StarTvTz mahojiano na Maalim Seif

Okwi, Okwiii, Oookwi! Yanga kukata rufaa FIFA
Mwenyekiti wa Kamati ya Sheria na Utawala Bora wa klabu ya Young Africans Wakili Sam Mapande - kulia

Kwa mujibu wa taarifa iliyochapishwa kwenye tovuti ya klabu ya soka ya Yanga, uongozi wa timu hiyo umesema utapinga maamuzi ya kamati ya Sheria na Hadhi ya Wachezaji kuhusiana na maamuzi yake ya kumtangaza mchezaji wake, Emmanuel Okwi kuwa huru.

Mwenyekiti wa Kamati ya Sheria ya Yanga, Sam Mapande amesema kuwa hawajaridhishwa na maamuzi hayo ambayo yanakinzana na shitaka zima la mchezaji huyo.

Mapande amesema kuwa kamati ya TFF imeamua sakata la Okwi kinyume na malalamiko yao kwani

African rights court elect Judge Augustino Ramadhani as top judge

Augustino Ramadhani
Augustino Ramadhani

Judge Augustino Ramadhani of Tanzania was elected on Monday as the new President of the African Court on Human and Peoples' Right (AfCHPR).

Ramadhani, former Tanzanian Chief Justice, win the votes of seven of the court's 11 serving judges.

He replaced Sophia Akuffo of Ghana who led the Court for the past two years.

Apart from stepping down as court President, Akuffo and two other judges have completed their service at AfCHPR.

They were replaced by Solomy Balungi Bossa from Uganda, Rafaa Ben Achour from Tunisia and

New species of titanosaurian dinosaur 'Rukwatitan Bisepultus' found in Tanzania

(image: infobarrel.com)

Ohio University paleontologists have identified a new species of titanosaurian, a member of the large-bodied sauropods that thrived during the final period of the dinosaur age, in Tanzania. Although many fossils of titanosaurians have been discovered around the globe, especially in South America, few have been recovered from the continent of Africa.

The new species, named Rukwatitan bisepultus, was first spotted by scientists embedded in a cliff wall in the Rukwa Rift Basin of southwestern Tanzania. Using the help of professional excavators and coal miners, the team unearthed vertebrae, ribs, limbs and pelvic bones over the course of two field seasons. Read more

Kuhusu kujiuzulu kwa Mwanasheria Mkuu wa SMZ

Mkutano kati ya waandishi wa habari wa Zanzibar na Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Othman Masoud Othman, uliokuwa ufanyike leo Mjini Unguja ili kupata kweli kuhusu kujiuzulu kwa Mwanasheria Mkuu huyo katika Kamati a Uandishi wa Katiba ya Bunge Maalum la Katiba umeshindwa kufanyika.

Habari kutoka Mjini Unguja, zinasema waandishi wa habari ambao walikusanyika katika Ofisi ya Mwanasheria Mkuu huyo, walielezwa kwamba Othman hakuwa tayari kuzungumzia suala hilo kwa kuwa alikuwa na kikao kingine cha ndani na kuruhusu vyombo vya habari vya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar pekee kuzungumza naye.

Hivi karibuni, baadhi ya vyombo vya habari viliripoti kuwa Mwanasheria Mkuu huyo alijiuzulu katika Kamati ya Bunge.

Air Seychelles introduces Victoria, Mahe - Dar es Salaam, Tanzania schedule

The national airline of the Republic of Seychelles, Air Seychelles announced today the launch of twice-weekly flights to Dar es Salaam, starting December 2nd.

The route will be operated using a two-class Airbus A320 aircraft with 16 Business Class and 120 Economy Class seats.

Dar es Salaam is Air Seychelles’ third destination in the Indian Ocean and African network after Mauritius and Johannesburg. 

Tamko la Magereza kuhusu taarifa za kuachiwa "Babu Seya" na "Papii Kocha"

Hivi sasa kuna taarifa zimesambaa kupitia Ujumbe mfupi wa simu (SMS) na mitandao ya kijamii zikihusisha kuachiliwa huru kwa wafungwa wawili wanaotumikia Kifungo cha Maisha gerezani. Wafungwa hao wanaotajwa ni Nguza Vicking(Maarufu kwa jina Babu Seya) na Johnson Nguza(Maarufu kwa jina la Papii Kocha).

Napenda kuufahamisha Umma wa Watanzania kuwa taarifa hizo zote zilizotolewa kupitia njia hizo ni za Uongo na uzushi mkubwa na zinalenga kuipotosha jamii kwani wafungwa hao wapo gerezani na

Lowassa amfariji mzee Ndejembi kwa kufiwa na mjukuu wake, Betty NdejembiMbunge wa Monduli, Mhe. Edward Lowassa akisalimiana na mdogo wa marehemu Betty Ndejembi, Aisha Ndejembi aliyeuawa wiki mbili zilizopita jijini Dar es Salaam. Pembeni ni Mzee Pancras Ndejembi na Mama Ndejembi ambao marehemu alikuwa mjukuu wao.

Mheshimiwa Lowassa alikwenda nyumbani kwa mwanasiasa huyo mkongwe eneo la Uzunguni mjini Dodoma kumpa pole ya kufiwa na mjukuu wake huyo.


Mzee Ndejembi akimuelezea Mhe. Lowassa mkasa mzima wa kifo cha mjukuu wake, Betty Ndejembi aliyeteswa na kuuawa na watu wasiyojulikana jijini Dar es Salaam.

Jumatano, Rais Museveni anatarajiwa kuwasili Tanzania

Rais wa Jamhuri ya Uganda, Mhe. Yoweri Kaguta Museveni, anatarajiwa kuwasili nchini siku ya Jumatano asubuhi, tarehe 10 Septemba, 2014 kwa ziara ya kikazi ya siku moja.

Katika ziara hiyo nchini, Mhe.Museveni atakuwa na mazungumzo na mwenyeji wake, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ikulu, Dar es Salaam. Rais Museveni ataondoka baadaye siku hiyo hiyo kurejea nyumbani.

IMETOLEWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI,
WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA

Kiwanja chenye nyumba kinauzwa, Changanyikeni, Dar


Kiwanja kinauzwa katika eneo la Changanyikeni, Mbuyuni Jijini Dar es salaam karibu na eneo la Jesus Village.

Kina ukubwa wa hekari moja. Kinaweza kutumika kujenga shule, hospitali na kadhalika.

Kipo katika eneo zuri sana na kimezungukwa na majirani wa heshima (Decent Neighbourhood).

Kipo katika eneo wanalokaa Maprofesa wa Chuo kikuu Cha Dar es Salaam.

Rais Kikwete akutana na Wajumbe wa Kituo cha Demokrasia Tanzania

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Wajumbe wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TDC) wakati alipokutana nao kwenye Ikulu ndogo mjini Dodoma leo Septemba 08, 2015.

Mjengwa: Tunajifunza nini katika ajali ya Musoma?

Basi lililopinduka Gairo na kuua wanne papo hapo.

Wakati Mjengwa akiongoza mjadala wa mada iliyohusu tulichojifunza kwenye ajali iliyotokea huko Musoma wiki iliyopita na kuua zaidi ya watu 30, leo hii inaripotiwa kuwa ajali nyingine imetokea huko Gairo ambako imeua watu 4 papo hapo na kuacha majeruhi karibu arobaini.
Nafasi za mafunzo ya utengenezaji mashine za kutotolea vifaranga vya kukuTaasisi ya RafikiElimu Foundation kupitia Mradi wa Elimu ya Ujasiriamali mjini na vijijini inatangaza nafasi za mafunzo ya utengenezaji wa mashine za kutotolea vifaranga vya kuku.

Mashine zitakazo fundishwa kutengeneza ni incubator (manual & automatic) zenye uwezo wa kutnza joto kwa saa 48 pamoja na kutotolesha mayai kuanzia 240 hadi 5000.

Ada ya mafunzo:
Ada ya mafunzo haya ni shilingi laki mbili na elfu hamsini tu (Tshs. 250,000/=) na inalipwa kwa

T.B. Joshua sends 4,000 bottles of holy water to cure Ebola


Prophet TB Joshua, one of Nigeria's most controversial and richest preachers according to Forbes, recently announced that he sent more than 4,000 bottles of his powerful anointing water, which users claim has worked many miracles, to help victims of the deadly Ebola virus in Sierra Leone, Liberia.

"Prophet T.B. Joshua announced in The SCOAN Saturday Prayer Line that 4,000 bottles of New Anointing Water have arrived in the nation of Sierra Leone, alongside $50,000 in humanitarian aid, to

How to remove unwanted toolbars from computerSometimes, you download a new program, only to find that after installing it, you also have a toolbar in your browser and your default search engine has changed to Yahoo or Ask.com. Often, companies will bundle toolbars or other junk with their free programs. This allows them to offer those programs to you for free, while still making money.

You can remove using an automatic program like AdwCleaner.
  1. Download AdwCleaner and double-click the icon to run the program—no need to install it.
  2. Click the Scan button to scan your computer.
  3. When it's finished scanning, go through each tab (Services, Folders, Files, etc.) and check anything you want to clean. Not everything Adw finds will be crapware—if you aren't sure whether to remove something, try to determine the name of the software from Adw's list and search for it on Should I Remove It's web page.
  4. Once you're sure you've selected everything you want to remove, click the Clean button. It'll clean the selected options, restart your computer, and provide a report detailing what was deleted.
---
LifeHacker: The Complete Guide to Avoiding (and Removing) Windows Crapware

Best foods to increase milk and What foods to avoid

There are certain foods that increase breast milk and enhance lactation. Breast milk contains all the prime nutrients required for an overall growth and brain development of a newborn baby. Here is a list of the top foods that increase breast milk when included in your diet. - MomJunction.com
15 Best Foods to Increase Breast Milk