T.B. Joshua: Mwombeeni Kiongozi wa Kusini mwa Afrika na Kenya

Mhubiri maarufu wa Nigeria, Nabii Temitope Balogun Joshua aka T.B. Joshua ambaye mwaka 2012 aaliripotiwa kutabiri kuhusu kifo cha Rais wa Malawi, merehemu Bingu wa Mutharika, mara hii amenukuliwa kusema kuwa anatabiri kuwepo kwa shambulio la kiongozi/rais wa moja ya nchi za Kusini mwa Afrika.

Amenukuliwa akiwaasa waumini tarehe 31 Agosti 2014 akiwa Kanisani kuwa waliombee eneo hilo la Afrika kwani anaona wanajeshi wakimbugudhi Rais kwa nia ya kumteka ama kumuua. 
“You should pray for Southern Africa… I am seeing militants are interested in embarrassing a president in that region – either to kill him or kidnap him.”
“That is just their objective – to kidnap the president, vice president or first lady of that nation...”
“If prayer is not offered well, they will succeed it will put the nation into uproar.”
T.B. Joshua anadai kuwa ameoneshwa eneo husika ingawaje hakutaka kulitaja ili kuepusha shari.
“God showed me the place, but I don’t want to put any country into pandemonium” 
Ameitaja nchi ya Kenya akisema kuwa kulingana na maono ya Kinabii aliyoyapata, nchi hiyo inahitaji maombi.
“Particularly Kenya as a Nation, pray for the Kenya. Pray for the nation Kenya, particularly.” 
Tizama video ifuatayo...

There is little evidence to support testosterone drugs

WASHINGTON (AP) -- The Food and Drug Administration says there is little evidence that testosterone-boosting drugs taken by millions of American men are beneficial, though the agency is also unconvinced by studies suggesting the hormone carries serious risks.

The agency posted its review online Wednesday ahead of a public meeting to discuss the benefits and risks of treatments that raise levels of the male hormone. Regulators agreed to convene the September 17 meeting after two federally funded studies found links between testosterone therapy and heart problems in men.

The scrutiny comes amid an industry marketing blitz for new pills, patches and formulations that has

Mtoto wa miaka 11 ajiua alipoambiwa afanye kazi za ndani

Changamoto ya malezi na changamoto ya uhuru wa kumiliki silaha!
Hapa Az, mtoto mmoja mwenye umri wa miaka 11 amejifyatulia risasi jioni ya jana Jumanne na kupoteza uhai baada ya kukasirishwa na agizo la mzazi wake la kumtaka afanye shughuli za ndani nyumbani.
SAN TAN VALLEY, Arizona, USA. -- An 11-year-old San Tan Valley boy is dead after shooting himself in the head.

The Pinal County Sheriff's Office identified the boy as Samuel Epps.

It happened just before 7 p.m. Tuesday at the boy's home in the area of Bella Vista Road and Hunt Highway in the Johnson Ranch neighborhood of San Tan Valley.

Samuel's father and three siblings were home with him at the time. His mother was not there.

"Initial information indicates that Samuel had been asked to complete some chores and he became

A calendar of non-working days in AfricaSince it is crucial for any professional working across the continent or even within different regions to check the list of holidays, in order to save time and unnecessary headaches The African Press Organization (APO) today released a calendar of non-working days in Africa to assist professionals with pan-African responsibility in scheduling their activities.

There were over 57 public holidays in July 2014 alone in Africa!

Access the calendar at www.apo-opa.com/calendar.php

Rais Kikwete na Sarah (Bibi yake Rais Obama) jijini Nairobi

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Bibi yake Rais wa Marekani, Mhe. Barack Obama, Mama Sarah Obama walipokutana leo kwenye hoteli ya Villa Rosa Kempiski jijini Nairobi, Kenya, wakati Rais Kikwete akijiandaa kurejea nchini Tanzania.  (Picha kutoka Ikulu)
Mama Sarah Obama anatarajia kuzindua taasisi ya kusaidia elimu kijijini Kogelo nchini Kenya, alikozaliwa Baba yake na Rais Obama wa Marekani, itakayofahamika kama "Sarah Obama Foundation" ambapo atajenga shule kuanzia za awali mpaka sekondari. Rais kikwete sasa hivi yuko mjini Kondoa kuendelea na ziara yake ya Mkoa wa Dodoma.

Stolen Kenya's Presidential escort luxury BMW recovered in Uganda.

(photo not the actual stolen car. Photo: mentalacrobatics.com)

A presidential escort luxury BMW that was stolen in Nairobi has been recovered in Tororo, Uganda. Uganda Police and officers of the Flying Squad Unit on Tuesday evening recovered the escort bullet proof car that was stolen in Kenya on Wednesday last week week.

A team of investigators from Interpol and the Flying Squad left Nairobi for Tororo, Uganda, where the vehicle is said to have been driven to after it was stolen in Nairobi last Wednesday, according to media reports.

According to @NationFMKe, Bungoma CID chief and Head of the Flying Squad Nyale Munga Peter Mabeya said, “We are in contact with UG authorities who are now taking the car to Kampala for a

Bank of Africa - Tanzania to finance Vodasom's distributors

Rene Meza (right) and  Ammish Owusu – Amoah in a press conference at Vodacom headquarters, Dar es Salaam, Tanzania.

- Agents to get loans at low interest
- It also launches M-pesa cash and deposit services

BANK OF AFRICA – TANZANIA has entered into partnership with the Tanzania’s leading communication company, Vodacom which will enable telecom’s company distributors to secure loans without a collateral security at favorable terms and provide better services to their clients.

Under the new arrangement between Vodacom and one of the leading Banks in Africa, Vodacom distributors will be in position to secure loans worth up to 6 times their average commission earned over a 6 months period. Distributors will be entitled to take a loan worth Tsh 10 million and above while the maximum loan they can get is Tshs 75 million. The interest rate is 1.7%per month and the loan is

Most stolen cars in the USA in 2013

According to the FBI, car theft is firmly on the downward spiral. In fact, this year may represent a 50 percent fall in car theft from its peak in 1991.

New vehicles are far less likely to be targeted because hot-wiring has become extremely difficult and thieves have focused their attention on top-selling older models.

Here is a lost of most stolen cars in the USA in 2013.

Infographic: Honda Owners Are Most At Risk From Car Theft | Statista

More statistics at Statista

Ugomvi wa siti, nani akae kwenye kiti...Leo kwenye daladala kulikuwa na ugomvi wa kiti, basi kondakta akasema: "Kuweni wastaarabu, acheni ugomvi! Haya aliye mzee zaidi kati yenu ndiye akae kwenye kiti..." Wadada wote wawili walikataa kuketi.

Cheka zaidi na John Kitime kwenye blogu yake

Hekaya: Kisa cha Abunuwasi na Mfalme

HEKAYA ZA ABUNUWASI ni kitabu cha hadithi za kusisimua, zinazofurahisha sana kutokana na umahili wa watunzi wa vitabu vya kale. Kutokana na utamu wa hadithi za ABUNUWASI, Blog ya MPIGANAJI itawaletea hadithi hizo ili kuwachangamsha akili...

KISA CHA ABUNUWASI NA MFALME


SIKU moja alfajiri, wakati wananchi wa mji wenye wakazi wengi walipokwenda kuchota maji mtoni, walishangazwa kuuona mkono wa mtu ukiwa katikati ya mto. Mkono huo wa ajabu ulikuwa umenyoosha vidole viwili juu, kuonyesha alama ya mbili.

Wananchi walistushwa sana na kitendo hicho, wakaogopa hata kuchota maji mtoni, kwani hawakuwahi kuona tukio la kuogopesha kama lile. Wengine waliamini kuwa huo ulikuwa mwili wa mtu aliyetupwa mtoni.

Lakini ishara iliyoonyeshwa na mkono huo iliwafanya wananchi waamini kuwa huo ulikuwa

Common words that people often get mixed up

Words That People Get Mixed Up

Source: fingertipstyping.co.uk

Taarifa kabla ya kuomba kazi Serikalini kwa waliosoma nje ya nchi, waliopoteza vyeti na wenye majina tofauti na vyeti vyao

MAMBO YA KUZINGATIA KABLA YA KUOMBA KAZI SERIKALINI KWA WALIOSOMA NJE YA NCHI, WALIOPOTEZA VYETI NA WENYE MAJINA TOFAUTI NA VYETI VYAO


Sekretarieti ya ajira katika kutekeleza majukumu yake ya uendeshaji wa mchakato wa ajira Serikalini imekuwa ikikabiliana na changamoto mbalimbali ikiwemo tatizo la baadhi ya waombaji kazi kupoteza, kuibiwa, kuharibikiwa au kuunguliwa vyeti vya kitaaluma pamoja na vitambulisho vinginevyo. Kutokana na baadhi ya waombaji kazi kutokufahamu taratibu za kufuata pindi wanapopoteza vyeti vyao au wanapobadilisha majina huamua kuwasilisha nyaraka pungufu Sekretarieti ya Ajira jambo ambalo husababisha kukosa nafasi ya kuchaguliwa au kukosa fursa ya kufanya usaili kwa kutokuwa na nyaraka zinazohitajika.

Hali hii imekuwa ikisababisha malalamiko kutoka kwa waombaji kazi wakati wa uhakiki kutokana na baadhi yao kuwa na nyaraka ambazo hazikidhi vigezo vinavyotakiwa kwa mujibu wa tangazo la nafasi ya kazi. Kasoro hizo zimechangia baadhi ya wadau kuitupia lawama Sekretarieti ya Ajira kuwa ina

Insert citations using Google Docs (see also 9 other cool tips)

(image: HowToGeek.com)

Google Docs contains a sidebar designed for researching — open it by clicking Tools > Research.

This sidebar allows you to search for images, quotations, and web results so you can easily insert them into a document. It also makes it easy to search for academic studies and quickly insert the appropriate footnotes or citations for MLA, APA, or Chicago citation formats. 

You can quickly insert citations to web results, too — it can be an easy way to build a bibliography for a school paper.

Head over to HowToGeek.com for more tips.