Job opportunity at TRA for Secretaries

Purpose of the Job
To perform various Secretarial Duties to the Head / Deputy Head of
Department/Manager

Major Activities of the Job
(i)         Receive, interview and accordingly direct visitors.
(ii)        Type letters, minutes, various documents and reports.
(iii)       Handle confidential and sensitive information.
(iv)       Ensure that office working tools are in good order.
(v)        Receive and make telephone calls.

Job opportunity at TRA for a Receptionists

High-level Tanzanian trade team visits State General Reserve Fund of Oman


MUSCAT — As part of developing investments and enhancing economic relations between The Sultanate and the United Republic of Tanzania, Dr Mary Michael Nagu, Minister of State in the Prime Minister’s Office and Minister responsible for investments in Tanzania, and as an envoy by the Tanzanian President, along with the delegation accompanying her, visited State General Reserve Fund (SGRF) where she was received by Abdulslam al Murshidi, SGRF’s Executive President, and some senior officials of the Fund.

During the visit talks were held focusing on various projects and investment opportunities between the

Irish Fellowship Training programme for Tanzanians

The Ministry of Health and Social Welfare in collaboration with Irish Embassy under Irish Aid Fellowship Training Programme invites application for postgraduate fellowship programme for academic year 2015/2016 to study either in Ireland or Tanzania.

Interested candidates should submit a letter of expression of interest explaining why Irish Aid should consider him/her for the Fellowship Training Programme, a detailed CV and two proposed courses of study.

Eligibility Criteria:
 • Tanzania residency and citizenship.
 • Holder of a Bachelor Degree (Diplomas are not acceptable).
 • Currently employed by the government.
 • Minimum of three years relevant working experience.
 • Be available to take up scholarship in 2015/16.
 • The course duration should not exceed two years.
Note:

Applications should be addressed to:Head of Development Cooperation Embassy of Ireland
DAR ES SALAAM.

The deadline for submission of application at the Ministry of Health and Social Welfare is 22nd September 2014.

PERMANENTMINISTRY OF HEALTH AND SOCIAL WELFARE

Tanzania Chevening Scholarships

The Chevening programme grants awards to outstanding individuals with leadership potential from around the world. A Chevening Scholarship offers financial support to individuals wishing to study for a Master’s degree at the UK’s leading universities, along with the opportunity to become part of an influential and highly regarded global network.

Applicants from Tanzania can choose any course of study, but we particularly welcome applications in the following fields:
 • Human Rights 
 • Oil and Gas 
 • Law 
 • Media 
 • Finance 
A Chevening Scholarship in Tanzania includes:-

[audio] Mbatia atoa tamko viongozi wa UKAWA kuhusu BMKBlog ya "Cheka Na Kitime" imehamaCheka na Kitime imehamia www.johnkitime.co.tz

Please welcome to my website www.johnkitime.co.tz the site has lots of information on the entertainment industry in Tanzania. And if you love Kiswahili jokes this is the place.

Nafasi za kazi za mitindo na uigizaji filamu

Wewe ni msichana mwenye kipaji cha mitindo lakini haujui uanzie wapi?

Wewe ni msichana mwenye kipaji cha kuigiza?

Unatafuta nafasi ya kuigiza kwenye filamu?

Kama jibu ni ndio basi hii ni habari njema sana kwako.

Kampuni inayo jihusisha na ku- manage wanamitindo pamoja na wasanii wenye vipaji mbalimbali inatangaza nafasi za kazi zifuatazo :-

Vodacom yakabidhi vifaa vya timu 14 za ligi kuu ya soka Tanzania

Meneja Uhusiano wa Nje wa Vodacom Tanzania Salum Mwalim,akiongea na waandishi wa habari(hawapo pichani)wakati wa kukabidhi vifaa kwa timu zinazoshiriki Ligi Kuu ya Vodacom.  kushoto ni Meneja biashara wa TFF Peter Simon na kulia ni Afisa mtendaji mkuu wa bodi ya ligi Silas Mwakibinga. Timu 14 zimekabidhiwa vifaa vyenye thamani ya zaidi ya Sh 430 Milioni.

Sheria Ngowi, mbunifu mavazi wa Kimataifa akutana na Rais KikweteMbunifu wa mavazi wa kimataifa Sheria Ngowi(kulia)akibadilishana mawazo na Rais Jakaya Kikwete IKULU Leo Jijini Dar es Salaam alipomtembelea na kujadili mambo mbalimbaliRais Jakaya Kikwete akipitia baadhi ya sample za vitambaa vya nguo vinavyotumiwa na mbunifu wa mavazi wa kimatafaifa Sheria Ngowi (kulia)IKULU Jijini Dar es Salaam LEO,Kushoto ni Makamu wa

Call for audition: Das Letzte Kleinod (The Last Treasure) at the Bagamoyo College

The theatre, Das Letzte Kleinod (The Last Treasure) from Germany is preparing a new Tanzanian-German theatre-project, which will be presented in both countries in summer 2015. 

The director of the group is visiting the 33rd International Bagamoyo Arts Festival 2014 and will hold an audition on

Saturday, 27th of September 2014 at 11:00 A.M

Interested actors, dancers, musicians can send an application to
[email protected] or come spontaneously to the audition at the Bagamoyo College of Arts/TASUBA

www.das-letzte-kleinod.de

Wasanii watakaonogesha Tamasha la Utalii na miaka 4 ya VijimamboVijimambo Blog kwa ushirikiano wa pamoja na Ubalozi wa Jamhuri ya Muunagano wa Tanzania ikiwemo Jumuiya ya Watanzania DMV inawaletea miaka 4 ya Vijimambo ikiutangaza Utalii wa Tanzania na kukemea ujangili siku ya September 13, 2014. Njoo ujivunie maliasili na utalii wa nchi yako sote kwa pamoja yunaweza kuitangaza nchi yetu na kukemea ujangili kwa kauli moja yenye nguvu inayosikika kimataifa.


Msanii wa Bongo Movie Aunty Ezekiel kunogesha tamasha la utalii siku ya Jumamosi Sept 13, 2014Msanii wa Bongo flava Kassim mganga nae kuwepo.AJ Ubao

Tanzanian Facebook Marketing Executive Kay Madati as BET Networks Chief Digital Officer and Executive Vice President

Kay Madati, Executive Vice President & Chief Digital Officer, BET Networks. (photo: FORBES)
Kay Madati, Executive Vice President & Chief Digital Officer, BET Networks. (photo: FORBES)

BET Networks, a subsidiary of Viacom Inc., announced that it has hired Kay Madati as Executive Vice President and Chief Digital Officer. Madati, a Tanzanian citizen who has lived in Africa, the United Kingdom, and the United States, will lead BET’s teams responsible for all aspects of digital, social and mobile strategy and oversee operations, content creation, technology and product development across the suite of BET Network’s digital platforms

Madati, whose appointment was announced last week, will oversee BET Digital, the interactive arm of BET Networks whose platforms include BET.com, which encompasses entertainment, music, culture, and news; BET Mobile, which provides apps, ringtones, games and video content for wireless devices; Centric.tv, the online home for the Centric cable channel; and BET Video On Demand, one of the

Tanzania arabica coffee prices rise, tracking New York market

(photo: toafrica.net)

Tanzania's arabica coffee prices rose at auction last week, tracking higher New York markets as demand increased, the regulator Tanzania Coffee Board (TCB) said on Tuesday.

Prices of robusta coffee beans fell at the second auction of the season, but all the bags on offer were sold.

Tanzania, Africa's fourth-largest coffee producer after Ethiopia, Uganda and Ivory Coast, produces mainly arabica and some robusta coffee. Prices of its arabica normally track the New York market while those of robusta take their cue from London.

The state-run TCB said a total of 17,235 60-kg bags were offered at the latest sale and that 15,091 bags were purchased. At the previous sale, a total of 25,693 60-kg bags had been offered for sale, with 25,560 bags sold.

East African coffee is normally packed in 60-kg bags, but the prices are quoted for quantities of 50 kg.

"Overall average prices at the Moshi exchange were up by $5.95 per 50 kg for mild arabica, while robusta prices were down by $1.63 per 50 kg compared to the last auction," TCB said in its auction report.

"Average prices were above the terminal market by $8.98 per 50 kg for mild arabica and robusta were above the terminal market by $13.78 per 50 kg."

Mv Dar es Salaam ya Dar - Bagamoyo kuwasili mwezi ujao

(image source: temesa.go.tz)

SERIKALI imetangaza kukamilika kwa ujenzi wa Kivuko kipya cha Mv Dar es Salaam,
kitakachokuwa na uwezo wa kuvusha watu zaidi ya 300 kati ya Dar es Salaam na Bagamoyo.
Kukamilika kwa kivuko hicho, kinachotarajiwa kuwasili nchini katika kipindi cha wiki tatu zijazo, kunatokana na jitihada za serikali katika kupunguza msongamano wa magari na shida ya usafiri kwa wakazi wa jiji la Dar es Salaam.

Mbali na uwezo wa kubeba idadi kubwa ya abiria, kivuko hicho pia kitakuwa na kasi itakayowezesha kufanya safari zake haraka zaidi, kuliko vivuko vingine vilivyopo nchini.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Waziri wa Ujenzi, Dk. John Magufuli, alisema Kivuko hicho kilichoigharimu serikali sh. bilioni 7.9, kinatarajiwa kuwa mkombozi kwa

Ilivyo barabara ya Bonyokwa, Dar es Salaam

Waendesha 'bodaboda' wakijitahidi kupita kwenye utelezi wa barabara katika kilima cha Bonyokwa kama walivyokutwa na mpiga picha hii siku ya Jumatatu. Barabara hiyo inaunganisha maeneo ya Kinyerezi na Kimara jijini Dar es Salaam. (picha: Mohamed Mambo/DAILY NEWS)

Buriani Mtaalamu Bingwa wa Menejimenti ya Fedha na Uhasibu, Prof. Rwegasira

http://www.msm.nl/resources/uploads/2014/08/Kami-Rwegasira.jpg http://dailynews.co.tz/images/THELATERWEGA.jpg
Mwaka 2012 nilipata neema ya kusoma stashahada ya juu katika utafiti katika moja ya vyuo bora vya masomo ya menejimenti barani Ulaya kilichoko katika iimbo ya Lumburg nchini Uholanzi kijulikanacho kama Maatristch School of Management (MsM). 
Siku moja nikiwa katika harakati za kupata ushauri wa kimasomo kutoka kwa Profesa aliyekua ananisamia, aliniuliza iwapo namfahamu Profesa mwenye asili ya kitanzania aliyeko katika chuo hicho. Alinielekeza ofisini yake na kwa kiu ya kukutana na mtanzania mwenzangu katika nchi ya ugeni nilikwenda kumtafuta mtu huyu nisiyemfahamu. Huyu hakua mwingine bali Profesa Kami S. P. Rwegasira ambaye alikua mtaalamu gwiji wa mambo ya fedha na uhasibu (A Senior Professor in Finance and Accounting). P
amoja na kwamba hakua mtaalamu wa fani yangu ya mifumo ya kompyuta alitaka kujua utafiti wangu

Michango ya Meghji, Nyangwine, Zungu, Semakafu kuhusu Uraia Pacha

Uraia pacha kwa Watanzania walioko nje ya nchi jana uliendelea kutawala katika mijadala kwenye Bunge la Katiba huku wengi waliochangia wakikubaliana wasio na uraia Katiba iruhusu wapewe chini ya utaratibu wa uraia wa pacha. 

Wachangiaji wengi walisema hakuna sababu ya kuwanyima uraia hao kwa kisingizio kuwa sio wazalendo. 
 • Selemani Ali: Watanzania walioenda nje ya nchi kusaka maisha umefika wakati warejeshewe uraia wao kwani watapata fursa pia ya kufaidika na matunda ya nchi yao. 
 • Luis Majaliwa: Watanzania hao hawana hadhi ya kupewa uraia kwa sababu si wazalendo kwani walikimbia nchi kwa kuona maisha ni magumu na kuwaacha wenzao wanahangaika kuikwamua nchi kwenye maendeleo, “iweje leo hii walioacha jahazi linazama waona

Mwalimu Julius K. Nyerere in CCTV's "Faces of Africa"

CCTV:
"Brave, strong and with a zeal to help liberate other African countries that were still under the rule of the colonialists, Mwalimu Julius Nyerere the founding father of Tanzania stood as a great leader who chose the path less travelled by many.
He challenged tyrannical leaders like Idi Amin and fought tirelessly for what he believed in, socialism."