[audio] Alichokisema leo Mwanasheria Mkuu wa Serikali kuhusu BMK

Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Jaji Weremacredit: Blogu ya Habari Maelezo

Mazabe Powder watamba kuingia nusu fainali ya Dance 100% chini ya Vodacom Tanzania

Kikundi cha Mazabe Powder cha kwandevu Tegeta jijini Dar es Salaam,kinachoshiriki shindano la Dance 100% wakielekee mazoezini  kujindaa na  robofainali itakayofanyika Agosti  23 mwezi huu. Shindano hilo limeandaliwa na EATV na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania.

Abiria waliokuwa wakielekea Mwanza wakwama Kibamba kwa saa 6+
Picha hizi zimetumwa na Dj Sek kuonesha jinsi abiria waliokuwa wanaelekea Mwanza na badi la kampuni ya Princess Shabaha enye namba za usajili T102 AVX alivyokumbwa na kadhia na kuteseka baada ya safari yao kukwama katika eneo la Kibamba, nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam zaidi ya saa 6 pasina kujua hatima ya safari yao.

Maria Shila atwaa taji la Redd's Miss Kinondoni 2014

Redd's Miss Kinondoni 2014, Maria Shila akipunga mkono baada ya kutawazwa kuwa malkia wa Kanda ya Kinondoni katika shindano lililoshirikisha wanyange 16 waliokuwa wakiwania tiketi ya kushiriki shindano la Miss Tanzania 2014. Shindano hilo lilifanyika Dar es Salaam usiku wa kuamia leo.

Shila ameungana na warembo wengine Camila Cindy John aliyeshika nafasi ya pili na Queenlatifa Hashim aliyeshika nafasi ya tatu ambao kwa pamoja wamepata tiketi ya kuiwakilisha Kanda ya Kinondoni katika mashindano ya taifa ya Miss Tanzania 2014 yanayotaraji kufanyika mapema mwezi Oktoba.
Redd's Miss Kinondoni 2014, Maria Shila (klatikati) akipunga mkono baada ya kutangazwa kuwa ndie mshindi wa taji hilo na kuwaongoza warembo wengine 15 waliokuwa wakiwania taji hilo. Wengine mshindi wa pili Camila Cindy John (kulia) na mshindi wa tatu Queenlatifa Hasim. Shindano hilo lilifanyika Dar es Salaam usiku wa kuamia leo.

Tizama picha zaidi kwenye blogu ya Father Kidevu (shukurani Mroki kwa kuishirikisha wavuti.com)

Tanzania promoted to Div. One after winning ICC tournament

Tanzania has won the 2014 Pepsi International Cricket Council (ICC) Africa Under-19 World Cup Division Two tournament after winning all the five games played.

The victory gives the East Africans direct promotion to division one.
Hosts Zambia finished in joint second position with Ghana and Rwanda on nine points.

via daily-mail.co.zm

Real Madrid stars for Tanzania 3-day trip

A galaxy of former Real Madrid stars are set to descend in Tanzania for a tour and interact with fans.

Tour organizer Denis Sebo explained that the group is expected to be in Dar es Salaam for a three day trip.

"We are happy to have the Real Madrid greats come to Tanzania and play a selected side. That is promoting Tanzania in a good way and good for the country and fans."

Some of the legends expected are Luis Figo, Guti, Fabio Cannavaro, Fernando Morientes among others while the likes of Zinedine Zidane, Michael Owen and Ruud Van Nistelrooy on the stand by in the list of the 25 man travelling party.

There will be an autograph session next weekend where fans will get an opportunity to mingle with their icons in Arusha.

via supersport.com

Moderately above-average maize harvest led to low and stable prices - Tanzania Remote Monitoring update for August 2014

KEY MESSAGES
  • Stable staple prices are expected to continue as harvesting is completed and marketing continues.Estimated production is very similar to 2013, moderately above average, ensuring continued supply to markets.
  • Kenya’s government has arranged a large maize purchase from Tanzania. This maize should help keep prices stable in Kenya while providing funds for restocking in Tanzania.
  • Food insecurity will remain Minimal (IPC Phase 1) in most areas. However, some households in Dodoma and Singida are Stressed (IPC Phase 2) having exhausted stocks from the May harvest already and having more limited income than previous years.

Click here to download the report.

CHADEMA Geita watoana manundu

Uchaguzi wa CHADEMA unaendelea katika Kanda mbalimbali nchini, huko Geita imeripotiwa taarifa ya kujeruhiana:
...baada ya muda kundi hilo lilibeba mawe na kuanza kuwashambulia wenzao na moja likatua mdomoni na mgongoni kwa mwenyekiti wa mtaa wa Tambukaleli, Mabula Ndoshi aliyejeruhiwa vibaya.

Kufuatia hali hiyo baadhi ya wanachama walitimua mbiyo huku dereva wa gari lililokuwa limebeba wasimamizi hao akitumia uzoefu wake kwa kuwabeba viongozi hao kisha kuliondosha kwa kasi gari hilo ambalo liliokolewa na Redbrigade wa chama hicho waliofika eneo hilo mara moja kisha kuwadhibiti kundi lililoleta vurugu ambalo nalo lilitimua mbio kukwepa mkong’oto kutoka kwa vijana hao wa ulinzi wa CHADEMA...
Bofya hapa kusoma simulizi zima (Malunde1 blog).