Kundi la ”WAKALI SISI” latimka na milioni 5 za shindano la Dance100% 2014

Kikundi cha The WT cha jijini Dar es Salaam kilichoshinda nafasi ya pili katika fainali ya shindano la Dance 100% 2014 likionesha umahiri wao wa kudansi katika fainali hiyo iliyofanyika mwishoni mwa wiki katika viwanja vya Don Bosco Oysterbay jijini Dar es Salaam.Ambapo kundi la”WAKALI SISI”toka kiwalani jijini liliibuka na ushindi huo na kujinyakulia kitita cha shilingi Milioni 5 toka kwa wadhamini wakuu wa shindano hilo Vodacom Tanzania.

Na Mwandishi Wetu

Hatimaye kundi la “Wakali sisi” lenye makazi yake kiwalani jijini Dar es Salaam, ambalo lilikuwa miongongoni mwa makundi matano yaliyoingia fainali za shindano la kucheza muziki maarufu kama Dance 100% linaloratibiwa na Kituo cha East Africa Television Ltd na kudhaminiwa na kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania, limeibuka mshindi katika shindano hilo lililokuwa la kukata kwa shoka kwa ushindani mkali katika Viwanja vya Don Bosco, Oysterbay jijini Dar es Salaam.

Mratibu wa shindano hilo Happy Shame alisema jijini Dar es Salaam jana kuwa, fainali za shindano hilo ambalo safari yake ilianza Julai 19, mwaka huu kuanzia hatua ya kusaka washiriki hadi mchujo lilishirikisha makundi matano.

Shame alisema, shindano la mwaka huu lilikuwa gumu na lenye kuleta

Percentage of AIDS cases worldwide

The AIDS epidemic

How to pack a wrinkle free suit in a baggage or carry-on for travel (6 steps only)


The video below demonstrates a six-step method that will teach you how to fold, pack, keep and prevent a suit from wrinkles in your suitcase or carry-on.
  1. Hold the jacket facing away from you. 
  2. Turn one half of the jacket, including the sleeve, inside out. 
  3. Slip the right-side-out sleeve into the opposite armhole and pull it all the way through. 

Afanikiwa kuazaa kwa kutumia kizazi cha kupandikizaWazo la ‘ajabu’ kutoka kwa mgonjwa mmoja alipokuwa akizungumza na Daktari wake limepanua maendeleo katika sekta ya utabibu na sasa imeingia katika historia ya Tiba, hususan ya uzazi, baada ya Madaktari nchini Sweden kupiga hatua kubwa ya kumpandikiza mwanamke kizazi na kumwezesha kuzaa.

Mama huyo huyo mwenye umri wa miaka 36 aliyezaliwa bila mfuko wa uzazi, alipandikizwa kizazi takriban miaka miwili iliyopita kutoka kwa mama aliyekuwa na umri wa miaka 61 na kupitisha umri wa kuzaa.

Mume na Mke wa familia hiyo yenye furaha, ambao kwa sasa hawakupenda kuyataja majina yao, walijaaliwa mtoto wa kiume mwezi uliopita wa Septemba baada ya mama kufanyiwa upasuaji.

Daktari Mats Brannstrom wa Chuo Kikuu cha Gothenburg alitoa taarifa hizo na

Njia rahisi ya kuondoa harufu ya kitunguu thaum mikononiBaadhi ya watu hawapendi kunata wala harufu kali ya kitunguu thaum (saum, swaumu) inayobakia kwenye vidole na viganja vya mikono baada ya kumenya vitunguu hivyo.

Njia rahisi ya kuondoa harufu hiyo ni kwa kutumia kifaa chochote kilichoundwa kwa stainless steel, kama vile kijiko, umma, n.k., na kisha kuweka mikono kwenye maji huuku ukikifikicha mikononi kama vile unavyonawa kwa kutumia sabuni ya kipande.

Video iliyopachikwa hapo chini inaonesha mfano.

Sheikh Abdulqadir: Siku hizi ukizungumzia amani unaonekana unajipendekeza kwa Serikali

Sheikh Sharif Abdulqadir al-Ahadal ( mwenye joho) akihutubia waumini wa Dini ya Kiislamu wanaoamini katika mwandamo wa mwezi wa kimataifa katika viwanja vya Mwembeyanga, Temeke, Dar es Salaam jana baada ya swala ya Eid al Adha.

WAISLAM wamekumbushwa kujihadhari kufanya ama kujihusiaha na vitendo vinavyohatarisha amani kwani hotuba ya mwisho kabisa aliyoitoa Mtume Muhammad (S.A.W) kwa waumini wakati wa Hija kama sasa, pamoja na mambo mengine, ilisisitiza amani.

Ushauri huo ulitolewa leo na Sheikh Sharif Abdulqadir al-Adha wakati wa swala ya Eid el-Adha kwa watu wanaoamini katika mwandamo wa mwezi wa Kimataifa, katika viwanja vya Mwembeyanga, Temeke, Dar es Salaam.

Katika hotuba yake aliyoitoa kwa lugha ya Kiarabu na baadaye kutafsiriwa na

Rais Kikwete akagua Chuo cha Sayansi ya Afya na Uchunguzi wa Magonjwa ya Binadamu UDom

Sehemu ya majengo ya Chuo cha Sayansi ya Afya na Uchunguzi wa Magonjwa ya Binadamu ya UDOMRais Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo kutoka kwa Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma Profesa Shaaban Mlacha na Makamu Mkuu wa Chuo hicho Profesa Idris Kikula (tai nyekundu) alipofanya ziara ya ghafla kukagua maendeleo ya ujenzi wa majengo ya

Chura app: Exchange airtime for cash; Send airtime to any phone on any network


Team Chura. The mobile application, dubbed Chura (Swahili for frog), is anchored on the idea of being able to leap from one operator to another at will without having to port. PHOTO | NATION
.
Chura app:
Has made at least 7,000 transactions from 1,000 Kenyans, 700 of them repeat customers.
The innovation comprises four parts: switch airtime service, airtime for cash service, bulk airtime service and buy airtime service.

In the exchange airtime from one service provider to another, if you have Safaricom airtime, you can exchange it for Orange airtime or Airtel airtime.

All you need to do is fill out a form on their website, www.chura.co.ke, and send the airtime to the team.

They in turn send the desired airtime to the phone number of your choice.

They charge a fee of as little as Sh4 depending on the amounts being exchanged.

The same applies for the service where users are able to exchange airtime for cash. You will need to fill a form with the phone number and network you are sending the airtime from and the number to receive the money as well as the service provider.

You will then send the airtime to Chura agents who will instantly send the money to your mobile money account.

Mr Sitawa says before Safaricom started reversing airtime bought erroneously from M-Pesa, this was the most popular service on their platform.

However, so far, only Safaricom is offering this service meaning customers in other networks still require a third party if they make such a mistake.

The bulk airtime service enables users to send airtime conveniently to multiple phone numbers in any network in Kenya, at once.

Then there is the buy airtime service where you can buy airtime for any mobile phone number in Kenya using any mobile money transfer service.
Full story at The NATION: Now you can exchange airtime for cash, thanks to new app