Mandela angekuwa hai angejivunia umahiri wa Jaji Thokozile Masipa

Jaji Thokozile Masipa
Jaji Thokozile Masipa


Mwanamama mweusi aliyeendesha kesi ya Pistorius ana historia ya kutia moyo kama ya mwanariadha huyo mlemavu.

Kesi mbili zimemalizika jijini Johannesbugh, Afrika ya Kusini: moja, ya wazi na ambayo dunia nzima ilikuwa ikiifuatilia, ya mwanariadha mlemavu, Oscar Pistorius, aliyekuwa kizimbani kwa kosa la kumpiga risasi mpenzi wake, mrembo Reena Steenkamp, na kumuua, na ya pili ni dhidi ya mwanamke mweusi mwenye miaka 66, Jaji Thokozile Masipa, aliyekuwa na dhamana ya kutoa hukumu katika kesi hiyo iliyovuta hisia za wengi duniani.

Yaliyojiri kwa upande wa Pistorius sote twayafahamu, lakini wengi hawafahamu kuhusu mwanamama Masipa, ambaye licha ya kuangaliwa kwa jicho 'kali' na familia za mwanariadha huyo na ya marehemu Reena, macho ya dunia yaliyokuwa yakifuatilia kesi hiyo nayo yalielekezwa kwake.

Ile kuwa mtu mweusi, achilia mbali uanamke wake, ilikuwa ni mtihani tosha katika nchi ambayo licha

Halima Mdee ndiye Mwenyekiti Mpya BAWACHA

Mwenyekiti mpya wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA, Halima Mdee akizungumza baada ya kutangazwa matokeo ya uchaguzi mkuu wa baraza hilo. (picha: Francis Dande)

Mbunge wa jimbo la Kawe Mheshimiwa Halima James Mdee, ameshinda kiti cha Uenyekiti wa Baraza la Wanawake CHADEMA (BAWACHA) baada ya kupata kura 165 huku mtu aliyemfuatia kwa karibu akipata kura 35. Akiongea na ITV mara baada ya kupata matokeo hayo, mbunge huyo amesema matokeo hayo yamedhihirisha ni kwa jinsi gani anakubalika kwa wakinamama ndani ya chama hicho.


Wajumbe wa mkutano Mkuu wa Baraza la Wanawake CHADEMA Taifa (BAWACHA), wakifungua shampeni kusherehekea ushindi wa Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA Taifa, Halima Mdee (kushoto) baada ya kutangazwa kwa matokeo ya uchaguzi huo. 


Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (Bara), Hawa Mwaifunga akilia kwa furaha baada ya kushinda nafasi hiyo katika uchaguzi uliofanyika juzi.


Wajumbe wa mkutano Mkuu wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA wakiwa katika mkutano huo.


Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA Taifa, Halima Mdee (kulia) akipongezwa na wajumbe wa mkutano mkuu wa Baraza la Wanawake wa Chadema. Wa pili kulia ni Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (Bara), Hawa Mwaifunga.


Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA Taifa, Halima Mdee (katikati), akiwa katika picha ya pamoja na Makamu wake (Bara), Hawa Mwaifunga (kushoto) na Makamu Mwenyekiti (Zanzibar), Hamida Abdallah.

Halima Mdee

Wanawake vaeni nguo sasa, mmeshavua vya kutoshaMOJA ya sifa ya mwandishi ni kusoma, na katika kusoma huko na kupekua pekua hapa na pale unaweza kujifunza na kupata la kuandika kupitia maandiko ya watu wengine na kutoa elimu kwa umma. Leo nimepita pita katika kurasa za marafiki zangu huko katika uso wa kitabu ‘Facebook nikakutana na nasaha ya ndugu yangu Victory Richard, juu ya kuwasihi wanawake kwamba sasa wavae nguo.

Ndugu yangu yule amechoshwa na tabia za dada zetu, wake zetu na hata mama zetu wakati mwingine wanavyotembea uchi, ndio! utavaaje nguo fupiii au skintight halafu useme umevaa nguo?. Binafsi naomba radhi kama nitakuwa nimemkwaza mtu hasa hao mama zetu, Ah! Lakini potelea mbali Anko Kidevu sijali kitu si wamejitakia.

Hivi akina mama na dada zetu kweli jamani katika yooote ambayo mnalilia usawa na sisi tunakubali kuwa sawa, hili la kutembea uchi au kuvaa mavazi nusu uchi mbona mnapitiliza?

Ndio mmepitiliza Anko nimebaini kuwa mmetupita maana sisi tukivaa sana ni kaptura au bichkoma na kawosh au singlendi lakini sasa naona mmepita katika sketi na sasa mna vimini na kuacha vifua wazi.

Ni nani awezaye kuona aibu yenu zaidi yangu mimi Anko Kidevu na kaka yenu Victor Richard, tafadhalini tunawasihi, hebu vaeni nguo sasa na jamii itawaheshimu maana hakuna heshima kwa mwanamke hata kidogo. Na kama mnahisi mnaheshimika kwa hilo ni bure kabisa. Bofya hapa kusoma zaidi kwenye blog ya Father Kidevu.

Pres. Kikwete launches World Bank's report on Productive Jobs Necessary for Tanzania’s Fast-Growing WorkforcePresident Jakaya Mrisho Kikwete sand the Managing Director of the World Bank Ms Sri Mulyani Indrawati present a certificate to seven-year-old Ibrahim Habhi Redemtus Bugalama for emerging 2nd runner up of the world Bank Children's Art Contest. Sakina, an eighth grade student at the Aga Khan Mzizima Secondary school, received 650,000/= 

Wasifu wa Jaji Thokozile Matilda Masipa aliyetoa hukumu ya Oscar Pistorious

Jaji Thokozile Matilda Masipa aliyetoa hukumu ya Oscar Pistorious

Akiwa mahakamani, ambako amekuwa akisikiliza kesi ya mwanariadha mlemavu Oscar Pistorious tangu marchi, jaji Thokozile Masipa amekuwa akionekana kama mtu ambaye fikra zake ziko mbali, mtulivu na mtu anayetazama mambo kwa undani.

Akiwa amevalia miwani, jaji huyu hajizuii kuzungumza mengi na mara nyingi hutabasamu tu.

Tangu mwanzo wa kesi hii, wakosoaji wake ambao wengi ni wanaume, wamekuwa wakinadi kuwa kujitenga kwake ni ishara kuwa hana ufahamu wa kutosha au kutishwa na vyombo vya ahabari ambavyo vimekuwa vikitangaza vikao vya kesi hiyo moja kwa moja.

Wakili mmoja nchini afrika kusini Jeremy Gauntlett alinukuliwa akisema kuwa jaji Masipa ana wasiwasi

Is your email leaked? Use this tool to find out


You have probably heard and read reports that 5 million Gmail usernames and passwords were  been leaked on a Russian Bitcoin forum.

The list has been taken down now but may want to be safe by changing your password. However, if you think you do not want to change it but still want to know if yours was one of the accounts compromises, you may use https://isleaked.com/en.php to find out.

Mambo ya kuzingatia ili kuboresha na kuongeza ufanisi wa shule


Kama nilivyodokeza katika makala iliyotangulia, makala hii inajadili mambo kadhaa ya msingi ya kuzingatia ili kuboresha na kuongeza ufanisi wa shule, hususani za msingi na sekondari. Mambo haya ni matokeo ya tafiti mbalimbali za masuala ya uboreshaji na ufanisi wa shule. Ubora wa elimu Tanzania umeendelea kushuka siku hadi siku, na mikakati kadhaa ikiwamo ya matokeo makubwa sasa imeanzishwa katika kukabiliana na changamoto hii.. Harakati yoyote ya kuboresha ufanisi na ubora wa shule hauna budi kuzingatia mambo kadhaa yakiwemo haya takayoyajadili hivi punde kwa mujibu wa tafiti mbalimbali za kielimu.

Uongozi bora

Tafiti za masuala ya ufanisi wa shule zinaonesha kuwa, wakuu wa shule wamekuwa kiini cha mafanikio ya shule. Tafiti hizi zinaonesha kuwa, ubora wao hufikiwa pale wanapotimiza majukumu yao ya kuhakikisha vifaa vya kufundishia na kujifunzia vinapatikana kwa wakati na vya kutosha, kueleza kwa uwazi dira na mikakati ya shule, kuelezea kwa uwazi na usahihi kile wanafunzi

NO! You won't catch Ebola from a giraffe in Tanzania

(Image: wikia.nocookie.net)

Korean Air has stopped all flights to Kenya. International travelers are canceling safaris. And parents of some students traveling to South Africa are nervous.

Why? Ebola.

The virus has dominated headlines for several months — and for good reason. The current outbreak is the worst in history, with more than 3,700 reported cases and 1,800 deaths as of Aug. 31.

The virus has also wreaked havoc on Africa's tourism industry.

"A lot of safari sites are running at 50 or 60 percent capacity right now, in the high season," said Paul Campbell of Travel Butlers, a U.K.-based company specializing in safaris. "Normally, these places are

UN Secretary General's statement on South-South cooperation

THE SECRETARY-GENERAL
--
MESSAGE ON THE UNITED NATIONS DAY OF SOUTH-SOUTH COOPERATION
12 September 2014

This year’s United Nations Day for South-South Cooperation comes as the international community is transitioning to a post-2015 development agenda centred on shared prosperity and environmental sustainability.

Despite remarkable advances in achieving the Millennium Development Goals, progress across the South has been uneven. Extreme poverty, rampant inequality, malnutrition and vulnerability to climate and weather-related shocks persist.

According to the UN Multidimensional Poverty Index, 2.2 billion people still live in abject  poverty. About 1.4 billion people, the majority in the South, still have no reliable electricity, 900 million lack access to

Cruz walks out after pro-Israel comments draw boos

WASHINGTON (AP) -- Republican Sen. Ted Cruz said he walked out of a speech Wednesday night to a Christian organization after some audience members booed his comments in support of Israel and the Jewish people.

At the "In Defense of Christians" gala dinner, the Texas senator said he told the gathering that those who hate Israel also hate the United States and those who hate the Jewish people also hate Christians. He said that hatred of Israel and Jews runs counter to the teachings of Christ.

That elicited boos from a small but vocal minority. Cruz insisted that Christians in the Middle East have no

Ashikiliwa na Maafisa Usalama kwa kuvuka uzio wa Ikulu

Maafisa Usalama nchini Marekani wanamshikilia mwanaume mmoja aliyeruka uzio wa Ikulu ya nchi hiyo upande wa Kaskazini, na kuonekana akielekea upande wa makazi ya Rais.

Maafisa wakiwa na bunduki zao tayari kwa kufyatua walimwamuru mwanaume huyo alale chini. Mtu huyo alitii amri ya askari na kwa sasa anashikiliwa.

Tukio hilo limefanyika siku ambayo Marekani ilikumbuka mashambulizi ya majengo yake Septemba 11, 2001.

Maafisa Usalama wanachukulia kwa uzito mtu yeyote anayeruka uzio ama mifuko inayorushwa ndani ya uzio kwani ni mojawapo ya njia ya kufanya jambo baya.

"Tusije tukachanganya uraia wa nchi mbili na uhalifu" - Ofisa Uhamiaji

Ofisa mstaafu katika Idara ya Uhamiaji, Zahoro Lyasuka, ameliomba Bunge Maalum la Katiba kuingiza kipengele kinachoruhusu uraia pacha kwenye Katiba ijayo ili kuwasaidia Watanzania waishio nje ya nchi.

Akizungumza na NIPASHE, Lyasuka ambaye ni mtaalam wa ukaguzi Uhamiaji, alisema haoni uhusiano baina ya uzalendo, usalama wa Taifa na uraia wa nchi mbili.

Alisema hata hapa nchini wapo raia (viongozi), wasio na uraia wa nchi mbili, lakini wameliingiza Taifa kwenye hasara kubwa. Alisema uhalifu ni kosa kama makosa mengine na kuhoji:
“Ukizungumzia masuala ya kuhatarisha usalama; ubalozi wa Marekani ulilipuliwa mwaka 1998, je, aliyepiga mabomu alikuwa na uraia wa nchi mbili?”
“Tusije tukachanganya uraia wa nchi mbili na uhalifu, hivi ni vitu viwili tofauti” ... “Kusema uraia wa nchi utahatarisha usalama wa nchi siyo kweli. Uzalendo wa mtu upo moyoni mwa mtu bila kujali ana uraia wa nchi ngapi. Mtu anaweza akawa hapa Dar es Salaam au kijijini na akahatarisha usalama.”
Alisema kuhatarisha usalama ni kosa kisheria na kwamba mtu anayefanya hivyo anapaswa