A tool to unclutter on your FacebookFacebook is using your Facebook page 'likes' to target your friends. But, you can stop this if you want.

Go to Cleanser (likecleanse.com), follow the instructions to see the brands targeting you and you can 'un-like' the unworthy ones. 

FBME Bank allowed limited activities; Clients can access funds with daily limit thru cheques only

FBME Bank clients can only access their funds through cheques with a daily limit of €10,000, a special administrator said on Monday, because the branch’s cash transfer system has been shut down by the holding company in Tanzania.

The Central Bank (CBC) took over administration of FBME in July, following a US Treasury report describing the lender as a “primary money laundering concern”.

FBME, headquartered in Tanzania, had denied the allegations, saying the US Treasury had compiled the report without its input.

The CBC subsequently appointed an administrator for FBME Cyprus. The regulator said it was

CCM Uingereza wachagua Mwenyekiti Mpya

MKUTANO MKUU WA UCHAGUZI NA WANACHAMA WOTE WA CCM UK WAFANA

KAPINGA KANGOMA MWENYEKITI MPYA CCM UK - AIBUKA NA USHINDI WA KISHINDO WA ASILIMIA 94.6% YA KURA ZOTE HALALI

  • Aanza kwa kuunda timu itakayounda upya Jumuiya ya Watanzania UK na kuhusisha wadau wote;
  • Azungumzia suala la uraia pacha na Rais Ajaye katika uchaguzi 2015;
  • Kuunda Saccoss ya watanzania UK na Jumuiya ya Wanawake.
Na Abraham Sangiwa
Itikadi Siasa na Uenezi - CCM – UNITED KINGDOM.Mwenyekiti Mpya wa CCM UK Ndugu Kapinga Kangoma akitoa nasaha na shukrani zake.

UK students stranded in Tanzania after travel company goes bust

A group of 11 students from the UK has been left stranded in Tanzania after a British trip organiser -GBCE Ltd, operating as Student Adventures - ceased trading on Thursday.

ITV News reports that 11 students who were already in Africa at the time of the collapse will not have accommodation or travel booked for the rest of their time in Tanzania, where they are climbing Mount Kilimanjaro for charity. The Practical Action charity is sending staff from its UK and Kenya office to help them.

In a statement, GBSC said: "GBCE assure parents and guardians that any travellers who are

Plane crashes in the Serengeti

The aircraft that went missing Sunday afternoon crashed and burned a few minutes after taking off.

The remains of the Safari Express Limited aircraft, with the registration number 5Y-SXP, was sighted by the search-and-rescue team Monday morning at the Serengeti National Park, about 15 miles from the Kenya-Tanzania border. All the three occupants were burnt beyond recognition.

It had left Mwanza Airport in Tanzania on Sunday at around 7.26pm. However, the Area Control manager at the Jomo Kenyatta International (JKIA) control tower, Mr Peter Clever Davor, said that upon reaching an altitude of 14,000 feet, it lost communication with the radar at JKIA.

The Kenya Civil Aviation Authority has clarified that the aircraft, a Fokker F-27 MK-500, was supposed to land at JKIA at around 8.36pm.

“The aircraft did not (land) as scheduled and an inquiry (was) sent to Tanzania as set out in the international standards,” read the statement from the KCAA.

Rais Kikwete ziarani Mkoani Dodoma; Atembelea Wilaya ya ChamwinoRais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Mkuu wa Wilaya ya Chamwino, Mhe. Fatma S. Ally alipowasili wilayani humo kukagua miradi ya maendeleo na kuzungumza na wananchi.

While the African diaspora is still bleeding, BRITTS hits Stuttgart again!

The following was submitted to wavuti.com via email. The original article has been edited to retract some strong words.  

The African Diaspora is still bleeding, just a few months ago when this fraudulent *** duped the African Diaspora in Germany, collecting huge sums of monies for a concert with Nigerian hip hop group "Bracket" leaving the crowd angry, frustrated and disappointed, this very *** just did it again, but this time shall not get away with it.


While the African diaspora is trying hard to promote the positive image of Africa in Germany, BRITT Events takes it upon himself to bring shame, fraud and tarnish the good reputation of the of the diaspora in Germany.

This time he landed on NASIB ABDUL AKA DIAMOND PLATNUMZ - the hip hop singer from

Ujerumani yakanusha tuhuma za kujihusisha na Katiba Mpya Tanzania

UBALOZI wa Ujerumani nchini, umekanusha kujihusisha kwa namna yoyote kwa taifa la Ujerumani katika kuingilia au kuweka ushawishi katika mjadala unaoendelea wa katiba nchini.

Kauli hiyo ambayo imo katika taarifa ya ubalozi huo iliyosainiwa na mtaalamu wake wa mawasiliano John Merikion.

Taarifa hiyo imesema kwamba Serikali ya Ujerumani kimaadili haiingilii mambo ya siasa za ndani na za nje za nchi zingine.

Taarifa hiyo ilisema kutokana na uhalisia huo, Serikali ya Ujerumani na maafisa wake hawafanyi

Waraka wa Elimu kuhusu utayarishaji wa vifaa vya kujifunzia na kufundishia


.

Soka Festival Massachusetts yafanaWatanzania waishio Massachusetts wakijumuika pamoja kwenye Soka Festival iliyoandaliwa na Uongozi wa Jumuiya ya Watanzania New England inayofanyika kila mwaka wakati wa majira ya joto.Mkuu wa Wilaya ya Springfield, Alhaji Isaac Kibodya katika picha ya pamoja na Gloria.

Manka na Jessica (kushoto) katika picha ya pamoja.
Ili kuona picha zaidi, bofya hapa.

Video ya Mkubwa na Wanawe yazinduliwa @ Maisha Club chini ya Vodacom Tanzania

Mwanamuziki wa muziki wa bongo fleva Dogo Janja akiwapagawisha mashabiki waliofurika katika ukumbi wa maisha club oysterbay jijini Dar es Salaam, wakati wa onyesho la Yamoto Bendi jana usiku wakati wa uzinduzi wa video yao ya “Mkubwa na Wanae” onyesho hilo lilidhaminiwa na Vodacom Tanzania.

8 useful VLC player tips & tricksVLC is primarily a video player, but with the ability to do much more.

Here is a list of just a couple of them, (be sure to click the link at the end of the list for more VCL tips):

1. Play/Download online videos

To play an online video, go to Media > Open Network Stream, Press the Network tab, enter the URL of the video and click Play. 
To save it, instead of Play, choose Convert.

2. Record Desktop

Go to Media > Convert / Save. Go to the 'Capture Device' tab and on the 'Capture' mode drop down menu, select 'Desktop'. Select your frame rate under 'Desired' frame rate for the capture and

Viwango vya kubadilishia fedha leo


Meshack: Unavyoweza kujiajiri kwa kuuza miche ya miti popote Tanzania


Na: Meshack Maganga- Iringa.

Ndugu zangu, awali ya yote ninapenda kuwashukuru Watanzania wote,walionipigia simu na kunitumia ‘sms’ nyingi sana baada ya kipindi cha AMKA NA BADILIKA, kipindi ambacho kimewasaidia watanzania wengi sana, kwa kubadilisha mitazamo. Nilipokea simu nyingi sana na wengi wa watanzania hao walipenda kujifunza cha kilimo cha miti na mboga.

Wito wangu sikuzote umekuwa ni kutumia muda wangu mwingi kuwasisitiza rafikizangu, ndugu na wadau wengine wote, kuangalia uwezekano wa kuzitambua fursa mbalimbali zilizopo kwenye mazingira yetu. Hakuna sehemu yeyote ya dunia ambayo haina fursa na ambayo imesahaulika, bila kuwa na fursa za kuitosha jamii, isipokuwa macho yetu ya ndani hayazioni fursa hizi. Vitakchubwa tuliyonayo ni ya kupambana katika kuondoa mitazamo hasi iliyomo kwenye vichwa vyetu tuweze kuziona fursa hizo.

Tumezungukwa na fursa (Neema ya Mungu) ni ajabu kumsikia mtu anaeishi Morogoro ama Iringa halafu hafahamu kilimo cha vitunguu, hafahamu kama kuna kilimo cha mitiki, ama haamini kwamba

Kinakuja kipya au...