Mkutano Mkuu wa CCM Uingereza, Agosti 2014

MKUTANO MKUU WA CHAMA CHA MAPINDUZI UINGEREZA

30th AUGUST 2014.

HAMA CHA MAPINDUZI TAWI LA UINGEREZA LINAPENDA KUWATANGAZIA WANACHAMA NA WAPENZI WOTE WA CCM KUTOKA PANDE ZOTE ZA UINGEREZA KWAMBA KUTAKUWA NA MKUTANO MKUU WA TAWI TAREHE 30.08.2014 UTAKAOFANYIKA KATIKA JIJI LA READING KATIKA ANUANI IFUATAYO;

Picha moja moja walizopigwa Rais Obama, Michelle na viongozi 50 wa Afrika

Algeria: Prime Minister Abdelmalek Sellal and Farida Sellal

Angola: Vice President Manuel Domingos VincenteBenin: President Boni Yayi

Kilimanjaro International Airport issues red alert on Ebola threat

Health experts in northern Tanzania are keeping a tight watch around the Kilimanjaro International Airport (KIA) following red alerts of an eminent spread of the Ebola virus that is taking toll on West Africa.

The Kilimanjaro Airport Development Company (KADCO) director of operations and technical services, Christopher Mkoma says that currently health officials have increased their monitoring undertakings and are maintaining tight restrictions around the airfield.

"Our health personnel are maintaining a tight surveillance at KIA, the second largest airport in the country, monitoring developments of a new outbreak of the deadly Ebola in western Africa," Mr Mkoma told media at the weekend.

Though not a single Ebola case has so far been reported in Tanzania, experts have strongly

Ndege yaanguka Iran na kuua 39 ikiacha majeruhi 9

Ndege ya abiria ya shirika la Sepahan Airlines imeanguka nchini Iran na kuua abiria wapatao 39 huku ikiacha majeruhi 9 kati ya watu wote 48 (abiria na wafanyakazi) waliokuwemo ndani.

Inasadikiwa kuwa huenda hitilafu ya injini moja katika ndege hiyo ikawa ndiyo chanzo cha ajali hiyo.

Kituo cha runinga cha IRNA kimekaririwa kikisema kuwa ndege hiyo ilianguka mapema asubuhi ya Jumapili ya leo katika makazi ya watu katika mji wa Azadi baada ya kupaa kutoka uwanja wa ndege wa Mehrabad Magharibi yapata kilometa tano hivi kutoka mji wa jiji la Tehran ilipokuwa ikielekea Tabas.

Ndege hiyo inayojulikana kama Iran 141 ilitengezwa nchini Iran kwa teknologia ya Ukraine.

Rais wa nchi hiyo, Hassan Rouhani ameagiza kusitishwa kwa safari zote za ndege ya Iran-140 na kufanya uchunguzi.

Hali halisi ya maisha katika upande mwingine wa IrakWapiganaji takriban 5,000 wa kabila la Kurd kwa kutumia magari ya ujenzi yenye vijiko, matrekta, malori pamoja na punda wamesindikiza katika sehemu salama kiasi mamia ya wakimbizi wa kabila la Yazidi nchini Irak waliokwama kwenye milima wakiwa wamezingirwa pande zote na kundi linalodai kuanzisha taifa la Kiislam, la ISIS (Islamic State of Irak and Syria). 

Baadhi ya watu wa kundi hilo la kabila ndogo la Yazidi, walilazimika kuondolewa eneo hilo kwa miguu, wakipitia kwenye jangwa.

Bado kuna maelfu ya watu waliokwama katika maeneo hatari kwenye mlima Sinjar.

Matokeo ya kinyang'anyiro cha mlimbwende wa Africa USA

Miss Ethiopia
Miss Ethiopia

Miss Ethiopia akifurahia taji la kuwa Miss Africa katika mashindano hayo yaliyofanyika Rockville, Maryland nchini Marekani na kuhudhuriwa na watu mbalimbali akiwemo Mhe. Balozi Liberata Mulamula, Balozi wa Tanzania nchini Marekani na Mexico. Mshiriki wa Tanzania, Joy Kalemera ameshika nafasi ya 4 kati ya washiriki 20 walioingia fainali hizo.
Washiriki watano waliopata nafasi ya kuingia tano bora kutoka kushoto ni Miss Tanzania aliyeshika na 4, Miss Uganda aliyeshika na 2, Miss Ethiopia aliyeshinda, Miss Guinea aliyeshika namba 3 na Miss Nigeria aliyeshika namba 5.

Ambaka mtoto wa mwaka mmoja u nusuMtoto wa kike mwenye umri wa mwaka mmoja na nusu mkazi wa Sokoni One jijini Arusha, amebakwa na kunajisiwa na mwanamme mwenye umri wa miaka 30.

Mama wa mtoto huyo, Mwitango Yambazi Mtalu (27),  alisema siku ya Jumapili majira ya asubuhi alimkabidhi mtoto wake kwa jirani yake aliyemtaja kwa jina la Mustafa Kabananga, ili apate nafasi ya kushiriki mkutano wa kikundi chake.

Ilidaiwa kuwa mtuhumiwa aliyetajwa kwa jina la Rajabu Mkoba, mkazi wa eneo hilo, alimchukua kutoka kwa mtu huyo aliyepewa kumtunza, kisha akambaka mtoto huyo kwa zaidi ya saa 9.

Tukio hilo lilitokea Agosti 3 mwaka huu.

Mama mzazi wa mtoto huyo hakutoa taarifa polisi baada ya kuahidiwa shilingi 100,000/=
“Nilikwenda nyumbani kwa mtuhumiwa, yeye anaishi na wazazi wake. Hata hivyo, sikumkuta mwanangu wala mtuhumiwa, nikarejea nyumbani. “Lakini kabla sijarudi, nilimwambia mama wa mtuhumiwa kuwa mwanaye kaondoka na mtoto wangu akaniambia nirudi nyumbani nikaendelee kumtafuta nikimkosa niende kwake ili akajue cha kufanya, aliamua kwenda polisi’ “Ilikuwa saa 9 usiku nikiwa narejea nyumbani kutoka polisi, nilimkuta mama mzazi wa mtuhumiwa akiwa na mtoto wangu akimrejesha kwangu lakini mtuhumiwa hakuwepo.“Niliamua kumchunguza vizuri mwanangu ndipo nilipogundua kuwa sehemu zake za siri zimevimba kupita kiasi huku damu zikimtoka.
“Nilikwenda kumweleza mama yake jinsi mwanaye alivyomtenda mtoto wangu na kumwachia mtoto ampeleke hospitali, alinisihi nisitoe taarifa za tukio hilo popote na akaniahidi kunipa shilingi laki moja,” 

alisema mama huyo.

Imeelezwa kuwa mama wa mtuhumiwa baada ya kukabidhiwa mtoto huyo hakumpeleka hospitali badala yake alikuwa akimtibu kwa kutumia miti shamba.Baadhi ya majirani walikerwa na kitendo cha mwanamke huyo ambapo walimvamia na kumtolea maneno makali ya kumtaka alifikishe suala hilo kwenye vyombo vya sheria.

Kufuatia kelele za majirani ndipo alipokubali kurudi Kituo cha Polisi cha Unga Ltd ambapo polisi walifika nyumbani kwa mama wa mtuhumiwa na kumchukua mtoto huyo kisha kumwandikia hati ya matibabu (PF3) na kumpeleka mtoto huyo katika Hospitali ya Mount Meru ambako anatibiwa.

Polisi hao walifungua jalada la mashtaka la kubaka na kunajisi lenye namba Ung/RB/2473/2014, bado mtuhumiwa hajakamatwa kwani alikimbia baada ya tukio hilo lakini mama yake ameshikiliwa kwa mahojiano.
-- Joseph Ngilisho, Arusha, 

Nursery school & Madrasat Rahman inahitaji mchango wako

Waheshimiwa mabibi na mabwana,

Shule ya chekechea na madrasa Rahman (Rahman Nursery school & Madrasat Rahman) ya Segerea jijini Dar-es-Salaam inawaomba wapenda maendeleo ya elimu kuchangia vifaa vya kusomea, michezo n.k. kwa ajili ya kuweka msingi wenye mahadili mazuri kwa watoto.

Wadau, wafadhili na wahisani wote michango yenu inakaribishwa.

Tafadhali piga simu namba +255(0) 757 608303 au 0712840960

Pia mnakaribishwa kuja Segerea kuona Madrasa na shule yenu ya Chekechea, Shule ipo karibu na Msikitini Segerea Mwisho jijini Dar.

Michango yenu ndio msingi wa elimu yenye mahadili mema kwa watoto.

Best and Worst leaders? Results for Presidential job approval ratings in 26 sub-Saharan countries - A Gallup study

Presidents from more than half of the 26 sub-Saharan African countries surveyed in 2013 received job approval ratings higher than 50%. But those ratings varied greatly across countries, from a high of 86% in Mali to a low of 24% in the Democratic Republic of the Congo.Among leaders who received some of the highest approval ratings in 2013, a few have been in office for more than two decades, such as Cameroon's Paul Biya and Uganda's Yoweri Museveni. But several other highly rated presidents, such as Ibrahim Boubacar Keita of Mali, had either just been elected to a

Msisimko wa Tamasha la Matumaini 2014

TAMASHA la Usiku wa Matumaini, Dar (Dar Night of Hope 2014) lililofanyika jana kwenye Uwanja wa Taifa, Dar lilikuwa ni full msisimko kutokana na matukio mbalimbali yaliyofanyika.

Staa kutoka nchini Nigeria, Yemi Alade akipiga shoo usiku huu katika Tamasha la Usiku wa Matumaini 2014 ndani ya Uwanja wa Taifa jijini Dar.

Marais Kikwete na Kenyatta jijini Dubai wakirejea makwao

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Rais Uhuru Kenyatta walipokutana katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Dubai waliposimama kwa muda wakiwa njiani kuelekea nyumbani wakitokea Washington DC, Marekani, walikohudhuria Mkutano wa Marekani na Wakuu wa nchi wa Afrika ulioandaliwa na Rais Barack Obama.

Mama Salma Kikwete akisalimiana na Rais Uhuru Kenyatta walipokutana katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Dubai waliposimama kwa muda wakiwa njiani kuelekea nyumbani wakitokea Washington DC, Marekani, walikohudhuria Mkutano wa Marekani na Wakuu wa nchi wa Afrika ulioandaliwa na Rais Barack Obama. Kulia  ni Balozi Mdogo wa Tanzania, Dubai, Mhe Omari Mjenga

 Balozi wa Tanzania  katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), Mhe.Mbarouk Nassor Mbarouk akiwa na balozi wa Kenya katika UAE Mhe Mohamed Gello katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Dubai ambapo mabalozi hawa walifika kuwapokea Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Rais Uhuru Kenyatta waliosimama kwa muda mjini hapo wakitokea Washington DC, Marekani, walikohudhuria mkutano wa Marekani na Wakuu wa nchi za Afrika ulioandaliwa na Rais BArack Obama wa Marekani.

Vodacom ilivyonogesha Tamasha la Matumaini 2014 juzi

Mmoja wa Mashabiki akiwa na furaha katika Tamasha la Usiku wa Matumaini lililodhaminiwa na Vodacom Tanzania katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam juzi.

Msanii wa Muziki wa kizazi kipya, Amad Alli (maarufu) Madee akiwapagawisha mashabiki wake wakati wa Tamasha la Usiku Matumaini lililodhaminiwa na Vodacom Tanzania na kufanyika katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam juzi.