Hongera UKAWA. Hakuna kurudi nyuma tena - Mwl Lwaitama

Maoni ya Mwalimu Lwaitama kuhusu maamuzi yaliyofikiwa katika mkutano baina ya Rais Kikwete na Wajumbe wa TCD.

Hongera UKAWA kwa kufanikisha hili lakini kazi bado mbichi!. Bado ni lazima kuelewa kuwa makubaliano haya yamehalalisha kuwepo kwa Rasimu mbili za Katiba inayopendekezwa, ile iliyowasilishwa Bunge Maalum na Jaji Warioba kwa niaba ya Tume ya Rais ya Mabadiriko ya Katiba kama Rasimu ya Pili ya Tume hiyo ya Rais na Rasimu ya CCM itakayotokana na Bunge Maalum lilosusiwa na UKAWA kuendelea hadi tarehe 4 Oktoba kuchakachua maudhui ya kimapinduzi yaliyomo katika Rasimu ya Pili iliyotayarishwa na Tume ya Rais.

UKAWA sasa tekelezeni dhana ya 'UKAWA ndio mpango mzima' !!! Lazima

Annual Planners Conference scheduled for October

Head of the Government Communication Unit (President’s Office, Planning Commission), Ms. Joyce Mkinga (Left) briefs journalists (not in the picture) on the Annual Planners’ Conference to be held on the next month. Right is President’s Office, Planning Commission’s Principal Economist, Mr. Omary Juma.
Head of the Government Communication Unit (President’s Office, Planning Commission), Ms. Joyce Mkinga (Left) briefs journalists (not in the picture) on the Annual Planners’ Conference to be held on the next month. Right is President’s Office, Planning Commission’s Principal Economist, Mr. Omary Juma. 

The President’s Office, Planning Commission is organizing Annual Planners Conference to be held in Dar es Salaam in September this year with the aim of discussing contemporary issues pertaining to economic planning and management.

The Planner’s conference is a professional gathering that brings together practionners in government including economists, planners and statisticians responsible for economic management and planning who meet to discuss and share experience on policy, planning and networking and professional development issues.

The conference presents opportunities for high-level networking and consensus building on

Mshtakiwa ugaidi aonyesha alivyolawitiwa


Mmoja wa watuhumiwa wa ugaidi katika kesi inayomkabili Kiongozi wa Jumuiya za Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu (JUMIKI) Zanzibar, Sheikh Farid Hadi Ahmed (43), amevunja ukimya mahakamani baada ya kuonyesha suruali ilivyolowa kwenye makalio akisema ni madhara ya kulawitiwa na kuingizwa miti na polisi.

Mshtakiwa huyo, Salum Ally Salum, aliamua kufanya hivyo jana ili kuithibitishia mahakama kile walichodai ni unyama waliotendewa na polisi wakati wakihojiwa.
“Mheshimiwa hakimu, angalia (anageuka na kuinua suruali katika eneo la makalio), haya ndiyo madhara niliyopata kwa kuingiliwa nyuma na kuingizwa jiti” 
Baada ya mshtakiwa huyo kuzungumza, Hakimu Hellen Riwa alimshauri kutoa taarifa kwa

World Bank top official to visit Tanzania

The Managing Director and Chief Operating Officer for the World Bank, Sri Mulyani Indrawati, will visit Tanzania from September 11 to 14, the bank said on Tuesday.

In a statement issued in the commercial capital Dar es Salaam, the World Bank said during her visit, Indrawati will hold high level discussions with Tanzanian President Jakaya Kikwete and Ali Mohammed Shein, President of Tanzania's semi-autonomous region Zanzibar, Prime Minister Mizengo Pinda, and other top government officials.

"She will also have meetings with representatives of the private sector, civil society, academia and the

IPTL yafungua kesi kumdai Zitto bilioni 500/=

Kampuni ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL), imefungua kesi ya madai katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, wakimtaka Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe awalipe fidia ya Sh bilioni 500 kutokana na kutoa kashfa dhidi yao.

IPTL, Kampuni ya Pan Africa Power Solutions Tanzania Limited (PAP) na Mwenyekiti Mtendaji wa makampuni hayo mawili, Harbinder Seth wamefungua kesi dhidi ya Zitto, Mhariri wa gazeti la Raia Mwema, Kampuni ya Raia Mwema na Kampuni ya Flint Graphics.

Washitakiwa wengine wameshitakiwa kwasababu makala yenye maneno ya kashfa na kuwachafua, iliyochapishwa Agosti 13 mwaka huu katika ukurasa wa 7 na 14 wa gazeti lao, ikiwa na kichwa cha

Safu mpya ya Baraza la Wazee CHADEMA Taifa


Hashim Juma Issa
Hashim Juma Issa

Safu mpya ya Baraza la Wazee Taifa ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), imetangazwa ambayo Mwenyekiti wake ni mkazi wa Zanzibar, Hashim Juma Issa.

Mkurugenzi wa Mafunzo na Uchaguzi wa chama hicho, Benson Kigaila, alisema nafasi ya Makamu Mwenyekiti katika baraza hilo ni Susan Lyimo na Katibu Mkuu ni Rodrick Lutembeka.

Nafasi ya Mwenyekiti wa baraza hilo la wazee, ilikuwa ikishikiliwa na Nyangaki Shulungashela, mkazi wa Shinyanga na nafasi ya Makamu Mwenyekiti ilikuwa inashikiliwa na mkazi wa Kigoma, Erasto Shija.

Waliojitokeza kuwania nafasi ya mwenyekiti katika baraza hilo ni Arcado Ntagazwa, Issa, Jacob Koyi na Kayaga Kayaga. Awamu ya kwanza, Issa alipata kura 36 akifuatiwa na

Mapokezi ya binti Mwanaafa Mwinzago kwao MtwaraMara baada ya kutua katika Uwanja wa Ndege wa Mtwara, mshindi wa Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) 2014 Mwanaafa Mwinzago akitoa maneno ya shukrani kwa wakazi wa Mtwara waliojitokeza kuja kumpokea uwanja wa Ndege wa Mtwara mapema leo. Vilevile alitoa shukrani zake zote kwa Watanzania wote kwa kuweza umpigia kura na kumfanya aibuke mshindi wa milioni 50/= za Tanzania katika fainali ya Shindano la Kusaka vipaji vya Kuigiza lijulikanalo kama Tanzania Movie Talents (TMT).Wapenzi, Mashabiki na wana Mtwara wakiwa Nje ya Uwanja wa Ndege wa Mtwara wakisubiri kumpokea mshindi wa Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) 2014 Mwanaafa Mwinzago kwaajili ya kumpongeza kwa kuibuka mshindi wa shilingi milioni 50 za Kitanzania katika fainali ya Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) lililofanyika mwisho wa Mwezi wa Nane katika ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam.Wakazi wa mkoa wa Mtwara wakimpongeza Mshindi wa TMT 2014 Mwanaafa Mwinzago ambaye amewasili mkoani Mtwara ambapo ndio nyumbani kwao akitokea Dar es Salaam mara baada ya

Afisa Usalama wa Taifa Mstaafu azungumzia Urais: Sifa, Tahadhari na Nyerere, Mwinyi, Mkapa

Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa na Waziri wa kwanza wa Ofisi ya Rais (Utawala Bora), Dk. Hassy Kitine, amewataka Watanzania kuwa macho dhidi ya watu wanaojitangaza kutaka urais kwani wengi wao huwa na ajenda binafsi na hawajui kuwa urais siyo lelemama.

Dk. Kitine ambaye pia ni miongoni mwa makada wa miaka mingi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), amekosoa harakati za kusaka urais zinazofanywa na baadhi ya wanachama wa chama hicho, akieleza hofu yake kuwa wanaofanya hivyo hawaonyeshi kuwa na ajenda ya dhati ya kutaka kuutumikia umma wa Watanzania.

Akizungumza na NIPASHE katika mahojiano maalum mwishoni mwa wiki, Dk. Kitine alisema: "Mtu anayetangaza (mwenyewe) kuwa anataka kuwa rais anakuwa hajui anachokisema... anakuwa hajui matatizo ya urais. Na mtu asiyejua matatizo ya urais anaweza kujisemea tu kwa sababu haelewi urais maana yake ni nini," alisema Dk. Kitine.

"Pili, mtu anayejua maana na changamoto za urais hawezi kutangaza anautaka urais. Ataogopa kwa

Haya! Wahusisha CHF na Freemasons; Kandoro awakemea

MKUU wa mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro amekemea vikali watu wote wanaopotosha umuhimu wa mfuko wa Afya ya Jamii (CHF) wakisema ni njia ya kuwaingia wakazi wilayani hapa katika mfumo wa Freemasons.

Kwa wilayani Kyela, kupitia CHF kila mkazi anapaswa kulipia kiasi cha shilingi 5,000/= ili aweze kupata huduma za afya bure kwa kipindi cha mwaka mzima.

Lakini tafsiri ya bima hiyo kwa baadhi ya wakazi wilayani hapa imekuwa ni kuhusisha kupata huduma na mtandao wa Freemasons wakisema haiwezekani watu wakapata tiba kwa kiasi kidogo cha fedha kama shilingi 5000 kwa mwaka mzima. 

Uwepo wa upotoshaji huo,umekuwa ukitajwa kuwa chanzo cha baadhi ya wakazi kugoma kujiunga na

Maamuzi ya mkutano wa Rais Kikwete na Viongozi wa TCD kuhusu Katiba Mpya na Bunge Maalum la KatibaMkutano kati ya Rais Jakaya KIkwete na viongozi wa vyama vya Siasa vinavyounda Kituo cha Demokrasia nchini (TCD) umekubaliana kufany amarekebisho katika katiba iliyopo na inayotumika sasa ( Katiba inayotumika kwa wakati huu ya mwaka 1977) ifanyiwe marekebisho muhimu ili iweze kutumika katika uchaguzi Mkuu wa mwakani, 2015.

Akisoma tamko la TCD mbele ya Wanahabari mjini Dodoma, Mwenyekiti wa Muungano huo Mhe. John Cheyo, amesema mkutano wao na Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, umekubaliana kuwa muda uliobakia kabla ya Uchaguzi Mkuu wa Mwakani hautoshi kwa mchakato huo kukamilika:
"Hakuna muda wa kutosha kukamilisha mchakato wote na kufanya mabadiliko yanayohitajika kwenye sheria na kanuni ili hiyo Katiba iweze ikatumika. Kwa mujibu wa

Ajali katika milima ya Sekenke


Dereva wa lori lililokuwa limebeba saruji kutoka jijini Dar es Salaam kuelekea Mwanza leo amefariki dunia baada ya lori hilo kupinduka eneo la Sekenke mkoani Singida. Watu wengine wanne waliokuwa kwenye lori hilo wamejeruhiwa.

Mmoja wa mashuhuda wa ajali hiyo amesema kuwa chanzo cha ajali hiyo ni kufeli breki kwa lori hilo lililokuwa likishuka milima ya Sekenke na mpaka anaondoka eneo la ajali hiyo bado dereva (marehemu) na mmoja wa watu waliokuwemo aliyekuwa hai walikuwa bado wamenasa kwenye lori hilo.

Rais Kikwete akagua enelo na utayari wa kupambana na Ebola

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwaangalia wahudumu waliopata mafunzo maalumu ya kumhudumia mgonjwa wa ebola wakati alipokagua wodi maalumu iliyotengwa kwa ajili ya wagonjwa wa ebola iliyoko katika eneo la hospitali ya Temeke jijini Dar es salaam leo Septemba 9, 2014 mara alipowasili kutokea Dodoma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete leo, Jumanne, Septemba 9, 2014, amekagua huduma na vifaa, pamoja na maandalizi ya kukabiliana na ugonjwa hatari wa Ebola, ili kujiridhisha na utayari wa Tanzania dhidi ya tishio kubwa la ugonjwa huo.
Mara tu baada ya kutua Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar Es Salaam, akitokea Dodoma, Rais Kikwete amekwenda moja kwa moja kukagua vifaa, huduma na maandalizi ya jinsi Tanzania

Diamond Platnumz "Take Over Concert" FREE entrance for ALL, GermanyDiamond PlatnumzYES!!!! STUTTGART GERMANY!!! on this 20th of September 2014... kiukweli nilisikitishwa sana na kilichotokea last time Stuttgart... lakini baada ya kugundua kuwa pia lilikuwa ni kosa la mtu mwingine na si promotter kama nilivyodhani, yaani Brittis Events... ndipo tulipoamua na kuwaletea Burudani hii Mashabiki zetu pendwa wa Stuttgart....hakikisha ufikapo unapendeza zaidi maana kama ujuavyo safari hii Vyombo vyote vya habari ndani na nje ya nchi vitakuwa pale kwa RedCarpet.... kiingilio ni BUREEEEEE!!!... tafadhariwambie na wenzio wa nchi za karibu...#NORWAY #HOLLAND #SWITZLAND#BELGIUM #SWEEDEN na kadharika!!!!

CHADEMA "watachoka wakimaliza watatufuata" asema Msajili wa Vyama

SIKU moja baada ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, kuwekewa pingamizi la kutogombea nafasi hiyo kwa awamu ya tatu, Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi, amesema kinachotokea kwenye chama hicho ni matokeo ya kupuuza ushauri wake.

Mbowe amewekewa pingamizi na aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Tabora, Kansa Mbarouk, ambaye pia ni mgombea wa nafasi hiyo, kwa madai ya kukiuka katiba ya chama hicho na maagizo ya msajili wa vyama vya siasa.

Akizungumza na MTANZANIA jijini Dar es Salaam jana, Jaji Mutungi alisema kuwa ofisi yake

Excuse. Other people’s opinions can only stop you if you let themAn excuse is standing somewhere between you and the next step you need to take.

If you really want to do something, you'll find a way. If you don't, you'll find an excuse. This may be tough to accept, but it’s the truth. Stop making excuses for why you can't get it done and start focusing on all the reasons why you must make it happen. 

The only person who can truly hold you back is you. 

Oftentimes when we feel stuck, we are waiting for something to happen. We wonder when the winds will change in our favor. We do this instead of embracing the present and admitting the change we need to make. What is keeping you from stepping forward? If not fear of failure, then what? Insecurity? Laziness? What is your excuse? We all have one. 

When we focus on our excuses more than our steps forward, we walk in a circle and fall into the familiar pit we call “Stuck.”

Care too much about what other people think and you will always be their prisoner.

Your freedom lies not in the physical space around you, but in your mind. 

As long as you cling to other people’s definitions of your truth, your beauty, and your happiness, you will always be chained. Thoughts that begin with, “I have to…” or “I really should…” reveal where we feel most obligated to direct our energy. 

Listen to your intuition. It already knows what you truly need.