Ati Balozi amewakataza Watanzania walioko jela China kuzungumza?

A war of words has erupted between Tanzania's ambassador to China and a group of his countrymen who campaign against drug smuggling from their Hong Kong prison cells.

The arrest of scores of drug mules last year - at a rate of five or six per week, at times - left the city with over 100 Tanzanian inmates, more than any other territory.

Fearing more of their countrymen would be lured into the drug trade, some inmates began writing letters home, warning potential couriers to think twice.

The campaign was picked up by Tanzanian media and helped stem the flow of smugglers; just 15 were arrested in the past year, according to Father John Wotherspoon, a Hong Kong

Jihan Dimachk atwaa taji la Redd's Miss Tanzania Top Model 2014

Mshindi wa taji la Redd’s Miss Tanzania Top Model 2014, Jihan Dimachk (katikati) akipozi kwa picha na mshindi wa pili Doreen Robert (wapili kulia), mshindi wa tatu Evelyn Baasa ambaye pia ni Miss Tanzania Photogenic 2014 (wapili kushoto), mshindi wa nne, Lilian Timothy (kulia) na Mshindo wa tano Nasreen Abdul, mara baada ya kushinda taji hilo jana ambapo Jihan amekuwa mrembo wa pili kuingia katika nusu fainali za Miss Tanania 2014 baada ya Miss Photogenic. Shindano la Miss Tanzania Top Mode lilifanyika katika ukumbi wa Triple A jijini Arusha na kuwashirikisha warembo 30.

Kwa picha zaidi, bofya hapa (Father Kidevu Blog)

Matokeo ya mechi za ligi kuu ya soka Tanzania 27.09.2014


Mechi za kesho Jumapili 28.09.2014 ni JKT Ruvu vs Kagera Sugar  na Yanga vs Prison

Mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi akishangilia bao aliloifungia timu yake wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara dhidi ya Polisi ya Morogoro uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo. Kushoto ni Ramadhani Singano 'Messi'. 

Sekraratieti ya Sekondari ya Mzumbe Alumni yazuru shule yao


Uongozi wa shule ya Mzumbe ukikabidhiwa nyaraka za usajili wa Mzumbe Alumni.

Leo, Jumamosi tarehe 27.9.2014 Sekraratieti ya Sekondari ya Mzumbe Alumni imetembelea

Harakati za kujitenga zaendelea, safari hii ni Catalonia kutoka HispaniaWiki  moja baada ya bunge la Catalan kumpa uwezo Artur Mas, kiongozi huyo wa Catalonia yenye makao yake makuu jijini Barcelona ametaka kuitishwa kwa kura ya kuamua endapo sehemu hiyo ya kaskazini-mashariki mwa Uhispania ijitenge ama iendelee kubakia kuwa sehemu ya Hispania.

Kura hiyo inatarajiwa kupigwa mwezi Novemba tarehe 9, ingawaje serikali ya Hispania kutoka Madrid imesea haitaruhusu kura hiyo ipigwe kwani katiba ya nchi hiyo inasema wazi wazi ya kuwa umoja wa nchi hiyo haugawanyiki na hakuna sehemu ya eneo hilo inayoweza kujiondoa katika umoja huo. Waziri Mkuu wa Hispania ameitisha kikao cha dharura cha Baraza lake ili kuamua namna ya kusonga mbele na vuguugu hilo.

Pamoja na hayo, kiongozi wa Wacatalon amesema kupiga kura ni haki yao na njia ya

Clinton apata mjukuu


Familia ya Rais wa 42 wa Marekani, Bill Clinton na mkewe Hillary Diane Rodham Clinton aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Marekani katika utawala wa Rais Barack Obama, imepata mjukuu baada ya mtoto wao Chelsea kujifungua mtoto wa kike aitwaye Charlotte Clinton Mezvinsky.

Chelsea (34) na mumewe Marc Mezvinsky waliofunga ndoa mwaka 2010, alitangaza kuwa mjamzito Aprili 2014 na baada ya kujifungua hapo Ijumaa hakuficha furaha yake pale alipoandika kwenye akaunti yake ya Twitter siku ya Jumamosi kuwa wanayofuraha, mapenzi na shukrani nyingi wakati huu wanaposheherekea kuzaliwa kwa binti yao.

Onesho la Kimataifa la Swahili International Tourism Expo

TANAPA, MAMLAKA YA NGORONGORO NA SHIRIKA LA NDEGE LA ETHIOPIA WADHAMINI WAKUU ‘SWAHILI INTERNATIOANL TOURISM EXPO’


Na: Geofrey Tengeneza

Shirika la hifadhi la taifa (TANAPA) kwa kushirikiana na mamlaka ya hifadhi ya eneo la Ngorongoro pamoja na shirika la ndege la Ethiopia wamedhamini onesho la kimataifa ya utalii lijulikanalo kama ‘Swahili International Tourism Expo’ (S!TE).

Taasisi hizo tatu zinakuwa ndio wadhamini wakuu wa maonesho hayo ya kimataifa ya utalii ya kwanza Tanzania yanayoandaliwa na Bodi ya Utalii Tanzania kwa kushirikiana na kampuni ya Pure Grit Project and Exhibition Management Ltd ya Afrika Kusini ambao pia ndio waandaji wa onesho la utalii la INDABA linalofanyika kila mwaka Afrika Kusini.. Onesho hili la kwanza la S!TE litafanyika

Major airlines' rules for flying with babies

Skyscanner has created an easy to read guide to the major airlines' rules for flying with babies to ensure a stress-free experience.

If you've ever looked into flying with babies, you'll know that there are so many variations in the charges and regulations involved with taking your baby on a flight. Different carriers have different rules. Some charge for one thing; while with another it's free.

Check the tables below which explain all the variations parents need to be aware of when flying with babies.
UKAWA wajipanga uchaguzi Serikali za Mitaa

Mbatia, Mbowe na Lipumba
L-R: Mbatia, Mbowe na Lipumba

Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) vimehimizana kushirikiana na kuja na nguvu ya pamoja katika Uchaguzi wa Mitaa, Vijiji na Vitongoji uliotangazwa kufanyika Desemba 14 mwaka huu.

Katika taarifa ya pamoja ya UKAWA iliyosainiwa na Freeman Mbowe (CHADEMA), James Mbatia (NCCR Mageuzi) na Profesa Ibrahim Lipumba (CUF) vyama hivyo vimejihimiza kuhakikisha vinanyakua nafasi kwenye uchaguzi huo kwa lengo la kujiandaa na uchaguzi mkuu kwa kuwataka wanachama na viongozi kufanya maandalizi kwa pamoja.

“Uchaguzi huo uwe ni fursa ya kwanza ya kuiondoa CCM katika utawala wa nchi yetu kabla ya kuiondoa kabisa katika Uchaguzi Mkuu wa 2015,” ilisema sehemu ya taarifa hiyo.

HabariLeo: Ukawa wajipanga uchaguzi Serikali za Mitaa

Tanzania, Kenya agree a joint bid to co-host AFCON 2017THE Tanzania Football Federation (TFF) and Football Kenya Federation (FKF) have agreed a joint bid to co-host the 2017 Africa Cup of Nations (AFCON) tournament.

This was disclosed in Dar es Salaam by a TFF official, who preferred anonymity as he is not the official spokesman of the federation, saying that Tanzania has accepted Kenya's proposal to have a joint bid to host the continent's top soccer showpiece.

The official, however, noted that despite being ready to co-host the tournament with Kenya, the TFF still prefers Tanzania to be the sole host and the joint bid is an option.

"As Tanzania we have already submitted our bid to CAF (Confederation of Africa Football) and they have confirmed receiving it and the joint bid with Kenya consolidates our chances of

Unavyoweza kufikia mafanikio bila kujali kiwango cha elimu


Elimu ni muhimu sana ili kuweza kupata utaalamu na kuweza kukabiliana na changamoto mbalimbali kwenye maisha. Katika baadhi ya taaluma ili uweze kufikia mafanikio makubwa ni muhimu uwe na elimu kubwa hasa ya chuo kikuu. Lakini pia bado kila mtu anaweza kufikia mafanikio makubwa hata kama hajapata elimu hii ya chuo kikuu. Kuna idadi kubwa sana ya watu waliofanikiwa lakini hawana elimu kubwa.

Leo tutaona ni jinsi gani unavyoweza kufikia mafanikio makubwa bila ya kujali kiwango chako cha elimu. Iwe una elimu ya darasa la saba, sekondari au hata chuo kikuu, una uhakika wa kufikia mafanikio makubwa kama utafanya yafuatayo;

1. Anza mapema.

Tafuta kitu unachopenda kukifanya na anza mapema kukifanya. Kipende sana kitu hiko na kifanye kwa moyo mmoja.Kuwa na shauku kubwa ya kufanikiwa kupitia kitu hiko na usikate tamaa au

Sitta "ahamia" CHADEMA sababu ya simu

Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta akiongoza bunge hilo Septemba, 26, 2014 mjini Dodoma.

MWENYEKITI wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta, amehamishia vita vya maneno Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), akidai kuwa viongozi wake wameweka namba yake ya simu kwenye tovuti ili atukanwe na wananchi kila siku.

Hata hivyo, Sitta alitamba kuwa yuko tayari kwa hilo huku akiwataka wanaotaka mapambano waendelee lakini kazi ya Bunge Maalum itaendelea na kwamba, Katiba bora kwa Watanzania itapatikana.

Sitta, alitoa tuhuma hizo bungeni mjini hapa jana asubuhi, wakati akimpa nafasi Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Jaji Fredrick Werema, ili atoe ufafanuzi wa hukumu ya

Marekani yaruhusu wahamiaji haramu wa Liberia wasirejeshwe

Serikali ya Taifa la Marekani imeruhusu wahamiaji wasio na vibali vya ukaazi na kuishi nchini humo, wasirejeshwe makwao badala ya kurejeshwa nchini kwao Liberia kutokana na tishio la ugonjwa wa Ebola uliopo nchini humo na katika baadhi ya nchi za Magharibi mwa Afrika.

Msemaji wa Serikali amesema kuwa Rais Barack Obama ametia saini agizo ambalo lilikuwepo kwa zaidi ya miaka kumi, "deferred enforced departure"  linalotoa ruhusa ya kisheria ya kuwalinda raia hao na kuruhusu wapewe kinga dhidi ya kurejeshwa makwao.

Hii si mara ya kwanza kwa Marekani kutumia sheria hiyo kwani kwa mara ya kwanza iliwahi

Vitimbi vya Waziri Mkuu wa Thailand, sasa asema michezo ya runinga inamkera, ibadilishwe la sivyo...

Waziri Mkuu wa Thailand, Jenerali Prayuth Chan-ocha

Aliyekuwa kiongozi wa kundi la uasi lililoipindua Serikali ya Thailand na ambaye sasa ni Waziri Mkuu wa nchi hiyo, Jenerali Prayuth Chan-ocha ameripotiwa kukasirishwa na michezo ya runinga iliyojaa visa vya 'michepuko', uzinzi, uasherati, visasi na machafuko ya kijamii kiasi cha kusema atajitwika jukumu pia la kutunga hadithi zinazofaa kuoneshwa.

Jen. Prayuth ambaye alipanga mapinduzi mwezi Mei mwaka huu dhidi ya serikali iliyochaguliwa, amesema anaandaa tungo ambazo itachagiza maelewano katika jamii.

Kiongozi huyo amenukuliwa akisema kuwa kuanzia sasa ameagiza tungo zote ziandikwe upya na michezo yote iigizwe katika mkondo wa kuonesha maridhiano, utalii na utamaduni wa Wathai.

Amenukuliwa na kituo cha Sauti ya Amerika akisema, "They are writing plots at the moment and if