiba: Mdahalo ulioandaliwa na Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Ubungo Plaza

Mansour Himid afikishwa mahakamaniJeshi la Polisi kisiwani Zanzibar, hatimaye limemfikisha mahkamani Mjumbe wa Kamati ya Maridhiano ambaye pia aliwahi kuwa Mwakilishi wa Kiembe Samaki na Waziri katika Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mhe. Mansour Yusuf Himid.

Mhe. Mansour alisimamishwa katika Mahkama ya mkoa ya Vuga na kusomewa mashtaka ya makosa matatu ikiwemo kumiliki silaha, risasi za moto na kumiliki marisau mengi ambapo aliyakana makosa yote.

Kwa kuwa mahkama hiyo ya mkoa haina uwezo wa kutoa dhamana kwa kosa la aina ya kwanza

[video] Bunge la Katiba: Mdahalo wa Agosti 3, 2014 UDSM Mlimani

Pres. Kikwete meets IBM President and The 108th Mayor of New York City, Michael Bloomberg

President Jakaya Mrisho Kikwete shakes hands with Virginia M. Ginni Rometty, the Chairman, President and Chief Executive Officer of IBM during a dinner hosted by Mayor of New York and Chairman of the Bloomberg Philanthropies, Mr Michael Bloomberg, in Washington DC on Monday July 4, 2014. Bloomberg Philanthropies are some of the major sponsors of the US-Africa Leadership Summit.

President Jakaya Mrisho Kikwete with the Mayor of New York and Chairman of the Bloomberg Philanthropies, Mr Michael Bloomberg, during a dinner in Washington DC on Monday July 4, 2014. Bloomberg Philanthropies are part of the major sponsors of the US-Africa Leadership Summit.
President Jakaya Mrisho Kikwete with the Mayor of New York and Chairman of the Bloomberg Philanthropies, Mr Michael Bloomberg, during a dinner in Washington DC on Monday July 4, 2014. Bloomberg Philanthropies are part of the major sponsors of the US-Africa Leadership Summit.


All photos: State House

Maelezo ya Azimio la Kufanya Marekebisho ya Kanuni za Bunge la Katiba

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

BUNGE MAALUM


MAELEZO YA MWENYEKITI WA KAMATI YA KANUNI NA HAKI ZA BUNGE MAALUM, MHESHIMIWA PANDU AMEIR KIFICHO (MJ.),KWA AJILI YA KUWASILISHA AZIMIO LAKUFANYA MAREKEBISHO YA KANUNI ZA BUNGE MAALUM


(Kwa mujibu wa Kanuni ya 59(1) na 87(1) ya Kanuni za Bunge Maalum za mwaka 2014)
-----

Yatasomwa na:
Mhe. Pandu Ameir Kificho (MJ.)
Mwenyekiti wa Kamati ya Kanuni na Haki za Bunge Maalum.
DODOMA

5 Agosti, 2014
______________

1.0 UTANGULIZI

1.1 Mheshimiwa Mwenyekiti, nianze kwa kukushukuru kwa kunipa fursa hii ya kuwasilisha mbele ya Bunge Maalum, maelezo mafupi kabla ya kupitisha Azimio la Bunge Maalum kwa madhumuni ya kufanya mabadiliko ya Kanuni za Bunge Maalum za Mwaka 2014.

1.2 Aidha, napenda kukupongeza kwa dhati kabisa wewe binafsi na Makamu Mwenyekiti kwa namna mnavyoendelea kutuongoza katika Bunge hili Maalum katika vipindi vyote hadi kufikia wakati huu wa mjadala wa sura za Rasimu ya Katiba.

1.3 Vilevile, nikushukuru kwa niaba ya Wajumbe wenzangu wa Kamati ya Kanuni na Haki za Bunge Maalum kwa kutuelekeza kuzijadili baadhi ya Kanuni za Bunge Maalum ili kuleta ufanisi katika utekelezaji wa shughuli za Bunge hili. Katikakutekeleza jukumu hilo, napenda kuwashukuru na

Ajira kwenye Jeshi la Polisi kwa Wahitimu Elimu ya Juu 2014

Katika mwaka wa fedha 2014/2015 Jeshi la Polisi Tanzania linatarajia kuajiri wahitimu wa vyuo vya Elimu ya Juu wa mwaka 2013/2014. Ili kutekeleza azma hii waombaji watajaza kikamilifu na wataambatanisha vivuli vya vyeti vyao na kutuma Makao Makuu ya Polisi kwa njia ya Posta kabla ya tarehe 31.08.2014 kwa anuani ifuatayo:

Inspekta Jenerali wa Polisi,
Makao Makuu ya Polisi,
S. L. P. 9141,
DAR ES SALAAM

Waombaji wawe na taaluma zifuatazo:

Shahada:
Menejimenti ya Rasilimali Watu, Utawala katika Utumishi wa Umma, Uchumi, Saikolojia na Ushauri Nasihi, Usimamizi wa Sheria na Utekelezaji[BaLE], Sheria, Ualimu, Maendeleo ya Jamii,

Pres. Kikwete attends Civil Society Town Hall Meeting on Open Government Partnership

President Jakaya Mrisho Kikwete with the US Secretary of State John Kerry exchange views before the start of a Civil Society Town Hall Meeting on Open Government Partnership (OGP) at the National Academy for Sciences in Washington DC.
President Jakaya Mrisho Kikwete with the US Secretary of State John Kerry exchange views before the start of a Civil Society Town Hall Meeting on Open Government Partnership (OGP) at the National Academy for Sciences in Washington DC.
 President Jakaya Mrisho Kikwete applauds as the US Secretary of State John Kerry takes a sip of water after addressing a Civil Society Town Hall Meeting on Open Government Partnership (OGP) at the National Academy for Sciences in Washington DC. President Kikwete and President John Dramani Mahama of Ghana served as panelists during the session which was moderated by VOA's Straight Talk Afrika presenter Shaka Ssali.

Hotuba ya Mwenyekiti, Sitta ya ufunguzi wa Awamu ya Pili ya Bunge la Katiba

HOTUBA YA MWENYEKITI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA MHE. SAMUEL SITTA KATIKA UFUNGUZI WA AWAMU YA PILI YA BUNGE HILO, DODOMA TAREHE 5 AGOSTI 2014


Karibuni tena Dodoma Waheshimiwa Wajumbe wa Bunge Maalum la kutunga Katiba ya nchi yetu. Sote tuna kila sababu ya kumshukuru Mwenyezi Mungu wetu kwa kuendelea kutupa uhai na afya hadi leo kutuwezesha kuwepo ndani ya ukumbi huu. Tupo humu ili tuitekeleze kazi waliyotukabidhi Watanzania wenzetu milioni arobaini na sita (46) ya kuwapatia Katiba mpya. Dhamana hii ni nzito na haistahili kufanyiwa ajizi.

Tunaendelea na shughuli zetu za Bunge Maalum kwa kuzingatia Kanuni ya 30 (1) inayosema

"Akidi kwa kila kikao cha Bunge Maalum isipokuwa wakati wa kupitisha uamuzi wa Bunge Maalum itakuwa ni nusu ya Wajumbe wote wa Bunge Maalum".

Nimetaarifiwa na Katibu kwamba wajumbe waliokuja Dodoma kuhudhuria ni zaidi ya robo tatu ya

President Kikwete addresses dialogue on Combating Wildlife Trafficking

President Jakaya Mrisho Kikwete addresses a Dialogue on Combating Wildlife Trafficking hosted by the US Secretary of the Interior Ms Sally Jewell at the National Academy of Sciences in Washington. The dialogue was also attended by the President of Namibia, Hon Hifikepunye Pohamba, the President of Togo Hon. Faure Essozimna Gnassingbé and the President of Gabon, Hon Ali Bongo.
President Jakaya Mrisho Kikwete addresses a Dialogue on Combating Wildlife Trafficking hosted by the US Secretary of the Interior Ms Sally Jewell at the National Academy of Sciences in Washington. The dialogue was also attended by the President of Namibia, Hon Hifikepunye Pohamba, the President of Togo Hon. Faure Essozimna Gnassingbé and the President of Gabon, Hon Ali Bongo.

Rais Kikwete aiasa diaspora kujenga hoja kuhusu Dual-Citizenship

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA

DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS

Telephone: 255-22-2114512, 2116898

Fax: 255-22-2113425


PRESIDENT’S OFFICE,
STATE HOUSE,
1 BARACK OBAMA ROAD,
11400 DAR ES SALAAM.
Tanzania.


TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amewataka Watanzania waishio nje ya nchi na wanaotaka kuona Tanzania inakubali kuanzisha mfumo wa uraia pacha kutumia muda wao kujenga hoja za jambo hilo badala ya kupoteza muda kwenye mijadala ya blogu na kulaumi watu wengine.

Rais Kikwete amewataka Watanzania hao kusema ili wasikike kwa sababu, kimsingi, hoja ya uraia pacha haina nguvu miongoni mwa Watanzania wanaoishi Tanzania bali hoja hii inatokana zaidi na msukumo wa Watanzania wanaoishi nje ambao kwa bahati mbaya hawafanyi jitihada za kutosha kutetea hoja yao.

Rais Kikwete ameyasema hayo usiku wa Jumamosi, Agosti 2, 2014, wakati alipokutana, akazungumza

Wake wa viongozi wamsabahi Mama Maria Nyerere

Kikundi cha wake wa viongozi wakiwa katika picha ya pamoja na Mama Maria Nyerere walioketi kwenda katikati ni Mama Mama nyerere kushoto ni Mama Tunu Pinda Mama Regina Lowasa kwenda kulia ni Mama Kawawa akifuatiwa na Mama Sumaye Picha na Chris Mfinanga. (Picha zote na Christopher Mfinanga)
Kikundi cha wake wa viongozi wakiwa katika picha ya pamoja na Mama Maria Nyerere walipomtembelea hivi karibuni. Walioketi kwenda katikati ni Mama Mama Nyerere, kushoto ni Mama Tunu Pinda na Mama Regina Lowasa. Kwenda kulia ni Mama Kawawa akifuatiwa na Mama Sumaye  (picha: Christopher Mfinanga)

Mlemavu atumia mguu wake wa bandia kuuza dawa za kulevya

Kamishna Kova akiwa kashika moja ya dawa ya kulevya huku afande Alfred akiwa kashika mguu huo wa bandia anaotumia mlemavu.

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, linamshikilia Said Tidwa (36), mkazi wa Vijibweni, Temeke kwa tuhuma za kutumia mguu wake wa bandia kwa ajili ya kutunzia na kuuza dawa za kulevya.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Kamanda wa Kanda Maalum, Kamishna Suleiman Kova, alisema taarifa za kiintelijensia zilizopatikana kutoka kwa raia wema ziliwafikia makachero wa polisi kuwa Tidwa ambaye ni mlemavu wa mguu anajihusisha na biashara hiyo.

“Katika mtego maalum uliowekwa na askari wa upelelezi ndipo mlemavu huyo alikamatwa akiuza

Corruption is common in all Government services, say citizens

  • Three out of five citizens who recently interacted with the police asked for a bribe 

5 August 2014, Dar es Salaam: Citizens view corruption as very common or somewhat common in all Government service sectors, including the police (94% of citizens), politics (91%), health (82%), tax (80%), land (79%), education (70%), local government (68%) and water (56%). NGOs are also perceived to be corrupt by more than 50% of citizens; the only sectors seen to be less corrupt are business and religious organisations.

These findings were released by Twaweza in a research brief titled Have more laws, agencies and commitments against corruption made a difference? People’s perceptions of corruption in Tanzania. The brief is based on data from Sauti za Wananchi, Africa’s first nationally representative mobile phone survey that polls households across Mainland Tanzania.

Aside from perceptions of corruption, Twaweza researched when citizens are actually asked to pay bribes. Again the police emerge as key culprits: out of those that have recently interacted with the

NACTE:Notice for extending admission for bachelor programs


PUBLIC NOTICE

The National Council for Technical Education (NACTE) would like to inform you that the deadline for application into Bachelor Degree programmes through the Central Admission System (CAS) has been extended to 31st August 2014.

The deadline has been extended to allow diploma graduates who have completed their studies in the academic year 2013/2014 to apply for Bachelor programs.

NOTE:

The system will automatically close after the mentioned deadline. You are therefore advised to complete your application before the deadline.

Signed:

Executive Secretary
NATIONAL COUNCIL FOR TECHNICAL EDUCATION