Nape Nnauye katika ziara ya kutoa mafunzo kwa viongozi wa CCM Uingereza

  • Ahimiza CCM UINGEREZA iwe chachu ya mabadiliko ya kiutendaji na kuleta fikra mpya na mbadala nyumbani kwa watanzania kujikomboa kiuchumi.
  • Asema Chama kinaendelea na juhudi za kutatua kero na matatizo ya wananchi; wafanyakazi, Vijana na Wakulima na kuigusa jamii moja kwa moja.
  • Aunga Mkono CCM UINGEREZA Kufanya juhudi za kufufua Jumuiya ya Watanzania.
  • Ampongeza Mwenyekiti mpya CCM UK Kwa kuchaguliwa kwake na kwamba wana Imani na uongozi Mpya.
Katibu wa NEC; Itikadi na Uenezi CCM TAIFA Ndugu Nape Nnauye akifurahia jambo na Mwenyekiti Mpya CCM – UINGEREZA Ndugu Kapinga Kangoma mwenye kofia, kushoto ni Makamu Mwenyekiti CCM - UINGEREZA Ndugu Sukwa Said Sukwa kulia kabisa ni Kaimu Katibu CCM - UINGEREZA Ndugu Leybab Mdegela, Katika semina ya mafunzo jijini London.

Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi CCM TAIFA Ndugu Nape Nnauye amezungumza na kutoa mafunzo kwa Viongozi wa chama cha mapinduzi Tawi la Uingereza Jumamosi tarehe 06.09.2014 katika ziara yake nchini humo iliyokuwa maalum kwa ajili hiyo. Pia Ndugu Nape amempongeza Mwenyekiti Mpya kwa kuchaguliwa kwake na kushukuru kuona uchaguzi ulifanyika salama na akatoa salamu toka kwa KATIBU MKUU TAIFA Ndugu Abdulrahaman Kinana na kuwa CCM TAIFA wana Imani na uongozi mpya hapa Uingereza na wako tayari kuwapa ushirikiano unaostahili.

Akimkaribisha kuzungumza na Viongozi wa Tawi na Mashina CCM UK; Mwenyekiti Mpya wa CCM UK Ndugu Kapinga Kangoma alimshukuru Ndugu Nape kwa moyo aliounyesha wa kujitoa ili kuimarisha chama hapa UK kwa manufaa ya wana CCM na Watanzania Ughaibuni kwa ujumla na kuahidi kuendelea kufikia watanzania wengi Zaidi hapa UK kujiunga na chama na pia kufufua

TCU List of Form Six Applicants NOT Selected in First Round

Below is a link to download a file provided by Tanzania Commission for Universities (TCU) with the list of applicants who were not selected in various degree programmes due to high competition on the applied programmes.

If your name, index name is in this list, you are required to complete the application for the second round.

Note: If your name or index number does not appear in this list, your application was successful and is being processed for admission.

Click here to downoload th list with names of Form Six Applicants NOT selected in the first  round

6th Annual Julius K. Nyerere Commemoration

Julius Kambarage Nyerere 1922 - 1999
Julius Kambarage Nyerere 1922 - 1999

On Sunday, November 2, 2014, the Julius K. Nyerere Commemoration committee will convene its 6th Annual program commemorating the life and work of Julius Kambarage Nyerere at Gallery Serengeti, located at 7919 Central Avenue, Capitol Heights, MD 20743 [301.808.6987] from 5:00 – 7:00 pm.
The exciting program will feature DC’s own singer/songwriter Luci Murphy; dancer/singer/songwriter Anna Mwalagho from Kenya, well-known to the Tanzanian community; griot and master storyteller Baba-C; Dr. John Rutayuga of Ukimwi Orphans Assistance; Alexander Valentin Rodriguez Salazar, 2nd Secretary of the Cuban Interest Section, and drummer/ dancer/African cultural expert extraordinaire Melvin Deal.

The Gallery is an apt venue for this important program, with its phenomenal African art displays, operated by Wisson West, who spent some of his formative years in Tanzania and has been a supporter of the Julius K. Nyerere Commemorations since their inception. Invitees include representatives from

"Wenye sauti za kuukataa muungano ni wengi zaidi katika UKAWA"

Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe amesema hawezi kujiunga na Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kwa sababu baadhi ya wajumbe wa umoja huo hawautaki Muungano na wamejificha nyuma ya pazia la kutaka muundo wa serikali tatu.

Amesema si kila mtu anayetaka serikali tatu anaupenda Muungano na kusisitiza kuwa ni aibu kuwa na marais watatu ndani ya nchi moja.
“Msimamo wangu wa serikali tatu si msimamo wa marais watatu kwa sababu najua msimamo wa marais watatu utavunja nchi. Msimamo wangu ni rais mmoja wa Jamhuri ya Muungano, Mkuu wa Serikali Zanzibar na Mkuu wa Serikali Bara” 

Akieleza sababu za kutoungana na Ukawa, Zitto alisema baadhi ya wajumbe wake wanasema njia nyepesi ya kubakia na Zanzibar ni serikali tatu, wengine wanasema njia nyepesi ya kubakia na

Emirates to introduce second service to Dar es Salaam


Dubai - Emirates airline announced on the Thursday it will start a second service to Dar es Salaam, Tanzania from October 26.

The new flight will be operated with a 237 passenger seat Airbus A330-200.

The new service will operate on a Mondays, Tuesdays, Wednesdays, Saturdays and Sundays. It will depart Dubai at 4:55pm and arrive in Dar es Salaam at 9:50pm. The return flight will depart Dar es Salaam at 11:30pm the same day and arrive in Dubai at 6:20am the next day.

Kijijini Lunyere, katikati ya Tanzania-Musumbiji hakuna zahanati tangu kuanzishwaPichani ni Kijiji cha Lunyere (DarPori) ambacho kipo umbali wa zaidi ya kilometa 90 kutoka wilaya ya Nyasa, mkoani Ruvuma.

Kijiji hiki kipo mpakani mwa Tanzania na Msumbiji wananchi wanailalamikia serikali kwa kushindwa kutengeneza barabara ya kutoka wilayani humo hadi huko kutokana kuwa katika hali mbaya.

Kijiji hiki toka kianzishwe mwaka 1992 na kusajiliwa rasmi mwaka 2003 hakijawahi kuwa na zahanati. Eneo hili lina mtawanyiko wa maisha na serikali ya aina yake. 

(Picha, Maelezo: Kassian Nyandindi via Lukwangule blog)

Polisi yawashikilia wanne waliokutwa wakilima wakiwa uchi

Jeshi la polisi Mkoani Simiyu linawashikilia watu wanne wa familia moja kwa tuhuma ya kukutwa wakilima uchi wa mnyama shambani kwa kile kinachodaiwa kuwa ni imani za kishirikina.

Kaimu kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Simiyu Venansi Kimario alisema tukio hilo limetokea septemba 2 majira ya saa 12 asubuhi katika kijiji cha Bushikwamala kata ya Kalemela wilayani Busega Mkoani Simiyu.

Kimario alisema kuwa watu hao walikamatwa na jeshi la polisi alfajirihuko Bushigwamhala wakiwa wanalima kwenye shamba lao na walipohojiwa walidai kuwa walielekezwa na babu yao kipindi cha

Albano Midelo anahitajika haraka uhusiana na msaada wa wheelchair

Bibi Scholastica Mhagama akiwa amejitengenezea jeneza lake

Kuna Masamaria mwema ametuma Wheelchair kwa Scholastica Mhagama (76) mwenye ulemavu wa viungo anayeishi peke yake katika kibanda kilichoezekwa kwa nyasi katika Kijiji cha Lundusi Kata ya Peramiho wilayani Songea Mkoa wa Ruvuma.

Msamaria huyu kutoka Maryland Marekani aitwaye Joyce Rwehumbiza aliguswa na habari iliyoandikwa na gazeti la Mwananchi iliyoweka mawasiliano na albano.midelo[email protected], 0688551355 iliyobeba kichwa cha habari "Bibi ajitengenezea jeneza baada ya kuchoshwa na dhiki"

Joyce Rwehumbiza ameishatuma wheelchair hiyo inafika Dar es Salaam leo Ahamisi Sept 11, 2014 na amejaribu kuwasiliana na mwandishi wa hii habari lakini hakuweza kumpata ameomba tafadhali Albano Midelo awasiliane na namba 0765 835722 haraka kwani baada ya siku 2 huyu mama anatarajiwa kusafiri.
via luke Joe/Vijimambo blog