Ubalozi wa Somalia nchini Tanzania wafungwa

Waziri wa Mambo ya Nje wa Somalia, Dk. Abdirahman Duale Beyle amesema kuwa, balozi za Somalia nje ya nchi zimepunguzwa na kufikia 31 kote ulimwenguni.

Duale amesema kuwa, balozi hizo zimepungua tangu kulipofungwa balozi tisa za nchi hiyo barani Afrika, Mashariki ya Kati, Asia na hata Ulaya. Ofisi hizo za uwakilishi wa kisiasa zilifungwa kwa muda kufuatia kuongezeka gharama za uendeshaji wake.

Waziri wa Mambo ya Nje wa Somalia amesema kuwa serikali ya Mogadishu

Tofauti ya imani ya kidini yatajwa chanzo mauaji KageraTaarifa kupitia blogu mbalimbali zinasema kuwa watu wasiojulikana usiku wa kuamkia jana wamevamia Kanisa la PAG tawi la Kagemu kata ya Kitendaguro manispaa ya Bukoba na kumua muumini mmoja kwa kumcharanga mapanga hadi kufa na mwenzake kujeruhiwa. Waliotenda

Askari waondolewa kikosini kwa kumbambika dereva makosa


Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, limewahamisha askari wake, WP 5863 Quine na WP 3548 Koplo Maeda kutoka Kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Ilala kwa kukiuka maadili ya kazi.

Taarifa ya ndani ya Oktoba 2, mwaka huu ya Kikosi cha Usalama Barabarani Makao Makuu Dar es Salaam iliyosambazwa kwenye mitandao ya kijamii, imesema askari hao walisimamisha gari dogo na baada ya dereva kujitetea, waliendelea kutafuta makosa hali iliyosababisha abiria aliyekuwa mgonjwa kufariki.

Kutokana na tukio hilo, makamanda wa polisi wa wilaya zote za Mkoa wa Kipolisi wa Dar es Salaam wametakiwa kuwakumbusha askari wao kuepuka kutolazimisha kutafuta makosa ambayo hayana madhara.

“Makosa ambayo hayana madhara katika kusababisha ajali mfano ni vifaa vya kuzimia moto, rangi, kadi kutoandika anuani, motor vehicle, leseni chini ya siku 30 na kadhalika,” lilisomeka agizo hilo kwa makamanda hao wa polisi.

Wasanii Tanzania kugawiana mashamba Nyerere Day


MTANDAO wa Wasanii Tanzania (SHIWATA) umeandaa ibada maalum ya kumkumbuka Baba wa taifa, Hayati Mwalimu Julius Nyerere itakayofanyika katika mashamba yao yaliyopo kijiji cha Ngarambe, Mkuramga mkoa wa Pawani.

Mwenyekiti wa SHIWATA, Cassim Taalib alisema jana kuwa katika ibada hiyo itaongozwa na Shekhe wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Musa Salum kwa upande wa Waislam na

Taarifa kuhusu habari ya mgonjwa wa Ebola kutoka Tanzania

null
screen-shot kutoka kwenye tovuti ambayo ni chanzo cha habari husika
 Nimelazimika kuandika taarifa hiii baada ya kupokea ujumbe kutoka kwa ndugu yangu kupitia WhatsApp akinitaka kusoma habari iliyomtia hofu baada ya kuisoma kwenye blogu moja inayomilikiwa na Mtanzania.

Nami nimeisoma mistari michache na kutafuta chanzo chake ambacho kinaonesha habari yenyewe iliandikwa mwezi uliopita, haipo kwenye vyombo vikubwa vya habari (yaani vyombo rasmi vilivyosajiliwa na vinavyoaminiwa kwa habari zake - registered and authentic) lakini tayari leo blogu kadhaa zinazomilikiwa na Watanzania zimeanza kuisambaza kama ilivyo.

Habari hiyo iliyochapishwa na tovuti moja inadai kuwa yupo mgonjwa nchini

Serikali yatoa ruhusa kuuza nafaka nje

Serikali imeruhusu wafanyibiashara kuuza nafaka nje ya nchi, kwa kuwa nchi imejitosheleza kwa chakula kwa kiwango kikubwa.

Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Christopher Chiza amesema hayo jijini Dar es Salaam wakati wa uzinduzi wa mkakati wa kuongeza uzalishaji wa zao la mpunga Tanzania, na kusema mtu yeyote atakayepata kipingamizi aifahamishe Wizara yake kwa ufafanuzi zaidi:
“Tumejitosheleza kwa chakula kwa asilimia 125. Mahindi tumeongeza uzalishaji zaidi ya tani milioni 6, mchele tumezalisha tani milioni moja laki sita. Bado watu wanakuwa-confused maana kuna watu wanawaambia kwamba kuna kibali, kuna vizuizi vya kuuza nje. Sera hiyo tumeachana nayo. Sisi sera yetu ni ‘zalisha ziada, upate masoko, uza nje,’ kwa hiyo wanaotaka kuuza nje ya nchi ziada, alimradi wasiuze kila kitu mpaka chakula wasiweke akiba.”
Mkakati wa kuongeza uzalishaji wa zao la mpunga nchini Tanzania unatekelezwa kuanzia mwaka huu wa 2014 hadi mwaka 2017. Nchi nyingine za Afrika zinazotekeleza mkakati huo ni Nigeria, Ghana na Burkina Faso.

---
Taarifa inayoshabihiana na hii ipo katika gazeti la NIPASHE JUMAPILI: Serikali kuondoa vikwazo vya zuizi la kuuza nje vyakula

The Pink Sunday 12.10.2014 Come, join us, let's walk for fun and cause


Kunywa Ndovu Ujishindie Golden Experience


Kufahamu zaidi bofya: hapa: bit.ly/1oylw95

Kituko: Nguzo ya umeme ipo barabarani Mbeya
Hii hatari kwa waendesha magari nyakati za usiku hii nguzo ipo barabara mpya jirani ya bustani ya jiji eneo la Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya.

Je? ushirikiano wa Halmashauri ya jiji la Mbeya na TANESCO hakuna? Mmeshindwa kukaa chini mkajadili swala hili il hali yote mnayofanya ni kwa faida ya wananchi?

Picha yenyewe inajieleza je mnasubiri ajali itokee ndiyo mchukue hatua?

Picha na maelezo via blogu ya Mbeya Yetu: VITUKO MITAANI NANI ALAUMIWE KATI YA JIJI NA TANESCO MBEYA KWA KITUKO HIKI

"Kipanya" katika maongezi na kipindi cha "Mawazo Huru"

Maongezi na mchora katuni za kisiasa na za kijamii, Ali Masoud "Kipanya" ambaye amewachora viongozi na Marais wa nchi hii tokea miaka ya 90, ambapo kazi zake tata zimeweza kumjenga kwa kuongelea yanayowagusa vijana, je anasemaje kuhusu ukosefu wa ajira na jinsi vijana inavyobidi tujikwamue kimaisha?

Who said cold, rainy days make your back ache?

Cold, rainy days do not make your back ache.

Though dismal days seem to make your bones ache, Australian researchers — who studied more than 900 patients with sudden and acute back pain — have determined that weather has no bearing on back pain. In fact, the report published recently in Arthritis Care & Research states that "temperature, relative humidity, air pressure, wind direction and precipitation showed no association with onset of back pain." So may the wind always be at your back – no, actually, according to the report a swifter wind can potentially increase back pain.

Taarifa ya kufungwa makutano ya barabara kwa ajili ya ujenziStrabag Internation GmbH pamoja na wadau wengine wanapenda kuutangazia umma na watumiaji wa barabara ya Kawawa kuwa, kipande cha barabara hiyo kuanzia Kinondoni Rd mpaka Dunga (Biafra) upande wa kulia uelekeo wa mataa ya kuongozea magari ya Morocco, kitafungwa tarehe 10 Oktoba 2014 kupisha ujenzi wa miundombinu ya mabasi yaendayo haraka.

Watumiaji wa barabara hiyo wanaombwa kutumia barabara mbadala kama inavyooneshwa kwenye ramani.

5 things you should know about US airport Ebola screening

WASHINGTON (AP) -- The Obama administration announced Wednesday that airline passengers arriving from the three West African countries experiencing an unprecedented Ebola outbreak will now be screened for potential exposure to the deadly disease when they arrive at five major U.S. airports. The screening will include having their temperatures taken.

Five things you need to know about the screenings:

1. THE INTERNATIONAL AIRPORTS
Customs and Border Protection agents stationed at New York's Kennedy, Newark Liberty, Washington's Dulles, Chicago's O'Hare and Hartsfield-Jackson Atlanta airports will be screening passengers. The effort begins in New York on Saturday and expands to the other airports over the next week.

There are no nonstop flights to the U.S. from Liberia, Sierra Leone or

Kongamano: Nafasi ya Fikra za Mwl. Nyerere katika Mustakabali wa Maendeleo ya Tanzania ya Sasa

Microsoft picks Mariam Abdullahi as East Africa Manager

Microsoft Corporation has appointed British national Mariam Abdullahi as general manager for mobile devices sales for East Africa, five months after it acquired Finnish telecom firm Nokia.

Ms Abdullahi will guide the team in marketing and sales in key markets like Kenyead of operator channel for Sub-Saharan Africa at Microsoft, takes over from Bruce Howe who in July moved to Microsoft Malaysia.

Ms Abdullahi will guide the team in marketing and sales in key markets like

NMB Bank: Viwango vya kubadili fedha za kigeni leo