What is your current salary? Don't say, "I am negotiable"

Why?


The mistake here is that the candidate willingly dropped their request before hearing any objection to the number provided.
When the question about compensation expectations comes up, reply with the number along with any brief and necessary clarifying context. Then, stop talking. Don’t say a word until the interviewer responds. Even if the stare down lasts a minute, say nothing.

Any silence, even for just a few seconds, is commonly interpreted by candidates as a negative sign. Some hiring managers or HR professionals actually have a pause built into the script in order to determine possible flexibility without having to even ask.

Regarding, "What is your current salary?"

The Personal Branding Blog offers some suggestions :

You are worth what a company is willing to pay you. That amount has nothing to do with your currently salary. This is particularly true if you have worked for the same company for 5 or more years.

If the interviewer insists, Miller advises either asking them what their range is or answering with the salary you're seeking. E.g.: "I am looking for $xxxx in salary, but I will be evaluating the entire compensation package, which includes, salary, bonus, and benefits."

Mwanamke katika jitihada za kuyamudu maisha...

Mwanamke mmoja jijini Dar es Salaam akipita kwa baisikeli katika barabara ya Morogoro huku akiwa na vitu kadhaa kama ianvyoonekana huku wapita njia na waenda na shughuli zao wakimstizama kwa staajabu. 

Tamko la Jukwaa la Wakristo Tanzania kuhusu Katiba Mpya

JUKWAA LA WAKRISTO TANZANIA

TAMKO LA JUKWAA LA WAKRISTO TANZANIA KUHUSU MCHAKATO WA KATIBA


Sisi, wajumbe wa Jukwaa la Wakristo Tanzania, tuliokutana tarehe 27 hadi 28 Agosti, 2014, Dar es salaam , tumepata fursa ya kutafakari, kujadili na kujielimisha kwa kina yaliyomo katika Rasimu ya pili ya Katiba na mjadala unaoendelea katika Bunge Maalum la Katiba. Baada ya mjadala wa kina, tunatoa tamko letu kama ifuatavyo:

Tunaipongeza Tume ya Mabadiliko ya Katiba ambayo ilikusanya Maoni ya WANANCHI kuhusu mabadiliko hayo na kutuletea Rasimu yenye maoni mengi ya Watanzania bila kujali dini zao, upande wa Muungano walikotoka, hali zao za kimaisha, jinsi na kabila.

Pia tunaipongeza Tume kwa kuandaa nyaraka na kumbukumbu mbalimbali kama Randama, Nyaraka zenye maoni ya wananchi, picha, tafiti mbalimbali na hata orodha ya watu walioshiriki kutoa maoni katika Tume. Tume pia iliweza kuandaa Tovuti iliyokuwa na kumbukumbu za Tume na Maoni yote

Ujumbe wa LadyJayDee kuhusiana na habari za magazeti ya udaku

Zamani ilikuwa haipo sehemu ya kujitetea, gazeti likishaandika ndio limeandika.
Lakini sasa ulimwengu umebadilika, sio muda wa watu wote kulishwa chakula kisichofaa.Kwanza hicho kichwa cha habari kimenivunjia heshma sana

Nafikiri lengo ni kuilazimisha jamii inayomuelewa JayDee tofauti imuone kuwa ni mtu asiefaa, sawa.

Dogo anaswa na mkoko? Huo mkoko mmemnasa nao wapi wakati hizo picha ni mimi nilizi post mwezi February Instagram?????

Picha ambazo zilipigwa Nyumbani lounge tena kutumia simu ya Gardner.

Jide, dogodogo gumzo mjini

Gumzo ni kitu kinachoongelewa sana na kilichoenea kila kona ,,,,,sasa hii habari ni gumzo wapi ambapo haisikiki, ......

Mngeandika tumeamua kumuanzishia Jide gumzo hili, ndio ningewaelewa.

Vitu vya kuzua.Ni watu wengi tu wakija band wakipata nafasi wanaomba kupiga picha na mimi na wengine pia wanaomba kupiga picha na gari sababu wanaipenda.

Kama mtu yoyote anavyoweza kupiga picha na sanamu la kitu chochote anachokipenda.

Hivi je! Wimbo wa JayDee mgumba, JayDee tasa umechuja? Umeisha chati?? Nashangaa na

Diamond aokolewa na Polisi Ujerumani kutoka kwa washabiki wenye hasira


  • Kashindwa kuwika Stuttgart, kisa na mkasa?
  • Kafika ukumbini saa 10 alfajiri, washabiki wanasubiri show tangu saa 4 usiku
  • Promoja Mjaijeria aingia mitini.
  • Dj apata kisago, eti vyombo vibovu. Aibu!

Stuttgart, Ujerumani - Usiku wa Jumamosi ya tarehe 30 Agosti 2014, majira ya saa 10 alfajiri, mwanamuziki nyota wa Bongo Flavor,  Nasib Abdul aka Diamond Platnumz alijukuta katika hali ya hatari hadi kuokolewa na Polisi mjini Stuttgart, Ujerumani baada ya washabiki waliokuwa na hasira kuchoka kusubiri show.

Washabiki hao waliokuwa wamelipa ticket euro 25 kwa kiingilio walihadiwa kuwa show ingeanza saa 4.00 usiku, lakini walijukuta wakisubiri hadi majira ya saa10 alfajiri ndipo mwanamuziki Diamond alipoletwa jukwaani na promota wake raia wa Nigeria anajiita kama Britts Event.

Hapo ndipo washabiki walipoona kuwa hawakutendewa haki walianza kurusha chupa na kutaka

Rais Kikwete akutana na Wajumbe wa Kituo cha Demokrasia (TCD)


Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) Mhe John Cheyo akiongea na Makamu Mwenyekiti wa TCD Mhe Philip Mangula, Katibu Mkuu wa CCM Ndg. ABdulrahman Kinana na

TMA forecast: Strong winds, large waves along the coast of Indian Ocean

Chahali aamua "kuchukua hatua za vitendo dhidi ya unyanyasaji mtandaoni"

Nadhani wengi wenu wasomaji mnafahamu kilichomsibu Betty Ndejembi, aliyetutoka juzi. Kabla ya kufariki kwake aliandamwa na unyanyasaji wa kutosha katika mtandao huo. Baada ya kifo hicho, mie niliungana na 'wenye mapenzi mema kwa jamii' kukemea unyanyasaji mtandaoni, kwa kimombo 'cyberbullying.'

Hata hivyo, katika kuhamasisha mapambano hayo sikumtaja wala kumtuhumu mtu kuwa ni mnyanyasaji wa wenzie mtandaoni. Nilichohamasisha ndicho hicho nilichoeleza hapo juu: sie watumiaji wa mtandao kama wahanga wa unyanyasaji wa mtandaoni kuunganisha nguvu zetu dhidi ya wanaofanya vitendo hivyo. Na kwa hakika mapokeo yamekuwa mazuri sana. Watu wengi wamewasiliana nami kunifahamisha jinsi walivyokuwa wahanga wa cyberbullying.

Wito wangu kwa jamii umekuwa sio kusubiri serikali au wanasiasa kuchukua hatua ya kukomesha tabia hiyo bali sie kama wananchi na wahanga wa tabia hiyo kuunganisha kuvu na kupambana nayo. Kwa lugha nyingine, sie wenyewe tuchukue uongozi wa mapambano dhidi ya wanyanyasaji wa mtandaoni.

Hata hivyo, jioni ya leo likaibuka kundi la watu waliaonza kunishambulia vikali kuhusiana na kampeni hiyo ya kupambana na unyanyasaji mtandaoni. Kikubwa ni tuhuma kwamba mie wanayeniita 'mwanaharakati wa

Mwanaafa Mwinzago ashinda Tanzania Movie Talents 2014

Mwenyekiti wa Makampuni ya Proin, Bw Johnson Lukaza akitoa neno kwa wadau waliojitokeza kushuhudia fainali ya Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) lililokuwa pia likirushwa live kupitia kituo cha runinga cha ITV

Mwanaafa Mwinzago (katikati) akishangilia mara baada ya kutangazwa mshindi wa kitita cha shilingi milioni 50 za Kitanzania katika fainali ya kumsaka mshindi wa Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) 2014 lililofanyika usiku wa kuamkia leo katika Ukumbi wa Mlimani City na kuhudhuriwa na mamia ya Watanzania.

[video] The best of Anne Kansiime