Vodacom yaadhimisha Wiki ya Huduma kwa Wateja kwa kufadhili mradi wa ufugaji kuku

Katibu wa kituo cha kulelea watoto yatima cha Mwandaliwa cha Bunju jijini Dar es Salaam, Bw. Omar Abdul Kyaruzi (kushoto)akimpa maezo Meneja wa Vodacom Foundation,Grace Lyon jinsi ujenzi wa banda la kisasa kwa ajili ya kuanzisha mradi wa ufugaji wa kuku unaufadhiliwa na taasisi ya Vodacom foundation unavyoendelea kituoni hapo walipotembelewa na wafanyakazi wa Vodacom katika kushiriki kwenye ujenzi huo ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha wiki ya huduma kwa wateja duniani.
"Mhisani anayekusaidia kujijengea uwezo wa kujitegemea ni muhimu sana kuliko Yule anayekupatia msaada kila siku bila kukujengea uwezo wa kusimama mwenyewe na kujitegemea”anasema Bw. Omar Abdul Kyaruzi Katibu wa kituo cha kulelea watoto yatima cha Mwandaliwa kilichopo eneo la Boko wilayani Kinondoni mkoani Dar es Salaam kutokana na kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania kusaidia kituo hicho kujenga banda la kisasa kwa ajili ya kuanzisha mradi wa ufugaji wa kuku.

Mbali na kufadhili ujenzi wa banda la kuku pia wafanyakazi wa Vodacom Tanzania katika kuadhimisha wiki ya huduma kwa wateja inayoendelea wamejitolea muda wao kushiriki katika ujenzi wa banda hilo la kisasa ambalo lina ukubwa wa kufugiwa kuku wapatao 2,000 kwa pamoja.

Afisa Mwandamizi wa Vodacom Tanzania kutoka kitengo cha Huduma kwa wateja Benson

Aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar afunda wasohaya; Ipo siku ukweli utadhihirika

LAITI kama si utaratibu “tuliojiwekea” kikazi, leo ukurasa huu niliridhia utoke ukiwa hauna kitu. Niliandaa tu maneno yafuatayo: “Ni masikitiko makubwa.” Utaratibu hauruhusu ukurasa kutoka wazi hata niliposema nitafungamanisha maneno hayo na picha yangu. Nilibanwa niseme japo kidogo.

Mwenzenu nilikosa maelezo. Niliishiwa nguvu ya kusema. Ninayo, tatizo sikuwa na utulivu wa moyo. Nilijawa simanzi zisopimika.

Niliumizwa. Nikawa najisikia mwili kuzidiwa joto kali lililonivaa utosini hadi nyayoni. Akili yangu kama iliyokuwa imeduru. Kama imesimama kufanya kazi – imevia au imedunda.

Rohoni najisikia vibaya; kama niliyezugwa. Awali sikujua nifanyeje.

Rasimu, Warioba... nd'o hivi.


Taarifa ya Ikulu kuhusu Shumake “Mwekezaji aliyemzawadia saa Kikwete aibua utata”

Rais Dkt Jakaya Kikwete akipokea zawadi ya saa kutoka kwa Balozi wa Heshima Hon. Robert Samuel Shumake kutoka Michigan. (picha na maelezo ya mwaka 2013 via Vijimambo blog)

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Gazeti la Raia Mwema la wiki hii ya Oktoba 8-14 ambalo limetolewa jana, Jumatano, Oktoba 8, 2014, limeandika kwenye ukurasa wake wa kwanza habari yenye kichwa cha habari, “Mwekezaji aliyemzawadia saa Kikwete aibua utata”.

Kichwa cha habari hicho kinafuatiwa na habari yenyewe ambayo kwenye moja ya aya zake inadai kuwa “tayari Rais Kikwete amekutana na mwekezaji huyo wa Marekani, Bwana Roberk Shumake na kumpa zawadi ya saa aina ya Rolex katika mojawapo ya ziara za Rais nchini Marekani”.

Hii ni habari ya uongo na haiwezi kuwa ya uongo zaidi kuliko ilivyochapishwa.

Ni habari ya uzushi na upuuzi. Ni habari inayolenga kumdhalilisha Rais wa

Mulugo, Mrema et al wakiserebuka jana Rasimu ya Katiba Inayopendekezwa ilipokabidhiwa


Waliokuwa Wajumbe wanawake wa Bunge Maalum la Katiba wakifurahia kwa kucheza kwa pamoja wakati wa sherehe ya makabidhiano ya Katiba hiyo hapo jana 8 Oktoba, 2014 mjini Dodoma.

Picha via The Daily News na Benedict Liwenga/Habari-Maelezo

Polisi waliopiga picha ya mahaba na sare ya kazi wafukuzwa

Jeshi la Polisi limewafuta kazi askari polisi watatu wa kikosi cha Usalama Barabarani kwa kosa la kukosa maadili mema kazini.

Askari wawili walionekana kwenye picha iliyosambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii wiki hii (bofya hapa kutizama) ikimwonesha askari aliyevalia sare ya polisi kwa wanaume akiwa ameketi kwenye kiti huku akiwa amekaliwa mapajani na askari wa kike hali midomo yao inaashiria kugusana kama vile kupeana busu.

Kamanda wa polisi mkoani Kagera, Henry Mwaibambe akizungumza na

7 popular travel scams and how to avoid them

7 Most Popular Travel Scams and How to Avoid Them
Source: CheapFlights.co.za

How to improve your phone's keyboard predictions

(image: Cellular big keyboard via Google Play)

It is important to remember that good predictions take time and training, so you won't go from horrible prediction mistakes to a near-psychic keyboard overnight, but there are some simple things you can do to improve your keyboard's predictions, and every step you take helps a little bit.

Here's LifeHacker's suggestion of what you can do:
 • Add more words to your dictionary. If you use a specific word that your keyboard tries to correct more than twice, add it. 
 • Learn to edit your dictionary.
 • Embrace cloud-enabled features. Connecting your keyboard to other apps or choosing one with a system-wide dictionary instead of app-specific dictionaries will make it easier to type in every app. 
 • Use Text Expansion. If you don't like The default Google Keyboard, or iOS, or for some reason the keyboard you're using doesn't support text expansion, see some great text expansion suggestions for Android and for iOS. There are some built-in tricks you can use on any keyboard, like this one to quickly enter your email address. If you have particularly tricky words or phrases that auto correct seems to garble regularly or the prediction engine just can't get right ever, set them to a short string of characters you can remember and eliminate the headache entirely.
 • Find a keyboard that works for your typing style.  Try some which offer fancy cloud features, or slimmer keyboard with a more robust local prediction engine and improved autocorrect features. If the source of your bad predictions or mistakes come from fat-fingering, find a keyboard that lets you change the size and position of the letters on-screen, or has accessibility features that speak your words aloud before you send them. If you've been trying and trying and can't get prediction right, it may be the keyboard, not you.
LifeHacker: How Predictive Keyboards Work (and How You Can Train Yours Better) - click to learn and understand how text prediction works.

Bushiri to re-launch Prophetic Channel in Tanzania

The Prophetic Channel, owned by Prophet Shepherd Bushiri will be re launched in Dar Es Salaam, Tanzania this friday.

In an interview, Gregory Mulema who is the Deputy Director of Prophetic Channel, said the re launch comes following a couple of changes that the channel has gone through.

He added that during the re launch,there will be a prophetic service led by Prophet Bushiri himself and it will be Live on the channel.

"We are re- launching because they are so many changes that has taken place in

IPTL saga: Donors confirm withholding aid to Tanzania

It is now official. Development partners (DPs) have not released even a single dollar out of the $558 million (Sh937 billion), that had been pledged to boost Tanzania’s 2014/15 Budget.

They will only give it out upon seeing—and being satisfied with—the outcome of the investigations into the controversial payments of Independent Power Tanzania Limited (IPTL) escrow monies to Pan Africa Power Solutions Tanzania Limited (PAP).

The DPs chairperson and Finnish Ambassador to Tanzania, Ms Sinikka Antila, Tuesday confirmed to The Citizen that the money, which was meant to support the country’s 2014/15 general budget, had been suspended, pending the release of the IPTL probe reports.

Ms Antila said the donor community was concerned over how the

Barclays Step Ahead Charity Walk, Bazaar and Music Concert 2014


Madaktari 5 Watanzania kwenda Afrika Magharibi kuhudumia wagonjwa wa Ebola

Madaktari wataalamu watano wa afya wamejitolea kwenda kutoa huduma katika baadhi ya nchi za Afrika Magharibi zilizoathiriwa na ugonjwa wa Ebola.

Wataalamu hao walioondoka jana, baadhi yao walizungumza na waandishi wa habari katika mkutano kati ya Mganga Mkuu wa Serikali, Dk Donan Mmbando na vyombo vya habari.

Dk Mmbando aliwataja kuwa ni Dk Justin Maeda kutoka Mvomero, Dk Herilinda Temba kutoka Hospitali ya Mkoa wa Morogoro, Shaban Sasita, Godbless Lucas na mtaalamu wa magonjwa ya mlipuko kutoka Lindi, Theophil Malibiche.

Kwa mujibu wa Dk Mmbando, baada ya kuondoka jana, wamekwenda

Usawa wa kijinsia si kufanana kijinsia; Unavyoweza kuharibu mahusiano

Usawa wa kijinsia kwa mazingira haya unawafanya wanaume wakose mwelekeo na bila wao kujua hujikuta wanahitaji wasichokijua. Mke anayetafuta kupanda ngazi ya mafanikio ya kikazi anajikuta anasahau majukumu yake ya 'asili', hali inayojenga matarajio yasiyowezekana kwa mwanaume ambaye naye anaishia kuwa frustrated.

Hizi frustrations ndizo zinazopunguza mawasiliano ya mioyo wa wenzi, na hivyo kuwa chanzo cha kila mmoja kupunguza ari ya kujishughulisha kuelewa na kujibu mahitaji ya mwenzake. Hili likitokea, ni rahisi mengineyo kama wivu, hasira, na hata michepuko kutokea.

Katika mazingira haya ya usawa na haki za wanawake, pengine ni vyema wanawake kutambua kwamba usawa wa kijinsia haumaanishi kufanana kwa wanaume na wanawake. Hii ikiwa na maana kuwa ni salama zaidi wanawake kutambua tofauti yao na wanaume kihisia (emotional differences).

Ingawa ni kweli tunapigania usawa wa fursa, shule, kazi na kadhalika, bado twapaswa kutambua haitawezekana wanaume wakageuka kuwa wanawake na wanawake kadhalika wakageuka kuwa wanaume. Tutambue mahitaji ya wanaume hayafanani na yale ya wanawake.

Wakati tunahakikisha akina mama wanapata fursa sawa na wanaume, pengine ni wakati wa kutambua kwamba katika ndoa, hiyo nadharia ya usawa wa kijinsia haifanyi kazi, na inapotokea ikafanya kazi matokeo yake huwa si ya kufurahisha sana.

Bofya hapa kusoma makala nzima katika blogu ya Bwaya: 'Usawa wa kijinsia' unavyoweza kuharibu mahusiano

Ohoo! Facebook yang'ata Wakala wa Serikali: US agent sued over fake Facebook page

The Justice Department said Tuesday it is reviewing a woman's complaint that a Drug Enforcement Administration agent set up a fake Facebook account using her identity. Sondra Arquiett, who was arrested on drug charges 2010 for her role in a suspected drug distribution network, is suing the agent in federal court in the Northern District, in upstate New York. THE ASSOCIATED PRESS

WASHINGTON (AP) -- The Drug Enforcement Administration set up a fake Facebook account using photographs and other personal information it took from the cellphone of a New York woman arrested in a cocaine case in hopes of tricking her friends and associates into revealing incriminating drug secrets.

The Justice Department initially defended the practice in court filings but now says it is reviewing whether the Facebook guise went too far.

Sondra Arquiett's Facebook account looked as real as any other. It included photos of her posing on the hood of a sleek BMW and a close-up with her young son and niece. She even appeared to write that she missed her boyfriend, who was identified by his nickname.

HESLB loan allocation for SUA Students 2014/15

Please click the relevant heading below to open the attached spreadsheet for more information:
 1. Freshers
 2. Continuing
 3. Grant Continuing
First years Information
 1. Joining Instruction
 2. Undergraduate Registration Form
 3.  Non Degree Registration Form
 4. Medical Form (Form C)
 5. First round selected candidates to pursue various certificate and diploma programmes for academic year 2014/2015
 6. First Batch selected undergraduate students 2014
 7. Second Batch Of Students Selected To Join Degree And Non Degree Programmes For Academic Year 2014/2015

Afya Bora Consortium Fellowships in Global Health Leadership accepting applications

RECRUITING ANNOUNCEMENT 2015-2016

Afya Bora Consortium Fellowships in Global Health Leadership will be accepting applications for the 2015-2016 Fellowship year, beginning August 15, 2014. There are 20 positions available for health professionals interested in a 12-month fellowship (starting July 2015) in one of our African partner countries (Botswana, Kenya, Tanzania, Uganda).

The Afya Bora Consortium is a partnership of eight academic health centers, four in Africa and four in the United States. The four pairs are:
 • University of Nairobi and the University of Washington
 • University of Botswana and the University of Pennsylvania

Taarifa kukanusha habari za Mwanafunzi kumpa mimba Mwalimu

Nina imani wengi wenu mna hamu ya kupata uhalisia wa habari zilizoenea mitaani kuhusu mwanafunzi kumzalisha mwalimu wake katika shule ya Nkasi ambayo ndiyo kituo changu cha kazi.
Nitafafanua kwanza kuhusu walimu wa kike ninaofundisha nao then nitafafanua mazingira ya kuandikwa hiyo habari ilivokuwa.

Kwanza shule ya sekondari ya Nkasi ipo wilayani Nkasi mkoa wa Rukwa. Shule hii ina kidato cha 1 hadi cha 6 ikiwa na tahasusi za HGK, HGL, PCM na PCM (wasichana na wavulana). shule ina walimu 5 wa kike kama ifuatavyo:

Madam Kasanga, huyu ni mama wa makamo amehamia mwezi uliopita kutoka morogoro, ana watoto wakubwa na mme wake ni askari magereza.

Madam Mwamini, huyu ni mdada mdogo tu, ana mtoto mdogo ananyonyesha ni mke halali wa mtu na anaishi na mmewe, mme wake anafanya kazi LAPF.