Kenya's Dennis Kimetto sets New Marathon World Record

Kenya's Dennis Kimetto crosses the finish line to win the Berlin Marathon Sunday. (photo: kuow.org)

Dennis Kimetto of Kenya tore through the course at Sunday's Berlin Marathon setting a new world record in the marathon after running for 2:02:57 slicing 26 seconds off the world record set by Wilson Kipsang in the same race last year.

Kimetto, 30, says he wants to set a new record next year: "I feel good because I won a very tough race," Kimetto said after the finish adding: "I felt good from the start and in the last few miles I felt I could do it and break the record. I believe I can improve it further. I'd like to return and try to break it again next year."

In the women's race, Ethiopia's Tirfi Tsegaye finshed first with a time of 2:20:18.

The NPR: Kenya's Kimetto Sets New Marathon World Record In Berlin

Si Mjumbe wa CUF wala CHADEMA atakayepiga kura kwa njia ya mtandao

Chama cha Wananchi (CUF), kimesema hakuna Mjumbe katika chama hicho wala wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), atakayeshiriki katika zoezi la upigaji kura kwa njia ya mtandao.

Kauli hiyo imekuja baada ya Mwenyekiti wa Bunge la Katiba Samuel Sitta, kuruhusu kura za maoni kutoka kwa wajumbe wahusika ambao wako nje ya nchi kwa sababu maalumu.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama (CUF), Yusuph Salum, alisema endapo Sitta, ataruhusu zoezi hilo liendelee hakutokuwapo na Rasimu ya Katiba mpya halali.

“Sitta, kama ana nia ya kuleta migogoro ndani ya vyama, aanze kutatua ile ya

Get your Vodafone Smart Kick for 79,999/= only at Vodacom shops

odacom Tanzania Product Manager, Liginiku Milingi (left) explaining the greatness of the new Vodafone Smart Kick phone to the Journalist, The phone which is powered with all social media is on market in all Vodacom shops for Tsh 79,999 only and included offer of 3G and 1,200 SMS free. On right is the companies Public Relations Manager Matina Nkurlu.

Vodacom Tanzania Product Manager, Liginiku Milingi (left) and the companies Public Relations Manager Matina Nkurlu showing the new Vodafone Smart Kick phone to the media which is powered with all social media is on market in all Vodacom shops for Tsh 79,999 only and has included offer of 3G and 1,200 SMS free.

Picha za hafla ya mlo wa jioni kuchangia "Bonnah Education Trust Fund"

Mgeni Rasmi katika hafla ya Chakula cha jioni cha kuchangia Mfuko wa Bonnah Education Trust Fund,Mwenyekiti wa CCM Mkoawa Dar es Salaam, Ndg. Ramadhan Madabida (kushoto) akipokea mfano wa hundi ya Dola za Marekani Elfu 8 kutoka kwa Mwenyekiti wa GCUT Group Tanzania,Lucy Jeremiar Gilya. Katikati ni Mwenyekiti Mwanzilishi wa Bonnah Education Trust Fund, Bonnah Kaluwa.

Swahili International Tourism Expo yazidi kuvutia wadhamini

Taasisi na makampuni kadhaa yameendelea kujitokeza kudhamini onesho la kimataifa la utalii la Swahili ‘Swahili International Tourism Expo’ (SITE) linaloandaliwa na Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) na ambalo linatarajiwa kufanyika katika ukumbi wa mikutano wa Mlimani City kuanzia Oktoba 1 – 4, 2014.

Aidha Bodi ya Utalii Tanzania imesema milango bado ipo wazi kwa makampuni na taasisi mbalimbali za serikali na binafsi kuwaunga mkono kwa kujitokeza kudhamini onesho hili linalofanyika kwa mara ya kwanza.

Licha ya wadhamini wakuu wa onesho hilo ambao wako katka kiwango cha platinum shirika la hifadhi ya taifa (TANAPA), mamlaka ya hifadhi ya eneo la Ngorongoro (NCAA) pamoja na

Mwanadada bondia Mwafrika Bintou Yawa Schmill anyakua ubingwa Ulaya

Maondia Bintou Yawa Schmill na Mirjana Vujic wakipambana

Frankfurt, Ujerumani - Bondia wa kike Mwafrika aishiye Barani Ulaya, Bintou Yawa Schmill, mkazi wa Ujerumani siku ya Ijumaa, Septemba 2014 alichukua taji la ubingwa wa ngumi za kulipwa unaotambuliwa na IBF.

Bondia Bintou alimpiga na kumshinda mpinzani wake bondia Mirjana Vujic kwa knock out (K.O) katika raundi ya tatu. 

Pambano hilo lilionyeshwa moja kwa moja (LIVE) katika kituo cha runinga cha

Misa ya kumshukuru Mungu kwa ajili ya Edgar Mutta na wazazi wakePadri Evod Shao (kulia) akiongoza misa ya shukurani ya Edgar Mutta (hayupo pichani) iliyofanyika Silver Spring, Maryland nchini Marekani ya kumtolea Mungu shukurani ya kuwezesha kupoma maradhi yaliyokua yakimsumbua kushoto ni Padri Leandry KimarioEdgar Mutta (kati) katika picha ya pamoja na wazazi wake wakti misa ya shukurani ikiendelea.

Why did Che Guevara go to Tanzania secretly?

Picha hii yenye maelezo, "Mondlane na Che Guevara, Dar es Salaam, 1965) imepatikana itsdar.net.

The Argentinean revolutionary and hero of the Cuban revolution, Ernesto “Che” Guevara, spent over four months in Tanzania between 1965 and 1966. He entered Tanzanian soil a total of three times, once publicly and twice in secret between February and November of 1965. Che was attracted to Tanzania because it was the headquarters of most liberation movements from southern Africa; it was one of the centers of revolutionary thought in the African continent at the time. After almost three months of travelling to 6 different African countries pitching a case for a revolution, it was in Tanzania that Che would find a government ready to support his plan and a place to launch his next revolution. Tanzania would eventually become the starting point for a Cuban operation that would see Che together with more than 130 Cubans cross Lake Tanganyika and spend the next seven months fighting in the Congo.

Che landed in Dar es Salaam on Thursday, February 11, 1965 from China. He had one mission: to rally support from the liberation movements to create a united army to fight against imperialist an neocolonial forces in the Congo. Che went to Tanzania with a mission. He wanted a revolution. If there was any place in Africa with a large number of revolutionaries from different countries close to

Majambazi wajeruhi Polisi, Mfanyabiashara na kupora milioni 30/=


WATU wawili akiwamo askari mmoja wamenusurika kifo baada ya kupigwa risasi na watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi, waliofanikiwa kupora mfuko wa fedha unaosadikiwa kuwa na zaidi ya shilingi milioni 30.

Tukio hilo, lilitokea jana mchana majira ya 8:30 katika Mtaaa wa Mlandege Mkoa wa Mjini Magharibi, ambapo majambazi hao walimvamia mmoja wa wafanya biashara wa Mchele hapa nchini aliyetambulika kwa jina la Salum Issa Suleiman (50), Mkaazi wa Baghani Mjini Unguja, ambaye walimpora mfuko wake wa fedha hizo wakati akiwa njiani kuzipeleka benki.

Mfanyabiashara wakati akiwa njiani alijikuta akizingirwa na mojaya gari ndogo na kuanza kushambuliwa kwa risasi ambazo zilimjeruhi sehemu zake za miguuni na ghafla

Wanachuo wa Chuo Kikuu cha Florida wacheza 'ngololo' ya Diamond

NECTA: Fomu ya maombi ya vyeti mbadala

Baraza la Mitihani la Taifa nchini Tanzania, NECTA limetoa fomu ya maombi ya vyeti mbadala kwa wanaohitaji.

Tafadhali bofya hapa kupakua fomu hiyo na maelekezo yake.

Aua kwa kukata shingo mfanyakazi Marekani

Alton Nolen katika picha ya mwaka  2010 iliyopigwa katika ofisi ya Logan County, Oklahoma. (Logan County Sheriff's Office)

Huko kwenye jimbo la Oklahoma katika jiji la Oklahoma anaripotiwa mtu mmoja kuwa alimkata shingo mwanamke mmoja kwa kutumia kisu na kumjeruhi mwingine kabla ya yeye kupigwa risasi na maafisa wa polisi hapo siku ya Ijumaa.

Polisi wamesema kijana huyo, Alton Nolen (30), aliyekuwa mwajiriwa wa Vaughan Foods, alifanya kiendo hicho punde tu aliposindikizwa kutoka katika eneo la kazi baada ya kufutwa kazi.

Polisi wametaja sababu za kiimani kwamba kijana huyo alikuwa akijaribu kuwataka wafanyakazi wenzie wabadili dini. PKumbukumbu zinaonesha kijana huyo alitoka jela mwezi Aprili mwaka huu akiwa na historia ya kukutwa na bangi, kutoroka kifungoni, kushambulia na kujeruhi askari na kukutwa na cocaine kwa nia ya kuifanyia biashara.

Baadhi ya vituo vya runinga vya Marekani vikizungumzia tukio hilo vimekuwa vikijadili ikiwa ujumbe wa video wa kukatwa vichwa kwa baadhi ya wanahabari na raia wa Magharibi kulikofanywa na wanachama wa kundi lililotangaza kuunda dola la Kiislam (IS) huko Irak na Syria, kunachochea vitendo hivi kwingineko duniani.

Kujua mengi zaidi kuhusu kisa hicho, bofya hapa.