Tanzania in top 10 countries that's lowered child mortality rates by more than two-thirds since 1990
WASHINGTON (AP) -- More of the world's children are surviving to their fifth birthday, but 6.3 million still died last year, mostly from preventable causes, the U.N. children's agency said Tuesday.

That's nearly 17,000 young children dying every day. And while death rates have been cut in half since 1990, the world still is short of meeting a goal of a two-thirds decrease in child mortality by next year, the report by the United Nations Children's Fund said.

"We're building momentum in many countries in the poorest parts of the world," said Dr. Mickey Chopra, UNICEF's head of global programs. The challenge is to spread what works.

India and Nigeria together accounted for more than a third of all the deaths, with

Pres. Obama's initiatives to Ebola crisis in West Africa

A look at some of the initiatives President Barack Obama is announcing to ramp up the U.S. response to West Africa's Ebola crisis:
 1. Assigning 3,000 U.S. forces to Monrovia, Liberia, where they will provide command and control support in the region for U.S. military activities and facilitate coordination with U.S. government and international relief efforts. A U.S. Army general will lead the effort.
 2. Help build 17 new health care facilities in the region with 100 beds each.
 3. Deploy 65 officers from the U.S. Public Health Service Commissioned Corps to manage and staff a previously announced Department of Defense hospital to care for health care workers who become ill.
 4. Establish a site in the region to train up to 500 health care providers per week to help them safely provide medical care to Ebola patients.
 5. Airlift 50,000 home health care kits to Liberia that can be used by people in remote communities. The U.S. will also train local populations on how to handle patients exposed to Ebola.

The ASSOCIATED PRESS: A look at US response to Ebola crisis

Boniface Makulilo passes away!

Mr. Boniface Makulilo
Boniface Makulilo 

Our family is deeply saddened to inform you that our beloved father Mr. Boniface Makulilo passed away this Monday morning (September 15, 2014) in Kigoma, Tanzania. We kindly request for your prayers. Pumzika kwa Amani Baba.
MAKULILO

Dear Ernest, (Makulilo Jr)

I am sorry to hear about the death of your beloved father. It never is never easy. I join with others in prayers for you and your family for comfort and closure.

For readers who would like to contact Ernest Makulilo, he can be reached via email [email protected] or on Facebook.

Subi

Vodacom Tanzania launches new M-pesa services

L-R: Kelvin Twissa, (Vodacom Tanzania). Joseph Mahawi (Mahawi Enterprises). Martin Ng’ethe (Chai Bora).


LIPA KWA M-PESA - RETAIL PAYMENTS & CASHLESS DISTRIBUTION

 • Over 24,000 merchants and retailers signed up across the country
 • Chai Bora, Mahawi enterprises (Serengeti Breweries) among distributors in the portfolio.

Today, 16th September 2014: Vodacom Tanzania launched a new M-PESA service “LIPA KWA M-PESA – an integrated payment system for the business community that allows merchants, retailers and distributors, in a far more secure way, to settle payments by using M-PESA.

The new service will improve business and customer convenience by expanding the payment ecosystem from customers paying their retailers, to retailers paying distributors as well as distributors paying whole-sellers cashless through M-Pesa, a quicker and safer mode of payment totally redefining the way businesses handle payments.

Speaking at the event, Kelvin Twissa, Vodacom Tanzania Head of Marketing and Communication said, “Vodacom has been adding value to help streamline and improve the operations of the

Mgando wa mawazo kuhusu uraia-pacha

(image: kbaxi.net)

Katika wiki chache zilizopita kumekuwa na mjadala kuhusu moja ya vipengele muhimu vya rasimu ya Katiba ya nchi yetu, uraia pacha. 

Ni jambo linalofurahisha kuona kuwa tumeanza kutambua kwamba mjadala wa Katiba sio tu unatakiwa kuzunguka suala la muundo wa muungano kama tulivyokuwa tunaaminishwa na baadhi ya vyombo vya habari, bali kuna mambo mengi muhimu yanayotakiwa kujadiliwa na kufanyiwa maamuzi. 

Lakini kwa mara nyingine tena, wasiwasi unatuingia baadhi yetu, hasa pale tunapoona watu waliopewa dhamana ya kufanya maamuzi kwa niaba yetu wanashindwa kufanya maamuzi sahihi. Zaidi ya hapo tunaingiwa na wasiwasi zaidi, na kufikiri kuwa inawezekana kuna maamuzi mengine yamefanywa kwa niaba yetu bila sisi kujua, lakini si maamuzi sahihi.

Sijawahi kujiuliza hata siku moja; watu wanaopewa dhamana ya kufanya maamuzi kwa niaba yetu na kwa ajili ya manufaa yetu, wanatumia kigezo gani kufikia maamuzi? Ni busara, elimu, ujuzi au ufahamu wa hali halisi wa jambo wanalofanyia uamuzi? Au ni kuangalia wenye hali ya watu wao au

Mzimu wa posho warudi, wataka 500,000/= kwa sikuMzimu wa posho umeibuka upya katika Bunge la Katiba, safari hii wajumbe wake wa Kamati ya Uandishi wakiomba walipwe posho maalumu ya Sh500,000 kwa siku kutokana na kazi ya kuandika Rasimu ya Katiba inayopendekezwa.

Habari zilizolifikia Mwananchi na kuthibitishwa na uongozi wa Bunge zinasema kuwa tayari maoni ya wajumbe yamewasilishwa kwa uongozi kwa ajili ya uamuzi.

Wajumbe wa kamati hiyo kwa sasa wanalipwa posho maalumu ya Sh210,000 zaidi kwa siku, nje ya ile ya Sh300,000 kwa siku wanayolipwa wajumbe wote wa Bunge hilo.

Kamati hiyo inayoongozwa na Andrew Chenge ambaye pia ni Mbunge wa Bariadi Magharibi-CCM inahusisha baadhi ya vigogo wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) na Serikali ya Jamhuri ya

Rais Kikwete ziarani nchini Marekani

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA

DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS

Telephone: 255-22-2114512, 2116898
E-mail: [email protected]
Website : www.ikulu.go.tz   
Fax: 255-22-2113425

PRESIDENT’S OFFICE,
STATE HOUSE,
1 BARACK OBAMA ROAD,
11400 DAR ES SALAAM.
Tanzania.

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ameondoka nchini usiku wa jana, Jumatatu, Septemba 15, 2014, kuanza ziara ya wiki mbili katika Marekani ambapo atahutubia Mkutano wa 69 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UN General Assembly) New York.

Mbali na kuhutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa mjini New York, Rais Kikwete pia atahudhuria mikutano muhimu katika mji mkuu wa Marekani, Washington, D.C.

Mjini New York, Rais Kikwete atashiriki katika mikutano mikubwa zaidi ya 10 ikiwa ni pamoja na

25 Best Cities in the US for working parents


Business Insider partnered up with personal finance site NerdWallet to find the best cities for those with two jobs: employee and parent.

The analysis focuses on affordability (median income and housing costs), childcare costs, school quality, and the community (percentage of households with children) in the 100 largest U.S. cities.

Gilbert, Arizona, ranks No. 1 with an overall score of 72.5.

Following close behind in the No. 2 spot is Plano, Texas, with a score of 67.4.

Rounding out the top three is Chandler, Arizona — another Phoenix suburb.

Approximately 88% of U.S. families with children have one parent in the workforce, and 58% have two working parents.

"Working parents want to live in a city where their children are set up for success and where their hard-earned dollar stretches far," Raghavan says. "As parents are planning for their children's education and their own retirement, they have to make decisions now that will affect the rest of their lives."

Read more: businessinsider.com

Vodacom Tanzania na Coca-Cola wazindua Coke Studio Promo

Mkuu wa Idara ya Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania Kelvin Twisa akiongea wakati wa uzinduzi wa promosheni ya Coke Studio msimu wa pili ambapo wateja wa Vodacom Tanzania watajipatia muda wa maongezi wa dakika tano bure kwa kila soda moja ya chupa ya Coca-Cola. Kushoto kwake ni Meneja wa Bidhaa wa Coca Cola Tanzania Maurice Njowoka na wa kwanza kulia ni Mkuu wa Mauzo na Masoko wa Coca-Cola Kwanza Nalaka Hettiarachchi

Kampuni inayoongoza kwa mawasiliano nchini Vodacom Tanzania na kampuni ya vinywaji ya Coca-Cola Tanzania wamezindua promosheni ya Coke Studio itakayowawezesha wateja wa Vodacom Tanzania kupata dakika 5 za maongezi wanapokunywa soda ya Coke ambapo mteja atatakiwa kutuma ujumbe mfupi wenye namba zilizopo chini ya kizibo kwenda namba 15441.

Akiongea katika uzinduzi wa promosheni hiyo uliofanyika jijini Dar es salaam Meneja wa Kinywaji cha Coca-Cola Tanzania Maurice Njowoka amesema ''promosheni hii ni katika kuhakikisha kwamba vijana na wateja wote kwa ujumla wanapata nafasi ya kuburudika na kinywaji cha Coca-Cola, lakini

Visiwa vya ajabu duniani: Kisiwa kilichojaa nyoka

(picha: blogu ya Curiosities And Oddities)

Ilha de Queimada Grande au "Kisiwa cha nyoka" kipo yapata maili 90 hivi kutoka kwenye jili la São Paulo nchini Brazil.

Inakadiriwa kuwa wapo nyoka 2,000 wanaoishi katika kisiwa hicho chenye ukubwa wa meta za mraba 430,000 kwa hivyo kuna nyoka mmoja kila unapokaribia kumaliza meta za mraba kati ya moja hadi tano.

Katika kisiwa hicho ndipo anakopatikana pekee mmoja wa nyoka wenye sumu kali kabisa duniani, Golden Lancehead Viper (Bothrops insularis). Wataalamu wanasema sumu ya nyoka huyo ina nguvu karibu mara tano ya nyoka yeyote anayepatikana katika ardhi ya dunia kiasi cha kuweza kuyenyusha nyama ya mwili wa mwanadamu.

Nyoka hawa hupata chakula chao kutokana na kuwala ndege wanaohama hama na kufanya kisiwa hicho kuwa sehemu yao ya mapumziko bila kujua hatari inayowakabili.

Jeshi la Wanamaji la Brazili limepiga marufuku kwa yeyote kutua ama kutia nanga katika kisiwa hicho, isipokuwa tu kwa watafiti wa kisayansi wenye ruhusa maalum.

Chama cha Wafamasia champata Rais na uongozi mpya

Michael Kishiwa
Michael Kishiwa 

Asilimia 90 ya Wafamasia 105 waliohudhuria Mkutano Mkuu wa Chama cha Wafamasia nchini (PST) uliofanyika katika hoteli ya Landmark, iliyopo Ubungo Riverside, Dar es Salaam wamechagua aliyekuwa Naibu Katibu Mtendaji katika uongozi uliopita, Michael Kishiwa kuwa rais wao kwa kipindi cha miaka mitatu ijayo.

Nafasi ya Rais ilikuwa inashikiliwa na Elizabeth Shekalaghe ambaye kwa sasa ndiye Msajili Baraza la Famasia.

Pamoja na rais huyo, ilichaguliwa pia kamati tendaji ambayo ina Makamu wa rais, Katibu Mtendaji, Naibu Katibu Mtendaji na mweka hazina wa chama.

Polisi yawakamata watuhumiwa na tiketi 424 za mechi ya Yanga vs Azam

Jeshi la Polisi Dar es Salaam linawashikilia na kuwahoji watu wawili kwa kosa la kupatikana na tiketi bandia za mchezo wa mpira wa miguu wa kuwania Ngao ya Jamii uliofanyika mwishoni mwa wiki hii kati ya timu za Yanga na Azam zote za jijini Dar es Salaam.

Watu hao walikamatwa usiku wa tarehe 13/09/2014 maeneo ya Mission Quarter, mtaa wa Masasi, Kata ya Kariakoo (M) wa Kipolisi Ilala Dare es Salaam baada ya polisi kupata taarifa juu ya kuwepo watu hao eneo latukio. 

Polisi waliweka mtego na kufanikiwa kuwakamata BARAKA S/OMZEE, miaka 34, mkazi wa Magomeni na NASSIB S/O KULWA, miaka 37, mkazi wa Temeke Mwisho. 

Walipopekuliwa walikutwa na tiketi bandia za mchezo huo.

MUHAS Call for Interview for shortlisted Applicants

The Directorate of Human Resource Management and Administration, MUHAS - is delighted to announce the call for interview to the shortlisted applicants for various posts at the University as indicated below. All the shortlisted applicants should take note of the Type of the Interview, Date, Time and the Venue as clearly indicated under each post.
 1. Accountant Grade II
 2. Administrative Officer II
 3. Audio Visual Technician II
 4. Health Lab Scientific Officer II
 5. Internal Auditor II
 6. Janitor II
 7. Personal Secretary Grade II
 8. Procurement and Supplies Officer II
 9. Records Management Assistant Grade II
 10. Senior Administrative Officer Grade II
 11. Technician II
 12. Telephone Operator