Taarifa kwa Watanzania wenye matatizo wanaoishi Oman


TAARIFA KWA WATANZANIA WANAOISHI OMAN


Ubalozi wa Tanzania nchini Oman unawatangazia Watanzania wote kuwa umeweka utaartibu maalum wa kushughulikia Watanzania wenye matatizo. Yafuatayo ni mambo ya kuzingatiwa:-

 1. Siku za kazi za ubalozi ni Jumapili hadi Alhamis kuanzia saa 2 na nusu asubuhi hadi saa 9 alasiri
 2. Kabla ya kuja Ubalozini piga simu kueleza matatizo yako na kama ikionekana kuna haja ya kuja ubalozini utapewa miadi ya kuja ubalozini wewe pamoja na bosi wako.
 3. Unapopiga simu hakikisha unazo mikononi taarifa muhimu kama vile, jina la bosi wako, namba yake ya simu, mnakoishi, umekuja lini Oman, namba yako ya simu, jina na namba ya simu ya

Daresalama kuna kuna kuruka kwa step na madaha bila kutaka

Mkazi wa jijini Dar es Salaam akiruka rojo la tope kwenye barabara ya Uhuru  (picha: Robert Okanda/The Daily News)

Wananchi wakipita kwenye dimbwi la maji maeneo ya Posta Mpya jijini Dar es Salaam leo asubuhi baada ya kujaa maji. Eneo hilo ambalo lipo mkabala na Benki ya Posta kwa muda mrefu limekuwa likijaa maji kutokana na mitaro ya Barabara ya Azikiwe kuziba, wahusika ambao ni Halmashauri ya Manispaa Ilala inaonesha wameshindwa kulimaliza jambo linaloleta usumbufu kwa watumia barabara hiyo pamoja na magari.

Licha ya kuwepo kwa madimbwi ya maji yaliyochanganyikana na maji taka kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam , raia hao wa kigeni ambao hawakufahamika wanatoka taifa gani walinaswa na kamera ya mtandao wa habari za jamii.com wakipita maeneo ya posta mpya jirani na jengo la IPS wakiwa pekupeku jambo ambalo ni hatari kwa afya zao.
Picha ya juu na chini: jamii.com (0712-727062)

Kwa miaka ya hivi karibuni kumekuwa na baadhi ya madhehebu kutoka nje ya nchi ambayo waumini wake hawavai viatu kutokana na imani zao.

US Politics analysis: Both parties in Congress play it safe

WASHINGTON (AP) -- Seven weeks before the elections, Republicans and Democrats are both playing it safe, willing to make short-term sacrifices of long-held positions in hopes of maximizing their chances for victory at the polls.

That means that House Republicans who recently voted to sue President Barack Obama for what they say is his failure to obey the Constitution seem likely to hand him new war powers to combat militants seeking an Islamic state.

At the same time, legislation seems on track to extend federal funding past the end of the budget year, this time without the drama of a partial federal shutdown that sent Republican poll numbers tumbling in the fall of 2013.

On the other side of the political divide, Obama recently delayed an order to increase the number of

Safu mpya ya uongozi CHADEMA

L-R: Salum Mwalimu Juma, John John Mnyika na  Dk Wilbroad Slaa.

 1. Mwenyekiti: FREEMAN MBOWE
 2. Makamu Mwenyekiti Bara: Profesa ABDALLAH SAFARI
 3. Makamu Mwenyekiti Zanzibar: SAID ISSA MOHAMED
 4. Katibu Mkuu: Dk WILBROD SLAA
 5. Naibu Katibu Mkuu Bara: JOHN MNYIKA
 6. Naibu Katibu Mkuu Bara: SALUM MWALIM
 7. Mwenyekiti wa Baraza la Wazee: HASHIM JUMA ISSA
 8. Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake: HALIMA JAMES MDEE
 9. Makamu Mwenyekiti Baraza la Wanawake Bara: HAWA MWAIFUNGA
 10. Makamu Mwenyekiti Baraza la Wanawake Zanzibar: HAMIDA ABDALLAH
 11. Mwenyekiti wa Baraza la Vijana: PASCHAL KATAMBI PATROBAS
 12. Makamu Mwenyekiti Baraza la Vijana Bara: Patrick Sosopi Kapura
 13. Makamu Mwenyekiti Baraza la Vijana Zanzibar: Zeud Mvano Abdulahi
 14. Baraza Kuu Zanzibar: Janeth Medadi Fusi
 15. Baraza Kuu Bara: Janeth J. Mjungu, Restitusa Said Mjoka, Marietha Cosmas Chenyenge, Suzan Hashim Kiwanga
 16. Wajumbe wa Mkutano Mkuu  waCHADEMA Taifa: Janeth Elibariki Moshi, Edson Joel Mwemaelu, Masule Samson Masaga, Penina Ernest Nkya, Daniel Ezekiel Mswelo, Lutgar Chemicha Haule, Elizabeth Joseph Riziki, Samuel Gibson Shami.
 17. Wajumbe wa Mkutano Mkuu CHADEMA Zanzibar: Ally Kassim Ismail, Sued Abdulhimid, Hassan Abdallah Hamis
 18. Wajumbe wa Baraza Kuu CHADEMA Bara: Pasquina Ferdinand Lucas, Pamela Simon Maasay, Joseph Loth Kasambala, Helen Nangusu Dalali.

Katika uchaguzi huo, Mbowe alipata kura 789 dhidi ya 20 za mpinzani wake. 

Prof. Safari ambaye hakuwa na mpinzania, alipata kura 775.

Said alipata kura 645 dhidi ya 163 za Hamad Yusuf aliyekuwa akiwania kiti hicho pia.

Katika uchaguzi uliofanyika siku ya Jumapili, Septemba 14, 2014 katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam, mgombea wa kiti cha Uenyekiti Taifa, Kansa Mohamed Mbaruku (Mwenyekiti Mstaafu wa CHADEMA mkoa wa Tabora) alijitoa siku moja kabla ya uchaguzi kwa madai kuwa

Wamarekani na magari yao makubwa nasi tunaiga

San Diego Unified School District (Ca, USA) has released two renderings of what the MRAP might look like after its tan military color is painted over. In one version, it's police blue; another depicts it as more of an ambulance, white with a red cross.

San Diego Unified School District has acquired an MRAP, or mine-resistant ambush protected vehicle, is adding a new facet to discussions about the practice of giving surplus military equipment to civilian agencies.
The six-wheel Caiman MRAP has an official value of around $733,000. But the San Diego school district paid only about $5,000 to transport it, according to inewsorce.org, a website that partners with NPR member station KPBS.

Kama siyo kuwa ni magari ya jeshi, wala nisingeshangaa kwa jinsi 'tunavyopenda kuiga' akatokea mtu binafsi tukaona kwa sifa zake kaliagiza na analiendesha makwetu. Wameweza toleo la jeshi la Hummer 'tashindwani hili? Ulevi wa sifa na umimi, ndiyo. Ati raha ni kuwa analo yeye tu, mwingine hana. Wala sitastaajabu kuona mtu anaagiza atengenezewe la kufanana na hilo, kwa kuwa tu kashindwa kulipata lile halisi la jeshi.


Tulivyo, hakuna anayethubutu kumkoromea mwingine kuhusu 'matanuzi' yake bali tunaishia kuandika kama hivi na kulalamika kwenye vijiwe vyetu visikosikika, kuhusu tofauti ya kipato kwa watu wanaoishi katika ardhi iyo hiyo moja kuwa sawa na umbali wa yaliko mawingu na iliko ardhi.

Mabango ya ujumbe na maswali ya walioathiriwa na mabomu Mbagala


Picha zote: Doto Mwaibale

Mwenyekiti wa waathirika wa mabomu wa Mbagala Kuu, Steven Gimonge akionesha daftari lenye majina ya waathirika hao na jinsi malipo yalivyofanyika wakati akizungumza na waandishi wa habari leo asubuhi katika mkutano wa hadhara uliowahusisha waathirika wa mabomu hayo yaliyolipuka katika ghala la Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) Aprili 29,2009.

Mmoja wa waathirika wa mabomu hayo akiwa amejiinamia kwa huzuni huku akitafakari kama Rais atawaonea kwa jicho la huruma wapate fedha hizo kulingana na ukubwa wa kuathirika kwao.

Waliopoteza uhai katika sinagogi la T.B. Joshua wafikia 44

Sehemu ya jengo lililoanguka. (picha: blogu ya Miss Petite Nigeria)


Shirika la habari la kimataifa la CNN limechapisha habari kuwa inakadiriwa watu 44 wamepoteza uhai baada ya nyumba ya kufikia wageni iliyomo ndani ya Kanisa kubwa la mhubiri maarufu, T.B. Joshua lijulikanalo kwa kimombo, "The Synagogue, Church Of All Nations" (Sinagogi, Kanisa la Mataifa Yote) lililopo Lagos nchini NIgeria, lilipoanguka mchana wa siku ya Ijumaa iliyopita.

CNN inanukuu afisa wa wakala wa uokozi, Ibrahim Farinloye, ambaye ni msemaji wa National Emergency Management Agency, kuwa alitoa taarifa hiyo jana Jumapili na kwamba watu wapatao 130 waliokolewa kutoka kwenye kifusi na huenda wapo zaidi wanaohitaji kunasuliwa.

Jengo hilo lilianguka wakati ujenzi wa kupanua na kuongeza ghorofa tatu ukiendelea.

Inaelezwa kuwa shughuli za uokozi zilichelewa kwa kuwa baadhi ya waumini waliwakatalia

Paka akifanyiwa upasuaji na tiba ZanzibarDk Ringo Aaron akimfanyia upasuaji paka kwa kutoa uzazi huko Ofisini kwake Wete, ambapo huduma hiyo ya upasuaji kwa wanyama ni moja kati ya huduma za kitabibu zinazotolewa na Idara ya Utabibu Pemba. 

(picha na Asha Salim, WUVM Pemba via ZanziNews.)

Maelezo ya mwanafunzi kwa mwalimu kuhusu maana ya ngonoChanzo cha audio, JohnKitime.co.tz tembelea kwa vichekesho na taarifa zaidi.

Warembo Miss Tanzania wajifua gymnWarembo wanaoshiriki shindano la Redd's Miss Tanzania 2014 leo wameingia siku ya pili ya kambi yao jijini Dar es Salaam na baada ya semina asubuhi na mapumziko ya mchana jioni hii wamefanya mazoezi katika chumba maalum cha mazoezi 'Gym', ungana na mpigapicha wa Father Kidevu Blog katika picha mbalimbali za warembo hao katika kambi yao.

Rais Kikwete apokea ujumbe wa Rais wa Sudan, Kiir


Rais Jakaya Mrisho Kikwete amepokea ujumbe maalumu toka kwa Rais Salvar Kiir Mayardit wa Sudani Kusini ulioletwa na mjumbe malumu Jenerali James Kok Ruea siku ya Jumamosi, Septemba 14, 2014 huko Ikulu jijini Dar es Salaam. Mjumbe huyo aliongozana pia na Mkuu wa Kituo cha Martti Ahtisari (Martti Ahtisari Centre) kwa nchi za Afrika chini ya Jangwa la Sahara, Bw. Itonde Kakoma.Mtwara Oil & Gas meeting: Career Expo and Business Summit updates

Career Expo: updates
 • Limited Exhibition booth Available
 • Book your Normal/premium space NOW
 • CLICK HERE to read FAQS on attending
 • Email your CV to [email protected]
 • ENTRANCE to the EXPO is FREE
The Annual Expo catalogue:
 • A5 size both in hard and E-copy
 • A Perfect platform to be Visible
 • FREE distribution at the Expo & beyond
 • to Contribute articles EMAIL US.
Sponsorship | Advertising | Exhibition | Marketing
+255787747918[email protected]
+255682422887[email protected]
Business Summit: updates
 • Speakers list will be up soon
 • to be a speaker contact us ASAP
 • Early Bird registration EN31 AUGUST
 • CLICK HERE for Delegate Booking Form
 • For more Information CONTACT US
3rd & 4th October In Mtwara
CONTACT US NOW
Conference Manager: Mr Washington Benbella
+255717547792[email protected]

General inquiries | CV | Delegate Liaison | Media
+255767222441[email protected]

MOGBCE partnered by PROACTIVE SOLUTIONS