Job opportunities at The St. Augustine University of Tanzania (SAUT)

The St. Augustine University of Tanzania (SAUT) is a private higher learning Institution Owned by Tanzania Episcopal Conference (TEC) with a vision of holistic development of a person and respect of human dignity.
SAUT is an equal opportunity employer and it intends to recruit competent academicians capable to impart professional skills and inculcate civic and social values to students that will make them better citizens. The applicants are required to fill the following vacant positions:-

1.0 Assistant Lecturer
1.1 Language and Linguistics (2 posts)
1.2 Education Foundation (5 posts)
1.3 Kiswahili (2 post)
1.4 History (2 posts)
1.5 Geography (2post)
1.6 Literature (3 posts)
1.7 Tourism (2 posts)
1.8 Hospitality (2 posts)
1.9 Marketing (2 posts)
1.10 ICT (2 posts)

2.0 Entry qualification for Assistant Lecturer post
  • Master degree  in relevant field from the reputable higher learning Institution at 4.0 and above GPA
  • Holder of relevant of bachelor degree or Equivalent from reputable Higher academic Institution 

Various job opportunities at the Tanzania Broadcasting Corporation (TBC)

TANZANIA BROADCASTING CORPORATIONThe Tanzania Broadcasting Corporation (TBC) is a Public Service Broadcasterestablished by Government Order in 2007 and became operational on the 1stof July 2007 replacing the then Tanzania Broadcasting Services – TaasisiyaUtangazaji Tanzania (TUT). TUT was established in the year 2002 pursuant to Public Corporation Act No 2 of 1992, Government Notice No 23 of 14th June 2002. Its formation was a result of a merger of Radio Tanzania Dar es Salaam (RTD) which was established in 1972 and TelevisheniyaTaifa (TVT) which was established in 1999.

Tanzania Broadcasting Corporation (TBC) invite applications from suitably qualified Tanzanians to fill the following posts:
  1. TECHNICIAN II                                                        -           33 POSTS (for Regional Transmitters)

QUALIFICATIONS:
Holder of Secondary Education Certificate plus Trade Test II / III or its equivalent from a recognised Institution. Computer skills are an added advantage.
DUTIES AND RESPONSIBILITIES:
  1. Carry out technical operations,
  2. Carry out  servicing and maintenance work of technical equipment,
  3. Ensure proper maintenance of all equipment at his/her workplace,
  4. Perform any other related duties as may be assigned by the supervisor.
Salary:
Within the Salary Scale of PGSS 5
  1. JOURNALIST II:                                                      -           2 POSTS
QUALIFICATIONS:
Holder of Bachelor Degree or Advanced Diploma in Journalism, Mass Communication, TV/Film Production

C. Chachage: Wazanzibari siyo Waskochi

Chambi Chachage
Chambi Chachage
 Matokeo ya kura ya maoni huko Uskochi yameacha gumzo barani Afrika. Kuanzia Abuja hadi Arusha Waafrika tunajiuliza kuna nini cha kujifunza. Hapo Mji Mkongwe, Zanzibar hiyo ndiyo habari ya mjini.

Rafiki yangu mwenye uzalendo wa Kizanzibari amenishtusha kwa kunitumia ujumbe usemao “naona umefurahi…haya furahia” baada ya kumtumia taarifa kuhusu matokeo hayo na kuuliza kiutani: “Vipi Zanzibar/Unguja/Pemba/Tumbatu?” Kutokana na sababu za kihistoria – historia binafsi na ya jumla – naipenda sana Uskochi. Nimefurahi wamepitia mchakato huu muhimu ambao inasemekana, pamoja na kushindwa katika kura, utawaletea mabadiliko mengi yatakayoongeza uhuru wao ndani ya Muungano.

Fundisho nililolipata ni kuwa japo Wazanzibari sio Waskochi hata wao wana haki ya kupiga kura kama wenzao na watakapopata fursa hiyo tusishangae maamuzi yao kisa baadhi yao/yetu tumekuwa tukiwasemea kuwa wanataka hiki au kile. Pia yamenipa moyo kuwa sio jambo la kushangaza kupinga muundo (dhaifu) wa Serikali Tatu kati ya eneo moja kubwa na eneo moja dogo ilhali nasimamia hoja yangu kuwa ‘Zanzibar ni Zaidi ya Nchi’. Haishangazi kwani Muungano wetu bado unuweza kuongeza uhuru zaidi kwa Zanzibar.

Wapo wanaoshangazwa na Waskochi kupiga kura ya kukataa kujitenga na Uingereza. Hapa tunaongelea sehemu ambayo imekuwa na historia ndefu ya uzalendo wa Kiskochi toka enzi za William Wallace, yule shujaa wao maarufu ambaye Mel Gibson alimuigiza katika filamu yake ya Braveheart, yaani, ‘Moyojasiri’.

Filamu hiyo inaanza na maneno mazito ya Mskochi dhidi ya Muingereza ambayo kwa tafsiri ya haraka haraka yanasomeka hivi kwa Kiswahili: “Nitakueleza habari za William Wallace. Wanahistoria wa

Watanzania wakutana na Oprah Winfrey


Balozi wa Tanzania nchini Marekani, Mhe. Liberata Mulamula na Afisa Mwandamizi wa Mambo ya Nje, Hassan Mwemeta pamoja na wadau wengine wakiwa katika picha ya pamoja na Mwanamama Oprah Winfrey kwenye hoteli ya Fairmount, nchini Marekani, Septemba 20, 2014. (picha: Blogu ya Vijimambo)

Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula katika picha ya pamoja na na aliyekuwa mtangazaji wa luninga ambaye sasa anamiliki kituo cha luninga chake mwenyewe  Oprah Winfrey ndani ya mgahawa uliopo hotel ya Fairmont Georgetown, Washington, DC
Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula katika picha ya pamoja na na aliyekuwa mtangazaji wa luninga ambaye sasa anamiliki kituo cha luninga chake mwenyewe Oprah Winfrey ndani ya mgahawa uliopo hotel ya Fairmont Georgetown, Washington, DC.


Jamaa jasiri! Apambana na kumkamata Anaconda aliyekula mbwa wa jirani


Mtu mmoja huko French Guiana amepambana na kufanikiwa kumzidi nguvu na kumkamata nyoka mkubwa duniani, Anaconda, mwenye urefu a futi 17 baada ya nyoka huyo kumla mbwa wa jirani.

Jamaa huyo mwenye umri wa miaka 39 akisaidiana na marafiki na mwanaye mdogo, walimkamata Anaconda huyo na kumziba macho, kisha kumlaza kwenye bafu lake kabla ya kumtupa kwenye mto usiotumiwa na watu, ulioko umbali wa maili sita kutoka kwenye eneo wanaloishi.

Rais Kikwete ahudhuria halfa ya kumpongeza kwa uongozi mzuriRais Jakaya Kikwete akiwa na mtoto wa miaka minane aliejitambulisha kwa jina la Brian ambaye alitoa burudani ya kupiga kinanda wakati wa wimbo wa Taifa na nyimbo nyinginezo katika hafla ya USIKU WA JAKAYA uliofanyika usiku wa kuamkia leo katika hoteli ya JW Mariott jijini WashingtonRais Jakaya Kikwete akiongea na Dkt Seche Malecela baada ya kupokea risala ya pongezi kwa uongozi wake nchini Tanzania katika hafla ya USIKU WA JAKAYA uliofanyika usiku wa kuamkia leo katika hoteli ya JW Mariott jijini Washington, DC.

Kauli ya Jeshi la Magereza kuhusu tuhuma za kutesa watuhumiwa wa ugaidi

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI

(Jeshi la Magereza)


TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Hivi karibuni kumekuwa na tuhuma mbalimbali ambazo zimekuwa zikiripotiwa na baadhi ya Vyombo vya Habari na Mitandao ya Kijamii kuhusiana na kunyanyaswa, kutendewa vitendo visivyo vya kiungwana na kuteswa gerezani kwa Watuhumiwa wa Makosa ya Ugaidi kinyume na taratibu za Uendeshaji wa Magereza.

Kufuatia tuhuma hizo, Jeshi la Magereza Tanzania Bara limefanya uchunguzi kwa kufanya mazungumzo na

Watch the boy who tricked Ebola dance happily

In the area for Ebola-confirmed patients in the Doctors Without Borders/Médecins Sans Frontières (MSF) Case Management Center in Foya, Liberia, roughly two-thirds of patients don’t survive the Ebola virus.

The patients receiving treatment gather on wooden benches and plastic chairs if they have the strength.

Other patients can only lie in bed while their immune systems try to fight the deadly virus in their bodies.

Mamadee, 11 years old, is different. As the other patients watch, he performs a dance to Azonto, a type of music that originated in Ghana, on the radio. He jumps, he ducks, he steps to the side, first left, then right, then left, then right, jumps again, turns, swings his hips and shakes his arms. He doesn’t stop, and he doesn’t get tired. It is difficult to believe, but Mamadee is an Ebola-confirmed patient. -- Doctors Without Borders / MSF

Nafasi za ajira katika Jeshi la Magereza

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI

(Jeshi la Magereza)

TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA

Jeshi la Magereza Tanzania Bara linatangaza nafasi za Mafunzo ya Awali ya Askari Magereza yatakayoendeshwa Chuo cha Magereza Kiwira Tukuyu Mbeya. Waombaji wa nafasi hizo wanatakiwa kuwa na sifa zifuatazo:-

MASHARTI YA KUAJIRIWA:

1. JINSI: Mvulana au Msichana ambaye hajawahi kuoa
au kuolewa na asiwe na mtoto

2. URAIA: Awe Raia wa Tanzania Bara

3. UMRI:

(a) Wahitimu wa Shahada: Awe na umri wa kati ya miaka 18 na 28
(b) Wasio na Shahada: Awe na umri wa kati ya miaka 18 na 24

4. UREFU:

(a) Wavulana: Wawe na urefu usiopungua Sentimeta 170.2 au Futi 5 na inchi 7
(b) Wasichana: Wawe na urefu usiopungua Sentimeta 167.64 au Futi 5 na inchi 4

5. SIFA NYINGINEZO:

How to get children behave without shouting or hitting


There's plenty of evidence that spanking, paddling or hitting children doesn't improve their behavior in the long run, and actually makes it worse.

But the science never trumps emotion, according to Alan Kazdin, head of the Yale Child Study Center and author of The Everyday Parenting Toolkit.

After NFL star Adrian Peterson was indicted for child abuse after disciplining his 4-year-old son by hitting him with a switch, there's been a lot of conversation about how race and culture affect parents' approach to discipline. OK, what about the science? Behavioral psychologists say that people respond very predictably to others' words and actions, and parents can use that predictability to improve children's behavior without shouting or hitting.

We talked with Kazdin by phone about why parents use corporal punishment and what options they have for teaching good behavior. Here are highlights of that conversation.

Why do parents use physical discipline?

There are three reasons, Kazdin says. "The brain is hard-wired to pick up negative things in the

Ujenzi wa Daraja la Kigamboni sasa kukamlika Julai 2015


Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Dar es Salaam wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky Sadick (wa tatu kushoto), wakiwa katika ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa daraja la Kigamboni jijini Dar es Salaam leo. Daraja hilo linajengwa kwa ufadhili wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF). Wa nne kushoto ni Meneja Mradi ujenzi wa daraja hilo, Mhandisi John Msemo.

(picha imepigwa na Francis Dande)

Ujenzi wa Daraja la Kigamboni, umeongezewa muda baada ya mafundi wanaosimika nguzo baharini kugundua kuna uwazi chini ya maji.

Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Meneja wa maendeleo ya Mradi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), Mhandisi John Msemo, alisema changamoto hiyo imesababisha ujenzi huo kukamilika Julai mwaka 2015 badala ya Machi.

Alitoa ufafanuzi huo wakati wa ziara ya uongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dare es

Taarifa ya MCT ya kulaani Polisi walioshambulia Wanahabari>

Wapata hasara kwa kuficha fedha kienyeji zikatoboka

Pamoja na Wananchi kutakiwa kuweka fedha zao benki, bado kuna Wananchi wana tabia ya kuweka fedha katika mazingira yasio salama. Pichani ni baadhi ya fedha zilizoharibika kwa kuwekwa katika mazingira yasio salama huko Kisiwani Pemba. (picha: Benki ya PBZ via ZanziNews)


US FDA approves new injectable diabetes drug

The U.S.A. Food and Drug Administration on Thursday approved a new injectable diabetes drug from Eli Lilly and Co. named Trulicity, for adults with the type II diabetes mellitus.

A weekly injection, the drug is part of a new class of medicines called GLP-1 agonists, which spur the pancreas to create extra insulin after meals.
The AP notes that, the FDA approved Trulicity based on six studies in 3,342 patients that showed improvements in blood sugar control. The drug was studied as a stand-alone therapy and in combination with other commonly used diabetes drugs, such as metformin.

The drug will bear a boxed warning - the most serious type - highlighting that rats tested with Trulicity had cases of thyroid cancer, though it's unclear whether they were caused by the drug.

Lilly will be required to conduct follow-up studies on cases of thyroid cancer, heart problems and other potential safety issues with the drug. The FDA is also requiring Lilly to educate doctors about the drug's various risks.

Speech by Pres. Kikwete addressing USAID forum in Washington, DC

 President Jakaya Kikwete chats with Former British Prime Minister Tony Blair at the Reagan Building in Wsshington DC after the President delivered a keynote speech at  the USAID Frontiers in Development Forum: Ending Extreme Poverty .


 KEYNOTE SPEECH BY DR. JAKAYA MRISHO KIKWETE, PRESIDENT OF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA, DURING THE USAID FORUM ON “FRONTIERS IN DEVELOPMENT: ENDING EXTREME POVERTY”, 19TH SEPTEMBER, 2014, WASHINGTON, D.C


Honourable Dr. Rajiv Shah, USAID Administrator;
Honourable Mr. Mark Diop, Vice President of the World Bank;
Distinguished Participants;
Ladies and Gentlemen;
Allow me to begin by thanking you Dr. Rajiv Shah for inviting me to participate in this Forum and for affording me the opportunity to share my thoughts on its very important theme of Ending Extreme Poverty. I commend the USAID for initiating this debate, and I hope participants will come up with pertinent proposals about ways and means to end this human degrading condition of our time. For those of us who live with this reality in our countries, it is heartwarming, indeed, to see that there are friends out here who care about the plight of the poorest and are ready to do what it takes to erase this scourge from the face of this planet.  
Distinguished Participants;
Ladies and Gentlemen;
The World Bank Report on End Extreme Poverty and Promote Shared Growth (2013) tells us that globally poverty has declined rapidly over the past three