Rais wa Zambia hajalazwa hospitali, ashindwa kuhutubia UNGA

Maafisa wa Polisi nchini Marekani wamesema rais wa Zambia, Michael Sata alitibiwa na daktari katika chumba cha hoteli alimofikia lakini hajalazwa hospitalini kama ilivyodaiwa.

Naibu Chifu wa Polisi wa New York, Kim Royster ameliambia shirika la habari la Associated Press kuwa rais Sata alitibiwa na madaktari wa Serikali ya Marekani siku ya Alhamisi kisha akapelekwa hospitalini lakini hakulazwa.

Rais Sata aliwasili nchini Marekani akitokea Lusaka, Zambia kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa

[17 min video] Pres. Kikwete's speech at the UN Headquaters in NY, USA

Scholarships for Tanzanians for Info. Systems MSc by Distance Learning at Manchester University

IDPM student funding opportunities

The Institute of Development Policy and Management (IDPM) is a top destination for postgraduate students and offers an array of funding opportunities, including strategic use of our own resources.
Equity and Merit Scholarships for Study by Distance Learning

Equity and Merit Scholarships aim to assist talented but economically disadvantaged students from some of the world’s poorest countries. The scholarships, established on an initiative of the President of the University, cover all tuition and examining fees and course material costs.

Applications for the Equity and Merit Scholarships are invited from nationals of Tanzania and Uganda.
Read full details on the Equity and Merit Scholarships Application webpage

The distance learning Equity and Merit scholarship scheme covers the following programmes within

President Kikwete visits CNN studios in New York

President Jakaya Mrisho Kikwete chats with Cable News Network (CNN) 's Richard Quest and Maggie Lake when he visited CNN Studios at the Time Warner Cente in New York. 

CNN is an American basic cable and satellite television channel that is owned by the Turner Broadcasting System division of Time Warner.

The 24-hour cable news channel was founded in 1980 by American media proprietor Ted Turner. Upon its launch, CNN was the first television channel to provide 24-hour news coverage, and was the first all-news television channel in the United States.

While the news channel has numerous affiliates, CNN primarily broadcasts from its headquarters at the

Vulnerability Assessment Committee Results 2014 for TanzaniaDownload PDF (919.18 KB)

Key Findings
 • A total of 35 Councils have been identified to be under stress.
 • A total of 213,379 people in 35 Councils are identified to be food and nutrition insecure and their food requirement is estimated to be 5,121 MT.
 • The levels of malnutrition in 6 to < 24 months age group were relatively higher than that of other age groups.

Key Recommendations
 • Continuous monitoring of areas identified to be at risk of food and nutrition insecurity between June and August 2014.
 • Rehabilitation of roads in the flood affected areas.
 • To promote households good use practice of food crop harvested during the 2013/14 production year.
 • Conduct Comprehensive food and nutrition security assessment by September 2014.
 • Improvement and construction of roads in the rural areas.
 • Enhancement of rehabilitation and establishment of irrigation schemes.
 • Promote the use of early maturing and drought tolerant crops like cassava and millet.
 • Strengthening of the livestock early warning system to ensure sustainable food security.
 • Continue to strengthen input supplies programme to smallholder farmers.
 • Promotion of nutrition and childcare education should be strengthened.

UN Office for the Coordination of Humanitarian Affairs:
To learn more about OCHA's activities, please visit unocha.org

Tanzania seen luring IPOs as State lifts foreign-share ownership


Tanzania, which has Africa’s best-performing stock market, lifted controls on foreign-share ownership, making it more enticing for companies to consider initial public offerings.

The removal of restrictions on foreigners owning more than 60 percent of companies that trade on the Dar es Salaam Stock Exchange was published in a Government Gazette dated Sept. 19, Charles Shirima, spokesman for the Capital Markets and Securities Authority, said by phone today from the commercial capital, Dar es Salaam. Investors from the East African Community will also be allowed to buy as much as 40 percent of Tanzanian government securities, he said.

The 11-member Tanzania Share Index gained 73 percent in 2014, the most among 17 African gauges tracked by Bloomberg. Tanzania’s $33 billion economy, the largest in East Africa after Kenya, will

Discovery of 27 vertebrates reveals unmatched biodiversity in Tanzania

A study by an international team of scientists coordinatedby Italy's MUSE - Science Museum updates knowledge on the faunal richness of the Eastern Arc Mountains of Tanzania and Kenya; presents the discovery of 27 new vertebrate species (of which 23 amphibians and reptiles); identifies the drivers of the area's exception biological importance and advocates for its candidature to the UNESCO's List of World Heritage Sites.

A study documenting the latest research findings on the faunal richness of the tropical moist forests of the Eastern Arc Mountains of Kenya and Tanzania was published on-line today (26th of September – 5am BST) in Diversity and Distributions. The study summarises the last decade of biodiversity research in the Eastern Arc Mountains, including the discovery of 27 vertebrate species that are new to science; and 14 other species not previously known to exist in the area.

The results further re-enforce the importance of the Eastern Arc Mountains as one of the top sites on

Tanzania 91-day Treasury bill yield drops to 9.88 percent

The weighted average yield on Tanzania's 91-day Treasury bill fell to 9.88 percent at this week's auction from 11.83 percent at the last sale two weeks ago, the central bank said.

During the sale held on Wednesday, the bank accepted a total of 275.1 billion shillings ($164.8 million) worth of bids for the debt that came in a range of maturities. It had sought to borrow 135 billion shillings.

Fumbuka Ng'wanakilala

Jaji Warioba azungumzia BMK lilivyochakachua maoni ya Wananchi akizindua kitabu cha Dk Mvungi 'Breathing the Constitution'

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Marekebisho ya Katiba, Jaji Joseph Warioba akifafanua jambo kuhusu mwenendo wa Bunge la Katiba lilivyochakachua maoni ya wananchi wakati wa hafla ya kutimiza 19 ya Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu jijini Dar es Salaam.

Katika maadhimisho ya 19 ya Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Mkurugenzi wa LHRC, Dk. Hellen Kijo-Bisimba, amesema wameamua kumuenzi Dk. Mvungi katika siku ya Haki za Binadamu kwa kumwandikia kitabu, kwa kuwa miaka 19 akiwa na rafiki yake Dk. Ringo Tenga walipokea hati ya usajili wa kituo hicho.

Maadhimisho hayo yamempa heshima Jaji Joseph Sinde Warioba ya kuzindua kitabu kinachohusu maisha na kazi za kisheria alizopata kuzifanya na kuziamini Dk. Sengodo Mvungi, kinachoitwa ‘Breathing Constitution’, kwa tafsiri nyepesi, Dk. Mvungi ‘anapumua Katiba’.

Dk. Kijo Bisimba, alisema kituo hicho kilipata pumzi ya kwanza Dk. Mvungi akiwa Mkurungenzi wa muda na kuandaa mkutano wa kwanza wa bodi ya wakurugenzi na kukabidhi shirika lililokuwa na usajili wa kudumu.

Mkurugenzi huyo, alisema watamkumbuka Dk. Mvungi katika mambo mengi pale wanaposherehekea maisha na umri wa kituo chao alichowezesha kuanzishwa na kubwa kuliko lote, hoja yake ya uwepo wa Katiba mpya.

“Katika sherehe yetu hii ya kupevuka na ya utu uzima, mwaka jana Septemba 26, Dk.. Mvungi alikuja na furaha sana…alisema ilibidi aondoke kidogo kwenye kazi nyeti aliyokuwa nayo katika Tume ya Mabadiliko ya Katiba ili tu awepo nasi, na kusema hata atingwe na kazi kiasi gani hawezi

Askofu Kilaini: Watanzania watachukua uraia kwingine

Askofu Msaidizi wa Jimbo la Kanisa Katoliki, Bukoba, Mhashamu Methodius Kilaini amesema kukataa uraia pacha ni sawa na kukubali kupoteza watoto na nchi kubaki kama kisiwa wakati nchi nyingine zinafanya hivyo, jambo ambalo Watanzania wengi watakimbilia uraia wa nchi nyingine.

Alisema watafanya hivyo kwa lengo la kupata kazi, ikiwa ni pamoja na kupoteza wanamichezo ambao wanaenda nje ya nchi kwa ajili ya masilahi.
“Mimi naona hili lingeruhusiwa bali kuwa masharti ya kutogombea nafasi yoyote ya uongozi ni vema tukaangalia nchi kama Marekani wanavyonufaika na suala hilo” 
Akizungumzia suala la Zanzibar kuruhusiwa kujiunga na mashirika ya kimataifa, alisema hakubaliani nalo, kwani suala hilo linafanya kusiwe na maana ya Muungano.

Alisema haiwezekani kusema Zanzibar, si nchi wakati inakuwa na sera mbili ya kujiamulia mambo yake na yale ya muungano, jambo ambalo ni hatari kwa ajili ya usalama wa nchi.

Ya kupata Katiba Mpya ya Tanzania: Kosa la ‘Rasimu ya Vijisenti’

Foum Kimara
Foum Kimara
KOSA la awali kwenye rasimu iliyowasilishwa mbele ya Bunge la Katiba na Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi wa Rasimu hiyo, Andrew Chenge (Mzee wa Vijisenti), ni upotoshaji wa dhana ya shirikisho kama yalivyokuwa matakwa ya wananchi walio wengi yaliyokusanywa na Tume ya Jaji Joseph Warioba.

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Kukusanya na Kuratibu Maoni ya Wananchi, Jaji Joseph Warioba (kushoto), akimkabidhi Rais Jakaya Kikwete rasimu ya katiba.

Katika Rasimu ya Vijisenti, dhana hii imepigwa vita na kupewa sababu kuu tano ambazo kwa leo tutaanza kuzijadili na kuonyesha udhaifu mkubwa uliotumika katika kufikia maamuzi ya kupinga uwazi wa serikali tatu na mfumo mzima wa shirikisho uliolenga kutenganisha mamlaka makuu ya tawala za Zanzibar, Tanganyika na Muungano.

Sababu #1: Wengi wape

Sababu ya kwanza ni kuwa wabunge walio wengi walipinga mfumo huu na hivyo katika misingi ya wengi wape, faida za serikali tatu zikafunikwa na hii demokrasia ya uongo. Katika jambo lenye uzito mkubwa kutokana na maoni ya wananchi, wingi wa wabunge kulikataa haileti uhalali wa dhana nzima ya wengi wape hasa kwa wingi wa watu 400 inapolinganishwa na milioni 45 ya Watanganyika na milioni 1.6 ya Wazanzibari.

Kama hoja ya wingi na upana wa demokrasia ungelizingatiwa, kwanza maoni yaliokusanywa na Tume yalionyesha wananchi walio wengi walipendekeza mfumo wa serikali tatu. Na kwa Zanzibar, ambayo

Tamko la UKAWA kuhusu amri ya Mahakama Kuu juu ya Bunge Maalum na Rasimu iliyowasilishwa

Mbatia, Mbowe na Lipumba
L-R: Mbatia, Mbowe na Lipumba
UMOJA WA KATIBA YA WANANCHI
(UKAWA)

TAMKO LA UKAWA JUU YA AMRI YA MAHAKAMA KUU YA TANZANIA KUHUSU MAMLAKA YA BUNGE MAALUM
&
RASIMU YA KATIBA INAYOPENDEKEZWA ILIYOWASILISHWAKWENYE BUNGE MAALUM NA MWENYEKITI WA KAMATI YA UANDISHI YA BUNGE MAALUM


Dar es Salaam, 26 Septemba 2014:

Hapo jana tarehe 25 Septemba, 2014, Mahakama Kuu ya Tanzania imetoa amri kuhusu maombi yaliyofunguliwa na Bwana Saed Kubenea, mwandishi habari mwandamizi na mhariri wa gazeti la Mwanahalisi kutaka Mahakama Kuu itoe ufafanuzi wa mamlaka ya Bunge Maalum kwa mujibu wa kifungu cha 25 cha Sheria ya Mabadiliko ya Katiba, Sura ya 83 ya Sheria za nchi yetu. Katika amri yake hiyo, Mahakama Kuu imesema yafuatayo kuhusu mamlaka ya Bunge Maalum:

(a)           “Kwamba kuna mgongano katika maana ya maneno yaliyotumika kwenye kifungu cha 25 cha Sheria hiyo kwenye toleo la Kiingereza la Sheria hiyo. Hata hivyo, licha ya mgongano huo, tafsiri sahihi ya maneno ya kifungu hicho ni kwamba:

(i)                    “Mamlaka ya ‘kujadili na kupitisha masharti ya Katiba inayopendekezwa’ maana yake ni mamlaka ya kutunga na kupitisha Katiba inayopendekezwa kwa ajili ya kupelekwa kwa wananchi wa Tanzania ili kupigiwa kura ya maoni;

(ii)                  “Mamlaka hayo yatatekelezwa kwa kutumia Rasimu ya Katiba iliyowasilishwa kwenye Bunge Maalum na Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba. Katika kufanya hivyo, Bunge Maalum linaweza kuboresha na/au kurekebisha Rasimu ya Katiba. Mamlaka hayo yanamewekewa mipaka, kama ilivyokuwa kwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, na tunu na maadili ya taifa yaliyopo kwenye kifungu cha 9(2) cha Sheria;

(b)          “Mahakama haina mamlaka ya kuamua aina na upeo wa

Evelyn Baasa anyakua taji la Redd's Miss Tanzania Photogenic 2014

Miss Tanzania Photogenic 2014, Evelyn Baasa
Baadhi ya warembo wakipiga picha ya pamoja na mshindi huyo wa Taji la Miss Tanzania Photogenic 2014

Father Kidevu Blog, Arusha

Mlimbwende Evelyn Baasa (19) jana aliibuka kidedea kati ya walimbwende wenzake 30 na kutwaa taji la Redds Miss Photogenic 2014.

Kwa kushinda taji hilo Baasa ambaye alinzania mbio za taji la Miss Tanzania katika Kitongoji cha Karatu naabadae kuingia Miss Arusha na Kanda ya Kaskazini amekuwa mrembo wa kwanza kuingia Nusu Fainali ya mashindano Miss Tanzania 2014.

Shindano hilo ni moja kati ya mataji matano ambayo yanashindaniwa na warembo hao ambapo

Tifu la Mrema na Mbatia


MWAKA 1995, mwanasiasa kijana kutoka Chama cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia, alichaguliwa kuwa Mbunge wa Jimbo la Vunjo katika Uchaguzi Mkuu wa Kwanza wa Vyama Vingi hapa nchini.

Ushindi wa Mbatia haukuwa wa kawaida kwa sababu alipata kura zaidi ya 57,000 ambazo ndizo zilikuwa nyingi kuliko mbunge mwingine yeyote kwenye Bunge la Muungano.

Kufahamu ukubwa wa ushindi huo, idadi hiyo ya kura ilikuwa takribani asilimia 80 ya kura zote zilizopigwa. Hadi leo, takribani miaka 20 baada ya kuanza kwa vyama vingi, hakuna mbunge wa upinzani aliyewahi kutwaa jimbo kwa kupata asilimia hiyo ya kura.

Kwa utuki tu (Ahmed Rajab anaita Sadfa) au kwa lugha ya Kiingereza Coincidence, Jimbo la Vunjo ndilo lililokuwa pia ngome kuu ya NCCR Mageuzi kwa vile aliyekuwa mgombea urais kupitia chama hicho na kinara wa siasa za upinzani wakati huo, Augustine Mrema, ni mzaliwa wa eneo hilo.

Kimahesabu, wanasema waliokuwa wanachama wa NCCR Mageuzi wakati huo, huwezi

Uhusiano kati ya mafanikio na imani za kishirikina, uchawi


Tanzania ni moja ya nchi ambazo watu wengi sana wanaamini katika uchawi. Watu wengi wanaamini katika imani za kishirikina ili kuweza kupata mafanikio kwenye kazi, biashara na hata maisha kwa ujumla. Zaidi ya asilimia tisini ya Watanzania wanaamini katika imani za kishirikina. Yaani kuna wale ambao wanazitumia kufanikisha mambo yao na kuna wengi ambao hawazitumii ila wanaamini kuna wanaozitumia kufanikisha mambo yao.

Hakuna haja ya kudhibitisha sana hili kwa sababu tumeshuhudiia mauaji ya vikongwe, na pia tumeshuhudia sana mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi au albino. Tumekuwa kila siku tukiona watu wanahubiri kuhusu Freemason na habari nyingine za kichawi na pia tumeona watu wakishuhudia kwamba walikuwa wanafanya mambo haya ya kichawi na hivyo kuua watu au kufanya mambo mengine ya hatari ili kufikia mafanikio.

Pamoja na matukio haya kumekuwa na hadithi nyingi sana huku mitaani kwamba baadhi ya watu waliofanikiwa au maarufu ni kwa sababu wametumia uchawi. Tumekuwa tukisikia kwamba wasanii maarufu na hata matajiri wakubwa wanawezeshwa na waganga au wamejiunga na Freemason. Hapa

Waziri Membe: Mwenzio akinyolewa, tia maji

Bernard Membe, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa kimataifa wa Tanzania. (Picha:UN/JC McIlwaine)
Bernard Membe, Waziri, Tanzania.
(picha: UN/JC McIlwaine)

Mjadala mkuu wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa unaendelea sanjari na vikao vya ngazi ya juu vikiangazia masuala muhimu ya Umoja huo. Miongoni mwao ni amani Ukanda wa Maziwa Makuu Afrika ambapo Tanzania iliwakilishwa na Waziri wake wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe.

Katika mahojiano na Assumpta Massoi wa Idhaa hii kuhusu mkutano huo, amezungumzia kile kilichokubaliwa lakini zaidi ya yote amani ndani ya Tanzania. Basi sikiliza mahojiano haya ambapo Waziri Membe anaanza makubaliano ya mkutano kuhusu wapiganaji wa FDLR huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.Habari kwa mujibu wa Redio ya Umoja wa Mataifa

Paper report: Analysis - Kenya, Somalia, Tanzania "Rising terrorist threat in Tanzania"

(map image: franklinexpeditions.com)

Titled, "THE RISING TERRORIST THREAT IN TANZANIA: DOMESTIC ISLAMIST MILITANCY AND REGIONAL THREATS – ANALYSIS"

This paper provides an overview of the current threat posed by Islamist militants in Tanzania by tracing their evolution in the Tanzanian political context, identifying the major Islamist movements active in the country today, and assessing the spill- over of al Shabab– and al Qaeda–associated threats from Somalia and Kenya. The paper concludes with recommendations that the United States pay closer attention to the situation in Tanzania, build Tanzanian capabilities to address current threat streams, and work closely with the governments in both mainland Tanzania and the Zanzibar islands to counter further radicalization.
Please access the paper at www.eurasiareview.com

Taarifa zaidi kuhusu akaunti ya Escrow

TAARIFA zaidi zimezidi kupatikana kuhusu sakata la Escrow, linalohusisha makubaliano baina ya serikali, Kampuni ya kufua umeme ya Independet Power Tanzania Limited (IPTL) na Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kama wakala wa Escrow kuwa yalikuwa ni makubaliano ya kisheria.

Makubaliano hayo yalilenga kumaliza mgogoro wa kimaslahi baina ya wabia, ambao ni Kampuni ya VIP na Mechmar kutoka nchini Malaysia, ambapo VIP ilikuwa inamlalamikia mbia mwenzake kuhusu thamani ya hisa zake.

Hali hiyo ilisababishwa na mkataba wao, ambao ulikuwa ikimtaka kampuni ya VIP kufanya kazi za utekelezaji ikiwemo misamaha ya kodi, ofisi itakayofungwa mtambo huo wa uzalishaji umeme megawati 100, ambapo mtambo huo ulifungwa Tegeta.

Taarifa zaidi kuhusu mkataba huo, ilieleza kazi zitazofanywa na Kampuni ya VIP ni asilimia 30 ya

Suzuki Escudo inauzwa
Make: Suzuki
Model: Escudo
Year: 2000
Km :138, 972

Tafadhali wasiliana na mhusika, George kwa maelezo zaidi kupitia [email protected]

Three Tanzanian Entrepreneurs win Africa’s Business Leadership AwardsTHREE Tanzanian entrepreneurs are among winners of CNBC Africa ‘All Africa Business Leaders Awards’ (AABLA) for the East African round that was held in Nairobi, Kenya over the weekend.

A statement issued mentioned the three as Tanzanian media magnet, Dr Reginald Mengi, the Chief Executive Officer and founder of Technobrain Limited, Manoj Shanker and the Chief Executive Officer of Helvetic Solar, Patrick Ngowi.

AABLA award East Africa winners Patrick Ngowi, Reginald Mengi, Manoj Shanker and Tabitha Karanja. (picha: CNBCAfrica.com)


The statement said Dr Mengi, the Executive Chairman of IPP Limited, won two awards – the 2014 East African ‘Business Leader of the Year Award’ and ‘Lifetime Achievement Award’ for
pioneering corporate social responsibility in Tanzania.

The CEO and founder of Technobrain Limited in Tanzania, Manoj Shanker was named ‘Entrepreneur of the Year’ owing to his successful efforts to build a unique African company that puts Africa first as

Baraza la Mawaziri kubadilishwa tena?


ZIARA ndefu ya Rais Jakaya Kikwete nchini Marekani huenda ikaibuka na mabadiliko katika Baraza la Mawaziri au Taasisi nyeti za serikali, Raia Mwema limeelezwa.

Rais Kikwete aliondoka wiki iliyopita kwa ziara ya wiki mbili Marekani, katika wakati ambao serikali yake imegubikwa na masuala mazito yanayohitaji maamuzi yake.

Masuala hayo ni mchakato wa Katiba na uchunguzi uliofanywa na Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) pamoja na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kuhusu fedha zilizochotwa kutoka katika akaunti ya Tegeta Escrow ya Benki Kuu ya Tanzania (IPTL).

Taarifa ambazo gazeti hili linazo zinaeleza kwamba baadhi ya vigogo wa serikali wametajwa