Serikali yawasilisha pingamizi la kesi ya Bunge la Katiba

Upande wa Jamhuri umewasilisha pingamizi dhidi ya ombi la kusimamishwa kwa vikao vya Bunge Maalumu la Katiba vinavyoendelea mjini Dodoma, lililofunguliwa na Mwandishi wa Habari, Said Kubenea.

Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali, George Masaju aliwasilisha pingamizi hilo jana mbele ya jopo la Majaji watatu, Augustine Mwarija, Dk Fauz Twaib na Aloysius Mujulizi katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, akidai kesi hiyo ina mapungufu ya kisheria.

Kubenea kupitia kwa Wakili Peter Kibatala, alifungua kesi ya Katiba akiomba Mahakama itoe tafsiri ya

Nissan Terrano inauzwa


Gari aina ya Nissan Terrano, diesel cc 2600, ipo sokoni, inauzwa!

Kwa maelezo zaidi tafadhali wasiliana na Busiga 0764 269 188 au 0767 44 55 90

Taarifa ya Wawakilishi wa Taasisi za Dini toka 201 kuhusu mwenendo wa shughuli za BMK

TAARIFA YA WAWAKILISHI WA TAASISI ZA DINI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA TOKA WAJUMBE 201 KUHUSU MWENENDO WA SHUGHULI ZA BUNGE MAALUM LA KATIBA


Sisi Wawakilishi wa Jumuiya na Taasisi za Dini, tuliopendekezwa na Taasisi zetu na baadaye kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya kushauriana na Rais wa Zanzibar kuwa Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, na kula kiapo cha utekelezaji wa jukumu hili kubwa.
 
Tukiamini kuandaa Katiba Mpya kwa maridhiano ya Kitaifa kwa wananchi wote, tulipokea jukumu hili kama wajibu wetu Kitaifa. Aidha tunaamini kwamba katika kupata maridhiano ya Kitaifa ni muhimu kuheshimu kila wazo na fikra inayotolewa na kuunganisha fikra hizo kwa usahihi, kwa njia ya kidemokrasia kwa kupiga kura na kukubaliana na matokeo ya wengi.
 
Kama ilivyoelezwa hapo awali, kabla ya kuanza shughuli za Bunge Maalum, kila mjumbe alikula kiapo cha

TMA's Climate outlook for Tanzania for October - December 2014

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
MINISTRY OF TRANSPORT
TANZANIA METEOROLOGICAL AGENCY

Telegrams:"METEO"DAR ES SALAAM.                                                                 
Telex: 41442 HEWA
Telephone: 255 (0) 22 2460718
Telefax:      255 (0) 22 2460735                                                                                        P.O. BOX   3056
E-mail: [email protected]                                                                                                                DAR ES SALAAM.
            
http//www.meteo.go.tz
Our ref: TMA/1622                                                                          4th September 2014

PRESS RELEASE
  

CLIMATE OUTLOOK FOR TANZANIA OCTOBER – DECEMBER, 2014 RAINFALL SEASON

  

Highlights for October –December, 2014
1. Outlook for October to December, 2014 Vuli rainfall season indicates that:
·                  For the period of October to December, 2014, sufficient rains are expected over most areas of the country with periods of suppressed rainfall over the Southern region.
·         Early onset of rains is expected over the Lake Victoria basin, north-eastern highlands and northern coast.
2. Potential Impacts expected and advisory
·         Sufficient soil moisture levels are likely to favor normal cropping season over much of the country.
·         River flow discharges and water levels in rivers and dams are expected to improve from their current levels during the Vuli, 2014 Season.
·         Water harvesting and storage practices are recommended.
·         Heavy rains at times may cause excessive surface runoff and elevate flood risks leading to destruction of infrastructures, loss of life and properties.
·         Outbreak of water borne diseases particularly those related to stagnant waters and uncontrolled sewerages.
·         Minimal human-wildlife  conflicts are likely during this rainfall season
·         Necessary measures such as good practice of environmental conservations and ensure preparedness, response, and mitigation plan to reduce any negative impacts that may result from the expected above normal rainfall.

A:        Introduction                                            

This statement gives a review of rainfall performance for March to May, 2014 and an outlook for

Hotuba ya Rais Kikwete akikamilisha ziara mkoani Dodoma

HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHESHIMIWA JAKAYA MRISHO KIKWETE, KWA WANANCHI, WAKATI WA MAJUMUISHO YA MKOA WA DODOMA, TAREHE 04 SEPTEMBA, 2014
Utangulizi
Mheshimiwa Dkt. Rehema Nchimbi, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma;
Waheshimiwa Mawaziri;
Waheshimiwa Wakuu wa Wilaya, Wabunge, Wenyeviti na Wakurugenzi wa Halmashauri za Wilaya na Miji;
Waheshimwa Madiwani;
Wazee Wangu;
Ndugu wananchi;

Kuna methali ya Kiswahili isemayo hakuna refu lisilokuwa na ncha. Hatimaye ziara yangu ya Mkoa wa Dodoma imefikia mwisho. Ziara hii niliyoianza tarehe 28 Agosti, 2014 imenifikisha kwenye wilaya zote za Mkoa wa Dodoma. Madhumuni ya ziara yangu yalikuwa kuona shughuli za maendeleo. Kuona tulipofanikiwa na pale ambapo pana matatizo tupatafutie ufumbuzi. Nimefarijika sana na hatua kubwa za maendeleo ambazo kila wilaya imezifikia. Nimejionea maendeleo makubwa katika sekta na nyanja mbalimbali za maisha ya wananchi wa mkoa huu. Hongereni sana. Aidha, nimeona au kusimuliwa kuhusu

Madaraka Nyerere, Vitalis Maembe kupanda Kilimanjaro kuchangia Jukwaa la Sanaa


Afisa Habari wa shirika lisilo la kiserikali la Culture and Development East Africa (CDEA), Mandolin Kahindi akitambulisha viongozi wa CDEA kwa waandishi wa habari pamoja na dhumuni la kuitisha mkutano huo.

Mwandishi: MoBlog

Madaraka Nyerere, Mtoto wa Hayati Baba wa Taifa Julius Nyerere, pamoja na Mwanamuziki Mzalendo Vitali Maembe wameteuliwa na shirika lisilo la kiserikali Culture and Development East Africa (CDEA) kuwa mabalozi wa kushiriki kampeni ya kupanda Mlima Kilimanjaro ili kuhamasisha jamii kuchangia ujenzi wa jukwaa la sanaa na ubunifu jijini Dar es Salaam.

Kampeni hiyo ya kupanda Mlima Kilimanjaro imeandaliwa na CDEA kupitia njia ya kupanda Mlima Kilimanjaro kuanzia Septemba 7 hadi 13 mwaka huu ili kujenga jukwaa na sanaa na ubunifu litakalowapa fursa wasanii na vijana kukutana, kufikiri na kubuni kwa pamoja ambapo mawazo ya kisayansi yatakutana

Mjengwa: Sikiliza mjadala unaojibu "Iweje tuna chakula cha kutosha na wakulima hohehahe?"

Washiriki wa Miss Ilala 2014 watambulishwa rasmi na SkyLight BandMashabiki wa Skylight Band wakiburudika na nyimbo mbalimbali zilizokuwa zikiporomoshwa na bendi hiyo.