Nimejifunza: Mavuli na Mawasiliano ya simu bila mtandao kwenye maandamano Hong Kong

Protesters and student demonstrators hold up their cellphones in a display of solidarity during a protest outside the headquarters of Legislative Council in Hong Kong.
Waandamanaji wakiwa wamenyoosha simu zao kuashiria mshikamano wakati wakiwa mjini Hong Kong. (Picha: Xaume Olleros, AFP/Getty Images)

Wameyapa jina maandamano haya, "Mageuzi ya mwavuli" kwa maana kwamba, matumizi ya mwavuli yamebadilika kutoka kwenye asili yake ya kumkinga mtu mvua ama jua na sasa yanakinga watu macho dhidi ya vitoa machozi na mvuke unaowasha, vinavyolipuliwa na askari polisi.

Raia wa Hong Kong hawa wanafunzi wa Vyuo Vikuu nchini humo wamegundua mbinu hiyo na kuitumia katika maandamano yao yanayoingia siku ya nne sasa, yakidai uhuru na

Chahali: Maoni yangu - JK aziponda sera za uchumi za Nyerere, adai zimechangia umasikini wa Tanzania

.

Rais Jakaya Kikwete amezilaumu sera za uchumi za Tanzania baada ya nchi yetu kupata uhuru akidai zimepelekea hali duni ya kiuchumi.

Alieleza kuwa sera hizo ni moja ya sababu zinazoifanya Tanzania kuwa katika kundi la Nchi Masikini Zaidi Duniani (The Least Developed Countries - LCD) tangu utaratibu huo wa kuzigawanya nchi kutokana na viwango vyake vya kiuchumi na maendeleo uanze miaka ya 70.

Akihutubia Alhamisi iliyopita jijini Washington DC, nchini Marekani katika Kongamano la Shirika la Misaada la nchi hiyo (USAid Forum) kuhusu vikwazo vya maendeleo na jinsi ya kutokomeza umasikini uliokithiri, Rasi Kikwete alisema kwamba

BAKWATA yatangaza siku ya Sikukuu ya Idd el Haji

Baraza Kuu la Waislam Tanzania, BAKWATA limetangaza kuwa sikukuu ya Idd el Haji itafanyika siku ya Jumapili ya tarehe 5 Oktoba 2014.

Akizungumza na TBC, Kaimu Mufti wa Tanzania ambaye pia ni Shehe Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Ismail Habib Mwakusanya amsesema swala ya sikukuu hiyo itaswaliwa Kitaifa katika msikiti wa Al Farouq uliopo Kinondoni jijini Dar es Salaam na kufuatiwa na Baraza la Idd.

Mufti huyo amewataka Mashehe wa Wilaya na Mikoa kuwatangazia taarifa hii waumini katika misikiti yao.

Togwa yaua na kuacha watu zaidi ya 200 hoi hospitalini Ruvuma

Zaidi ya watu 250 miongoni mwao wakiwemo watoto, katika kijiji cha Litapwasi katika wilaya ya Songea mkoani Ruvuma wamenusurika kufa baada ya kunywa togwa inayosadikiwa kuwa na sumu.

Watu hao wamekunywa togwa hiyo katika sherehe ya kipaimara iliyofanyia kijijini hapo jana, Jumapili. 

Watu 27 kati yao walilazwa katika hospitali ya Mtakatifu Joseph ya Peramiho huku wengine wakikimbizwa katika hospitali ya kijiji cha jirani cha Ligweneni ambapo 50 kati hao walipatiwa tiba na kuruhusiwa kurejea makwao huku wengine wakibaki wamelazwa.

Wagonjwa waliolazwa wamesema tukio hilo lilitokea jana mchana katika nyumba ya

Etisalat considering sale of stake in Zantel

Emirates Telecommunications Corp. (ETISALAT), the United Arab Emirates’ largest phone company by market value, is exploring a sale of Tanzanian unit Zanzibar Telecom Ltd., according to people with knowledge of the situation.

Deutsche Bank AG is working with Etisalat on the sale of its 65 percent stake in Zantel, said the people, who asked not to be identified because the talks are private. Dar es Salaam-based Zantel, Tanzania’s largest Internet provider, has attracted interest from Vodacom Group Ltd. (VOD) and may also drawMillicom International Cellular SA (MIICF) as a suitor, the people said.

An acquisition of Zantel would give a buyer access to spectrum in Tanzania, helping it cope with growing demand for mobile data. About 57 percent of people in Tanzania had

Mtatiro, Lissu waaza kuhamasisha umma kuhusu upigaji kura mtandaoni

Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu na Katibu wa UKAWA ndani ya Bunge Maalumu la Katiba, Julius Mtatiro, wameanza kuhamasisha umma namna ya kupiga kura ya maoni kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii.

Jana katika mitandao mbalimbali ya kijamii, Lissu na Mtatiro walianza kuhamasisha umma juu ya upigaji kura ya maoni.

Katika ukurasa wake wa Facebook, Mtatiro aliandika; ‘Piga kura ya maoni sasa; Rasimu ya Warioba na TMK = ‘A’ au Rasimu ya Sitta, Chenge na BMK = ‘B’.

“Piga kura yako kwa kuandika neno A au B au unaweza kuandika Warioba au Sitta ama unaruhusiwa kuandika (TMK – Tume ya Mabadiliko ya Katiba) au (BMK – Bunge Maalumu la Katiba). Mwisho ni Oktoba 15, 2014,” hayo ni baadhi ya maneno yaliyoandikwa katika

TANCUT Almasi enzi hizo kwenye bwalo la Jeshi, Morogoro


Mbele kushoto Mohamed Shaweji na Nana Njige, kulia Ahmed Sululu na Nuru Mhina, nyuma Kutoka kushoto Ray Mlangwa, John Kitime Kalala Mbwebwe, Hashim Kasanga, Kawelee Mutimwana, Abdul Salvador….Bwalo la Jeshi Morogoro. (picha: John Kitime)
Tembelea blogu ya John Kitime (johnkitime.co.tz) kwa taarifa za zaidi za burudani.

Shura ya Maimamu Tanzania yatangaza kuikwamisha Rasimu ya Katiba

SHURA ya Maimamu Tanzania imetangaza hatua za kuikwamisha Rasimu ya Katiba inayopendekezwa, kwa kwenda kuwaeleza waumini wa dini ya Kiislamu kupiga kura ya hapana.

Hatua hiyo imekuja baada ya Rasimu ya Katiba inayopendekezwa iliyowasilishwa mwishoni mwa wiki na Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi, Andrew Chenge, kuiweka kando Mahakama ya Kadhi.

Akizungumza na MTANZANIA jana mara baada ya kumalizika kikao cha maimamu wa nchi nzima, Msemaji wa Shura ya Maimamu Tanzania, Sheikh Rajabu Katimba, alisema hatua ya kupiga kura ya hapana ni moja ya azimio lililoafikiwa na kikao hicho.

“Msimamo wetu kwa asilimia 100 ni hapana, hatuungi mkono, tunalaani vikali jinsi

Serikali yazungumzia hatma ya mahakama ya kadhi

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza katika Bunge Maalum la Katiba, Septemba 29, 2014

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda ameliambia Bunge Maalumu la Katiba mjini Dodoma kuwa Serikali itawasilisha muswada kuhusu hatima ya Mahakama ya Kadhi mwezi Januari mwakani ili itambuliwe Kisheria katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Waziri Pinda ametoa kauli hiyo leo alipokuwa akielezea taarifa kuhusu hatua mbalimbali zinazochukuliwa na Serikali ikishirikiana na taasisi nyingine juu ya kutafuta njia bora za kufikia hatima hiyo.
Mahakama hizo sasa zipo na zinafanya kazi, hoja ya msingi ni kwamba katika utekelezaji wa Jukumu hili, maamuzi wanayoyatoa, yanapopelekwa sasa kwenye vyombo mbalimbali, Serikalini na kwenye vyombo vingine, inakuwa vigumu kuyapokea hayo na kuyafanyia kazi.
Mhe. Pinda ameahidi kuwa suala hilo linashughulikiwa kwa kuboresha sheria mbili

Mapendekezo ya Wanafunzi IMTU agizo la Serikali kwa uongozi wa Chuo

Rais wa Serikali ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Tiba na Teknolojia IMTU (IMTUSO), (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, wakati akitoa taarifa kwa umma kufuatia maagizo ya Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) dhidi ya chuo cha IMTU. Kulia ni Naibu Naibu Waziri wa Mikopo na Ruzuku wa IMTU, Benson Lukwambe na Makamu wa Rais, Walter Nnko.
Rais wa Serikali ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Tiba na Teknolojia IMTU (IMTUSO), (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, wakati akitoa taarifa kwa umma kufuatia maagizo ya Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) dhidi ya chuo cha IMTU. Kulia ni Naibu Naibu Waziri wa Mikopo na Ruzuku wa IMTU, Benson Lukwambe na Makamu wa Rais, Walter Nnko.

Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Tiba na Teknolojia IMTU wameiomba Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) kuunda tume maalumu itakayoshirikisha uongozi wa wanafunzi kufuatia utekelezaji wa maagizo waliyokiwekea chuo hicho ili kukamilisha kwa muda uliopangwa.

Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo Rais wa Serikali ya wanafunzi wa chuo hicho, IMTU (IMTUSO), Meekson Mambo alisema wanafunzi wa chuo hicho wana wasiwasi kuhusiana na muda wa miezi mitatu uliotolewa na TCU kuhakikisha chuo cha IMTU kimekamilisha masharti yote waliyopewa vinginevyo kitafungwa.
"Matatizo ya chuo hicho ni ya muda mrefu hivyo kukiwa na kamati maalumu itasaidia kushughulikia suala hilo haraka na kulitafutia ufumbuzi badala ya kukifunga chuo hicho ambako kutaleta athari kubwa katika masomo kwa wanafunzi," 
alisema Mambo na kuomba TCU iunde kamati ya muda itakayoshirikiana na

Maandamano ya CHADEMA, UKAWA jijini Dar es SalaamWananchi wamefanya maandamano huko Manzese jijini Dar es Salaam wakipinga kile wanachokiita ni wizi unaoendelea ndani ya bunge Maalum la Katiba ikiwa ni mwendelezo wa

Hoax: 'Ebola vaccine only works on White people'

CDC Says Ebola Vaccine Only Works on White People The Center of Disease Control, which is headquartered in Atlanta, has released a statement saying the trial vaccine for the deadly Ebola virus will only work on those with white skin.
Fake Ebola Report


The above quoted news is an example of  reports circulating in social media claiming that the USA's Centers for Disease Control (CDC) has released a statement noting that a trial vaccine for Ebola virus only works on white people.

Were you duped again? 
Forgot again to verify the credibility of the source to ensure reality vs fake?

Well, on this one, yet with the cardinal sign of being too good to be true, you are strongly

Rasimu ya Vijisenti itakavyouvunja kabisa Muungano

Mohammed Ghassani
Mohammed Ghassani
Kwa sisi ambao tunajinasibisha kuwa waumini wa Muungano wa Tanzania unaotambua kwa vitendo heshima, hadhi, haki na usawa wa pande mbili zinazounda Muungano huo, tunaliona Bunge Maalum la Katiba linalokutana Dodoma kuwa limetusaliti.

Wananchi wa Zanzibar kisiwani Pemba wakiwa kwenye mkutano wa hadhara tarehe 1 Mei 2014 kuunga mkono muundo wa Muungano wa Serikali Tatu. Je, kundi hili litageuzwa kuwa la siasa kali za kuukataa kabisa Muungano kutokana na ‘Rasimu ya Vijisenti’?

Rasimu iliyotangazwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi wa Katiba, Andrew Chenge, inatusuta na kuwafanya wale wengine ambao hawataki Muungano wowote kati ya Tanganyika na Zanzibar wawe na hoja juu yetu. Wanatwambia kuwa tangu mwanzo walijua pasingelikuwa na kheri yoyote inayoweza kupatikana kupitia mikono ya Chimwaga.

Sisi tujionao kuwa Waliberali wa Muungano tumeshindwa. Kushindwa kwetu, hata hivyo, hakumaanishi ushindi kwa wale wa siasa kali zinazoelemea upande wa kulia kwenye Muungano, ambao sauti yao ndiyo inayoakisika kwenye Rasimu hii ambayo tayari imeshapagazwa lakabu ya “Rasimu ya Vijisenti”.

Tumeshindwa Waliberali, ambao licha ya upinzani wetu kwa mfumo uliopo wa Muungano, tulitaka uendelee kubakia ukiwa na mageuzi ya kimsingi. Lakini hawakushinda wahafidhina ambao wanataka mfumo uliopo ubakie na bali usonge mbele zaidi kuelekea serikali moja – kama ilivyokuwa ndoto ya mmoja wa waasisi wake, Mwalimu Julius Nyerere. Hawakushinda hata kama

Kamanda Tibaigana azungumza

Alfred Tibaigana
Alfred Tibaigana

Katika mahojiano maalumu na gazeti la MWANANCHI nyumbani kwake Buganguzi wilayani Muleba, Kamishna Alfred Tibaigana alisema suala la maandamano halikumsumbua kwa kuwa alielewa kuwa sheria inayaruhusu, hivyo alichokuwa akifanya ni kuwaita viongozi wa vyama vinavyotaka kuandamana na kufanya nao makubaliano ya namna maandamano hayo yanavyopaswa yafanywe kabla ya kuyaruhusu.
“Pengine hiyo ndiyo sababu sikuwahi kushambuliwa kwa maneno ya kejeli au matusi na wanasiasa kwa kuwa sikuwahi kuzuia maandamano yao bila sababu na hata kama kulikuwa na sababu niliwaita na kuwaeleza na tulikubaliana.

“Kikubwa ni kujenga tabia ya kuwaita viongozi wa waandamanaji na kujadiliana nao, vinginevyo wanaweza pia hata kukufikisha mahakamani wakipinga kuzuiwa maandamano yao,” 
alisema Tibaigana ambaye alikumbana na sakata la kudai maandamano wakati

Tibaijuka says the 1.65/= billion from Rugemalira has no connection with IPTL

Minister for Lands, Housing and Human Settlements Development, Prof Anna Tibaijuka has said that the money which she received from a well-known businessman James Rugemalira amounting to Sh1.65 billion has no connection with the Independent Power Tanzania Limited (IPTL) scandal.

This comes after a recent surfaced local media claim that the Lands Minister received the sum in kind from a famous energy controversial IPTL shareholder.

The minister however distanced herself from the alleged speculations during a recent speech at the 12th graduation ceremony of Barbro Johansson Model Girls’ Secondary School in Dar es Salaam this week, saying such funds came with an assurance that it had no connections with the controversial IPTL scandal.

The local media reports claimed that such money originated from the sale of IPTL to

Kwa nini waganga wanasaidia watu kutajirika hali wao ni masikini?

[mganga%255B3%255D.jpg]
.

Kuna watu ambao wanapata mafanikio makubwa kwa kutumia uchawi. Ila mafanikio yale hayaletwi na uchawi bali imani ya mtu husika.

Tutajadili kwa nini waganga wanaweza kuwapatia watu wengine dawa au mbinu za kuwa matajiri wakati wao ni masikini? Na pia tutaangalia jinsi ambavyo unaweza kutumia mbinu hizi wanazotumia waganga bila ya wewe kuwa mchawi na ukafikia mafanikio makubwa.

Kila mmoja wetu anaelewa kwamba kuna watu wanakwenda kwa waganga na wanasaidiwa kupata utajiri. Japokuwa utajiri huu haudumu, lakini angalau wanaupata kwa kiwango fulani. Wakati waganga hawa wanawasaidia watu kuweza kujenga magorofa, wao bado wanakaa kwenye vibanda vya nyasi. Sasa kwa nini wao wasingetumia uchawi wao na kuwa matajiri zaidi ya hao wateja wao? Ina maana wao hawapendi utajiri huo?

Mbinu za waganga kuwasaidia watu kupata utajiri.


Watu wanaokwenda kwa waganga ili kupata utajiri au mafanikio yoyote hupewa masharti ambayo ni magumu kwa kiasi fulani. Na watu hawa huambiwa wakivunja masharti hayo tu utajiri wao unaisha mara moja. Ni masharti haya ambayo humjengea mtu nidhamu kubwa sana na kumfanya aweze kufanya kazi kwa juhudi kubwa kuliko wengine ambao wanafanya anachofanya. Kwa mfano mganga anamwambia mtu kila siku aamke asubuhi na mapema sana na apasue nazi

Namba za simu na email address za kuwasiliana Jeshi la Polisi Tanzania
 NAMBA ZA SIMU ZA MAOFISA MAKAO MAKUU YA JESHI LA POLISI
JINA WADHIFANAMBA YA SIMUBARUA PEPE
IGP Ernest ManguInspekta Jenerali wa Polisi Tanzania +255754 78 55 57 [email protected]
DIGP Abdulrahmani KanikiNaibu Inspekta Jenerali wa Polisi Tanzania  +255658 90 01 26 [email protected]
CP Clodwig MtweveKamishina wa Fedha na Logistics +255754  33 29 99 [email protected]
CP  Paul ChagonjaKamishina wa Operesheni na Mafunzo  +255754 48 95 67 [email protected]
CP  Issaya MnguluMkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai  +255715 27 68 27  [email protected]
CP   Mussa Alli MussaKamishina wa Polisi  jamii  +255782 41 72  47 [email protected]
CP Thobias  AndengenyeKamishina wa Utawala na Utumishi  +255754  77 00 00 [email protected]
DCP Diwani AthumaniNaibu Kamishina wa Intelijensia ya jinai  +255787  32 34 44 [email protected]
DCP Brown LekeyAfisa Mnadhimu Makao  Makuu ya Upelelezi +255786 28 32 55 [email protected]
DCP Omar RashidMkuu wa   ufuatiliaji na Tathmini +255714 26 30 96 [email protected]
DCP Hezron GyimbiMkuu wa Ufuatiliaji na Tathmini CID  +255754 67 18 05 [email protected]
DCP Michael KamuhandaMkuu wa huduma za Polisi Jamii  +255754 24 25 14 [email protected]
DCP Simon SirroMkuu wa Operesheni Maalumu za Polisi +255686 280 994  [email protected]
DCP Sostenes KondelaMkuu wa Kitengo cha Miradi ya Maendeleo na Ununuzi  +255652  959505 [email protected]
DCP Alice MapundaMkuu wa Mafunzo +255719 11 40 00 [email protected]
DCP Adolphina ChialoMkuu wa Dawati la Kijinsia na Watoto  +255714 28 66 40 [email protected]
DCP Mpinga GyumiMkuu wa Kitengo cha Kushughulikia malalamiko  +255655 75 95 74 [email protected]
DCP  Samson KasalaMtaalamu Muelekezi Vikosi Kazi  +255765 09 19 19 [email protected]
DCP Peter KivuyoMtaalamu Muelekezi Mafunzo  +255787 11 53 95 [email protected]
SACP Patrick ByataoMkuu wa Kitengo cha Maadili  +255782 43 34 33 [email protected]
SACP Daniel NyambabeMkuu wa Mahusiano ya Kimataifa  +255658 47 05 02 [email protected] 
SACP Albert NyamuhangaMkuu wa Mipango na Bajeti  +255713 44 22 00 [email protected]
SACP Gustavus BabileMkuu wa Interpol +255754  28 89 72 [email protected]
SACP Ndalo ShihangoAfisa Mnadhimu Fedha  +255754 50 79 18 [email protected]
SACP Mambo MassigeMkuu wa Kitengo cha Kuzuia Uhalifu  +255788 74 92 74  [email protected]
ACP Martini OtienoMkuu wa kitengo cha Teknohama +255767 27 97 47 [email protected]
Bw. Frank MsakiMhasibu Mkuu  wa Jeshi la Polisi +255754 49 42 86 [email protected]
ACP Hassan MbeziAfisa Mnadhimu Makao Makuu ya Polisi +255713 27 28 38 [email protected] 
SSP Advera SensoMsemaji wa Jeshi la Polisi +255758 009 861 [email protected]
SP Elisha SaendaMeneja Mkuu Bwalo la Maafisa +255784 67 71 72 [email protected]

NAMBA ZA SIMU ZA  MAOFISA VIKOSI VYA JESHI LA POLISI
JINAWADHIFANAMBA YA SIMUBARUA PEPE
DCP  Mohmed MpingaKamanda wa kikosi cha Usalama Barabarani  +255754 360 046 [email protected]
DCP  Andrian  MagayaneKamanda Bohari Kuu la Polisi +255713 434 008 [email protected]
DCP  Anthon MwamiKamanda kikosi cha Anga +255754 025292 [email protected]
SACP Mboje  KangaKamanda kikosi cha Wanamaji +255713  217 702 [email protected],
SACP Lucas MkondyaKamanda kikosi cha Ufundi +255713629 824[email protected]
SACP Rashidi  SeifKamanda wa Polisi Tazara +255715 00 30 10 [email protected],
SACP Richard MalikaKamanda wa  kikosi cha Ujenzi  +255714 85 57 12 [email protected],
SACP Saada HajiKamanda wa Polisi Reli +255767 56 55 54 [email protected]
SACP Serecky MsuyaKamanda kikosi cha Polisi Afya  +255713 47 17 70 [email protected],
SACP Matanga MbushiMkuu wa chuo cha Polisi Moshi +255713 52 03 29 [email protected]
SACP  Ally LugendoMkuu wa Chuo cha Polisi Dar es salaam  +255754 594450 [email protected]
SACP Godfrey NzowaMkuu wa kitengo cha kuzuia dawa za kulevya  +255716 921 712
ACP  Hamis SelemaniKamanda wa Polisi viwanja vya Ndege +255658 444 488 [email protected]
ACP Onesmo LyangaKamanda wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU)  +255717 04 27 67 [email protected]
ACP Adelgot HauleKamanda wa kikosi cha Polisi Bendi +255717 260791 [email protected],
ACP Francis  MassaweMkuu wa Chuo cha Polisi Zanzibar +255715 009 973[email protected]
ACP Advocate NyombiKamanda wa  Kikosi cha Kuzuia wizi wa Mifugo       +255756 22 00 22 [email protected]
SSP DK Eugen EmmanuelMkuu wa Kikosi cha Mbwa na Farasi +255754 44 02 33 [email protected],

NAMBA ZA SIMU ZA MAOFISA KANDA MAALUMU YA POLISI DAR ES SALAAM
JINAWADHIFANAMBA YA SIMUBARUA PEPE
CP Suleiman KovaKamanda wa Polisi Kanda Maalum DSM  +255754 03 42 24
DCP Ally MlegeMkuu wa Utawala na Fedha Kanda Maalum +255754  49 99 77
ACP Jaffari IbrahimMkuu wa Upelelezi Kanda Maalumu +255754 26 12 82
ASP Ally MzavaMkuu wa Kikosi cha Polisi 999 DSM +255773 66 92 82
Simu ya Dharura112
Chumba cha 999 +255787 66 83 06
NAMBA ZA SIMU ZA MAKAMANDA WA POLISI WA MIKOA
JINAMKOANAMBA YA SIMUBARUA PEPE
SACP VALENTINO MLOWOLAMWANZA  +255715 009 949 [email protected]
SACP ZELOTHE STEVENMTWARA  +255715 00 99 48 [email protected]
SACP ROBERT  BOAZKILIMANJARO  +255784  864 212 [email protected]
SACP FERDINAND MTUIMARA +255715 009 946 /754 897 979 [email protected]
SACP GE0RGE MAYUNGAKAGERA  +255715 009 916 [email protected]
SACP AHMED MSANGIMBEYA  +255715 009 931 [email protected]
SACP FRAISSER KASHAIKIGOMA  +255715 009 915 [email protected]
SACP GEORGE MWAKAJINGALINDI  +255784 36 22 79 [email protected]
SACP ULRICH  MATEIPWANI  +255754 562 491 [email protected]
SACP JOCOB MWARUANDARUKWA  +255715 009 954 [email protected]
SACP FAUSTINE SHILOGILEMOROGORO  +255754 277 154 [email protected]
SACP GEORGE KAMWELASINGIDA  +255753 023 272   [email protected]
SACP CONSTANTINE MASSAWETANGA  +255713 51 08 56 [email protected]
SACP EVARIST  MANGALASHINYANGA  +255754 017 377 [email protected]
SACP DEUSDEDNT NSIMIKERUVUMA  +255715 00 99 56  [email protected]
SACP JASTUS KAMUGISHATARIME RORYA +255715 00 99 64 /786 50 80 90 [email protected]
SACP CHARLES MKUMBOSIMIYU  +255655 444 414 [email protected]
SACP FURGENCE  NGONYANINJOMBE  +255784 593 326  [email protected]
SACP LIBERATUS  SABASARUSHA  +255713 269 232  [email protected]
SACP DAVID  MISIMEDODOMA  +255754 470 959  [email protected]
SACP DHAHIRI KIDAVASHARIKATAVI  +255769 168 850  [email protected]
SACP LEONARD  PAULOGEITA  +255754 837 526 [email protected]
SACP MARIETHA  MINANGIILALA  +255715 009 980 [email protected]
SACP ENGELBERT  KIONDOTEMEKE +255715 009 979 [email protected]
ACP CAMILIUS WAMBURAKINONDONI +255715 009 976 [email protected]
ACP PETER  OUMATABORA +255755 518 253  [email protected]
ACP AKILI MPWAPWAMANYARA +255715 009 929 [email protected]
ACP RAMADHANI MUNGIIRINGA  +255715 009 921 [email protected]
SACP Augustino UlomiKusini Unguja +255786 66 20 99 [email protected]
ACP Mohamed ShehaniKaskazini Pemba +255715 00 99 17/772 63 28 01 [email protected]
ACP Mkadam Khamis MkadamMjini Magharibi +255715 00 99 39/777418603 [email protected]
ACP Salehe mohamedKusini Pemba +255715 00 99 24/777 42 93 65 [email protected]
ACP Suleiman MsangiKaskazini Unguja +255715 00 99 18 /754 36 68 23 [email protected]
NAMBA ZA SIMU ZA MAOFISA MAKAO MAKUU YA POLISI ZANZIBAR
 JINA WADHIFA NAMBA YA SIMU BARUA PEPE
CP  Hamdani MakameKamishina wa Polisi Zanzibar  +255754 41 26 90
DCP Kenneth KasekeMkuu wa Utawala na Fedha Zanzibar +255755 76 32 92
SACP Hamis Juma SaidMkuu wa Mipango na Maendeleo +255653 36 97 07
SACP Yusuph IlemboNaibu Mkurugenzi  wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai Zanzibar +255655 17 63 00
SACP Azizi J MohamedMkuu wa Operesheni Zanzibar +255777 41 44 88
SP George  ChongolaMkuu wa Kikosi cha Bendi +255654 55 81 90
SP Mohamed H HajiAfisa Mnadhimu Fedha +255777 42 91 25
D/SSGT Hamdan Iddrisa HamdanKaimu Mkuu  wa Kitengo cha Dawa za Kulevya  +255777 43 17 54


Orodha hii imenukuliwa kutoka kwenye tovuti ya Jeshi la Polisi Tanzania

Ilivyo Wiki ya Usalama Barabarani: Mijini vs Vijijini


Kiongozi wa India ahukumiwa miaka 4 na faini $1.5 milioni kwa kushindwa kueleza alivyopata mali zake

A in India court has sentenced J. Jayalalithaa, chief minister of the Indian state of Tamil Nadu, to four years in prison and a record $1.5 million fine for accumulating vast wealth for which the 66-year-old veteran politician could not account.

It is India's highest-profile corruption case of illegally amassed wealth; the ruling has stunned an Indian political class that is widely seen as permeated with graft.

Jayalalithaa's political career often mirrored the melodrama of the films she starred in before entering politics.

The movie star-turned-chief minister was convicted Saturday in a 1,000-page verdict, putting an end to a 18-year proceeding. A reported seven judges, three public prosecutors and some 25 petitions to the Supreme Court had all been part of the case, whose length demonstrates how slowly the wheels of justice can grind in India.

The court said the prosecution had proven beyond doubt that Jayalalithaa, who was