"If you're stupid enough to fall for it, you deserve it." Man tells how he got conned by a 'woman' thru social media

The adage “since men learned to shoot without missing, birds have learned to fly without perching” has never made sense as it does today, with social media users coming up with new tricks of getting an extra buck.

In recent times, men have become slippery and unpredictable when it comes to relationships, and with the advent of money first and love later, more men find it burdensome to involve themselves in love affairs.

It is with this in mind that more and more women look for alternative ways to slip into the well protected wallets of sometimes stingy men, with promises of wild love and passion.

In a survey conducted by The Daily News (Tanzania), it has been established that social media users, especially women, have been coming up with ingenious ways of getting money by luring unsuspecting men into their snares.

The flooding into the market of social media like Facebook, Twitter, Skype, WhatsApp, Badoo and

Taarifa ya Saed Kubenea kuhusu kesi ya kupinga BMK

Saed Kubenea akifafanua kitu mbele ya waandishi wa habari (hawapo pichani).

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

30 Agosti 2014

Ndugu waandishi wa habari,

Natumaini mna taarifa kwamba tangu Ijumaa iliyopita, nimefungua shauri Mahakama Kuu kanda ya Dar es Salaam, kupinga kinachofanywa na Bunge Maalum la Katiba. Shauri hilo, limesajili kwa Na.28 la mwaka 2014.

Katika kesi hiyo, nimeomba Mahakama Kuu itoe tafsiri sahihi juu ya mamlaka ya Bunge Maalum la Katiba, chini ya kifungu cha 25 (1) na (2) cha Sheria ya Mabadiliko ya Katiba, Sura ya 83 ya mwaka 2011.

Aidha, nimewasilisha maombi madogo nikiomba Mahakama kutoa zuio la muda la kusimamisha Bunge Maalum la Katiba, wakati tukisubiri uamuzi wa kesi ya msingi. Maombi ya zuio yamepangwa kutajwa tarehe 4 Septemba na kesi ya msingi itatajwa 15 Septemba 2014.

Ndugu waandishi wa habari,

Tangu kuripotiwa kufunguliwa kwa shauri hili mahakamani, yapo mengi yaliyosemwa. Wapo walionipongeza na kunifariji. Wapo walionitia moyo na kuniomba nisirudi nyuma. Wapo walionidhihaki na kunikatisha tamaa. Wapo walionitisha.

Lakini wapo walioahidi kuniombea kwa Mwenyezi Mungu ili jambo hili kubwa nililolifanya kwa maslahi ya

Usahihishaji mpya wa mitihani ya Taifa Kidato cha IV na VI

USAHIHISHAJI mpya wa mitihani ya Taifa kwa kidato cha nne na sita, unaoendana na utaratibu mpya wa upangaji wa ufaulu na madaraja, unatarajiwa kuanza kutumika katika mtihani wa majaribio wa kidato cha nne mwaka huu nchini kote, na kufuatiwa na mitihani yote ya kidato cha nne na sita.

Akitangaza mabadiliko hayo muhimu jana Dar es Salaam, Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani (NECTA), Dk Charles Msonde, alisema tayari maelekezo kuhusu mabadiliko hayo, yameshatolewa kwa wakuu wa shule za sekondari nchini.

Baadhi ya faida ya mabadiliko hayo kwa mujibu wa Dk Msonde, ni pamoja na kuondoa ukadiriaji wa alama za ufaulu, uliokuwa ukitumiwa awali, kuweka uwazi katika usahihishaji na kumwezesha mwanafunzi kukokotoa ufaulu wake hata kabla ya matokeo na hata mwalimu kukotoa ufaulu wa wanafunzi wake kabla hata ya matokeo.

Kwa mujibu wa Dk Msonde, mwalimu na mwanafunzi wataweza kukokotoa alama za ufaulu, kwa kuwa

Tanzania is now Kenya’s largest E.Africa market

Uganda has traditionally been Kenya’s top trading partner in East Africa, but latest data from the Kenya National Bureau of Statistics (KNBS) ranked the country third, with Tanzania coming second as a result of the ongoing elimination of non-tariff barriers and increasing local production in Uganda of goods that were previously imported.

The report showed that the US imported goods from Kenya worth Ksh3.7 billion ($41.8 million) in June, followed by Tanzania at Ksh2.8 billion ($31.6 million) and Uganda at Ksh2.5 billion ($28.3 million).

“The EAC integration means that Tanzania has to apply tariffs to products from the Southern Africa Development Community, while Kenyan goods are basically entering a domestic market,” said Sam Watasa, lead advisor on non-tariff barriers at Uganda’s Ministry of Trade.

Although it is difficult to project future trends based on a month’s data, Kenyan exports to Uganda have declined by almost half since November last year, at Ksh4.5 billion ($51 million), a trend analysts attributed to the growth of the manufacturing sector in Uganda. [more at The East African]

Manji: Nina uwezo wa kuwanunua wachezaji wote Simba na kocha wao

  • Nina uwezo wa kuwanunua wachezaji wote wa Simba pamoja na kocha wao Phiri na kuwazuia wasicheze ligi wakae pale Gymkhana wachezee mpira na kulala, lakini nikifanya hivyo watu watalalamika Manji anaharibu mpira.
  • Najua kwamba mishahara ya wachezaji wangu wa Yanga ya miezi miwili pale Simba inawalipa wachezaji wao wote mwaka mzima...
SIMBA kila kona nchini wanashangilia baada ya kumsainisha straika machachari mwenye mkataba na Yanga, Emmanuel Okwi. Lakini Mwenyekiti wa Yanga,Yusuf Manji, ameibuka na kutoa msimamo mkali kwa kusisitiza kwamba mchezaji huyo hatacheza Msimbazi.

Manji aliyeonekana na uso wa furaha wakati wote wa mkutano wake na waandishi wa habari akiambatana na Makamu wake Clement Sanga, alisisitiza kwamba Yanga haiwezi kuwa chini ya mchezaji mmoja na kwamba hawajawahi kumuacha Okwi.

Alisema kwamba wamemfungulia mashtaka ya kinidhamu TFF na hata katika orodha yao ya wachezaji wa

Dogo achojoa nguo zote alipofika kileleni mlima Kilimanjaro


Will you do anything for charity? 
Even if it means stripping naked in freezing temperatures atop Africa's highest peak?

That's exactly what cheeky Ben Boleyn did when he reached the summit of Mount Kilimanjaro after enduring treacherous conditions during a nine-day charity climb. Ben said:
'Once I was with the climb group I mentioned it in conversation and it just snowballed after that.
Everyone kept talking about it and one climber bet me 500 Tanzanian shillings, which is about 18p, that I wouldn't do it.
'When we got to the top I had to do it so just thought why not, it was a once in a lifetime opportunity.
'My parents were shocked at first but people seem to have donated more because of it, which is great. It is quite unique.
'I would do it again at other landmarks. I want to go to Machu Picchu next so maybe I will strip there too.'

He added: 
'It was between -10C and -12C but it didn't feel that cold, probably because of the adrenaline and we had just walked for six hours so I was already warm.'

Ben scaled the mountain with seven other climbers after he spent four weeks volunteering at a hospital in Dar es Salaam, Tanzania.

Now that the climb is over, Ben is taking a gap year and hopes to study medicine at a university abroad before training to become a doctor. He recently finished his A-Levels at King Edward VI College in Stourbridge, where he got an A in chemistry, an A in human biology and a B in maths with statistics.


via Dailymail.co.uk

Southern African Fashion Show yafana


Washereheshaji wakifanya vitu vyao kwenye usiku wa onesho la mavazi kutoka kwa wanamitindo na

Salum Mwalim achukua fomu za kugombea uchaguzi CHADEMA

Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Wazee la CHADEMA Zanzibar Bi Maryam Ahmed Omar akimkabidhi fomu Salum Mwalim fomu ya kugombea nafasi ya Ujumbe wa Kamati Kuu ya Chama hicho kundi la Zanzibar katika hafla fupi iliyofanyika ofisi kuu za CHADEMA kisiwani humo.
Picha zaidi...

Don’t dress to impress - 10 Safety tips for women travelling alone

To travel safely in a foreign country, you will probably fail at blending in, so aim for not standing out. To make packing easier on you, choose a versatile wardrobe with a pick a neutral-based color scheme of non-wrinkly clothes. Black/white/grey/blue-toned charcoal—those are all easy to mix and match. Keep your bling at home. A woman alone doesn’t have to travel in constant fear. The best travel safety tip is to look like you know what you’re doing. Lost often comes off as weak or vulnerable. Walk with determination and purpose. Don’t fumble for things. If you have to pick a stranger to ask for help, choose a family with young children or an older woman. Such choices are less likely to be serial killers in disguise. Research where you’re going. The CIA World Factbook is a great resource. Realize that, in a worst case scenario, bad things happen no matter how many precautions you take. Your job is to reduce the chance that those bad things will happen to you.
See more at lifehack.org

Guide to Suit and Shoes colour matching - The Slaters

So you have the suit, the shirt, the tie. Now all you need to do is add the shoes. Use the below this handy guide to make sure you buy the perfect colour shoes to match your suit colour.

As a general rule, a Black Formal shoe will go with nearly all suit colours. However you can make more of an impact if you go for a brown or tan shoe when wearing either a Navy/Blue or Light Colour suit. It looks smart and will stand out against the sea of black when you want to make an impression.

This guide should help you make the decision of when to go black or when to go tan. -- slaters.co.uk


Mystery condition gives Indian boy gigantic hands

Eight-year-old Kaleem suffers from a rare, undiagnosed, disorder that has caused his hands to grow out of proportion. Each hand is over 13 inches in length and weighs in excess of eight kilograms.

His disability prevents him from completing simple tasks and he does not go to school because other students are scared of his deformity.

Now his parents from India, Shamim and Haleema, are appealing for help so their son can receive medical attention.

Balaa! Utafiti wagundua watoto wanashiriki ngono haja kubwa

Sampuli tathmini ya matokeo ya mradi wa PREPARE uliokuwa na lengo la kuangalia uwezekano wa vijana kupunguza ngono, imebainisha haja ya elimu ya afya ya uzazi kukabili hali ya sasa ya tabia hatarishi zinazowakabili vijana wadogo.

Matokeo ya awali ya mradi yalionesha kuwa asilimia 10 ya vijana wenye umri wa miaka 12 mpaka 14 ambao ni darasa la tano na sita waliofanyiwa utafiti walikuwa wameshawahi kufanya ngono na asilimia kubwa ikiwa ni kwa kutumia njia ya haja kubwa.

Kauli hiyo imetolewa na mmoja wa watafiti wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi shirikishi cha Muhimbili, Kitengo cha magonjwa na afya ya akili, Lusajo Kajula.

“Vijana wengi walionekana wakifanya ngono ya uke na ya mdomo ikifuatiwa na ngono ya njia ya

Rais Kikwete sokoni KibaigwaRais Jakaya Mrisho Kikwete akitembelea soko la nafaka la kimataifa la Kibaigwa mkoani Dodoma katika siku ya kwanza ya ziara yake mkoani humo Agosti 28, 2014 , ambapo alijionea shehena kubwa sana ya mahindi iliyoletwa kutoka mashambani na kusafirishwa kila pembe ya nchi. Mwaka huu, kama ilivyokuwa mwaka jana, mavuno ya mahindi yamekuwa makubwa kiasi hata cha kupatikana kwa mavuno ya ziada yanayolemea maghala yaliyopo, ikiwa ni muendelezo wa mafanikio ya sera ya kilimo kwanza ambayo imekuwa ikileta matokeo mazuri kila mwaka. (picha hii na zote zinazofuata hapo chini ni kutoka Ikulu).