Rais Kikwete aongoza mazishi ya Mej. Jen. Muhidin Kimario


Rais Kikwete akiwafariji familia ya marehemu


Rais Kikwete akitoa pole kwa familia...

Bernard Membe: Kachero aliyebobea, mwanadiplomasia mtata

Bernard K. Membe
 Katika mfululizo wa makala hizi zinazochambua wasifu wa wagombea urais katika Uchaguzi Mkuu ujao, leo tunamwangalia Bernard Kamillius Membe, Mbunge wa Jimbo la Mtama mkoani Lindi na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa.

Kama tutakavyoona katika uchambuzi huu, huyu ni mgombea mwenye historia fupi lakini tajiri katika siasa za Tanzania na kimataifa.

Katika uchambuzi huu nimetumia vyanzo mbalimbali vya taarifa, vikiwamo machapisho mbalimbali ndani na nje yanayomhusu Membe, mahojiano na baadhi ya watu waliopata kusoma na kufanya naye kazi, taarifa za maendeleo yake kitaaluma shuleni na vyuo alikosoma, na taarifa za utekelezaji wa Ilani ya CCM katika Jimbo la Mtama.

Aidha, katika maandalizi ya makala haya, nilipata bahati ya kufanya mazungumzo ya ana kwa ana na Membe jijini Dar es Salaam.

Kuzaliwa, malezi na familia
Bernard Kamillius Membe alizaliwa Novemba 9, 1953 katika Kijiji cha

Laiti wangetingisha akili kama wanavyotingisha viunoFrank mpenzi wangu,

VIPI habari za siku? Ulionaje disko ya mjengoni? Duh! Laiti watu wangeweza kutingisha akili zao kama wanavyotingisha viuno, nadhani tungekuwa mbali sana.

Lakini najua wewe ulitingisha kichwa tu kama mimi maana matarajio yetu ya katiba mpya inayoakisi maoni mapya yameshafifia na sijui kama tunao uwezo wa kuzuia ubururuzaji huo.

Hali hii inaonekana wazi kabisa hapa nyumbani. Sijui kama ulimwona Bosi akichezesha kitambi chake naye, lakini sisi tuliona na hata mke wake aliona kichefuchefu. Alianza mwanaye.

‘He, mama, unamwona baba huko? Hili disko zee linatisha.’

‘Mwanangu sitaki hata kuona. Kwanza watu wanachezea kitu

Katiba Pendekezwa itachapishwa upya; Mjumbe wa NCCR-Mageuzi alijumuishwa kimakosa

Uongozi wa Bunge Maalumu la Katiba, umemuagiza Mpiga Chapa Mkuu wa Serikali, kupiga chapa upya Katiba Inayopendekezwa, baada ya kubaini makosa ya uchapaji, ikiwemo kuandikwa kwa makosa kwa mjumbe wa bunge hilo kupitia NCCR-Mageuzi Zanzibar, Haji Ambar Khamis.

Katika chapisho la Katiba Inayopendekezwa, mjumbe Khamis ameonekana kama vile alishiriki katika awamu ya pili ya Bunge Maalumu la Katiba, wakati hakushiriki.

Kosa hilo na mengine ya uchapaji, yamekuwa yakitumika kwa makusudi kupotosha umma kuwa Katiba Inayopendekezwa, ilipita katika mazingira ya kuchakachua kura za wajumbe, ili kuiondolea uhalali wake wakati wa kupiga kura ya maoni.

Moja ya jitihada hizo ni pamoja na hatua ya mjumbe Khamis, kuangua kilio

Taamko la TFF juu ya mwenendo wa wadau wa Bodi ya Ligi

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

TAARIFA YA KAMATI YA UTENDAJI YA SHIRIKISHO LA MPIRA WA MIGUU TANZANIA ILIYOKUTANA OKTOBA 11, 2014- DAR ES SALAAM


Kikao cha dharura cha Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kimefanyika leo kujadili matukio ya hivi karibuni, hasa mwenendo wa wadau wa Bodi ya Ligi. Shirikisho linatoa tamko kwa umma kama ifuatavyo:

1. Kamati ya Utendaaji imesikitishwa na taarifa za upotoshaji kuhusu kanuni mpya za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), hivyo inaomba radhi kwa wadau ambao wameguswa na kusumbuliwa na matukio hayo.

2.Kufuatia matukio hayo, Sekretarieti ya TFF kwa niaba ya Kamati ya Utendaji, imefungua mashtaka kwenye Kamati ya Nidhamu dhidi ya Dk. Damas Ndumbaro ambaye ni

KibiraFilms looking for individuals for next film

Kibirafilms International is getting ready to produce its next feature film. “ESTHER WANJIRU” is a film about an African couple going through life and relationship struggles in the United States, with a bizarre twist. The movie's tag line summarizes it here: "In a parade of crocodiles, it is not easy to spot lizards." Or, as we say it in Swahili, "Katika msafara wa mamba, kenge wamo." It will be shot locally in the Twin Cities. Please see the synopsis at the bottom of this email.

You are receiving this email as an invitation to be part of this feature film. There are many opportunities in all stages of the process: preproduction, production and post production. Please send your information and we will place your name on our mailing list. When the time comes you will receive

4 Beaufiful 2014 supermoon photos

Ipanema beach, Rio de Janeiro, Brazil (Yasuyoshi Chiba/AFP/Getty Images)

Mdina, Malta (Darrin Zammit Lupi/Reuters)

Penha Church in Rio de Janeiro, Brazil. (Yasuyoshi Chiba/AFP/Getty Images)

Kansas City, Mo (John Sleeze/The Kansas City Star/AP)
Pictures shot on August, 10, 2014 as seen on Boston Gllobe's The Big Picture.

Taarifa kukanusha habari kuhusiana na Waziri Nyalandu


Masanja Mkandamizaji na Shilole walipokuja mwaka 2013 kwenye sherehe ya miaka 3 ya Vijimambo iliyobeba ujumbe wa Tamasha la Utamaduni wa Kiswahili
Timu ya Vijimambo ina masikitiko makubwa ya habari ya upotoshaji iliyoandikwa na gazeti la Jamhuri lililobeba kichwa cha habari "AUNTY EZEKIEL ATANUA NA WAZIRI NYALANDU MAREKANI" yakiwemo magazeti mengine yaliyodandia kuandika habari hii bila kujua ukweli upo wapi. 

Timu ya Vijimambo ikiwemo kamati ya maandalizi imechukizwa sana kwa

Onyo la TCU kuhusu waliodahiliwa moja kwa moja Vyuo Vikuu


TAARIFA KWA UMMA

Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) ina mamlaka kisheria kusimamia na kuratibu udahili wa Wanafunzi wote wanaojiunga na Vyuo Vikuu vyote nchini Tanzania.

Tume imebaini kuwa, hivi karibuni baadhi ya Vyuo Vikuu vimekuwa vikitangaza kudahili Wanafunzi moja kwa moja kupitia Vyuo vyao kwa mwaka wa masomo 2014/2015. Ifahamike kuwa, utaratibu unaotambulika kisheria ni wa kudahili Wanafunzi kupitia Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania na si vinginevyo. Hivyo mwanafunzi atakayeomba na kupatiwa udahili kupitia Chuoni

Dakika 90 za Dunia: Kumalizika kwa mkutano wa DICOTA 2014Baraza la waTanzania waishio nchini Marekani (DICOTA) limemaliza mkutano wake wa mwaka Jumapili ya Oktoba 5 jijini Durham jimbo la North Carolina ambao kwa wengi waliohudhuria, wameonyeshwa kuridhishwa nao

Mwenzangu Mubelwa Bandio, anayo taarifa kamili.


Hii ni sehemu ya ripoti za Kwanza Production kwenye kipindi cha DAKIKA 90 ZA DUNIA kinachosikika katika kituo cha redio Capital FM cha Dar es Salaam Tanzania kila Jumamosi kuanzia saa moja na nusu asubuhi (7:30 AM).

Hii ilikuwa ripoti ya Oktoba 11, 2014.

6 Reasons why Tanzania's DSE is Africa's best-performing market 2014

Tanzania's Dar es Salaam Stock Exchange (DSE) is Africa's best performing stock market this year, rising nearly 31% in US dollar terms. The six reasons for the promising outlook includes:
  1. Tanzania's economy is growing at a blistering pace. 
  2. The discovery of vast offshore natural gas reserves suggests that this rapid economic growth has legs. 
  3. A big population provides an additional tailwind to economic growth.
  4. The central bank has done an admirable job of taming inflation and stabilizing the value of the local currency.
  5. One of Africa's most politically stable countries, Tanzania adopted a multi-party political system in 1992. 
  6. The ruling party has introduced a number of reforms intended to make Tanzania more business-friendly.
Seeking Alpha: 6 Reasons To Be Bullish On Tanzania (AFK) - click to read the details.

2014 Swahili Fashion Week & Awards Countdown: 5-7 DecemberSWAHILI FASHION WEEK & AWARDS 2014

East and Central Africa's Largest Fashion Platform, This year will bring the regions finest 24 designer to showcase over a period of 3 days.

Now in its SEVENTH year, This years event turns to be more promising

Stay tuned for more updates as we countdown to 5th December


Deadline: 21 October. Contact +255785630007 Email: [email protected]


SAVE YOUR DATE: 5-7 December
General: +255717547792
Fashion: +255785630007
Marketing: +255787747918

Follow us @swahilifashion

Radio Times FM yatozwa faini kwa maneno waliyotumia

Kituo cha Redio cha Times FM kimetozwa faini ya kulipa kiasi cha Shilingi milioni moja na kupewa onyo kali kutokana na kukiuka vifungu vya maadili na kanuni za utangazaji, vilivyopo katika leseni ya utangazaji inayotolewa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA).

Akisoma hukumu hiyo jijini Dar es Salaam jana, Mwenyekiti wa Kamati ya Maudhui ya Mamlaka ya TCRA, Margareth Munyagi, alisema ‘Times FM’ imepewa adhabu hiyo baada ya watangazaji wake kwa nyakati tofauti kupitia kipindi chake cha ‘Hatua Tatu’ kinachosikika saa 3 hadi