Vyama vya Siasa kukutana na Rais Kikwete kuhusu Katiba MpyaVyama vyote vya siasa nchini vinatarajiwa kukutana na Rais Jakaya Kikwete kabla ya mwisho wa wiki hii, kujadiliana na kushauriana juu ya maendeleo ya mchakato wa Katiba mpya. 

Vyama hivyo vya siasa vitakutana na Rais kwa mwavuli wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) na vitakutana siku yoyote kuanzia leo.

Akizungumza na waandishi wa habari jana juu ya kikao hicho, Mwenyekiti wa TCD ambaye pia ni

Freedom in the World 2014 - Tanzania: Status, Scores, Trend...

2014 Scores
Status: Partly Free
Freedom Rating (1 = best, 7 = worst): 3.0
Civil Liberties (1 = best, 7 = worst): 3
Political Rights (1 = best, 7 = worst): 3
Trend Arrow: ↓
Tanzania received a downward trend arrow due to an increase in acts of extrajudicial violence by security forces, mob and vigilante violence, and violence against vulnerable groups including women, albinos, members of the LGBT community, and those at high risk of contracting HIV.
OVERVIEW
The year 2013 saw a general increase in acts of extrajudicial violence committed by security forces, mob and vigilante violence, and political violence. There was also an increase in violence against women, albinos, and people at risk of contracting HIV. Press freedom deteriorated due to the shutdown of key news outlets and an increase in attacks on journalists. Corruption continued to

Balozi Mulamula akutana na Meya Wills wa Helena-West, Arkansas

Mhe. Liberata Mulamula,Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani akiwa katika mazungumzo na Mhe. Arnell Wills, Meya wa mji wa Helena-West Helena, Arkansas, Marekani,Ubalozini Tanzania House, Washington DC.
Balozi wa Jamhuri ya Muungano nchini Marekani na Mexico, Mheshimiwa Liberata Mulamula jana Jumanne Agosti 26, 2014, alikutana na Mhe. Mstahiki Meya wa Mji wa Helena-West Helena kutoka jimbo la Arkansas, Marekani, Ubalozini “Tanzania House” Washington DC. 

Mhe. Wills ambaye Mji wake wake wa Helena-West Helena una mahusiano ya kidada (Sister City) na Mji wa Moshi, Tanzania, alifika Ubalozini ili kufahamiana na Mhe. Balozi Mulamula pamoja

Hasheem Thabeet to 76ers from OKC Thunder

Hasheem Thabeet (photo: foxsports.com)


ESPN is reporting the Oklahoma City Thunder team trading Hasheem Thabeet to the Philadelphia 76ers, a move which is expected to give Oklahoma City a $1.25 million trade exception and a 2015 protected second round draft pick from Philadelphia.

Thabeet averaged 2,3 points per game and 2.8 rebounds per game throughout his career. (kfor.com)


Kamati ya Vijimambo yakutana na Balozi MulamulaBalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula akiongoza kikao cha kamati ya maandalizi ya sherehe ya miaka 4 ya Vijimambo ambayo imebeba ujumbe wa kutangaza maliasili na utalii wa Tanzania na kukemea Ujangili wa wanyama pori na misitu sherehe inayofanywa kwa ushirikiano wa Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani pamoja na Jumuiya ya Watanzania DMV mgeni Rasmi atakuwa Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu akiwa pamoja nae Waziri wa Habari, Utamaduni, Utalii na Michezo Zanzibar Mhe. Saidi Ali Mbarouk.
Kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa Kamati ya maandalizi Bwn. Baraka Daudi, Mhe. Balozi Liberata Mulamula, Afisa Suleiman Saleh na Katibu wa Kamati ya maandalizi Bi. Asha Nyang'anyi wakiendelea na mkutano uliofanyika kwenye ofisi katika jengo la Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania jijini Washington, DC siku ya Jumanne Aug 26, 2014. (picha zote, maelezo: Vijimambo blog)


Kocha wa Zanzibar Cosmos Seif Mbuzi akiinua kiwango cha soka Zenj

.
Kocha wa timu ya Zanzibar Cosmos Seif Mbuzi akiwa na vijana wake katika mazoezi ya kawaida kwenye viwanja vya mpira wa miguu Mnazi Mmoja Mjini Zanzibar siku ya Jumanne Agosti 26, 2014. (picha : swahilivilla.blogspot.com)

Na Ebou Shatry/SwahiliVilla blog
-- Hii ni taswira ya Vijana wa Zanzibar Cosmos wakiwa na Kocha wao mkuu Seif Mbuzi kwenye mazoezi ya jioni katika viwanja vya Mnazi Mmoja ikiwa ni

Maelfu ya Wananchi wamlaki Rais Kikwete alipofika Gairo

Rais Kikwete akiawaaga wananchi waliojitokeza kumsikiliza kwenye mkutano wa mji wa Gairo mkoani Morogoro alipowahutubia kwenye mkutano wa hadhara Agosti 26, 2014. (picha hii na zinazofuata hapo chini ni kutoka Ikulu)

Pres. Kikwete pays a visit to WLF-supported Mwaya Health CenterVISIT BY THE PRESIDENT OF UNITED REPUBLIC OF TANZANIA, HE DR JAKAYA MRISHO KIKWETE TO WITNESS WORLD LUNG FOUNDATION’S ICT INOVATIONS IN PREVENTING MATERNAL MORTALITY


On the 20th August, 2014, Mwaya village, in Ulanga district, Morogoro came to a standstill as the president of the United Republic of Tanzania; HE Dr Jakaya Mrisho Kikwete was visiting WLF-supported Mwaya Health Centre.

A team of experts and technicians led by the Deputy Clinical Director of World Lung Foundation, Dr Sunday Alfred Dominico demonstrated before the president various ICT solutions that have been developed by the foundation to supplement other interventions in reducing maternal and new-born mortality.

The president witnessed one of the teleconference in which, various health care providers working in

#BongoIce: Fistula Ice Bucket Challenge ya Vodacom Tanzania

Kampuni ya Vodacom Tanzania imekuja na Fistula Ice Bucket Challenge ‘#BongoIce’ yenye lengo la kuchangisha fedha kwa ajili ya matibabu ya akina mama wajawazito wenye ugonjwa wa Fistula.

Hii ni kufuatia kampeni inayoendelea mitandaoni ikijulikana kama#ALSIceBucketChallenge ambapo Vodacom Tanzania kwa kutambua kuwa kuna wanawake wengi Zaidi ya 30,000 wanaogua ugonjwa huu hapa nchini imeanzisha kampeni inayoitwa #BongoIce.

Mkurugenzi wa Vodacom, Rene Meza amekuwa wa kwanza kushiriki kampeni hii na kuwateua Naibu Waziri wa Mawasiliano Mhe January Makamba, Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya Tigo Diego Gutierrez na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Airtel ndugu Sunil Colaso kushiriki kampeni hii.

Tarime: Watoto 984 waozeshwa kwa nguvu; 1,628 wakeketwa


Baadhi ya wanafunzi wakiangalia ujumbe mfupi uliotumwa kwa simu zote zilizosajiliwa kwa njia ya simu za kiganjani na Mjane wa Hayati Nelson Mandela, Bi. Graca Michel kwa kushirikiana na Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto, Bi. Sophia Simba kupinga ndoa za utotoni kwa watoto wa kike.

JUMLA ya wasichana wenye umri mdogo wapatao 984 wameolewa na kukatishwa masomo huku wasichana wengine 1,628 wakikeketwa wilayani Tarime, Mkoa wa Mara ikiwa ni miongoni mwa vitendo vya kikatili ambavyo amekuwa akifanyiwa mtoto wa kike baadhi ya maeneo nchini Tanzania.

Takwimu hizo za vitendo vya kikatili dhidi ya mtoto wa kike wilayani Tarime zimetolewa leo jijini Dar es Salaam na Mkuu wa Wilaya ya Tarime, John Henjewele kwa niaba ya Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Mara kwenye hafla ya uzinduzi rasmi wa kampeni za kupinga ndoa za utotoni kwa watoto wa kike zitakazoendeshwa mkoani Mara.

Akizungumza kabla ya uzinduzi wa kampeni hiyo, Henjewele alisema takwimu hizo zavitendo vya

MO Dewji azindua jarida la IRIS Executive

Mgeni rasmi Ofisa Mtendaji Mkuu wa MeTL GROUP Mh. Mohammed Dewji (Mb) ambao ndiyo wadhamini wakuu wa sherehe za uzinduzi wa jarida la IRIS Executive (katikati), Ofisa Mtendaji Mkuu wa IRIS Executive Development Centre, Phylisiah Mcheni (kulia) na Makamu wa Rais wa MeTL GROUP, Bw. Vipul Kakad wakiwa meza kuu kwenye hafla fupi ya uzinduzi rasmi wa jarida IRS Executive ambalo tolea la jipya ukurasa wa mbele limepambwa na picha ya Mh. Mohammed Dewji "MO". (picha: Zainul Mzige/MOblog)

OFISA Mtendaji Mkuu wa MeTL GROUP na Mbunge wa Singida Mjini kupitia tiketi ya CCM, Mohammed Dewji, amesema kazi ya kutengeneza utajiri sio rahisi, inahitaji mipangilio madhubuti na uvumilivu ili kufanikisha lengo hilo.

Mbunge huyo ambaye kampuni zake zimeajiri watu 24,000 sawa na asilimia 5 ya ajira rasmi nchini, amesema kutengeneza utajiri hakufanyiki kwa njia ya kupanda lifti bali ni ujenzi wa tofali kwa tofali hadi nyumba kukamilika.

Akiwa anaendesha kampuni ambayo pato lake hadi mwishoni mwa mwaka huu litakuwa ni za

Kuhusu mifumo 2 ya utungaji Katiba na Uwasilishaji wa nyongeza ya mapendekezo

Mtaalam wa sheri na Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati Namba Tatu ya Bunge hilo, Dkt. Francis Michael ametoa ufafanuzi kuhusu suala la utungaji wa Katiba ambalo hufanyika kwa mifumo miwili, na kuwataka wananchi wasipotoshwe na mfumo unaotumika.

Akizungumza katika kipindi cha Jambo kinachorushwa na Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) amesema:
  • Mfumo wa kwanza - Hutumia Tume kama ilivyokuwa Tume ya Jaji Joseph Warioba yenye watu ambayo ilikuwa na kazi ya kukusanya na kuratibu maoni ya wananchi na kutengeneza Rasimu ya Katiba Mpya , baadaye Bunge Maalum la Katiba linapitia maoni ya Rasimu hiyo, ambapo kwa mujibu wa Sheria ya Mabadiliko ya Katiba ya mwaka 2014 linaweza

Ufafanuzi kuhusu malipo ya posho za Wajumbe wa BMK

Mkurugenzi wa Habari na Itifaki wa Bunge Maalum Bw. Jossey Mwakasyuka (kushoto) akitoa ufafanuzi mbele ya waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusiana na malipo ya posho za Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba leo katika ukumbi wa mikutano ofisi ya Bunge mjini Dodoma. Kulia ni Afisa Habari wa Bunge hilo Owen Mwandubya.
Mkurugenzi wa Habari na Itifaki wa Bunge Maalum Bw. Jossey Mwakasyuka (kushoto) akitoa ufafanuzi mbele ya waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusiana na malipo ya posho za Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba leo katika ukumbi wa mikutano ofisi ya Bunge mjini Dodoma. Kulia ni Afisa Habari wa Bunge hilo Owen Mwandubya.

Ofisi ya Bunge Maalum la Katiba mjini Dodoma, kupitia Mkurugenzi wa Habari na Itifaki wa Bunge hilo, Bw. Jossey Mwakasyuka imetoa ufafanuzi juu ya taarifa zilizotolewa kwenye vyombo vya habari kuhusu kuchelewa kwa malipo ya posho za Wajumbe wa Bunge hilo.
“Ni vema ikaeleweka kwamba Wajumbe wa Bunge Maalum wote ni watu wenye nafasi zao katika jamii na ni wenye kazi au shughuli zao mahususi zinazowaingizia kipato... Ujumbe wa Bunge Maalum ni nafasi ya muda tu ya kutimiza jukumu la

Rais Kikwete amteua Balozi mpya wa Tanzania nchini Rwanda

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt Jakaya Mrisho Kikwete, amemteua Ndugu Ali Idi siwa kuwa Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kigali, nchini Rwanda.

Uteuzihuo umefanyika kufuatia kuwepo kwa nafasi wazi iliyoachwa na Balozi Dkt Mwita Marwa Matiko ambaye amestaafu kwa mujibu wa Sheria. Ndugu Ali Siwa amekuwa katika utumishi wa umma tangu mwaka 1977 na uweza kushikanafasi mbalimbali za uongozi.

Aidha, kati ya mwaka 2001 na sasa, Balozi Metule Ndugu Siwa alikuwa Afisa Mambo ya Nje Mkuu katika ofisi ya Ubalozi wa Tanzania Abu Dhabi iliyoko nchi za Umoja wa Falme za Kiarabu (United Arab Emirates); Moscow, nchini Urusi na baadaye Berlin, nchini Ujerumani.

----- MWISHO -----

(John M. Haule)
KATIBU MKUU
WIZARA YA MAMBO YA NJE
NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA,
DAR ES SALAAM.

26 AGOSTI, 2014..

Viwango vya kubadilishia fedha leo


Dar, Entebe, Nairobi cities among Britain’s 8 most sought-after in countries in Africa

Below is an infographic by TravelHouseUK revealing the most sought-after countries in Africa for British travelers. These countries have developed their prime cities for tourism, accommodation and safari services to facilitate the very best for foreign visitors.

BritainĂ¢��s travelling trends to Africa in 2013 - TravelHouseUK

Israeli firm, DAWASCO to build water desalination plants in Dar

Plans are underway for water authorities in Dar es Salaam to work with an Israeli consortium in constructing two reverse osmosis desalination plants to alleviate water shortage.

The Dar es Salaam Water and Sewerage Corporation (DAWASCO) Chief Executive Officer, Eng Jackson Midala, said yesterday that the plant will supply 100 million cubic metres of desalinated water per day.

He said the project is expected to start any time from now, without disclosing its total cost. Saying the plans were at a good stage, he told The Guardian in an exclusive interview: “We are now working on securing land permits and electricity for the project to kick start.”

The plants will be the first among desalination plants to be built in the country, according to the Water Minister, Prof Jumanne Maghembe.

The DAWASCO boss said the initiative to venture into building desalination plants aims to reduce over dependence on water from the Ruvu River.

Hali halisi katika baadhi ya shule jijini Dar es SalaamWanafunzi 140 wa darasa la tatu wa Shule ya Msingi Tandale Magharibi wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, wakiwa wameketi chini wakiandika kazi waliyopewa na mwalimu wao.


Wanafunzi wa darasa la tatu wa Shule ya Msingi Tandale Magharibi wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, wakiandika kutoka ubaoni kazi waliyopewa na mwalimu wao.

Picha zote: Victor BeregeEster achukua fomu kuwania uongozi CHADEMA

.
MBUNGE kupitia Viti Maalumu (Chadema) Ester Matiku amejitosa kuwania nafasi ya Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake (BAWACHA) mkoa wa Mara na kuahidi kushughulikia matatizo ya Wanawake yanayowakabili katika nyanja mbalimbali za kiuchumi na kisiasa.
.
Shommi Binda - ESTER MATIKU ACHUKUA FOMU KUWANIA UONGOZI NDANI YA CHADEMA

FREE entry October 3 - 4: Mtwara Oil & Gas Business & Career ExpoMtwara Oil and Gas Business and Career Expo (MOGBCE)

is a business cum career expo that will bring together key players from the value chain together with stakeholders from the government, recruitment agencies and the oil and gas industry to discuss and engage on the different opportunities and challenges in Mtwara which is the hub of the oil and gas resources in Tanzania.

MOGBCE offers oil and gas professionals the opportunity to connect with the top energy operating, service and supply companies. Qualified candidates seeking jobs locally have the