Sehemu ya tatu: Afisa Usalama wa Taifa "Shushushu" ni nani, anafanya nini?


Makala ya Evarist Chahali

Nianze makala hii kwa kuomba samahani kutokana na kuchelewesha mfululizo huu wa makala kuhusu taaluma ya ushushushu. Baadhi ya wasomaji wamehoji ukimya huo, huku wengine wakidhani kwamba 'wahusika' wamenizuwia. Ninapenda kurejea nilichokiandika katika sehemu ya kwanza ya makala hii kwamba mfululizo huu unazingatia sheria na maadili na 'wahusika' hawana sababu ya kuuzuwia.

Kwa kukumbushana tu, sehemu ya kwanza iliitambulisha taaluma ya ushushushu kwa ujumla, wakati sehemu ya pili ilielezea jinsi mashushushu wanavyopatikana (recruitment). Katika sehemu hii ya tatu tutaangalia mafunzo ya mashushushu wanafunzi.

Ninakumbuka siku moja niliwahi kuulizwa swali na rafiki yangu flani huko Twitter iwapo walinzi wa viongozi (bodyguards) nao ni mashushushu kwa maana ya kupitia mafunzi kama 'mashushushu wa kawaida.' Jibu langu kwake litatoa mwelekeo wa makala hii, kwamba, kwanza japo taaluma ya

Style guide to women's shoes

The Amazing Style Guide to Women
Infographic by wholesaleclearance.co.uk

Tabia ya viongozi Afrika kukusanywa ka' mafungu kupelekwa China mara Marekani...

.

MKUTANO wa Kimataifa wa Ushirikiano kati ya Marekani na Bara la Afrika umemalizika mwishoni mwa wiki iliyopita na kuna machache ambayo mwananchi wa kawaida anaweza kuwa amefaidika nayo kutoka huko.

Mkutano huo tayari umeanza kuzua maneno hususani kwa wenzetu wa nchi za Magharibi mwa Afrika. Kikubwa ni aina fulani ya dharau iliyoonyeshwa na serikali ya Marekani dhidi ya viongozi wa Afrika.

Wakati katika mikutano baina ya Afrika na China, Japan au Umoja wa Ulaya (EU) viongozi wa bara hili hupata fursa ya kuonana na kiongozi wa nchi iliyoitisha mkutano kwa minajili ya kufanya majadiliano baina ya nchi mbili (bilateral meetings), Marekani haikutoa nafasi hiyo.

Tumeambiwa tu kwamba hata chakula cha jioni walichoandaliwa viongozi wetu hakikuwa katika

Serikali kutumia Euro milioni 16 kujenga Kiwanda cha kuzalisha viuadudu vya mbu

Na Frank Mvungi

Serikali kutumia Euro milioni 16 katika ujenzi wa Kiwanda cha kuzalisha viuadudu vinavyoua viluwiluwi vya mbu wanaoambukiza malaria ulioko chini ya shirika la Taifa la Maendeleo (NDC) unaotarajiwa kukamilika mwishoni mwa mwaka huu.

Hayo yamesemwa na Meneja Uhusiano wa Shirika hilo Bw. Abel Ngapemba wakati wa mkutano nawaandishi wa habari leo jijini Dar es salaam.

“Hivi sasa majengo yote yamekwisha kamilika katika eneo la Maili moja Kibaha Mkoani Pwani na

Hupati! Utasubiri sana... Itapatikana! Kantangaze...

.

Taarifa ya Wizara: Mapendekezo ya maboresho ya michepuo ya Sekondari

MAPENDEKEZO YA MABORESHO YA MICHEPUO NA TAHASUSI ZA KIDATO CHA KWANZA MPAKA CHA NNE NA KIDATO CHA TANO NA SITA


Elimu ya sekondari katika ngazi ya Kidato cha Kwanza hadi cha Nne imekuwa ikiongozwa na michepuo ya ama ya Sanaa, Sayansi, Ufundi na Biashara. Halika dhalika, masomo ya sekondari Kidato cha Tano na Sita yamekuwa ya kifundishwa kwa kutumia Tahasusi mbalimbali kulinga na mahitaji ya nchi ambazo kwa sasa ni PCM, PCB, PGM, CBG, EGM, CBA, CBG, CBN kwa Sayansi, na HGL, HGK, HKL, KLF, ECA, HGE kwa Sanaa.

Mafanikio mbalimbali yamepatikana kwa kutumia mfumo huu tangu ulipoanza hadi sasa. Hata hivyo, kutokana na (a) nia ya nchi kupiga hatua zaidi katika maeneo mbalimbali ya maendeleo ya nchi kwa mujibu wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2025, (b) mabadiliko ya mahitaji ya ulimwengu wa ajira na

What to do when your car's engine cuts off

(photo: computeraudiophile.com)

Here are his tips for what to do if your car's engine suddenly quits, making it harder to steer and leaving you at the mercy of other traffic.

---

STEP BY STEP

If your engine quits:

-Look for the safest way off the road. That usually means heading for the right shoulder, but on a divided freeway you may be closer to the left.

-Use your turn indicator to signal where you're going. Emergency flashers, if you can turn them on easily.

-Don't panic if it feels like the steering isn't working. Pull harder. And be ready to push extra hard on the brakes if necessary.

-But if cars are buzzing past on a freeway, you don't want to stomp on the brakes. Let the car's momentum help you navigate through high-speed traffic toward the shoulder.

-Try to stop your car as far off the road as possible. In most cases, it's safer to move well away from the

Bado viongozi wanatumia madaraka yao kujinufaisha - Rais Mstaafu Mwinyi

Mstaafu wa Awamu ya Pili, Alhaj Ali Hassan Mwinyi akifungua semina ya majadiliano kati ya Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma na wanahabari waliojadili rasimu ya Sheria Mpya ya Kudhibiti Mgongano wa Maslahi kwa Viongozi wa umma.
Mstaafu wa Awamu ya Pili, Alhaj Ali Hassan Mwinyi akifungua semina ya majadiliano kati ya Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma na wanahabari waliojadili rasimu ya Sheria Mpya ya Kudhibiti Mgongano wa Maslahi kwa Viongozi wa umma.
Na Joachim Mushi, Dar

RAIS Mstaafu wa Awamu ya Pili, Alhaj Ali Hassan Mwinyi amesema bado viongozi wa umma wanatumia madaraka yao na Ofisi zao kwa kujinufaisha wenyewe na kuwasahau wananchi waliowaweka madarakani hivyo kuna kila sababu ya kuleta sheria ya kuziba mianya hiyo kwa viongozi wanaokwenda kinyume na maadili.

Alhaj Mwinyi ameyasema hayo leo jijini Dar es Salaam alipokuwa akifungua semina ya majadiliano kati ya Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma na wanahabari waliojadili rasimu ya

TPB yajenga vyoo na mfumo wa maji katika Shule ya Msingi Kipampa


Naibu Mstahiki Meya wa Kigoma, Mh. Ruhomvya Rashid Ruhomvya akifungua bomba la maji kwenye mojawapo wa vyoo vilivyokarabatiwa na Benki ya Posta kwenye Shule ya Msingi Kipampa, Kigoma. Wanaotazama ni Afisa Mtendaji Mkuu wa TPB Sabasaba Moshingi Mkuu wa shule ya Kipampa.