FREE breast cancer check up at The Aga Khan hospital

Wadhihaki Katiba Inayopendekezwa kwa maneno kwenye ukuta TAZARA

Watu wasiofahamika, usiku wa kuamkia jana wameandika maneno kwenye kuta ikiwamo ukuta wa Kampuni ya Bakhressa katika maeneo ya TAZARA wakidhihaki Katiba Inayopendezwa kwa kutaka ipigwe kura ya hapana sanjari na kumshutumu aliyekuwa Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta.

Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, imesema inafuatilia kubaini watu wanaoandika maneno ya uchochezi kwenye kuta na kwamba wakigundulika watashitakiwa mahakamani kwa uchochezi na uvunjifu wa amani.

Kamanda wa Polisi katika hiyo Maalumu, Suleiman Kova alisema kwa kutoa maoni kwenye kuta hayatakuwa na thamani, kwani hakuna atakayefanyia kazi. Alishauri jamii kutumia njia muafaka ya kufikisha mawazo yao.

Wafanyakazi wa kampuni hiyo ya Bakhressa walilazimika kuyafuta kwa kupaka rangi upya kwenye ukuta huo baada ya uongozi kupata taarifa ya kuwepo maandishi hayo.

Hivi karibuni, iliripotiwa kwamba mkoani Dodoma, maandishi kama hayo yalikutwa katika ukuta wa ofisi za Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Ushauri kuhusu kuanza biashara kwa mtaji wa kukopa

Watu wengi sana wanapenda kufanya biashara au kujiajiri. Na kikwazo kikubwa cha watu hawa ni mtaji kama wanavyosema wenyewe, mimi huwa sikubali kauli hii kwa sababu mtaji ni kisingizio tu. Tatizo kubwa mpaka sasa hujaanza biashara ni kutokujua vizuri ile biashara unayotaka kufanya.

Kuna njia mbalimbali za kupata mtaji wa biashara. Unaweza kutumia fedha zako mwenyewe ulizoweka akiba, unaweza kupewa au kuchangiwa na watu wako wa karibu na pia unaweza kuomba mkopo wa kibiashara.

Je ni vyema kuanza biashara kwa mtaji wa kukopa? Kabla hatujajibu swali hili hebu tuone maoni ya msomaji mwenzetu aliyeomba ushauri kuhusiana na hili;
Nilikosa kianzio yaani mtaji nikakimbilia mkopo ambao nimekamilisha taratibu nategemea kuupokea hivi karibuni ili nianze biashara ila umenitisha kwa mafundisho na ushauri yakuwa mpaka niwe na mtaji wangu mwenyewe nifanyeje?

Ni kweli kabisa ya kwamba haishauriwi kuanza biashara na mtaji wa

Rasimu ya Katiba inayopendekezwa yakabidhiwa kwa Marais Kikwete, Shein

Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Mhe. Samuel Sitta akikabidhi katiba inayopendekezwa kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho kikwete na Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein katika hafla iliyofanyika katika uwanja wa michezo wa Jamhuri mjini Dodoma Oktoba 08, 2014.

Oktoba 8, 2014 kama ilivyotangazwa na kurajiwa na wengi, Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete na Rais wa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt Ali Mohamed Shein wamekabidhiwa Rasimu ya "Katiba inayopendekezwa" na Bunge Maalum la Katiba.

Rasimu hiyo ilikabidhiwa mchana mbele ya watu na wawakilishi wa makundi mbalimbali ya Wageni Waalikwa, Viongozi wa juu wa Serikali, Mabalozi na Mawaziri Wakuu Wastaafu katika viwanja vya Jamuhuri mjini Dodoma.

Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi ya Bunge Maalum, Mhe. Andrew

9 Richest African Presidents and Kings 2014Africa is the second largest continent in the world. It is also world’s second most populous continent and regarded as the poorest continent.

Some African leaders and their families are very rich and their wealth is considered ill-gotten. They allegedly make their wealth from natural resources in their nations through creation of companies under names of their families. Here is a brief overview of the richest Presidents in Africa.

The 9 Richest African Presidents and Kings as of 2014:

9) Robert Mugabe – Net Worth: $10 Million

Country: Zimbabwe, Years in Power: 26
Robert Mugabe is the President of Zimbabwe. His net worth is estimated to be around $10 million. The dictator’s family is very wealthy. Mugabe has won many elections, although frequently these have been criticized by outsiders for violating various electoral procedures.
Robert Gabriel Mugabe
via wikipedia

8) Idriss Deby – Net Worth: $50 Million

Country: Chad, Years in Power: 23
Idriss Deby has been the President of Chad since 1990. His net worth is estimated to be $50 million. Towards the end of August 2006, he made international news after calling for his nation to have 60 percent stake in its output after receiving crumbs from foreign companies running the industry.
Idriss_Deby
via wikipedia

=6) Goodluck Jonathan – Net Worth: $100 Million

Country: Nigeria, Years in Power: 4
Goodluck Jonathan is the President of Nigeria. His net worth is estimated to be around $100 million. He launched a “Roadmap for Power Sector Reform”, launched the Youth Enterprise with Innovation in Nigeria and launched the Transformation Agenda. He is a member of the ruling “People Democratic Party”.
Goodluck Jonathan
via wikimedia common

=6) King Mswati III – Net Worth: $100 Million

Country: Swaziland, Years in Power: 28
The 15th richest royal in the world, according to Forbes Magazine. Mswati III is the King of Swaziland. He is worth more than $100 million; down $100 million of his 2012 ($200 million) fortune. The King has often been criticized for his lavish spending. In 2009 summer, several of his 13 wives reportedly spent over $6 million in a shopping spree. In the 2014 budget, parliament allocated $61 million for the King’s annual household budget, while 63 percent of Swazis live on less than $1.25 per day. His luxury car collection include a $500,000 Daimler Chrysler’s flagship Maybach 62. And has banned the photography of his cars.
King-Mswati-III-Net-Worth
via wikipedia

5) Paul Biya – Net Worth: $200 Million

Country: Cameroon, Years in Power: 31
Paul Biya has been the President of Cameroon since November 6 1982. His estimated net worth is around $200 million; this figure was published by the ForeignPolicy.com. Around 48 percent of the citizens of Cameroon live below the poverty line. Catholic Committee against Hunger and for Development (CCFD) and several on-and-offline media has placed him in the list of leaders with ill-gotten wealth. In 2009,  French online newspaper, Rue 89, reported the Cameroon President’s vacation was the top most expensive among world leaders. More than that of the American President. He was criticized for spending 30,000 euros ($40,000) per day on renting a villa.
Paul-Biya
via wikimedia common

4) Uhuru Kenyatta – Net Worth: $500 Million

Country: Kenya, Years in Power: 1
Uhuru Muigai Kenyatta is the President of Kenya and the son of Kenya’s first President, Jomo Kenyatta. In 2011, Forbes estimated his net worth at $500 million. Most of his wealth comes from property. With his family, the President owns stakes in Kenya’s largest dairy company Brookside Dairies, media company Mediamax, Heritage Hotels, Commercial Bank of Africa and hundreds of thousands of prime Kenyan land. He is regarded as man of the people due to his sociability. During his inaugural speech, he promised economic transformation through Vision 2030, free maternal care and unity among all Kenyans.
Uhuru-Kenyatta-Forbes-Net-Worth
via wikipedia

3) Teodoro Obiang Nguema Mbasogo – $600 Million

Country: Equatorial Guinea, Years in Power: 34
Teodoro Obiang Nguema Mbasogo is the President of Equatorial Guinea. He came to power in August 1979 by ousting his uncle Francisco Macias Nguema in a military coup. He has overseen the emergence of the nation as an important oil producer, beginning in 1990s. This President and his family literally own the economy, his personal fortune exceed $600 million, according toForbes Magazine. In October 2011, the United States government seized $70 million assets of his son, Teodoro Nguema Obiang Mangue. Though Equatorial Guinea is Africa’s second richest nation, majority of the population actually live under the poverty line.
Teodoro-Obiang-Nguema-Mbasogo
via wikipedia

2) Mohammed VI of Morocco – Net Worth: $2.5 Billion

Country: Morocco, Years in Power: 15
Mohammed VI is the current King of Morocco. He is also the country’s leading businessman. He is worth more than $2.5 billion, according to Forbes. The King ascended to the throne following his father’s death in 1999 and he immediately set about improving upon his appalling human rights record and alleviating poverty.
Photo Credit: Map.ma
Photo Credit: Map.ma

1) Jose Eduardo dos Santos – Net Worth: $20 Billion

Country: Angola, Years in Power: 34
Jose Eduardo dos Santos is the President of Angola. He has held on to this post since 1979. His personal estimated wealth exceed more than $20 billion, according to Cabinda Online. While around 70 percent of Angolans live on less than two dollars a day. His daughter, Isabel dos Santos is among the Forbes Africa’s billionaires with a net worth of $3.8 billion. She’s currently Africa’s richest woman and also the world’s richest black woman.
Jose_Eduardo_dos_Santos
via wikimedia common
Some of the above-mentioned Presidents’ exact wealth and source of wealth are unknown that’s why they cannot be included in the Forbes Africa’s Rich List. They steal from their own people.

Reprinted from (source): richestlifestyle.com

Vodacom lawamani kuhusu usalama wa fedha za wateja

Mtoa maoni mmoja ametoa taarifa katika ujumbe ufuatao:

Vodacom inatatizwa na ukosefu wa usalama wa fedha zinazopitia mikononi mwao. Nina mifano mingi ila nitatoa mitatu tu.

i. Mmekuwa na tabia ya kuiba fedha wateja wanazo acha kama salio. Mara nyingi huwezi kulala na salio ukaamka ulikute!

ii. Mwanzoni mwa mwezi August mwaka huu nikitumia nba 0767773555 nilinunua kifurushi cha kupiga mitandao yote cha 15,000/=. Nilipongezwa kwa ununuzi ule wa Dakika 240 ila siku mbili baadae nilitumiwa meseji ati kifurushi changu "kimekwisha"! Nina uhakika sikupiga simu zaidi ya tano ambazo kati ya hizo hakuna iliyozidi dakika tano! Juhudi za kuwasiliana nao zili gonga ukuta hadi nikawa mpole; maana niko mbali na Dar.

iii. Tarehe mbili mwezi September nilifanya malipo ya 210,000/= kwenda namba 0766694413 toka namba yangu ya 0767773555 malipo yakiwa yamekusudiwa kwa Kampuni ya Ensol. La kushangaza fedha hiyo ilipotea na kwenda kwenye Akaunti ya mtu mmoja anayeitwa Francis Lengai ambaye hakuwa mlengwa. Niliwasiliana na Huduma kwa wateja dakika 2 baadae na kumwomba mhudumu azuie mwamala ule. Alikiri kuziona, kuzizuia na kuniahidi kuzirejesha kwenye Akaunti yangu ila alidai mpokeaji Francis hakuwa mwaminifu kwani alishahamisha 30,000/= kwenda kwa mtu fulani ambaye hata hivyo mmezikamata. Nilirejeshewa 180,000/= na kuahidiwa 30,000/= ndani ya masaa 24. Hadi leo wapi! 30,000/= mmeiiba!

Taarifa hii imetolewa kwa njia ya maoni kupitia: plus.google.com/u/0/+SubiNukta/posts/JPDKXetkidN

Marufuku kuingiza mifuko ya plastiki

.
Serikali ya Tanzania imepiga marufuku uingizaji wa mfuko ya plastiki kutoka nje ya nchi kutokana na kuendelea kwa uzembe na kuingiza bidhaa zilizo chini ya viwango kinyume cha sheria ya uhifadhi wa mazingira na maazimio ya Bunge la 10 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais - Mazingira, Mhe. Bilinith Mahenge ameyasema hayo hapo jana jijini Dar es Salaam alipofanya ziara ya kushitukiza katika makampuni yanayotengeneza, kuagiza na kuuza mifuko hiyo kutoka nje ya nchi.

Ziara hiyo ni sehemu ya utekelezaji wa maazimio ya Bunge la 10 na Sheria ya uhifadhi wa mazingira.

Kwa upande wao, watengenezaji, waagizaji na wauzaji pamoja na kumpongeza Waziri kwa hatua yake ya kuwatembelea, waliwashutumu tabia ya baadhi ya Watendaji kwa kutokuwashirikisha katika mambo mbalimbali ya sheria na mikakakti kama wadau. Wamesema jambo hilo linaweza kuchangia uduni wa biashara baina yao na Serikali na kusema wapo tayari kutimiza bila kikwazo endapo watashirikishwa kikamilifu.

[updated] Taarifa ya TBS ya kuitwa kwenye usaili kwa walioomba kazi

Shirika la Viwango Tanzania linapenda kuwatangazia waombaji kazi waliofanya usaili wa awali na kufaulu katika nafasi za Senior Marketing Officer II, Quality Assurance Officer II, Standards Officer II, Metrologist II, Laboratory Technician II, Laboratory Assistant II, Maintenance Engineer II, Human Resource Officer II, Driver II, Personal Secretary II, Assistant Accountant II, Accounts Technician II, Records Management Assistant I, Records Management Assistant II, Librarian II, Assistant Internal Auditor II, Computer System Technician I, Legal Officer II, Editor II, Corporate and Public Affairs Officer II, Maintenance Technician II, kuwa wanaitwa kufanya usaili wa mahojiano ya ana kwa ana kuanzia tarehe 13.10.2014 mpaka tarehe 16.10.2014 katika ukumbi wa mikutano wa Shirika la Viwango Tanzania, Ubungo, Dar es Salaam.

Aidha, waombaji wa nafasi za udereva na Katibu Muhtasi watafanya usaili wa vitendo(practical) tarehe 11.10.2014. saa 3 asubuhi TBS

Wasailiwa wanashauriwa kuzingatia yafuatayo:

1. Kuja na vyeti halisi (original certificates) vya kuanzia kidato cha nne na vyeti vya Taaluma ambayo mtahiniwa aliomba.

2. Mtahiniwa atakaye shindwa kuja na vyeti Halisi atakuwa amejiondoa katika usaili.

Facebook sues fake 'like' scammers for $2 billion; Offers tips for authentic interactions


After complaints from Facebook advertisers of a wave of fake likes, Facebook has vowed to "aggressively get rid of fake likes" on its network and recently announced on it's site that it had won more than $2bn (£1.3bn) in legal judgements against scam artists who sold fake likes to businesses.

"We have a strong incentive to aggressively get rid of fake likes because businesses and people who use our platform want real connections and results, not fakes." ... "Fake-like-pedlars tempt Page admins with offers to "buy 10,000 likes!" or other similar schemes."

Facebook tips for authentic interactions
You can count on us to keep dedicating our time and energy to fighting inauthentic content, but there are also ways that you can help protect yourself from getting caught up in fraudulent activity.
  • Don’t buy fraudulent likes
Fraudulent likes are going to do more harm than good to your Page. The people involved are unlikely to engage with a Page after liking it initially. Our algorithm takes Page

Mapacha watelekezwa hospitalini na baba baada ya mama kufariki

Mwanaume mmoja aliyejulikana kwa jina la Aison Majiyatamu mkazi wa Nankukwe Wilaya ya Chunya, Mkoa wa Mbeya anatafutwa na uongozi wa Hospitali ya Rufaa ya Mbeya kitengo cha Ustawi wa Jamii kwa kutelekeza watoto wake Hospitalini.

Akizungumzia kisa hicho, Afisa Ustawi wa Jamii, Hospitali ya Rufaa ya Mbeya, Annah Geretha, alisema wanalazimika kumtafuta mzazi huyo kutokana na kutoonekana Hospitali hapo kufuatilia maendeleo ya watoto wake kwa muda mrefu tangu walipozaliwa.

Alisema Mama mzazi wa watoto hao ambao ni mapacha wa kike aliyejulikanakwa jina la Edah Simia alifariki dunia muda mfupi baada ya kujifungua watoto hao salama kabisa ambapo

Uhuru Kenyatta aelekea ICC kama raia ndani ya "t-shirt na jeans"
 

Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta amewasili jijini The Hague, Uholanzi katika Mahakama Maalum ya Kimataifa inayohusika na visa vya uhalifu kwa viongozi wa nchi zilizoridhia mkataba huo, ICC, kwa ajili ya kikao maalum kuhusu kesi inayomkabili.

Siku ya Jumatatu, Rais Kenyatta alikabidhi madaraka yake kwa muda kwa Naibu Rais, William Ruto na kusisitiza kuwa anaondoka nchini humo kama raia.

Akiwahutubia Wabunge mjini Nairobi, Kenyatta aliwaambia kuwa yuko