Mhadhiri UDSM apigwa risasi na kufariki

Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Profesa Athuman LivighaMhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Profesa Athuman Livigha, amefariki dunia baada ya kupigwa risasi na watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi nyumbani kwake, jijini Dar es Salaam.

Taarifa za kifo hicho zilithibitishwa na Makamu Mkuu wa UDSM, Profesa Rwekaza Mukandala, alipozungumza na NIPASHE kwa njia ya simu jana.

Profesa Mukandala alisema Profesa Livigha alikutwa na masaibu hayo akiwa nyumbani kwake Bunju, Wilaya ya Kinondoni, jijini Dar es Salaam, usiku wa kuamkia jana na kwamba, mwili wake umechukuliwa na polisi kwa uchunguzi zaidi.

“Ni kweli, na mimi hizo habari tumezipata na watu wote wamekwenda nyumbani kwake. Mwili umechukuliwa na polisi, tunasubiri taarifa kutoka polisi,” alisema Profesa Mukandala bila kufafanua zaidi na kuongezaa: “Mimi nilikuwa mjini, wenzangu wamekwenda nyumbani kwake Bunju. Tumesikitishwa sana kwa kupotelewa na mwalimu wetu mwingine katika mazingira kama hayo.”

Profesa mwingine wa UDSM, Jwani Kwaikusa, aliuawa Julai, 2010 kwa kupigwa risasi na watu waliodaiwa kuwa ni majambazi.

CNN: First Female U.S. Secret Service Director, Julia Pierson resigns

U.S. President Barack Obama (R) watches as U.S. Secret Service agent Julia Pierson (L) is sworn in as the first woman Director of the Secret Service by Vice President Joe Biden in the Oval Office of the White House in Washington, March 27, 2013. REUTERS/Larry Downing
U.S. President Barack Obama (R) watches as U.S. Secret Service agent Julia Pierson (L) is sworn in as the first woman Director of the Secret Service by Vice President Joe Biden in the Oval Office of the White House in Washington, March 27, 2013. REUTERS/Larry Downing (photo via www.vosizneias.com)

Washington (CNN) -- Julia Pierson, the first female director of the Secret Service, resigned her post Wednesday after a fence jumper gained access to the White House on Sept. 19 and a subsequent congressional inquiry uncovered other security lapses.

Homeland Security Director Jeh Johnson announced the resignation in a statement. He also announced that the DHS would take over an internal inquiry of the Secret Service and that he would appoint of a new panel to review security at the White House.

Joseph Clancy, formerly a special agent in charge of the Presidential Protective Division of the Secret Service, was named Interim Director, Johnson said in his statement.

Calls for Pierson to leave her post grew after a poor performance during

Yeyote utakayeguswa na mtoto Hasia Selemani tafadhali msaidieMtoto Hasia Selemani mwenye umuri wa Miaka sita anaomba msaada wa Matibabu baada ya kichwa chake kujaa maji. Hasia Selemani anaishi Hanga Namtumbo Vijijini mawasiliano ya Mama yake Lukia Mradi ni 0755 764 956 

Rais amteua Mwaseba kuwa Naibu Kamishna Mkuu TRA

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Bwana Lusekelo Mwaseba kuwa Naibu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).

Taarifa iliyotolewa Ikulu, Dar es Salaam, leo, Jumatano, Oktoba Mosi, 2014, na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue, imesema kuwa uteuzi huo unaanza leo.

Kabla ya uteuzi wake, Bwana Mwaseba alikuwa Kamishna wa Uchunguzi katika Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).

Imetolewa na;
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu – Dar es Salaam.
1 Oktoba, 2014.

Taarifa kuhusu Mwanasheria Mkuu Zanzibar kusindikizwa kutoka BMK

Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Mhe. Othman Masoud Othman akipiga kura leo kwenye ukumbi wa Bunge Maalum la Katiba mjini Dodoma kupitisha Sura na Ibara za Rasimu ya Katiba inayopendekezwa.
Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Mhe. Othman Masoud Othman akipiga kura leo kwenye ukumbi wa Bunge Maalum la Katiba mjini Dodoma kupitisha Sura na Ibara za Rasimu ya Katiba inayopendekezwa.

Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Yahya Kassim Issa akiomba mwongozo leo Bungeni kwa Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta kuhusu kitendo cha Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Mhe. Othman Masoud Othman kuja kupiga kura na kukataa baadhi ya Ibara za Rasimu ya Katiba inayopendekezwa wakati alijitoa kwenye Kamati ya Uandishi ambapo alitakiwa awepo akitetea maslahi ya Zanzibar, jambo ambalo limewachanganya baadhi ya wajumbe.
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Yahya Kassim Issa akiomba mwongozo leo Bungeni kwa Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta kuhusu kitendo cha Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Mhe. Othman Masoud Othman kuja kupiga kura na kukataa baadhi ya Ibara za Rasimu ya Katiba inayopendekezwa wakati alijitoa kwenye Kamati ya Uandishi ambapo alitakiwa awepo akitetea maslahi ya Zanzibar, jambo ambalo limewachanganya baadhi ya wajumbe.JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

BUNGE MAALUM

Simu:  +255 026 2322696
Fax No. +255 026 2323116
Barua pepe: [email protected]

Ofisi ya Bunge Maalum,
S.L.P. 901,
DODOMA.

14 Julai, 2014

UKWELI KUHUSU AG WA ZANZIBAR MHE. OTHMAN MASOUD OTHMAN  KUAMBATANA NA ULINZI KATIKA MAENEO YA BUNGE MAALUM.


Kumekuwa na Taarifa potofu zinazosambazwa na baadhi ya watu katika mitandao ya kijamii ya kuwa “Mwanasheria Mkuu Zanzibar Othman Masoud Othman amekamatwa baada ya kupiga kura ya hapana Bungeni leo”

Tunapenda kuutarifu Umma wa Watanzania kuwa, taarifa hizo sio sahihi na ni porojo zenye kutaka kuleta hisia potofu kwa wananchi kuhusu kiongozi huyo.

Ukweli wa Jambo hili ni  kuwa Mhe. Othman Masoud Othman ametekeleza haki yake ya

Yahsat offers satellite broadband Internet service "Yahclick" pomotion in Tanzania

yahsat.jpg

PRESS RELEASE

Yahsat Offers Satellite Broadband Internet Service “Yahclick” Promotion for 2 Months in Tanzania

YahClick offers free modem, free YahClick dish and reduced installation charges via Infinity and Simbanet


DAR ES SALAAM, Tanzania, October 1, 2014-- Al Yah Satellite Communications Company, Yahsat (www.yahsat.ae), the Abu Dhabi based satellite operator, has announced its YahClick satellite broadband internet promotional offer in Tanzania for a period of two months, or until stocks last.  Yahsat is offering a free satellite modem and dish for new YahClick subscribers to selected service plans as part of its commitment to deliver affordable, reliable and high speed internet connectivity in Tanzania. The offer is available via the local YahClick service providers Infinity and Simbanet.

This promotion offers subscribers significant savings on equipment costs when

Rais Kikwete kufungua onesho la S!TE

C:\Users\gtengeneza.TTB\Desktop\TTB NEW LOGO.jpg

Na; Geofrey Tengeneza

Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete kesho tarehe 2 Octoba asubuhi atarajiwa kufungu rasmi wa onyesho la kimataifa ya utalii yajulikanayo kama ‘Swahili International Tourism Expo (S!TE) katika ukumbi wa Mlimani City.

Katika sherehe hiyo rais anatarajiwa pia kutoa tuzo kwa makambpuni mbalimbali yaliyodhamini onesho hilo kwa lengo la kutambua mchango wao katika kufanukisha onesho hilo la S!TE. Aidha rais atapata pia furs y akutembelea baadhi ya mabanda ya kimataifa nma ya hapa nchini yanayoshiriki maonesho hayo.

Onesho la S!TE lililoandaliwa na Bodi ya Utalii Tanzania limeanza leo na

Mkutano sekta ya mawasiliano 'Connect to Connect Summit' waendelea Dar

 

Wataalamu wa sekta ya mawsiliano wakiwa katika majadiliano katika mkutano wa masuala ya TEHAMA ‘Connect-to-Connect Summit’ unaofanyika jijini Dar es Salaam.

IPTL yaipa TASWA milioni 20/= za kuandaa tuzo za wanamichezoMwenyekiti Mtendaji wa Kampuni ya Kufua Umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL), Harbinder Sigh Seth (kushoto) akikabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi Milioni 20 kwa Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA), Juma Pinto (wapili kulia) ikiwa ni mchango wa IPTL kusaidia maandalizi ya Tuzo za

Washiriki "Shindano la Mashujaa wa Kesho" waanza kurejesha fomu

Chumba cha kompyuta cha washiriki wa Shindano la Mashujaa wa Kesho.
Chumba cha kompyuta cha washiriki wa Shindano la Mashujaa wa Kesho.

Na Mwandishi Wetu

ZOEZI la uchukuaji fomu kwa ajili ya vijana mbalimbali kushiriki katika Shindano la Mashujaa wa Kesho la Statoil limeendelea kushika kasi huku idadi kubwa ya vijana wakiendelea kurejesha fomu kwa lengo la kushiriki katika kinyang’anyiro hicho.

Akizungumza na mwandishi wa habari hizi, Ofisa Mawasiliano wa Statoil Tanzania, Erick Mchome alisema hadi sasa zaidi ya vijana 150 wamerejesha fomu zao tayari kwa kuyashindanisha mawazo anuai ya miradi yao walioiwasilisha kwa ajili ya kushiriki katika shindano hilo.

Mchome alisema vijana hao wamejaza fomu kwa ajili ya kushiriki katika

Rais Kikwete afungua rasmi barabara ya Mwenge-Tegeta, Dar es Salaam

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Balozi wa Japan nchini Tanzania Mhe. Masaki Okada wakikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa barabara ya Mwenge-Tegeta leo katika eneo la Lugalo njiapanda ya Kawe jijini Dar es salaam. Ujenzi na upanuzi wa barabara ya Mwenge-Tegeta Km 12.9, ni sehemu ya mkakati wa Serikali ya Tanzania wa kupunguza msongamano wa magari katika jiji la Dar es Salaam. Wengine ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Saidi Meck Sadiki, Meya wa Konondoni Mhe, Mbunge wa Kawe Mhe Halima Mdee, Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Mhandisi Musa Iyombe na viongozi wengine.

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ametaja hatua saba ambazo Serikali yake imeanza kuzichukua ama inakusudia kuzichukua ili kukabiliana na msongamano wa magari katika Jiji la Dar es Salaam.

Aidha, Rais Kikwete amesema kuwa msongamano wa magari ni ishara ya ubora wa maisha ya wananchi na ustawi wa Watanzania kwa sababu miaka 20 ama hata 10 iliyopita, Jiji la Dar Es Salaam halikuwa na msongamano. “Sasa kila mtu ana gari, naambiwa nyumba nyingine zina magari matatu – la baba, la mama na la watoto.”

Hata hivyo, Rais Kikwete ameonya kuwa, kama ilivyo katika miji yote mikubwa duniani, ni jambo lisilowezekana kumaliza tatizo la msongamano wa magari katikati ya Jiji la Dar Es Sslaam (Central Business District), hasa kwa kutilia maanani kuwa hakuna shaka kuwa watu wataendelea kununua magari na huwezi kuvunja nyumba zote katikati ya Jiji ili kupanua barabara.

Rais Kikwete ambaye alikuwa anazungumza leo, Jumatano, Oktoba Mosi, 2014, wakati akizindua rasmi Barabara kisasa ya

Kwanza Production: Mahojiano na waandaaji wa Swahili Festival, Marekani

Patric Kajale. Mmoja wa waandaaji wa Tamasha hilo.
PHOTO CREDITS DMK Blog

Karibu katika mahojiano kati ya Mubelwa Bandio na waandaaji wa SWAHILI FESTIVAL iliyofanyika Sept 21 jijini Bladensburg, jimbo la Maryland nchini Marekani. Karibu.

Celebrate SEGA Girls School: Evening of Tanzanian Food and Music with Amb. MulamulaCelebrate SEGA Girls School
An Evening of Tanzanian Food and Music
with Ambassador Liberata MulamulaTuesday, October 28, 2014
6:30 - 8:30
Wit Schneidman and Lee Guerry’s home
3214 Old Dominion Blvd
Alexandria, VA 22305

Committee: Marion Ballard, Sheila Dorsey, Lee Guerry, Stacey FitzSimmons, Jean Harrison, France Pruitt, Leigh Stewart, Wit Schneidman

RSVP: Leigh at 202-222-8526 or [email protected]
Nurturing Minds, Inc., PO Box 144, Valley Forge, PA 19481

Sababu 5 kubwa za biashara kutokufanya vizuri

Pamoja na kuwepo njia mbalimbali za kuzingatia katika kuanzisha na kuendesha biashara, bado biashara nyingi zimekuwa hazifanyi vizuri. Tambua kuwa kuanzisha na kuendesha biashara si jambo rahisi ni lazima uwe na nidhamu ,bidii na uwe tayari kujifunza hili uweze kupata mafanikio katika biashara unayofanya .Watu wengi hugundua ugumu wa kuendesha biashara baada ya kuanza na si kabla.

Kuna baadhi ya watu ambao wanachukulia suala la Ujasiriamali kama jambo jepesi kwa sababu tu wana uwezo wa kupata mitaji. Wanafikiri wanaweza kufanya chochote na kupata mafanikio katika biashara, kumbe kuna mambo mengi ya kuangalia. Zifuatazo ni sababu 5 muhimu kwa nini biashara nyingi huwa hazifanyi vizuri

1. Kukosekana kwa mpango bora wa biashara

Je umejipanga vipi kibiashara? Wajasiriamali wamekuwa wakianzisha biashara bila mpango wa biashara. Mpango wa biashara ni namna ya kuweza kuona kwa jinsi gani biashara itafanyika. Mpango wa biashara hutoa mwelekeo kwa mjasiriamali kujua bidhaa atakazouza, soko lake, gharama, mahitaji pamoja na fedha zitakazohitajika katika biashara husika, matokeo tarajiwa ya

Scholarships for Tanzanian from the Government of Korea

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA

MINISTRY OF EDUCATION AND VOCATIONAL TRAINING

.

GOVERNMENT SCHOLARSHIPS TENABLE IN THE REPUBLIC OF KOREA FOR THE YEAR 2015


The Ministry of Education and Vocational Training is inviting application from qualified Tanzanians for the undergraduate degree programme (hereafter called 2015 undergraduate GKS”) to be conducted in the Republic of Korea for the academic year 2015- 2020

Qualifications
Prospective candidates must meet the following qualifications:-
  • Applicants must have passed their Advanced Certificate of Secondary Education Examination with an average of B+grade or above;
  • Applicants must not be older than 25 years by March, 1st , 2015; and

Kipanya keshajua kusoma na kuandika, iliyobaki ni...

.

Note for exporters to the EU on new formalities as of October 1st, 2014

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA

MINISTRY OF INDUSTRY AND TRADE
.

PUBLIC NOTICE

NOTE FOR EXPORTERS TO THE EUROPEAN UNION ON NEW CUSTOM FORMALITIES AS FROM 1 OCTOBER 2014


The Ministry Of Industry and Trade would like to inform the general public and particularly exporters to the market of the European Union (EU) that from 1 October, 2014 exports from Tanzania to European Union will move from the regime of the Market Access Regulation (MAR) to the special arrangement of the Generalised Scheme of Preferences (GSP) called ‘Everything But Arms’ (EBA).

In the EBA arrangement exporters will be required to fill form GSP Form A instead of the current form EUR 1. The new arrangement will result into changes in the Rules of Origin such as on cumulation of origin. For further details regarding changes on Rules of Origin kindly refer to the following link http://exporthelp.europa.eu/thdapp/index.htm

Issued by


Uledi A. Mussa

PERMANENT SECRETARY

Furahia Bonga ya Vodacom

Jijini Mwanza...

Kona na kiunga cha barabara ya Stesheni kuelekea kulia na barabara ya Kenyeta

Juu kwa juu hadi jiwe la Bismark kando kando ya ziwa Victoria
Picha zote kutoka blogu ya GSengo, bofya hapa kuona picha zaidi.

Timbwili katika mkutano wa Shirikisho la MuzikiMkutano ulioitishwa na Baraza la Sanaa la Taifa kuzungumzia mstakhabari wa tasnia ya muziki, umeishia kwa zogo kubwa lililosababisha umalizike kwa kutolewa ahadi na Mwenyekiti wa Mkutano huo Kaimu Katibu Mkuu wa BASATA Bwana Godfrey Ngereza ya kuitisha mkutano wenye wajumbe tofauti. Mapema kabisa wakati baada ya utambulisho wa waliohudhuria kulianza kuonyesha tatizo kwani mmoja kati ya Marais wawili wa Shirikisho hilo wanaopingana, Bi Stara Thomas kudai kuwa mkutano huo una wajumbe ambao hawastahili kuwemo kutokana na Katiba ya Shirikisho. Hili lilipelekea kwa Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanamuziki, John Kitime kuulizia kuhusu hali ya

Sally Robert: Gruesome murder for albino body parts in Tanzania is immoral

Sally Robert

By Sally Robert

Tanzania has been recognized globally as the ‘upsurge of brutality against people living with albinism’. The stigma toward the albinos' killing has brought woe to Tanzanians as well as other neighboring nations.

The persecution of people with albinism in Tanzania dates back in the 2000’s when the myth that the use of an albino’s limbs may upsurge a person's wealth, power or victories and raping an albino may cure HIV/AIDS.

In 2006, over 70 people living with albinism lost their lives, while others continued living with amputated limbs barely escaping death.

Tanzania was and still is a scene of many crimes against albinos.

Tabora on August 5, 2014 three men equipped with large machetes chopped a

SwahiliVilla audio: Mahojiano na Mwanamama 'Power Black Nyati'
Na Abou Shatry 

Karibuni katika kusikiliza mahojiano na Mwanamama Maisara Juma Salah a.k.a Power Black Nyati 'Jike Jeuri', Kiboko wa Wanaume aeleza mengi kuhusu utumiaji wa nguvu zake, kama kuzuia pikipiki kwa nywele, ubebaji mfuko wa saruji kwa meno, pamoja na kumbeba mwanamke kwa mkono wake mmoja na pia kupasuliwa jiwe kwenye kifua chake.

Baada ya kuwatoa 'knock out' mabaunsa wawili, ilibidi aongezeke mwingine wawe