Tanzania signs gas deal with French oil producer firm

DAR ES SALAAM: Tanzania has signed an agreement with French oil producer Maurel et Prom and Wentworth Resources for the supply of gas aimed at doubling the country's power generation capacity to 3,000 megawatts by 2016.

Oslo Stock Exchange and London AIM-listed Wentworth Resources said in a statement on Monday initial gas delivery was expected to begin between Jan. 22 and April 22 next year. The natural gas will be supplied to a 532-km government-owned pipeline from the south of the country to the commercial capital Dar es Salaam.

"The signing of the Mnazi Bay gas supply agreement is a significant advancement in the development of the gas industry and lays the foundation for the future domestic gas development in Tanzania," Bob McBean, Wentworth Resources's executive chairman, said in a statement.

Maurel et Prom is the operator of the Mnazi Bay licence with a 48.06 percent production interest, while

Sitta atangaza ratiba ya kutafuta Katiba Mpya

MWENYEKITI wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta amesoma ratiba kamili ya mchakato wa katiba mbele ya wajumbe ili kuhakikisha kuwa malengo ya upatikanaji wa katiba hiyo yanafikiwa.

Mhe. Sitta ametoa ratiba hiyo siku ya tarehe 15 Septemba mwaka huu akisema kuwa siku ya Jumatano ya tarehe 17 Septemba, 2014 kutakuwa na Semina ambayo mtoa mada atakuwa ni Mzee Kingunge Ngombale Mwiru na mada kuu ya semina hiyo itahusu dhana yote ya Ukombozi wa Mwafrika na nafasi ya Tanzania katika Ukombozi kuanzia Ukoloni hadi kufikia vita vya ukombozi za Kusini mwa Afrika na kufikia katika ukombozi wa aina ya tatu ambao ni uchumi pamoja na nafasi ya Tanzania kuwa mstari wa mbele katika kuleta dhana mpya ya ukombozi wa kiuchumi kwa Watanzania.

Sitta ameongeza kuwa siku ya Alhamisi ya tarehe 18-20 siku hizo zitaachwa kwa jili ya Kamati ya

[audio] Keissy tena! Akera Wazanzibar kuwaita 'mzigo' katika Muungano

Mbunge wa Nkasi Kaskazini, Ali Mohamed Kessy (kushoto) akiwakwepa wabunge wa CUF, Kombo Khamis Kombo (kulia) na Ibrahim Mohammed Sanya (wa pili kushoto) walipokuwa wakimfokea nje ya Ukumbi wa Bunge mjini Dodoma jana na Mbunge wa Mikumi, Abdulsalaam Amer akijalibu kuwazuia. Picha ya mwezi Mei mwaka huu (picha: Edwin Mjwahuzi/MWANANCHI)

Maoni ya Mheshimiwa Mbunge Ally Mohamed Keissy (CCM, Nkasi) akitoa maoni yake kuhusu 'mzigo' wa Muungano wa Tanzania kwenye Bunge Maalum la Katiba ambapo Wajumbe kadhaa hasa wa kutoka Zanzibar walipaza sauti kusema kuwa 'anatukera' kwa kauli za maudhi.

Keissy alikejeliwa kuwa mwenyewe ni 'Mpemba', 'Mmanga', 'Mwarabu', 'Mgonjwa wa

Bunge: Waliokuwa wanapeana milioni 18/= za upatu waanza kujuta


Wakati Bunge Maalum la Katiba likitarajiwa kusitishwa Oktoba 4, baadhi ya wajumbe wa kundi la 201 wamedaiwa kuingiwa na hofu baada ya kugundua kuwa mchezo waliouanzisha wa kupeana, maarufu kama ‘upatu’ unaweza usiwafikie wajumbe waliobaki.

Bunge hilo awali lilipangwa kumalizika Oktoba 31. Waliojiunga na upatu huu, wamelenga kupata fedha kwa ajili ya kampeni za uchaguzi mkuu mwakani.

Taarifa za uhakika zilizoifikia NIPASHE, zinasema upatu huo unaendeshwa kwa makundi ya watu sita, ambapo kila mjumbe huchangia Shilingi milioni tatu na mjumbe mmoja kupokea Sh. milioni 18 kwa wiki.

Chanzo chetu cha habari kilisema kuwa lengo la mchezo huo ni kupata fedha za kujiandaa

Algeria to start oil and gas exploration in Tanzania

Algerian energy and mines Minister, Youcef Yousfi, is quoted as saying that Tanzania and Algeria are to launch a joint venture company as part of an energy cooperation agreement to start oil and gas exploration in Tanzania, according to local media outlets.

The joint venture between Tanzania’s electricity supply company (TANESCO) and Algeria’s electricity and gas company Sonelgaz is expected to be operational “within a few months”.

In this connection, Algerian energy and mines minister, Youcef Yousfi, said that two initial joint projects between the two countries relating to gas distribution and oil well drilling and production “are now at an advanced stage”.

Algeria and Tanzania signed a memorandum of understanding for cooperation in the energy and mining sector in December 2013.

Mr Yousfi said bilateral cooperation would extend to “the exploration and exploitation of hydrocarbons, mining, electricity and training”.

Why, amid turmoil, oil prices have been trending lower?

Monthly Europe Brent spot price (an NPR image)

Normally, oil prices are expected to spike higher amid turmoil. The global price did rise to just under $112 a barrel in June, when ISIS first swept into northern Iraq. But the price of crude has trended down since then — despite the U.S. decision to enter that fight, despite the conflict in Ukraine and despite sanctions levied against Russia, one of the world's largest oil producers, for its role there.Then there's the fight between Islamist militants and the government in Libya, a significant oil producer.

That decline has happened even as conflicts have flared in or near oil-producing regions.

So why, then, are petroleum prices falling?

"There are two factors to keep in mind," says Robin West, a senior adviser at IHS Global Insight. "One

Marekani yafungua ubalozi wake nchini CAR

Serikali ya Marekani inaufungua tena ubalozi wake katika nchi ya Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR) mjini Bangui baada ya kusitisha shughui zake na kuwataka raia wake kuondoka nchini humo mwaka juzi, Desemba 2012 kwa sababu ya vita vilivyosababisha vifo vya maelfu ya watu.

Shirika la Umoja wa Mataifa limepeleka vikosi vya walinda amani huko CAR na Waziri wa Mambo ya nchi za nje wa Marekani, John Kerry amekaririwa akisema kuwa nchini humo tayari kuna mpango wa kuelekea amani na utulivu.

Kerry akizungumza jijini Paris nchini Ufaransa ambako pamoja na viongozi wa mataifa mengine wanahudhuria mkutano wa kupanga namna ya kukabiliana na kundi la dola la Kiislam (IS) lililoshika mizizi nchini Irak, ameongeza kusema kuwa Marekani inaipa CAR nyongeza ya dola za Kimarekani milioni $28 kwa ajili ya msaada wa huduma za kibinadamu, na hivyo kufanya jumla ya fedha za msaada zilizotolewa kufikia milioni $145 kwa mwaka huu pekee.

Harusi ya kufana ya msanii Kenny, Hendrick Kambira, mwanaye Mama Bishanga

mtoto wa mama Bishanga Hendrick Nambira au Kenny wa Bongo Movie akiingia ukumbini na Mke wake Flora Subeit

Mtoto wa mama Bishanga, Hendrick Nambira maarufu kama Kenny wa Bongo Movies ameachana

Tangazo la semina ya ugawaji wa mirabaha kwa watunzi wa muziki

KOPITAN (The Reproduction Rights Society of Tanzania) ni taasisi ya haki nakili iliyoanzishwa na wadau wa kazi za maandishi na kupewa mamlaka na chama cha hakimiliki Tanzania (COSOTA) kukusanya mirabaha kwenye kazi za maandishi. 

Siku ya Jumatano kuanzia saa mbili asubuhi itaandaa semina ya kujadili jinsi ya kugawa mirabaha kwa watunzi au waandishi wa muziki. 

Semina hiyo itafanyika katika ukumbi wa Maktaba Kuu ya Taifa tarehe 17/09/2014 kuanzia saa 2.00 asubuhi.

John Kitime: SEMINA YA UGAWAJI WA MIRABAHA KWA WATUNZI WA MUZIKI

Sigombei Urais 2015 - Nkamia

Juma Nkamia akiongea na waandishi wa habari leo jijini Arusha katika studio za redio 5 zenye makao yake makuu.
Juma Nkamia akiongea na waandishi wa habari leo jijini Arusha katika studio za redio 5 zenye makao yake makuu.

Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mhe. Juma Nkamia ambaye pia ni Mbunge wa Kondoa Kusini (CCM) amesema kuwa hana mpango wowote wa kugombea nafasi ya Urais 2015 kama viongozi wengine wanavyotangaza nia na  kudai kuwa kazi yake kubwa ni kuhakikisha wananchi katika jimbo lake wanapata maendeleo kupitia nafasi yake ya ubunge.

”Pamoja na umri nilionao (42) sina mpango wowote wa kugombea nafasi ya Urais 2015. Umri usiwe kigezo cha kugombea. Uwezo wa kiongozi ni muhimu sana.” alisema Nkamia.

Waziri Nkamia aliyasema hayo leo mara baada ya kufanya ziara fupi katika kampuni ya Tan Communication Media inayomiliki kituo cha Redio 5 chenye makao yake makuu jijini Arusha.

Jamii Blog: SIGOMBEI URAIS 2015 ASEMA NKAMIA

Mahakama yatupilia mbali maombi ya Kubenea kuhusu BMK

Serikali imetoa tamko kuwa Bunge Maalum la Katiba linaloendelea na vikao vyake mjini Dodoma lipo kisheria na Mahakama imeamuru Bunge hilo kuendelea na shughuli zake bila kuingiliwa.

Akisoma tamko hilo la Serikali Bungeni mjini Dodoma, Waziri wa Katiba na Sheria ambaye pia ni mjumbe wa Bunge hilo, Dk Asha-Rose Migiro amesema uwepo wa Bunge la Katiba umezingatia taartibu zote za kisheria hivyo wananchi wasipotoshwe ama kurubuniwa na baadhi ya wajumbe wa Bunge hilo.
“Bunge hili linaweza kuendelea na shughuli zake. Nawaomba Watanzania wafahamu mjadala wa kusitisha Bunge umehitimishwa hii leo kisheria na Mahakama Kuu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,” 

alisema Dk. Migiro.

Maamuzi ya Mahakama yanatokana na kesi iliyofunguliwa na Bwana Saed Kubenea na wakili wake, Peter Kibatala dhidi ya Serikali ikiwakilishwa na Gabriel Malata ikipinga kuendelea kwa vikao vya

[video] John Komba vs Jaji Joseph Warioba ndani ya Bunge la Katiba

AICC yazindua apartments za kupangisha

Kaimu Mkuuwa Mkoa wa Arusha, Jowika Kasunga akikata utepe kuashilia uzinduzi wa nyumba za kisasa za kupangisha za Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha.

Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Arusha ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Monduli, Jowika Kasunga akiwa katika picha ya pamoja na Bodi ya Wakarugenzi ya Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC) pamoja na wafanyakazi wa Kituo hicho. 

Picha: Francis Dande

NMB launches "Weka na Ushinde" promotion
Prizes worth over TZS 500m to be won in a period of three months

400 bicycles 'boda boda', 52 Bajaj and 52 motorcycles have been set aside for the promotion

Dar es Salaam,14 September, 2014... National Mobile Bank (NMB) has today launched a Tsh 500 million promotion that will see new and existing customers win either bicycles,motorcycles 'bodaboda' or three wheels 'bajaj.'

Dubbed 'Weka na Ushinde' the promotion will run for three months, and is aimed at encouraging customers to deposit money into their accounts and stand a chance to win.

NMB has set aside a total of 400 Bicycles (Phoenix),52 Motorcycles 'bodaboda' (Boxer)and 52 Three Wheels 'bajaj' for the campaign.Out of these prizes, there will be weekly prizes (Motorcycles and

Oxford map and list of African countries at high risk for Ebola outbreak

Areas where Ebola virus infection in animals is likely (colour scale ranging from red for most likely, through yellow to blue for least likely
Areas where Ebola virus infection in animals is likely (colour scale ranging from red for most likely, through yellow to blue for least likely

A new map identifies areas where animals are likely to be infected with the Ebola virus as a first step towards understanding where future outbreaks of the disease may occur.

The map, based on a model created by a team led by Oxford University scientists, predicts that in animal populations the Ebola virus is likely to be circulating across a vast swathe of forested Central and West Africa. This area covers 7 countries which have already reported Ebola transmission from animals to humans, as well as 15 more countries which are likely to be at risk.

A report of the research is published today in the open access journal eLife.

Countries in 'at risk' region identified by model:

Set 1 (predicted at risk and reported human index cases):
 1. Democratic Republic of the Congo
 2. Guinea
 3. Uganda
 4. Côte d'Ivoire
 5. Gabon
 6. Congo
 7. South Sudan

Set 2 (predicted at risk but no reported human index cases):
 1. Nigeria
 2. Cameroon
 3. Central African Republic
 4. Ghana
 5. Liberia
 6. Sierra Leone
 7. Angola
 8. Togo
 9. United Republic of Tanzania
 10. Ethiopia
 11. Mozambique
 12. Burundi
 13. Equatorial Guinea
 14. Madagascar
 15. Malawi

Jengo la ghorofa moja linapangishwaMuonekano wa jengo hilo ambalo lipo katikati ya mji wa Dodoma, lenye ghorofa moja linakodishwa tunapenda kuwakaribisha mtu binafsi, makampuni, shirika au taasisi ambayo inataka kufungua ofisi au

NMB (@NMBTanzania) Yazindua promosheni ya "Weka Ushinde"

Benki ya NMB imezindua kampeni mpya ya Weka na Ushinde itakayowawezesha wateja wake kujishindia Bajaj na Bodaboda.

Promosheni hiyo inatarajiwa kufanyika kwa miezi mitatu huku zenye thamani ya zaidi ya TZS 500 Milioni zikishindaniwa ambazo ni (Bajaji-52,Bodaboda-52,Baiskeli-400 na fulana-500).

Meneja wa Amana za wateja katika benki ya NMB Bw.Boma Raballa akizungumza katika uzinduzi wa promosheni ya Weka Ushinde

Meneja wa Amana wateja-NMB Bw.Boma Raballa,Meneja Masoko wa NMB-Rahma Mwapachu,Meneja wa NMB kanda ya Dar es Salaam -Salie Mlay