Facebook Is testing self-destructing posts

Soon you may be able to make your Facebook posts disappear.

Facebook is experimenting with a new mobile feature that allows you to schedule posts that vanish after a set amount of time. The Next Web’s Paul Sawers first spotted the experiment in Facebook’s iOS app, which company reps later confirmed:

“We’re running a small pilot of a feature on Facebook for iOS that lets people schedule deletion of their posts in advance.”

Screenshots, which bubbled up on Twitter earlier this week, show that the feature offers a choice of expiration time, ranging from one hour to seven days, as you can see below.
(Twitter)
Though we know little else about this new and potentially permanent capability, this move gives us a better glimpse of Facebook’s business strategy to be more like Snapchat.

It started innocently, with the introduction of the self-destructing messaging app Facebook Poke in

Muafaka ni utayari wa Taifa kuponya majeraha yake

Kuna nyakati bahari huwa sio nzuri sana na kuna nyakati bahari hutulia. Kama binadamu tunatakiwa kujua nyakati zote hizo. Captain mzuri anajua kucheza na mawimbi na kuongoza meli vizuri bila kuzama. Maisha yana changamoto zake mpaka mwisho wa uhai wetu natumaini tutakuwa tumejifunza kitu kuhusu maisha. Mtu ambaye anaishi na hajajifunza kitu kuhusu maisha ni kama mtu ambaye hajawahi kuishi kabisa duniani.

Wajibu wetu kama binadamu ni kutafuta maarifa na kuyarithisha maarifa kwa kizazi kingine. Maarifa ni muhimu kuliko kitu chochote kwasababu yanatufanya tuishi maisha yaliyobarikiwa. Kuwa na pesa bila maarifa ni tatizo kwa mtu makini atatufuta vyote kwasababu maarifa humfanya mtu kuishi maisha mazuri yasiyo na mikwaruzano. Maafa mengi binadamu anayokutana nayo ni sababu ya ujinga na kushindwa kutambua kilicho bora na chenye manufaa.

Jamii yoyote ikitaka kuendelea haina wajibu kutafuta maarifa kwasababu ujinga ni kifo. Matendo

Ali Kiba avunja rekodi ya downloads katika Mkito.com

Ali Kiba

Nyimbo mbili za Ali Kiba zimefanikiwa kuongoza kama nyimbo zinazopakuliwa kwa wingi katika tovuti ya Mkito.com. Wimbo uliotokea kupendwa zaidi wa Mwana ulipanda hadi nafasi ya kwanza ndani ya masaa 12 baada ya kuzinduliwa Julai 24 mwaka huu.

Mpaka sasa “Mwana” ya Ali Kiba imeendelea kuwa wimbo uliopakuliwa zaidi tangu kuanzishwa kwa Mkito.com mwezi Mei mwaka huu. Wanamuziki wengine wanaofanya vizuri ndani ya Mkito ni Fid Q, Vanessa Mdee, Young Killer, Diamond Platnumz, Linah, Rich Mavoko, ROMA, Mkubwa na Wanawe.

Ali Kiba amesema “Nina furaha kubwa sana hivi sasa, napenda kuwashukuru mashabiki wangu wote kwa upendo, kunikubali na kwa kuunga mkono muziki wangu na pia nafurahia kuona ukuaji wa

Waziri Nyalandu akutana na wadau wa utalii alipowasili kwa tamasha la utalii na maadhimisho ya miaka 4 ya VijimamboMhe. Lazaro Nyalandu, Waziri wa Maliasili na Utalii akipokewa na Afisa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani, Suleiman Saleh mara tu alipowasili katika uwanja wa kimataifa wa Dulles kwa ajili ya kuhudhulia tamasha la Utalii na miaka 4 ya Blog ya Vijimambo litakalo fanyika Jumamosi Sept 13, 2014. Kushoto ni msaidizi wa Waziri Bwn. Iman Nkuwi.