Business Seminar


So, how did Ebola virus spread away from its normal home range?

Flying bat (image: cmns.umd.edu)

NPR spoke to disease ecologist Peter Daszak, who says scientists don't know for sure. But they have a top theory: The virus spread through bats.

Many signs point to bats as the main source of Ebola. Scientists have found Ebola antibodies in bat species that are widespread throughout Africa. The virus infects and replicates inside bats, but it doesn't kill the animals. So bats can easily spread Ebola.

And bats get around. Some can migrate hundreds, even thousands of miles.

"Bats don't need a passport to cross borders," says Daszak, who is the president of the conservation

Mwenyekiti, Rais Kikwete aongoza Kikao cha KK ya HK ya CCM-Taifa

Mwenyekiti wa CCM Taifa ,Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiaga baada ya kuongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kwenye ukumbi wa NEC, Makao Makuu ya CCM Dodoma Agosti 9, 2014

"Alipata urais sababu tu watu wa Bara walimtaka" - Stori ya Mansour Y. Himid

MANSOUR Yusuf Himid (47) ndiyo habari kuu ya Zanzibar hivi sasa. Hata hivyo, miaka miwili iliyopita, hali ilikuwa tofauti baada ya kutolewa kwa ripoti ya Kamati Teule ya Baraza la Wawakilishi kuhusu masuala ya ardhi.

Kamati hiyo ilibaini ufisadi mkubwa katika sekta ya ardhi Visiwani humo, huku jina la Himid pamoja na familia ya rais mstaafu wa Zanzibar, Amani Karume, vikiwa vimetanda.

Pamoja na mambo mengine, kamati hiyo teule ilibaini kwamba wakati Himid akiwa Waziri wa Ardhi, familia ya Karume ilipata ardhi katika maeneo nyeti pasipo kufuata sheria.

“Kumekuwapo uvamizi wa fukwe na uharibifu wa mazingira kwenye hoteli inayopakana na Chuo cha

Rais Kikwete awafariji wafiwa wa marehemu Jaji Lewis Makame

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mkewe Mama Salma Kikwete wakiwafariji wafiwa walipokwenda kutoa pole nyumbani kwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Kwanza wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mstaafu, Mheshimiwa Lewis Makame Masaki jijini Dar es salaam aliyefariki  katika Hospitali ya AMI Trauma Centre Jijini Dar es Salaam tarehe 18 Agosti, 2014.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mkewe Mama Salma Kikwete wakiwafariji wafiwa walipokwenda kutoa pole nyumbani kwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Kwanza wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mstaafu, Mheshimiwa Lewis Makame huko Masaki jijini Dar es salaam aliyefariki katika Hospitali ya AMI Trauma Centre Jijini Dar es Salaam tarehe 19 Agosti, 2014. (picha: Ikulu).

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia Salamu za Rambirambi Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, National Electoral Commission (NEC) kufuatia taarifa za kifo cha aliyekuwa Mwenyekiti wa Kwanza wa Tume hiyo, Jaji Mstaafu, Mheshimiwa Lewis Makame kilichotokea katika Hospitali ya AMI Trauma Centre Jijini Dar es Salaam tarehe 18 Agosti, 2014.

“Nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za kifo cha Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufaa Tanzania na Mwenyekiti wa Kwanza wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) chini ya Mfumo wa

Pope Francis's 3 family members die in a traffic accident in Argentina

Three of Pope Francis' family members have died in a traffic accident in Argentina. 

(Vatican Radio) Pope Francis has learnt of the tragic death of three of his relatives in a traffic accident in Argentina and is "profoundly saddened." The Director of the Holy See’s Press Office, Father Federico Lombardi said the Pope had received news of the tragic accident and asks that "all those who share in his grief join with him in prayer." The victims were the wife of the Pope’s nephew and her two young children aged 2 years and eight months. His nephew, Emanuel Horacio Bergoglio, was seriously injured in the accident. (From archive of Vatican Radio)

NBC News, citing police in Cordoba, reports that the accident involved a cargo truck and a Chevy Spin and "The Chevy driver — Francis' 35-year-old nephew, Emanuel Bergoglio — was in intensive care in an induced coma after suffering a variety of injuries including liver trauma and a fractured femur, according to police. Bergoglio's wife, 36-year-old Carmona Valeria, and their eight-month-old son Jose died at the scene. Bergoglio's two-year-old, Antonio, later died at the hospital, police added."

Ajali nyingine ya mabasi yachukua uhai wa zaidi ya watu kumi


Watu wapatao 16 hivi wameripotiwa kupoteza maisha huku zaidi ya 70 wakiachwa na majeraha mbalimbali baada ya basi la Sabena lenye namba za usajili T 110 ARV likitokea Mbeya kwenda Mwanza na basi la AM Dreamline lenye namba za usajili T 803 ATN lililokuwa linatoka Mwanza kuelekea Mpanda kugongana uso kwa uso katika maeneo ya Mlogolo takribani kilometa 4 to wilaya ya Sikonge.

Majeruhi waliwahishwa katika hospitali ya Mission ya wilayani Sikonge kwa matibabu zaidi.

Taarifa zinadai kuwa dereva wa basi la Sabena aliyefahamika kwa jina la James Kombe amepoteza maisha baada ya kukatika mwili na kufa papo hapo na kuwa jitihada za kutafuta kiwiliwili chake zilikuwa zikifanyika baada ya kupondeka vibaya.

Mashuhuda wa ajali hiyo wamedai kuwa chanzo cha ajali hiyo ni madereva hao kuwa wasaidizi (day-worker).

.

PhD Scholarship at SUA for qualified Tanzanian candidates

SOKOINE UNIVERSITY OF AGRICULTURE

DIRECTORATE OF RESEARCH AND POSTGRADUATE STUDIES

PhD SCHOLARSHIP OPPORTUNITY UNDER ‘FEED THE FUTURE POULTRY GENOMICS PROJECT’


Applications are invited from suitably qualified Tanzanian candidates to pursue PhD degree at the Sokoine University of Agriculture under the following theme.

Poultry Genomics and Innate Resistance of chickens to Disease with special focus on Newcastle Disease.

Qualifications
A good Bachelor of Veterinary Medicine degree and MSc in Molecular Biology, Genetics,

Why are people not believing that Ebola is really happening?

By May this year, if you asked most Liberians on the streets of Monrovia about their views on the outbreak of Ebola, the most common response was, “There is no Ebola in Liberia.” Now, with the death toll climbing every day, experts say their efforts to combat the epidemic have been frustrated by fear, superstition, and denial.

One theory that has some currency is that the government is trying to get foreign aid for the Ebola outbreak and steal it for themselves.

In West Point, where that raid on the Ebola holding center happened on Saturday evening, people in that slum are convinced the government is trying to get rid of them, to make them leave their homes, and there is a lot of suspicion that this talk of Ebola is just a government ploy to force people to leave.

Source: NPR and Vice

Mpaka Ebola ije ndiyo eti watu wanajua umuhimu wa kunawa mikono!

Aliyesema, "chezeya kifo wewe" alijua alisemalo.

Kila uchao lazima kuna mahali mtu atakumbushia watu kuhusu kunawa mikono.

Siku nenda, rudi zimekuwepo kampeni za kuhamasisha unawaji mikono hata katika maeneo ambayo upatikanaji wa maji ni shida, kwa kuwa hata hayo kidogo, bila msingi wa afya njema wa kunawa mikono, hayatakuwa na faida yoyote ikiwa matumizi yake hayatafanywa kwa mikono iliyo safi.

Baada ya kufumuka kwa ugonjwa wa Ebola, sasa ndipo watu wanapotilia maanani na kuona umuhimu wa kunawa mikono bila shuruti, aibu wala kukumbushwa.

Nchini Liberia ambako ni mojawapo ya nchi zilizokumbwa na ugonjwa wa Ebola, watu wamepatwa na kiwewe cha kunawa mikono kama mtu mwenye dirty vs clean hands OCD (Obsessive Compulsive Disorder). 

Maji yanapatikana wapi? Mbele ya hofu ya kifo, yatapatikana tu! Hata kutoka mawinguni...

Ryan Kellman wa NPR anaripoti alichokishuhudia akiwa safarini huko Magharibi mwa Afrika:
...A police officer is shouting at a woman, "You have to wash your hands." She says, "I agree but how can I wash my hands without water?" This is the rainy season, people are looking up at the sky. Another downpour is coming. A guy on motorcycle says, "Would it be okay if we wash our hands in the rain?"
Do you get any stares for wearing surgical gloves?
No one bats an eye. As we were landing in Liberia Sunday morning on a flight from Casablanca, the flight attendants put on surgical gloves and a few other passengers did.

Rais Dk Shein ateua viongozi kujaza nafasi za watendaji

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, amefanya uteuzi wa viongozi katika taasisi mbalimbali za serikali ili kujaza nafasi zilizo wazi.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi, Dk. Abdulhamid Yahya Mzee, walioteuliwa ni pamoja na CRD Juma Haji Juma kuwa Mkuu wa utawala kikosi maalum cha kuzuia magendo (KMKM). Uteuzi huo ulifanywa chini ya kifungu cha 53 cha katiba ya Zanzibarya mwaka 1984.

Aidha Dk. Shein amemteua Meja Yussuf Khamis Yussuf kuwa Mkuu wa Utawala KVZ.

Wengine walioteuliwa ni Kanali Ali Mtumweni Hamad kuwa Mkuu wa utawala JKU, SACP Ali

Taarifa ya Serikali kuhusu maombi ya mikopo ya masomo 2014/2015

Mkurugenzi Msaidizi Habari, Elimu na Mawasiliano toka Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu Bw. Cosmas Mwaisobwa akiongea na waandishi wa habari(hawapo pichani) kuhusu maandalizi ya utoaji mikopo kwa mwaka wa masomo 2014/2015, wakati wa mkutano uliofanyika leo jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Habari (MAELEZO) Bi. Zamaradi Kawawa. (picha: Hassan Silayo)


BODI YA MIKOPO YA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU

MCHAKATO WA MAOMBI YA MIKOPO KWA MWAKA WA MASOMO 2014/2015


1.0 MAANDALIZI YA UTOAJI MKOPO KWA MWAKA WA MASOMO 2014/2015

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu ilitangaza mwongozo na vigezo vya utoaji mikopo kwa mwaka wa masomo 2014/2015 kupitia magazeti na tovuti yake mnamo wezi Aprili 2014. Mwongozo huo, pamoja na mambo mengine, uliainisha sifa za waombaji mikopo na ruzuku, vipengele vya Mikopo, programu za vipaumbele kwa waombaji wa shahada ya kwanza, shahada za uzamili na uzamivu waliodahiliwa katika taasisi za elimu ya juu zinazotambulika. Maombi ya mikopo kwa

Yatokanayo na Kikao cha Mpango wa Uendelezaji Mji Mpya wa Kigamboni

BUNGE LA TANZANIA

OFISI YA MBUNGE WA JIMBO LA KIGAMBONI

TAARIFA KWA UMMA

MREJESHO WA KIKAO CHA MASHAURIANO KUHUSU MPANGO KABAMBE WA UENDELEZAJI WA MJI MPYA WA KIGAMBONI KILICHOFANYIKA KATIKA UKUMBI WA CHUO CHA MWALIMU NYERERE, KIGAMBONI, TAREHE 10.08.2014


1. Siku ya Jumapili, tarehe 10 Agosti, 2014 saa 4.00 asubuhi kilifanyika kikao cha mashauriano kuhusu Mpango Kabambe wa Uendelezaji wa Mji Mpya wa Kigamboni uliotishwa na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Profesa Anna Kajumulo Tibaijuka (Mb) na kuhudhuriwa na mimi, Dkt Faustine Ndugulile (Mbunge, Jimbo la Kigamboni), Waheshimiwa Madiwani wa kata za Kigamboni, Tungi, Mji Mwema, Kibada, Madiwani Viti Maalum pamoja na baadhi ya Watendaji wa Kata zilizo kwenye mradi wa Mji Mpya wa Kigamboni.

2. Madhumuni ya kikao hicho ilikuwa ni:

i) Kutoa elimu na ushawishi kwa waliohudhuria kikao hicho kukubaliana na utaratibu wa

Serikali yatoa mikopo kwa watakaojiunga na Ualimu

Serikali imetoa fursa ya mikopo kwa wanafunzi watakaojiunga na masomo ya stashahada maalum ya ualimu wa masomo ya Sayansi na Hisabati.

Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Msaidizi wa Habari Elimu na Mawasiliano toka Bodi ya Mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya Juu Bw. Cosmas Mwaisobwa wakati wa Mkutano na waandishi wa Habari Leo Jijini Dar es salaam.

“Wanafunzi wapatao 5,000 wanatarajiwa kujiunga na stashahada maalum katika Chuo Kikuu cha

Tanzania companies told to innovate online

Dar es Salaam — Lack of the basics of using a computer and inexperience in international marketing have been cited as factors that hinder Tanzania's tourism potential.

The General Manager of the Dar es Salaam based tour operator, White Lion, Mshely Ivan told East African Business Week last week, online tourism marketing is a challenge to a number of tour operators in the country.

Ivan said tourism agencies in Europe, America and Asia are moving quickly ahead of it's African counterparts. They are now marketing through social media such as Twitter, YouTube and

Ndovu Spotlight Studio is Back


Mazungumzo na waliokuwa wakigombea uongozi DMV, Liberatus Mwang'ombe na Solomon Chris kuhusu uchaguzi

Mubelwa Bandio kati akiwa na aliyekuwa mgombea wa nafasi za Mwenyekiti wa Jumuiya DMV Liberatus Mwang'ombe (L) na mgombea nafasi ya Katibu Msaidizi Solomon Chris (R0 wakati wa mahojiano
Mubelwa Bandio kati akiwa na aliyekuwa mgombea wa nafasi za Mwenyekiti wa Jumuiya DMV Liberatus Mwang'ombe (L) na mgombea nafasi ya Katibu Msaidizi Solomon Chris wakati wa mahojiano

Agosti 9, 2014, Jumuiya waTanzania waishio Washington DC, Maryland na Virginia nchini Marekani ilifanya uchaguzi wake mkuu.

Matokeo yake yamekuwa yakipingwa na waliokuwa wagombea wa uchaguzi huo kutokana na sababu

Tanzania offers to lease islands

MWANZA, Tanzania – The government is finalizing the evaluation of two bidders selected to invest on the Indian Ocean islands close to Dar es Salaam city.The selected companies are Landmark Hotels and Prime Time Promotions.

The move by the Dar es Salaam Marine Reserves (DMR) to lease the islands is to boost tourism. The islands have for many years remained deserted.

DMR manages a group of marine wildlife reserves in Tanzania, situated off the coast of Tanzania. The

Waziri Nagu afungua Warsha ya Wafanyabiashara na watoa huduma katika Sekta ya Fedha

Waziri wa Uwezeshaji katika ofisi ya Waziri Mkuu Mary Nagu akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wa Warsha ya kushirikishana uzoefu kuhusu njia za kuboresha huduma za Kifedha kwa wafanya biashara ndogo na za kati ulioandaliwa na Tanzania Private Sector Foundation na kudhaminiwa Vodacom Tanzania.

Mazungumzo na aliyekuwa mgombea uongozi DMV, Salma Moshi kuhusu uchaguzi

Salma Moshi akizungumza na Mubelwa Bandio kwenye mahojiano haya

Agosti 9, 2014, Jumuiya waTanzania waishio Washington DC, Maryland na Virginia nchini Marekani ilifanya uchaguzi wake mkuu.

Matokeo yake yamekuwa yakipingwa na waliokuwa wagombea wa uchaguzi huo kutokana na sababu