[audio] Mahojiano na Liberatus Mwang'ombe, mgombea Urais DMV


Karibu katika mahojiano kati ya Kwanza Production na Liberatus Mwang'ombe, mgombea Urais wa Jumuiya ya Watanzania waishio Washington DC, Maryland na Virginia.

Uchaguzi unategemewa kufanyika Agosti 9, 2014.

Tafadhali bofya kitufe cha pleya iliyopachikwa hapo chini ili kusikiliza...

Rais Kikwete katika 'Mkutano wa Viongozi wa Afrika na Marekani', Washington DC

Rais Jakaya Kikwete na viongozi wenzake wa Afrika katika mkutano wa Viongozi wa Afrika na Marekani ambao umefunguliwa na Rais Barak Obama katika ukumbi wa State Department jijini Washington DC leo Julai 6, 2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwasili katika Ikulu ya Marekani (White House) jijini Washington DC kwa dhifa ya Kitaifa waliyoandaliwa viongozi wa Afrika na mwenyeji wao Rais Barak Obama Julai 5, 2014

Benki ya Maendeleo ya China watembelea Tume ya Mipango

Naibu Katibu Mtendaji wa Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango (anayeshughulikia Biashara za Kimataifa na Mashirikiano ya Kiuchumi), Bw. Paul Sangawe (Kushoto) akiwasilisha Mada ya Hali ya Uchumi wa Tanzania wakati Ugeni kutoka Benki ya Maendeleo ya Uchina ulipoitembelea Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango.

*Yazungumzia uwezekano wa kugharamia utekelezaji wa miradi ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2025

Na Saidi Mkabakuli

Ugeni kutoka Benki ya Maendeleo ya Uchina umetembelea Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango kwa minajili ya kuja kujadiliana juu ya uwezekano wa kugharamia miradi ya maendeleo kwa upande wa barabara, kilimo na nishati ili kuiwezesha Tanzania kufikia lengo lake la kuwa nchi ya uchumi wa kati kufikia mwaka 2025.

Ugeni huo unaongozwa na Mkurugenzi Mkuu wa Benki hiyo, Bw. Jiang Zhigang utatembelea wizara

Lunchtime Discussion: Preparing for a Freedom of Information Act in Tanzania

Lunchtime Discussion:

Preparing for a Freedom of Information Act in Tanzania


Tuesday 12 August, 1-2pm at the National Museum, Dar es Salaam

Guests: Nikhil Dey, MKSS (India) and Kiran Bhatty, Centre for Policy Research (India)

Moderator: Rakesh Rajani, Twaweza

---
Last October, President Kikwete announced a commitment to enact a Freedom of Information law. The Ministry of Justice and Constitutional Affairs is working on a draft.

“If people want information on how medicines are distributed, on budgets for their primary school, they should have the right to that information. If people want information on when they will get water supply, they should have that right. When people ask for this information, they should not be seen as trying to venture into areas which are not theirs."
President J.M.Kiwete, speaking in October 2013


Freedom of Information is a potentially powerful tool for citizens, the media and civil society to better

Kili Tour Mbeya


Kili Music Tour: FA, AY, Weusi, Izzo B, Prof J, Mavoko na wengine kuzikonga nyoyo za wakazi wa Mbeya Jumamosi hii

Wakazi wa Mbeya wanatarajia kulishuhudia kwa mwaka mwingine tena joto la Kili Music Tour, Jumamosi hii, Agosti 9. Kinachofurahisha zaidi ni kuwa wasanii wengi watakaotumbuiza kwenye show hiyo wana nyimbo mpya na kali ambazo wakazi wengi wa Mbeya hawajazishuhudia zikitumbuizwa live.

AY anahit na ngoma yake ‘Asante’, Mwana FA akitamba na ngoma yake ‘Mfalme’ aliyomshirikisha Gnako na Izzo Bizness akiwa na wimbo mpya kabisa, ‘Walalahoi’ huku Weusi wakifanya vizuri na

Quarter final Dance 100% 2014 August 23, 2014After the success of inaugural of Dance 100% 2014 which involve groups of young artists from several districts of Dar es Salaam and held at Don Bosco centre and TCC Club, the quarter final day was announced.

The event coordinator of the competition Happy Shamte, said that the quarter final of this year Dance 100% will take place on August 23rd, 2014 and 16 groups from three Dar es Salaam District will compete at this stage and 10 groups will be selected for final competition Dance.

Groups emerged to enter the quarter final stage named by Shamte as Wazawa crew, Best boys crew,

GE to invest $2 billion in Africa

GE is hosting African and global government officials, policy experts, NGOs, entrepreneurs and business leaders for a conference on investment, infrastructure, and innovation in Africa.

In advance of President Obama’s US - Africa Leaders Summit, GE announced today that it will invest $2 billion in facility development, skills training, and sustainability initiatives across Africa by 2018.

  • The GE Foundation will invest $20 million over the next five years in health programs across Africa – including Nigeria, Kenya, Ghana, Rwanda, Uganda, Tanzania and Malawi – to train nurse anesthetists and biomedical equipment technicians, among other healthcare initiatives. -
  • In collaboration with the U.S. Africa Development Foundation and USAID, GE launched the “Power Africa Off-Grid Energy Challenge” and awarded six $100,000 grants to local enterprises to develop and expand off-grid solutions. Now in its second phase, the challenge has expanded to cover all six Power Africa countries by including Ethiopia, Ghana, Kenya, Liberia, Nigeria, and Tanzania.

Read more: africanbrains.net

Maoni ya 'Jzellah' kuhusu wito wa Rais Kikwete kwa Diaspora

Maoni ya Jzellah aliyoyaacha hapa:

Yes, President amesema kitu mihimu sana hata alikpokuwa hapa Poland aliongea sana jambo hili la uraia pacha kuwa halipo sana kwnmye Rasimu ya katiba. Kitu ninachotaka kusema hapa ni kwamba President anaangalia upane mmoja, hatoi nafasi ya Diapora kulitetea suala hili kwenye vyombo vya habari ambalo ni muhimu sana kwa maendeleo ya nchi yetu Tanzania . President anasema tuwe tunalijadili mara kwa mara katika vyombo vya habari wakati anajua kuwa sisi hatuna upenyo au milango ya kuingiza hoja zetu kwenye magazeti na radios zilizopo Tanzania.

Yeye kama President wa watanzania wote waishio nje na ndani ya nchi ana jukumu la kutupatia nafasi hiyo kwenye vyombo vya habari vya taifa au ana wajibu wa kuvitaka vyombo vya habari viwe vina toa fursa ya kujadili suala hili hadharani kama ilivyo hapa EU. Lugha aliyoitumia hapa haitupatii nafasi kwenye magazeti na TV na Radio za TZ kwani initiative inatakiwa itoke kule na hasa sana toka Ikulu. Ilitakiwa aseme " niavitaka vyombo vyote vya habari nchini hasa vya taifa viweke mjadala wa wazi juu ya suala hili la

Wataka Wajumbe wa Tume ya Warioba wawe 'bubu'

Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wamewajia juu waliokuwa Wajumbe wa Kamati ya Kukusanya Maoni ya Katiba wakidai kuwa kazi yao ilishaisha, hivyo kuendelea kujadili masuala kuhusu Rasimu ya Katiba si sahihi.

Baadhi ya wajumbe hao walitoa kauli hiyo kwa nyakati tofauti jana, wakati wakichangia Azimio la Kufanyia Marekebisho ya Kanuni za Bunge Maalumu iliyowasilishwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Kanuni na Haki za Bunge Maalumu, Pandu Ameir Kificho.

Mjumbe Dk Hamisi Kigwangwala, ambaye ni Mbunge wa Nzega, alisema ni vyema Mwenyekiti wa
Bunge, Samuel Sitta akashauri wajumbe wa Tume hiyo ambao ni wazee wenzake kwamba jukumu lao limeisha na kwa uungwana waachie Bunge Maalumu lifanye kazi yake:

“Wajumbe wale kazi yao ilishaisha, lakini kila siku wanakosoa, mara midahalo, makongamano. Wazuiwe kufanya hivyo, hata waambiwe tu kibinadamu maana hata sisi hatukuwaingilia wakati wanaendesha mchakato wao.

“Wanatuponda sana kana kwamba hakuna cha kujadili, kama ni hivyo zile siku 70 zilikuwa za nini?” 

Naye Dk Zainab Gama, alisema kazi ya Tume ya Katiba ilishaisha na kwamba kwa wanaopiga kelele

Mbeleko: Mama n'bebe...

Child care still remains a mother’s primary responsibility.Pictured: A mother attempts to wrap her baby in a baby sling as captured along Maktaba Street in the Central Business District (CBD) of Dar es Salaam on Friday. (photo: Mohamed Mambo/DAILY NEWS)

China Bank provides $136 million for Tanzania Wind Project

Tanzania has become the latest beneficiary of financial assistance from China, for a 300 MW wind energy project. China’s Export-Import Bank will provide $136 million in loan to set up a part of this project that will have a generation capacity of 50 MW.

The project, to be developed by Geo Wind Tanzania Limited, is expected to start power generation from December 2016. The company will sign agreements with a Chinese contractor for the supply of wind turbines and other equipment and construction of the project. ...Read more: cleantechnica.com

Linakuja upande huu!Hakimu ahukumiwa kulipa faini ya milioni 1.5/- kwa kosa la kudai rushwa ya milioni 2/-

Aliyekuwa Hakimu Mkazi Mahakama Wilaya ya Urambo, Oscar Bulugu, amekutwa na hatia ya kuomba na kupokea rushwa ya Sh milioni 2.

Mtu huyo amehukumiwa kwenda jela miaka mitatu, au kulipa faini ya Sh milioni 1.5.

Adhabu hiyo ilitolewa mwishoni mwa wiki na Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Mkoa wa Shinyanga, Massele Chaba.

Alitoa hukumu hiyo katika Mahakama ya Mkoa Tabora, baada ya kuridhika na ushahidi wa upande wa mashitaka. 

Katika hukumu hiyo iliyosomwa kwa saa mbili, Hakimu Chaba alisema analazimishwa na matakwa ya