Shuhudia Real Madrid Legends wakisakata kabumbu Tanzania


Mombasa police extends hunt for terrorists suspects in Tanzania

MOMBASA (Xinhua) -- Kenya’s security agencies said on Thursday they have made contacts with Tanzanian authorities to pursue most wanted terror suspects who have fled into the country after a series of executed and planned terror plots.

Criminal Investigations Department (CID) Director Ndegwa Muhoro said their details have been shared among foreign agencies including the Interpol to assist in tracking them down.
"Our security teams have set up robust security measures that have forced most of the

Two suspects arrested in Tanga for trafficking 13 children

DAR ES SALAAM (Xinhua) -- Tanzanian police in the northern coastal town of Tanga said on Monday that they have arrested two suspects in connection with human trafficking involving 13 children aged between seven and 22 years.

Tanga regional police commander Fraser Kashai said the two suspects were arrested while transporting 13 children to the Kenyan port city of Mombasa.

"We arrested the two suspects last week at Horohoro on the Tanzania and Kenya border where they

Rais Kikwete aweka jiwe la msingi wa Daraja la kudumu Kilombero

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo toka Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara (TANROADS) Bw. Patrick Mfugale juu ya ujenzi wa daraja la kudumu juu ya mto Kilombero Agosti 20, 2014. Kushoto ni Waziri wa Ujenzi Dkt John Pombe, Magufuri akifuatiwa na Mama Salma Kikwete.

(picha hii na zote zinazofuata hapo chini ni kutoka Ikulu)

Ruvuma yazinduwa Kampeni ya Bwela Kuni na wimbo maalum

Baadhi ya vijana na wasanii pamoja na viongozi wa Kampeni ya Bwela Kuni wakiwa katika picha ya pamoja.

BAADHI ya Vijana kutokea Mkoa wa Ruvuma wakishirikiana na wadau mbalimbali wa maendeleo wameandaa kampeni maalum ya kunadi fursa anuai zilizopo katika mkoa huo kupitia sanaa ya muziki kwa kuwashirikisha wasanii na vijana wenye vipaji. Kampeni hizo zilizopewa jina la 'BWELA KUNI' neno la lugha ya Kingoni lenye asili ya mkoa huo likiwa na maana ya 'njoo hapa' zitazinduliwa rasmi mwishoni mwa Septemba, 2014 kwa tamasha kubwa litakalofanyika katika Uwanja wa Maji Maji mjini Songea hivi karibuni.

Akizungumzia na wanahabari leo jijini Dar es Salaam, Mratibu wa kampeni ya Bwela Kuni, Raymund Mhenga alisema kampeni hizo zilizo na lengo la kunadi fursa anuai za uwekezaji zinazopatikana eneo

Ebou Shatry na Hussein China jijini Dar

Cheif wa blog ya swahilivilla Abou Shatry  akipata picha ya pamoja na mtaalamu wa vichekesho, Hussein China
Cheif wa blog ya swahilivilla Abou Shatry akipata picha ya pamoja na mtaalamu wa vichekesho, Hussein China

Uiyonavyo sivyo ilivyo hadi uisikiapo. Cheif wa swahilivilla kutoka Washington DC nchini Marekani, Ebou Shatry amekutana na mtaalamu wa vichekesho, Hussein China ndani ya Jjiji la Dar, baada ya miaka 15 kutoonana kijiweji.

Katika mpango mzima wa kipindi cha Msakatonge na Azam Tv, kwa Video Clip fupi ya WhatsApp.

Wadau wetu kaeni mkao wa kula..

Mfanyakazi wa maabara ajionyonga hadi kufa


* Taarifa hii imerekebishwa baada ya kupatikana taarifa sahihi zaidi.

Mfanyakazi wa maabara aliyestaafu mwezi Aprili mwaka huu katika Hospitali ya Mtakatifu Joseph ya Peramiho amejinyonga.

Mwili wa marehemu umekutwa uking’inia leo asubuhi kando ya uwanja wa mpira wa miguu wa Peramiho, Songea Vijijini.

Marehemu ameacha ujumbe kwenye kijikaratasi kilichokutwa mwilini mwake kilichoeleza kuwa amefikia uamuzi wa kuondoka dunia kutokana na ugomvi wa muda mrefu kati yake na mkewe na

Amkata mwanaye kutengeneza njia ya kutolea haja kubwa
Wiki iliyopita mkazi wa Kata ya Kitangiri katika Wilaya ya Ilemela jijini Mwanza, Anastazia Ngilitu, alimchanja kwa wembe mtoto wake mwenye umri wa miezi miwili baada ya kuzaliwa bila kuwa na njia ya kutolea ya haja kubwa.

Taarifa zinasema Mama huyo ambaye ni mkazi wa mkoani Tabora, wakati wa kujifungua mtoto huyo, alijifungulia watoto mapacha watatu (njiani) kwenye mtaro wa maji uliopo katika eneo analoishi kwa sasa kisha yeye pamoja na watoto wake walipelekwa katika Hospitali ya Rufaa ya Bugando, Mwanza kwa ajili ya matibabu ambapo watoto wawili walikufa baada ya kufikishwa Hospitalini na kubaki na mtoto mmoja mwenye tatizo hilo.

Anastazia amesema aliafanya hivyo kutokana na kukosa fedha za kumtibu mwanaye kujaa tumbo na kumfanya alie kwa muda mrefu.

Amesema alipojifungua, mtoto huyo alifanyiwa upasuaji katika Hospitali ya Bugando lakini baada ya muda mfupi hali hiyo ilijirudia ndipo alipoamua kumnasua kwa kumchana. 

"Ile rasimu ni nzuri. Warioba amefanyka kazi nzuri." Sophia Simba

Ameyatamka hayo katika video iliyopachikwa hapo chini, inayoelezea msimamo uliotolewa na Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (NEC-CCM) kuhusu vikao vya Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba.

High costs in Kenya port push traders to Tanzania

The high cost of moving cargo through Kenya is pushing most East African traders to Dar es Salaam despite reforms that have significantly raised efficiency at the port of Mombasa.

Traders based in Kigali, Bujumbura and Goma pay less to move goods from the port of Dar through Tanzania’s Central Corridor than from Mombasa Port through Kenya’s Northern Corridor, a new survey shows.

It costs Sh422,400 ($4,800) to transport a standard 40 foot container cargo through the Northern

Grenade attack on a minibus kills 3 in Tanzania

Three people were killed Thursday morning when unknown assailants lobbed an explosive device into the cabin of a short-haul commuter minibus near the north-western Tanzania town of Kigoma.

Six passengers, including an infant, were injured in the attack which occurred near the Migongo military base in the district of Buhigwe.

Police say the minibus – a Toyota Hiace – was travelling from Kilelema to Kasulu Mjini at dawn when

TAZARA ends cross-border passenger train services

via XINHUA - The Tanzania-Zambia Railway Authority (TAZARA) announced Wednesday that passenger trains between Dar es Salaam in Tanzania and New Kapiri-Mposhi in Zambia will no longer run across the borders.

The termination, to take effect from August 26, was announced by TAZARA's head of public relations, Conrad K Simuchile.

"Trains will u-turn at Nakonde, bordering the two countries," Mr Simuchile said, adding that passengers crossing the border will be swapping trains at Nakonde.

He said the passenger trains will operate as local trains within the respective borders of Tanzania and

Walaani Polisi kuua mahabusu kwa risasi na kusingizia alipigwa na wananchi

WANANCHI wilayani Geita mkoani Geita wamelaani vikali kitendo cha askari polisi wa kituo kikubwa cha wialaya kwa kumpiga risasi ya mbavu na kumuua maabusu na kumjeruhi mwingine wakati wakiwapanga kurudi gerezani.

Mmoja wa shuhuda wa tukio hilo ambaye hakutaka kuandikwa jina lake kwa sababu za kiusalama alisema kuwa tukio hilo lilitokea tarehe 18 mwezi huu majira ya saa saba mchana katika viwanja vya mahakama ya Wilaya mara baada ya watuhumiwa kuanza kupangwa kwa ajili ya kurudi Gerezani.

Shuhuda huyo aliongeza kuwa wakati maabusu huyo akipewa karanga na ndugu yake aliyekuwa

Tanzania mwenyeji mashindano ya Michezo Sekondari za Af. Mashariki

TANZANIA KUWA MWENYEJI WA MASHINDANO YA SHIRIKISHO LA MICHEZO YA SHULE ZA SEKONDARI AFRIKA MASHARIKI


Tanzania imepewa heshima ya kuwa Mwenyeji wa mashindano ya Michezoya shule za Sekondari Afrika Mashariki yajulikanayo kama FEASSSA (Federation of East Africa Secondary Schools Sports Association),ambayo yatafanyika JijiniDar es salaam kuanziatarehe 22 Agosti hadi 1 septemba mwaka huu 2014.

Wanachama wa mashindano haya ni Wanafunzi wa shule za sekondari kutokaWizara zenye dhamana ya elimukatika nchi wanachama wa Jumiya ya Afrika Mashariki. Nchi hizo ni:-