Ufafanuzi wa madai ya kukwama kwa Tume ya "Operesheni Tokomeza"

TAARIFA KWA UMMA

UFAFANUZI KUHUSU MADAI YA TUME YA OPEREHSNI TOKOMEZA "KUKWAMA"


Gazeti la Mtanzania TOleo Na. 7547 la Jumatano taerhe 13 Agosti, 2014 ukurasa wa tano (5) liliandika habari iliyobeba kichwa cha habari "TUME YA OPERESHENI TOKOMEZA YAKWAMA". Kwenye ufafanuzi wa habari hiyo chanzo cha "kukwama" huko ni kutokana na kutokupatiwa fedha.

Tume inafafanua na kujulisha umma wa Tanzania kuwa habari hiyo haina ukweli wowote.

Taarifa sahihi ni kuwa TUme ilianza kazi mara tu baada ya kupishwa na Rais wa Jamhuri ya

Hatimaye China yamruhusu Papa Francis kutumia anga lake

.
In what's seen as a sign of thawing relations, China is allowing Pope Francis to use its airspace to fly to South Korea today. 

The Vatican hasn't had formal relations with China since 1949, when the communists took charge.

"The fact that he is being allowed to cross Chinese airspace at all - Pope John Paul II had to skirt it in his tours of Asia - is seen as a positive, if small, step forward," Reuters reports.

From Rome, NPR's Sylvia Poggioli reports:
"Travelling popes send routine greetings to heads of states of the countries they fly over. But the message Francis sends to Chinese leaders will be carefully analyzed.

"During his stay, the pope is not expected to visit the demilitarized zone that separates the

Kwa mara ya kwanza mwanamke atwaa tuzo ya juu ya mahesabu

Maryam Mirzakhani

Four mathematicians were today awarded the Fields Medal, including Iranian Maryam Mirzakhani, the first female mathematician to be given the honor that's often called math's equivalent of the Nobel Prize.

Mirzakhani, 37, is a professor at Stanford University, and was honored in Seoul, South Korea, for her "striking and highly original contributions to geometry and dynamical systems."

Mirzakhani was born in Tehran in 1977 and lived there until she began her doctoral work at Harvard. She earned a bachelor's degree from Tehran's Sharif University of Technology in 1999.

In the statement, she said that as a young girl she dreamed of becoming a writer. But by high school, math problems and proofs had caught her attention.

The Fields Medal, officially the International Medal for Outstanding Discoveries in Mathematics, was established in 1936, and is awarded every four years by the International Mathematical Union. 

via The NPR

Mgombea Urais wa Brazil afariki katika ajali ya ndege

Mgombea Urais wa Brazil kwa tiketi ya Brazilian Socialist Party, Eduardo Campos, 49, ambaye Kitaaluma ni Mchumi,  ameaga dunia leo katika ajali ya ndege iliyotokea huko pwani kusini mwashariki mwa jiji la São Paulo.

Chombo cha habari cha nchini humo, O Globo kimesema kuwa Campos alikuwa abiria katika ndege ya kukodi ya Cessna ambayo ilianguka katika mji wa Santos asububi ya Jumatano ya leo ikiwa jumla ya watu saba, akiwamo mke na mtoto wa marehemu. 

Taarifa zinasema hali mbaya ya hewa huenda ikawa ndiyo chanzo cha kuanguka kwa ndege hiyo iliyokuwa ikijiandaa kutua.

Taarifa ya uteuzi wa Rais Kikwete wa Majaji 20 wa Mahakama Kuu Tanzania

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, baada ya kushauriana na Tume ya Utumishi wa Mahakama, amewateua wafuatao kuwa Majaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania kuanzia tarehe 13 Agosti, 2014.

WATUMISHI WA MAHAKAMA

(i)                 Bw. Penterine Muliisa KENTE, ambaye kabla ya uteuzi alikuwa Msajili wa Mahakama ya Rufani, Dar es Salaam.

(ii)               Bw. Benedict Bartholomew MWINGWA,ambaye kabla ya uteuzi alikuwa Msajili wa Mahakama Kuu, Dar es Salaam.

(iii)             Bw. Edson James MKASIMONGWA, ambaye kabla ya

Moto unaunguza Msikiti wa Mtambani, Kinondoni, Dar

Picha ya jengo la Msikiti wa Mtambani ulioko katika maeneo ya Kinondoni jijini Dar es Salaam iliyopigwa wakati moto unaliunguza jengo hilo. Taarifa za chanzo cha moto huo, madhara na hasara yake havijafahamika
Imeelezwa na wananchi kuwa moto huo ulianzia kwenye madrasa ambayo ni sehemu ya juu ya jengo hilo kabla ya kushuka katika vyumba vya chini.

Vyumba vya Shule ya Sekondari ya Kiislam ya Mivumoni (Mivumoni Islamic Seminary) iliyopo ndani ya Msikiti huo vimeungua.

Eneo hilo ambalo lilikuwa likitumika kama mabweni ya Wanafunzi wa Shule hiyo, maabara na Ofisi za

Shibuda: "Wote nawazidi kiwango cha kufikiri na busara na ndiyo sababu nimerejea katika bunge"

Shibuda alipoulizwa kuhusiana na kauli kwamba yeye ni msaliti na atachukuliwa hatua, alisisitiza kuwa wana fikra chakavu wanaofikiria na kuamini kuwa mtu ukipishana naye mawazo ni msaliti.

Alisema ingekuwa hivyo madaktari baada ya kudundua dawa ya Asprin wasingegundua dawa nyingine kama Panadol, Paracetamol, Dakika Tatu na nyinginezo kwani hizo zote zilitokana na kuchanganya mawazo tofauti.
"Wana uchakavu wa mawazo... ndiyo maana nasema wote nawazidi kiwango cha kufikiri na busara na ndiyo sababu nimerejea katika bunge, hawana uchungu na wananchi, wanaishi maisha ya anasa," 
Shibuda alitoa kauli hiyo leo mchana mjini Dodoma, wakati akiingia kwenye viwanja vya

Taarifa ya UKAWA kuhusu Katiba Mpya na yanayoendelea BMK

Viongozi wa UKAWA

MCHAKATO WA KATIBA MPYA NA YANAYOENDELEA BUNGE MAALUM LA KATIBA


Ndugu wanahabari,

Sote tunaelewa kuwa kwa matakwa ya CCM, Bunge Maalum la Katiba (BMK) limeendelea kufanya vikao vyake mjini Dodoma kuanzia Agosti 5 mwaka huu, kinyume kabisa na matarajio ya Watanzania, ambao kupitia fursa mbalimbali wamepaza sauti zao wakisisitiza maridhiano na mwafaka wa kitaifa kutangulizwa mbele badala ya maslahi ya watawala.

Tukiwa viongozi wa kisiasa ambao ni sehemu ya uongozi ndani ya jamii, wenye wajibu wa kuwa na maono chanya na muhimu kwa taifa letu, tumeendelea kufuatilia kwa karibu namna mchakato wa Katiba Mpya unavyoendelea kunajisiwa kupitia vikao hivyo vya BMK linaloendelea mjini Dodoma, likitumia rasilimali za taifa, zikiwemo kodi za Watanzania wanyonge, kujadili vitu visivyotokana na wananchi.

Mtu yeyote makini ataweza kubaini kuwa kwa namna mchakato wa Katiba Mpya unavyopelekwa au

Rais Kikwete kuwa Mgeni Rasmi katika Mkutano wa Diaspora

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA 

Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika mkutano wa Watanzania wanaoishi ughaibuni (Diaspora) ambao umepangwa kufanyika katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam tarehe 14 na 15 Agosti 2014.

Mkutano huo ambao umeandaliwa kwa ushirikiano kati ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Taasisi ya Diaspora Tanzania (Tanzania Diaspora Initiative-TDI), unalenga kuwahamasisha Watanazania wanaoishi ughaibuni wenye utaalamu na mitaji kurudi nchini au kuwekeza katika shughuli mbalimbali kwa madhumuni ya kukuza uchumi wa nchi.

Aidha, Mkutano huo ambao ni wa kwanza kufanyika nchini, wenye kaulimbiu “Unganisha, Shiriki, Toa taarifa na Wekeza” (Connect, Engage, Inform and Invest) utatoa nafasi kwa washiriki kutambua vyema fursa za uwekezaji na ajira zinazopatikana Tanzania. 

Imetolewa na: Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Dar es salaam

13 Agosti, 2014

Taarifa ya mabadiliko ya anwani ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi inapenda kuwatangazia wananchi na wadau wote kuwa anwani ya Wizara imebadilika na sasa inaandikwa kama ifuatavyo:

Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,
9 Barabara ya Ohio,
S.L.P 9223,
11483 DAR ES SALAAM.

Imetolewa na:
Isaac J. Nantanga
MSEMAJI
WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI

Malumbano mengine Bunge la Katiba: Lisitishwe! Lisisitishwe!


Mwanasiasa mkongwe na mjumbe wa halmashauri kuu ya chama tawala CCM Dkt Raphael Chegeni, ameungana na wanasiasa na wanaharakati mbalimbali kutaka Bunge Maalumu la Katiba lisitishwe.

Dkt Chegeni ambaye amewahi kuwa mbunge wa Busega kwa tiketi ya CCM, amesema mchakato wa katiba ni wa maridhiano na kuonya kuwa mvutano unaoendelea sasa baina ya wajumbe wa bunge maalumu la katiba hautowasaidia watanzania kupata katiba mpya.

Kwa mujibu wa Chegeni, bunge maalumu la katiba linaloendelea mjini Dodoma halitaweza kupata

Ikiwa umeiona laptop ya Dotto Mwaibale, tafadhali...

Ndugu mpendwa, 

Nimesahau laptop yangu aina ya HP wakati wa hafla ya uzinduzi wa sabuni ya Omo Fast Action katika Hoteli ya Serena Dar es Salaam jana. 

Kwa yeyote ambaye atakuwa nayo naomba uwasiliane nami kwa namba hizi za simu- 0712-727062-0754-362990 au unaweza kuniletea Ofisi za Gazeti la Jambo Leo zilizopo Ghorofa ya 9, Hifadhi House, Barabara ya Samora na Azikiwe uliza Dotto Mwaibale. 

Asante kwa ushirikiano Mungu akubariki sana.

Android app: Restrict people from scrolling some of your photosFocus is a gallery add-on that you can use to select photos and specify images you want people to see on you phone.

How?
Select one or more photos from your image viewer (Gallery, QuickPic, G+ Photos, etc) and share them to focus. Your friend can now swipe left or right and can see only the pictures that you selected. Done. :)

If your friend taps on the Back button, they are presented with a password box and a text stating that they should return the phone. If they tap on the Home button a sound will alert you that you should take back your device.