Uraia-pacha ni hasara kuliko faida - Wizara, Wajumbe BMK

Suala la uraia pacha limeonekana ‘kupigwa chini’ na serikali na wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba baada ya wote kukubaliana zaidi juu ya hasara za kuruhusu uraia huo, ikiwemo hofu ya usalama wa taifa na uzalendo kupungua.

Katika semina iliyoandaliwa kwa Wajumbe wa Bunge hilo na mada kutolewa na Idara ya Uhamiaji, Abdallah Khamis Abdallah ambaye ni Kamishna wa Udhibiti na Mipaka wa idara hiyo, imeonesha kuruhusiwa uraia pacha ni hasara zaidi kwa Tanzania kuliko faida.

Suala hilo kwenye semina hiyo likawafanya wajumbe zaidi ya 12 kati ya 16 waliochangia kukataa uraia pacha na kumuacha mwakilishi wa Diaspora, Kadari Singo kutumia nguvu nyingi kutetea uraia pacha huo.

Wajumbe wa Bunge wakizungumza na mwandishi wameeleza kuwa Uhamiaji imeeleza kuwa Watanzania

Walimbwende waanza kuwasili kwa ajili ya Miss Tanzania USA pageantMiss Tanzania USA Pageant kesho itafikia ukingoni itakapofanyika Downtown, Silver Spring Maryland nchini Marekani katika picha Jesca Kalemera (aliyesimama) akijinoa mwishomwisho mbele ya washiriki wenzake huku Pendo Rancy (kushoto) mmoja ya waratibu wa Miss Tanzania USA Pageant akimsikiliza wengine katika picha ni washiriki wa Miss Tanzania USA Pageant 2014 Maria Rutayuga (wapili toka kushoto), Mercy Sukaya (watatu toka kushoto) ambaye anatokea Michigan na anayefuatia ni Grace Mlingi.

3 Tanzanians among 4 guilty of attempts to kill Rwandan ex-general

(From L) Sady Abdou, Hemedi Denengo Sefu, Amani Uriwane, Richard Bachisa, Hassann Nduli and Pascal Kanyandekwe listen on August 28, 2014 on the first day of their sentencing at the Kagiso Magistrate Court in Krugersdorp, South Africa. (photo: AFP / Mujahid Safodien)

AFP — A South African court on Friday convicted four men of attempting to murder a Rwandan former general who had fled after falling out with the east African country's president, Paul Kagame.

Magistrate Stanley Mkhari found three Tanzanians and one Rwandan "guilty of attempted murder" after acquitting two other Rwandans -- the alleged mastermind and General Kayumba Nyamwasa's former driver.

Mkhari also concluded that the bid to assassinate Nyamwasa was driven by political motive.

"The attempted murder of General Nyamwasa was... politically motivated, emanating from a certain group of people from Rwanda," he said.

Rwandan national Amani Uriwane, together with Tanzanians Hassan Mohammedi Nduli, Sady Abdou and Hemedi Denengo Sefu, will be sentenced on September 10.

They face a maximum of 10 years in jail.

Six men in all -- three Rwandans and three Tanzanians -- were put on trial for the failed plot to

Kikao cha Rais Kikwete na Watendaji akihitimisha ziara MorogoroRais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Mbunge wa Morogoro kusini ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM wa mkoa huo Mhe. Innocent Kalogeris alipowasili katika ukumbi wa shule ya msingi Gairo ya kwenye kikao cha majumuisho na watendaji wa mkoa huo baada ya kuhitimisha ziara yake ya mkoa wa Morogoro. (picha hii na zote zinazofuata hapo chini ni kutoka Ikulu)

Amri 10 za soka enzi zetu za utoto

Watoto wakisakata kabumbu huko Malindi Kenya kama walivyonaswa na kamera mwaka 2010 (picha: dreamstime.com)

Pamoja na sheria 17 za soka za FIFA kuwepo, enzi za utoto kulikuweko na sheria za soka ambazo ndizo zilizokuwa zinatambuliwa:-
  1. Mwenye mpira ndiye anayeamua nani atacheza
  2. Mtoto bonge ndiye golikipa
  3. Wachezaji mahiri ndio wanaochaguliwa kwanza
  4. Kukiwa na penati ruksa kubadilisha kipa
  5. Ukipiga mpira kwa nguvu au kwa mandochi mwenye mpira ana ruhusa ya kukuonya au

Okwi: Yanga waliniambia nimewakosesha ubingwa...

.
Mshambuliaji matata wa soka wa Uganda, Emmanuel Okwi sasa ni kama ameamua kucheza na akili za viongozi wa Simba na Yanga.

Wakati juzi Rais wa Simba Evanse Aveva akisema hawana nafasi ya Okwi kwenye usajili wao, jana Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zacharia Hanspoppe alitangaza mchezaji huyo ameandika barua ya kuombwa kusajiliwa katika klabu hiyo ya Msimbazi nao wamemkubalia.

Hata hivyo, Okwi ana mkataba na Yanga aliosaini nao Desemba 15 mwaka jana kwa miaka miwili na nusu na juzi alikanusha tetesi kwamba anataka kujiunga na timu ya WadiGalde ya Misri akisema yeye ni mchezaji halali wa Yanga na bado ana mazungumzo mazuri naviongozi wake.

“Watu wanazusha maneno kwamba nataka kwenda kucheza soka nje, nashangaa yanatoka wapi, mimi

Prof. Walibora: Ujasiri wa kujimulika katika uandishi wa Kiswahili

Prof. Ken Walibora
Mbali na Nyumbani ni riwaya iliyoandikwa kwa muundo wa tawasifu ya mwandishi maarufu wa Zanzibar, Adam Shafi anayejulikana zaidi kama Shafi Adam Shafi. Ipo haja kubwa sasa kwa waandishi kujitolea kuandika tawasifu zao au wasifu. Kitabu kimechapishwa na Longhorn (K) Limited mwaka 2012 na uhakiki huu umeandikwa na Prof. Ken Walibora.

Katika kipindi cha mwongo mmoja uliopita yametokea machapisho mengi sana ya bunilizi katika Kiswahili hasa nchini Kenya. Kipindi hiki muhimu kimeshuhudia waandishi wakongwe na chipukizi tumbi nzima kuchapishiwa kazi zao kwa wingi zaidi kuliko kipindi chochote kingine katika historia ya fasihi ya Kiswahili.

Yamkini ongezeko hili la machapisho ya Kiswahili linatokana na ukweli kwamba wachapishaji wamezinduka ghafla kutambua kwamba lina faida pia soko la vitabu vya Kiswahili, lugha ambayo umaarufu wake unakua kwa mapana na marefu kote duniani na hasa nyumbani Afrika Mashariki na Kati. Sababu nyingine ni kuibuka kwa watu wengi wanaokiteua Kiswahili kama nyenzo yao ya kuzibebea kazi zao za kibunifu badala ya Kiingereza au lugha nyingine yoyote.

Lakini hii haimaanishi kwamba kwa ubora na wingi machapisho ya Kiswahili kwa sasa yako sawa na ya Kiingereza. Ni kweli kwamba fasihi ya Kiswahili inajishajiisha kuchuana vilivyo na fasihi ya Kiingereza katika eneo la Mashariki mwa Afrika hasa katika tanzu zake za kibunifu, lakini sivyo ilivyo katika simulizi zinazohusu maisha halisi, tanzu zile ambazo nitaziita uandishi maisha, kama vile tawasifu, shajara, wasifu, n.k.

Tangu gwiji—au tumwite baba wa fasihi ya kisasa ya Kiswahili, Shaaban bin Robert alipotunga wasifu wa mwimbaji wa taarab, Wasifu wa Siti Biti Saad, na tawasifu yake mwenyewe, Maisha Yangu na

Mjengwa: Kwa nini Freeman Mbowe anagombea Uenyekiti CHADEMA? Sikiliza..​.

Buriani BETTY NDEJEMBI: Tusake #JusticeFo​r Betty kwa kupambana na unyanyasaj​i mtandaoni (Cyberbull​ying) pia


Ninaandika makala hii nikitambua bayana kuwa itamuudhi kila mtu anayeingia mtandaoni kwa minajili ya kuwanyanyasa watu wengine. Lakini siku zote ninaamini katika busara hii: kuuchukia ukweli hakuufanyi kuwa uongo. Ukweli ni ukweli na uongo ni uongo. Ukweli hauwezi kuwa uongo, na kadhalika uongo hauwezi kuwa ukweli. Kamwe asilani.

Wakati tunaomboleza kifo cha ndugu yetu Betty Ndejembi hatuwezi kukwepa ukweli kwamba siku chache kabla ya kifo chake binti huyo alinynyaswa mno kwenye mtandao wa kijamii wa Twitter. Japo hadi muda huu hatuwezi kuhusisha moja kwa moja uhusiano kati ya unyanyasaji huo na kifo cha binti huyo, ukweli tu

FIFA World Cup 2014 by Numbers!

FIFA World Cup 2014 by Numbers � An Infographic

Infographic by: www.barsportfranchise.co.uk