New book "World Order" by Former US Secretary of State, Henry Kissinger

Former Secretary of State Henry Kissinger celebrates his 90th birthday, last year in Berlin. In a recent interview with Scott Simon, he gave his thoughts on ISIS, Ukraine and Iran. Gero Breloer/AP hide caption
Former Secretary of State Henry Kissinger celebrates his 90th birthday, last year in Berlin. In a recent interview with Scott Simon, he gave his thoughts on ISIS, Ukraine and Iran.
(photo: Gero Breloer/AP)

"World Order" book by Henry Kissinger
Hardcover, 420 pages | purchase: Amazon, iBooks, Independent Booksellers
Politics & Public Affairs; Nonfiction; History & Society

Henry Kissinger was a Harvard scholar before he became a mover and shaker in the world of foreign policy. And in his new book, World Order, the former USA Secretary of State under Presidents Nixon and Ford gives a historian's perspective on the idea of order in world affairs.

Nations are always trying to establish systems to make the world a more orderly place, but they rarely last for long. His book stretches from China under the emperors, Rome surrounded by barbarians and Islam encircled by infidels, to the treaties of Europe and the pivotal positions of Russia and Iran.

On current affairs, Kissinger tells NPR's Scott Simon why a conflict with the Islamic State, also known as ISIS, is more manageable than a confrontation with Iran, what he would do about the Islamic State, and what he thinks the best solution is for the crisis in Ukraine.

Click here to to go The NPR to read/listen to the interview highlights.

Tarehe kamili ya mwisho wa BMK ni kizungumkuti!

Wakati tamko la Serikali linaonesha kuwa Bunge Maalumu la Katiba linatakiwa kumalizika Oktoba 4, 2014, kalenda ya Bunge hilo ambayo wamegawiwa wajumbe inaonesha kuwa Bunge hilo litamalizika mwishoni mwa mwezi Oktoba.

Kutokana na kutofautiana huko, Kamati ya Uongozi imelazimika kuiagiza Sekretarieti ya Bunge hilo kufuatilia serikalini kujua sababu ya kuwepo kwa tofauti hizo.

Eh! Tanzania ya nane Duniani kwa matukio ya kujiua - Ripoti ya WHO

Haya jamani, wale wenye kuamini katika Mungu muombe kwa namna mnavyojua ili kama ni pepo la kifo linaiandama nchi, basi liondoke.
Wale wa sekta ya Afya ambao wamefundishwa kuwa hisia za kujiua mara nyingi husababishwa na msongo wa mawazo unaotokana na sababu mbalimbali za kutokuridhika maishani, kazi bado ni pevu.
Mara kadhaa nimeshawahi kutoa maoni yangu kwenye blogu na makundi ya majadiliano kuwa mtu mwenye hisia za kutaka kujitoa uhai si wa kubeza wala kupuuzwa kwani mara nyingi huwa hana utimamu wa akili kwa wakati anapowaza kujidhuru, ijapokuwa anaonekana mzima hasa ikiwa ni msomi, mtu anayejiweza kimaisha au ambaye amewahi kutishia kufanya hivyo mara kwa mara bila kujaribu na kufanikiwa. Ukweli ni kuwa hisia za kujiua ni dhahiri na zenye nguvu kubwa ya kushawishi sana kuwa kifo ndiyo suluhisho la kukabiliana na kuondokana na matatizo.

Wakati imethibitishwa kwamba katika kila sekunde 40 mtu mmoja duniani huamua kukatisha maisha yake kwa sababu ambazo zinaweza kuzuilika, Tanzania imeelezwa kuwa ya nane katika orodha ya nchi zinazoongoza kwa watu wake kujiua.

Ingawa Jeshi la Polisi nchini lilipotakiwa kuzungumzia suala hilo lilionekana kuchukua mlolongo mrefu, utafiti uliofanywa na Shirika la Afya Duniani (WHO), umesema tabia ya watu kuficha takwimu na kufuatilia matukio ya vifo inachelewesha uchukuaji hatua wa kudhibiti tabia hiyo ya kujiua.

Msemaji wa Jeshi la Polisi, Advera Bukumbi juzi alipotakiwa kuthibitisha kwa takwimu kuhusiana na utafiti

Mbunge Selasini atoa fedha na vifaa kwa michezo JimboniMbunge wa Jimbo la Rombo (CHADEMA) Joseph Selasini ametoa vifaa vya michezo vyenye thamani ya shilingi 500,000 na fedha ya kusaidia kambi ya Mabingwa wa Ligi ya Wilaya hiyo Border Shooting FC 2013/2014 wanaoshiriki ligi ya mkoa wa Kilimanjaro.Akikabidhi msaada huo Mbunge Selasini alisema mchezo wa soka katika wilaya yake umekuwa ukizorota na kuona kwamba vipaji vinapotea na kutengeneza taifa la vijana wasio na mwelekeo.

“Soka ni mchezo unaopendwa, lakini tusipotia juhudi za makusudi kuuendeleza tutabakia kuangalia ya wenzetu wanaofanya vizuri kitu ambacho ni kibaya wakati vipaji tunavyo,” alisema Selasini.Selasini amesema itakuwa ni heshima kwake na kwa Watanzania kuona Rombo ikifanya vyema katika medani ya soka katika siku za usoni hali ambayo itaibua vipaji vya soka.

Holili/Rombo, Kilimanjaro

Watano wahukumiwa jela miaka 37 na viboko 24 kwa kuiibia NMB

Watu watano wamehukumiwa kifungo cha miaka 37 jela na kuchapwa viboko 24 kila mmoja baada ya kupatikana na hatia ya kuvamia na kupora fedha benki ya NMB tawi la Maswa kwa kutumia silaha.

Hukumu hiyo ilitolewa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi wa Mkoa wa Shinyanga na kusikilizwa na Hakimu Mkazi wa Mahakama hiyo, Neema Gasabile ambapo alitoa hukumu hiyo.

Aliwahukumu kifungo cha miaka 37 na viboko 24 kila mmoja viboko 12 wakati wa kuingia na 12 wakati

Hotuba ya Mzee Nyangaki Shilungushela, Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa

Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Nyangaki Shilungushela akizungumza na Wanahabari.

HOTUBA YA MWENYEKITI WA TAIFA WA BARAZA LA WAZEE WA CHADEMA MZEE NYANGAKI SHILUNGUSHELA KATIKA UFUNGUZI WA MKUTANO MKUU WA BARAZA LA WAZEE WA CHADEMA TAREHE 6 SEPTEMBA 2014 KATIKA UKUMBI WA MLIMANI CITY DAR ES SALAAM


Waheshimiwa wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Baraza la Wazee wa CHADEMA Taifa,

Waheshimiwa Waasisi wa CHADEMA mliohudhuria mkutano wa leo,

Waheshimiwa Wasimamizi wa Uchaguzi wa Baraza la Wazee wa CHADEMA Taifa,

Waheshimiwa Wawakilishi wa Chama Taifa na Makao Makuu,

Waheshimiwa Wageni waalikwa; mabibi na mabwana:

Waheshimiwa Wazee;

Niungane nanyi kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutukutanisha siku ya leo katika Mkutano Mkuu wa Baraza la Wazee wa CHADEMA Taifa. Niwasalimu kwa kauli mbiu ya Baraza letu: Wazee, Hazina ya Hekima na Busara.

Tumekutana katika Mkutano Mkuu huu tukiongozwa na dhumuni kuu la Baraza la Wazee wa CHADEMA kwa mujibu wa kipengele cha 1.1 cha kuwa chombo kikuu cha ushauri wa busara na

Zantel teams up with People's Bank of Zanzibar to serve diaspora

ZANTEL TEAMS UP WITH THE PEOPLE’S BANK OF ZANZIBAR IN SERVING DIASPORA COMMUNITIES!

(Toronto, Canada) – Zanzibar Telecom Ltd (ZANTEL) has today jumped on the bandwagon of the new Diaspora remittance service (mobile) of the People’s Bank of Zanzibar Limited (PBZ Ltd). The service gives Diaspora families an additional convenience to remit funds to their relatives and friends directly to their mobile phone numbers wherever they are in Tanzania.

Up till now, the People’s Bank of Zanzibar has been operating the service only through Tigo mobile network. But, from today, according to the bank, remittances from abroad can also be channelled to

Msafara wa Makamu I wa Rais wa Zanzibar wapata ajali Mwanza

UPDATE/TAARIFA MPYA imeongezwa

.
Inaripotiwa kuwa Naibu Mkurugenzi wa Habari wa CUF, Kambaya akizungumza kwa njia ya simu kutoka Mkoani Mwanza amesema Maalim Seif hajadhurika katika ajali hiyo ambayo ilitokea wakati wakielekea katika eneo ilikotokea ajali ya mabasi mawili na gari dogo jana huko Musoma na kusababisha vifo vya watu zaidi ya 30:
“Ni kweli msafara wa Makamu wa Rais na Katibu Mkuu Taifa umepata ajali ila yeye yuko salama, lakini viongozi wetu wa chama akiwemo katibu wa Chama cha Wananchi CUF Wilaya ya Nyamagana Bi Rehema Mwenda Pamoja na Mkuu wa Kitengo cha cha Habari wa chama Chetu wilaya ya Nyamagana, Hassan Shido ndiyo wamepata majeraha kutokana na ajali hiyo.”
Kambaya ameongeza kusema kuwa ajali imetokana na dereva wa gari aina Scania kwenda

Jiunge na DW WhatsApp upokee habari

Msikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili ya DW popote pale ulipo unaweza kupokea habari, picha, vidio na sauti moja kwa moja kwenye simu yako ya mkononi kupitia huduma ya DW WhatsApp.

Kujiunga:
  • Hifadhi namba +4915752862185 kwenye simu yako kisha tuma ujumbe, “Niunge” kwa kutumia WhatsApp kwenye namba hiyo.
DW itakuweka kwenye orodha ya watu wanaopokea ujumbe wa taarifa mara mbili kwa siku kutoka kwao kila wanapotuma taarifa mpya. Huduma hii ni mpya na haina malipo yoyote.

Kujitoa:
  • Watumie DW ujumbe wenye neno "Nifute" kwenye namba iyo hiyo iliyotajwa hapo juu.

Kituo cha Polisi chalipuliwa bomu; Askari wafa; Silaha zaporwa

*UPDATE/TAARIFA MPYA imeongezwa:

IGP Ernest Mangu amekaririwa akisema kuwa Jeshi la Polisi limetangaza zawadi ya shilingi millioni kumi kwa yeyote atakayefanikisha kukamatwa kwa wahalifu na silaha zilizoibwa.

Dkt Rutatinsibwa amekaririwa akisema kuwa hali za majeruhi ni mbaya na wamehamishiwa katika hospitali ya rufaa Bugando.
--------

Ripoti kupitia Malunde1 blog zinasema kuwa kituo cha polisi kilichopo Ushirombo wilayani Bukombe mkoani Geita kimevamiwa na majambazi usiku wa saa tisa kuamkia leo.

Katika tukio hilo, askari wawili kati ya wanne waliokuwa zamu, wameuawa huku waliobakia wakiachwa wamejeruhiwa.

Wahalifu walilipua chumba cha kuwekea silaha na kuondoka na bunduki zaidi ya tano aina ya SMG na mabomu.

Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Geita, Joseph Konyo yupo katika eneo la tukio.

Mganga Mkuu wa Wilaya ya Bukombe, Dkt Honorata Rutatinisibwa amekiri kupokea miili ya askari wawili (wa kike na kiume).

Uhamisho wa Makatibu wa Mikoa wa CCMJINA

ANAKOTOKA
ANAKOKWEDA
1
Joyce Masunga
Mwanza
Pwani
2
Alphonce Kinamhala
Katavi
Arusha
3
Janeth Kayanda
Bukoba Mjini
Tabora
4
Gustav Muba
Tanga
Geita
5
Sauda Mpambalyoto
Pwani
Kusini Unguja
6
Mary Chatanda
Arusha
Singida
7
Evelyne Mushi
Kagera
Katavi
8
Naomi Kapambala
Singida
Kigoma
9
Idd Ame
Tabora
Kagera
10
Shija Othman Shija
Kusini Pemba
Tanga
11
Mwangi R. Kundya
Mjini
Mbeya
12
Mohamed Nyawenga
Kigoma
Mjini
13
Adamu Ngalawa
Shinyanga
Mara
14
Maganga Sengelema
Mbeya
Shinyanga
15
Zainab Somari
Kusini Unguja
Likizo miezi 2
16
Mary Maziku
Geita
HQ Dodoma
17
Bernard Nduta
HQ Dodoma
Mwanza

Safu mpya ya uongozi CHADEMA Kilimanjaro; "Ndesa Pesa aitumia CCM salamu"

MBUNGE wa Moshi Mjini, Philemon Ndesamburo, amefanikiwa kutetea nafasi yake Uenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, (CHADEMA), Mkoa wa Kilimanjaro baada ya kupita bila kupingwa huku akijigamba awamu hii atahakikisha wananyakua majimbo yote ya ubunge yaliyobaki Chama Cha Mapinduzi, (CCM).
 
Ndesamburo ambaye amechaguliwa kwenye nafasi hiyo kwa mara ya nne mfululizo, aliyasema hayo juzi mara baada ya kumalizika kwa uchaguzi wa viongozi wa ngazi ya Mkoa.
 
Viongozi wengine:
  • Basil Lema alifanikiwa kutetea nafasi yake ya Ukatibu wa Mkoa aliyoishikilia kwa vipindi viwili.
  • Grace Kiwelu amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa BAWACHA
  • Helga Mchomvu amechaguliwa kuwa Katibu BAWACHA.
  • Samwel Msuya alichaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wazee.

Mauaji ya Padre Mushi: Mahakama Kuu yampa nafasi ya mwisho DPP la sivyo kesi ifutwe

Khamis Amani, Zanzibar — IKIWA ni mwaka mmoja, miezi minne na siku 19 zimepita, tokea kuuawa kwa Padri Evaristus Gabriel Mushi na upelelezi wake ukiwa bado haujakamilika, Mahakama Kuu ya Zanzibar imetoa muda wa mwisho wa kuendelea na kesi hiyo.

Jaji Mkuu wa Zanzibar Omar Othman Makungu, ambaye ndiye anayesikiliza kesi hiyo, alisema Oktoba 3 mwaka huu ataiondoa kesi hiyo mahakamani ikiwa upande wa mashitaka utashindwa kukamilisha upelelezi huo.

Uamuzi huo wa mahakama umekuja baada ya kesi hiyo inayomkabili Omar Mussa Makame (35) kukaa

Tume inakaribisha taarifa na malalamiko kuhusu Operesheni Tokomeza

TUME YA UCHUNGUZI WA OPERESHENI TOKOMEZA UJANGILI YAANZA RASMI KUPOKEA TAARIFA NA MALALAMIKO KUHUSU UTEKELEZAJI WA OPERESHENI TOKOMEZA NCHINI

-------------------------------------
Tume ya Rais ya Uchunguzi wa Operesheni Tokomeza ujangili inatoa taarifa kwa umma kuwa imeanza rasmi kupokea taarifa na malalamiko mbalimbali kuhusu utekelezaji wa Operesheni Tokomeza Ujangili nchini.

Katika kufanikisha majukumu yake, Tume itatembelea maeneo mbalimbali nchini ili kukutana na

A glimpse of the 10,000 housing units project

HEAD of Building Consulting Unit in the Ministry of Defence and National Service, Architect Stephen Mpapasingo (third left), leads journalists and other ministry’s officials to inspect 50 housing units built at 511 KJ, Gongolamboto, in Dar es Salaam for TPDF and National Service officers as part of 10,000 housing units project, during a tour organised by the ministry, on Thursday. With them (second right) is the ministry’s spokesman, Major Josephat Musira, the ministry’s Information Officer, Mr Alex Malima (right) and other officials. (photo: Daily News Staff Photographer)

Majina ya vijana kidato cha Sita na Nne waliochaguliwa na Jeshi la Polisi na kuitwa kwenye usaili

Jeshi la Polisi Tanzania linawaita kwenye usaili vijana waliomaliza kidato cha nne mwaka 2013 na kidato cha sita mwaka 2014 ambao wamechaguliwa kufanya usaili kabla ya kujiunga na Jeshi la Polisi.

Usaili utafanyika katika miji ya makao makuu ya mikoa Tanzania Bara Kwa tarehe zilizooneshwa kwenye jedwali hapa chini:

NAMIKOAKITUO CHA USAILITAREHE ZA USAILIMUDA WA  USAILI
1 TANGAOFISI YA RPC TANGA18-21 /09/201408:00 ASUBUHI -16:00 JIONI
2PWANIOFISI YA RPC PWANI23-26 /09/201408:00 ASUBUHI -16:00 JIONI
3DSM ZONEOFISI YA RPC  ILALA,KINONDONI,TEMEKE28-01 /10/201408:00 ASUBUHI -16:00 JIONI
4MTWARAOFISI YA RPC MTWARA03-06 /10/201408:00 ASUBUHI -16:00 JIONI
5LINDIOFISI YA RPC LINDI08-11 /10/201408:00 ASUBUHI -16:00 JIONI
6SIMIYUOFISI YA RPC SIMIYU18-21 /09/201408:00 ASUBUHI -16:00 JIONI
7SHINYANGAOFISI YA RPC SHINYANGA23-26 /09/201408:00 ASUBUHI -16:00 JIONI
8TABORAOFISI YA RPC  TABORA28-01 /10/201408:00 ASUBUHI -16:00 JIONI
9KATAVIOFISI YA RPC  KATAVI03-06 /10/201408:00 ASUBUHI -16:00 JIONI
10RUKWAOFISI YA RPC RUKWA08-11 /10/201408:00 ASUBUHI -16:00 JIONI
11KILIMANJAROOFISI YA RPC KILIMANJARO18-21 /09/201408:00 ASUBUHI -16:00 JIONI
12ARUSHAOFISI YA RPC ARUSHA  23-26 /09/201408:00 ASUBUHI -16:00 JIONI
13MANYARAOFISI YA RPC MANAYARA28-01 /10/201408:00 ASUBUHI -16:00 JIONI
14SINGIDAOFISI YA RPC SINGIDA03-06 /10/201408:00 ASUBUHI -16:00 JIONI
15DODOMAOFISI YA RPC DODMA08-11 /10/201408:00 ASUBUHI -16:00 JIONI
16KIGOMAOFISI YA RPC KIGOMA18-21 /09/201408:00 ASUBUHI -16:00 JIONI
17MWANZAOFISI YA RPC  MWANZA23-26 /09/201408:00 ASUBUHI -16:00 JIONI
18MARAOFISI YA RPC  MARA28-01 /10/201408:00 ASUBUHI -16:00 JIONI
19GEITAOFISI YA RPC GEITA03-06 /10/201408:00 ASUBUHI -16:00 JIONI
20KAGERAOFISI YA RPC  KAGERA08-11 /10/201408:00 ASUBUHI -16:00 JIONI
21MOROGOROOFISI YA RPC MOROGORO18-21 /09/201408:00 ASUBUHI -16:00 JIONI
22IRINGAOFISI YA RPC IRINGA23-26 /09/201408:00 ASUBUHI -16:00 JIONI
23MBEYAOFISI YA RPC  MBEYA28-01 /10/201408:00 ASUBUHI -16:00 JIONI
24NJOMBEOFISI YA RPC  NJOMBE03-06 /10/201408:00 ASUBUHI -16:00 JIONI
25RUVUMAOFISI YA RPC RUVUMA08-11 /09/201408:00 ASUBUHI -16:00 JIONI

Muhimu:
(i) Mwombaji anaruhusiwa kufanya usaili kwenye kituo chochote cha usaili kilicho karibu naye kulingana na tarehe zinavyoonesha kwenye jedwali hapo juu ili mradi awe amejiridhisha kuwa ni miongoni mwa

Marekani yataja washirika wake 10 wa kupambana na ISI

Marekani imetangaza kuwa imeshirikiana na nchi 10 duniani kuunda ushirika utakaopambana na kundi lililojitangazia kuundwa kwa Dola la Kiislamu nchini Irak (Islamic State in Iraq).

Nchi zilizojiunga na Marekani ni pamoja na Uingereza, Ufaransa, Ujerumani, Uturuki, Canada, Australia Italia, Poland na Denmark.

Lengo la ushirika huo ni kusaidia nchi washirika katika mapambano dhidi ya ISI ardhini na kuendelea kushambulia kutoka angani, wanamgambo wa dhehebu la Sunni.

Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Marekani, John Kerry akizungumza nje ya mkutano wa NATO huko Wales amekaririwa na shirika la habari la Reuters akisema kuwa makusudio ya vita dhidi ya ISIS au ISIL si

Hali halisi ya barabara wilayani Rungwe 


  Picha kutoka kwenye blogu ya Mkwinda

How did Ebola hop from a Diplomat in Lagos to a Doctor in Port Harcourt?

It all started at the beginning of August, when a diplomat in Lagos violated a quarantine order and fled to Port Harcourt. That man infected a doctor at the port city, who then had contact with more than 200 people, the World Health Organization said Wednesday. About 60 people had what WHO calls "high-risk exposure" — they were in direct contact with the doctor or his bodily fluids.

The doctor secretly treated the diplomat in a Port Harcourt hotel room. The diplomat reportedly has survived.

The doctor developed symptoms — and thus became contagious to others — on Aug. 11. But for the next two days, he continued to treat patients in his private clinic, performing surgery on two.

As his Ebola symptoms worsened, but before he went into the hospital, the doctor had

The latest from WHO on Ebola therapies

via The NPR One of the reasons Ebola is so terrifying is that there's no vaccine and no cure. But the World Health Organization hopes to change that, with plans to quickly test experimental products during this outbreak.

By November, two promising vaccines will have been tested on people to see if they're safe, says Marie-Paule Kieny, assistant director-general at WHO.

"After that, these vaccines will start to be rolled out in the affected countries starting with health care workers and other front-line staff," Kieny said at a press conference held after a two-day meeting in Geneva on how to speed up the development of experimental vaccines and therapeutics.

Around 200 experts came — including officials from the countries hit by Ebola, researchers from

Marekani yathibitisha kuwa imemuua kiongozi wa al-Shabab

Mashabulizi yaliyofanywa na majeshi ya Marekani wiki hii nchini Somalia, yamemwuua kiongozi wa kundi la al-Shabab, Ahmed Abdi Godane.

Msemaji wa Pentagon, Rear Admiral wa kikosi cha Maji, John Kirby alisema katika taarifa yake fupi kwa maandishi baada ya kuthibitisha kwa siku nne pasina shaka kuwa Godane ameaga dunia:
"We have confirmed that Ahmed Godane, the co-founder of al-Shabaab, has been killed. The U.S. military undertook operations against Godane on Sept. 1, which led to his death. Removing Godane from the battlefield is a major symbolic and operational loss to al-Shabaab. The United States works in coordination with its friends, allies and partners to counter the regional and global threats posed by violent extremist organizations."
Hata hivyo, kundi la al-Shabab halijatamka hadharani kuwa Godane amefariki.

Rais wa Somalia, Hassan Sheikh Mohamud amekaririwa akisema kuwa mashambulizi hayo yalifanyika akiwa na taarifa na kukubaliana na uamuzi huo na kuunga mkono jitihada za washirika wake wanaosaidia kupambana na al-Shaban.

Rais wa Marekani, Barack Obama akizungumza katika hitimisho la mkutano na NATO huko Newport, Wales aliwaambia wanahabari kuwa wanachofanya dhidi ya al-Shabab bila shaka yoyote inaonesha walivyodhamiria kupambana situ na kundi hilo, bali pia na lile la ISIS/ISIL.

Mnyika huenda akamburuza Waziri Mkuu mahakamani