Eti Serikali imesusia Nyerere Day?

KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, Serikali imesusia maadhimisho ya 15 ya kumbukumbu ya kifo cha Baba wa Taifa, hayati Mwalimu Julius Nyerere.

Hali hiyo imejidhihirisha jana baada ya MTANZANIA kutembelea yaliyokuwa makazi ya Mwalimu Nyerere, Msasani Dar es Salaam na kutokuta chochote kilichokuwa kikifanyika kama sehemu ya maadhimisho hayo.

Licha ya kutokuta dalili yoyote ya maadhimisho hayo, nyumbani hapo kulikuwa na watoto waliokuwa wakifanya usafi.

Waandishi wetu walipotaka kuonana na mjane wa Baba wa Taifa, Mama Maria Nyerere, ili kujua kilichokuwa kikiendelea, mmoja wa walinzi wa makazi hayo alisema hakuwapo wakati huo bali alikuwa amekwenda kanisani kusali.
“Mbona hatukuwa na taarifa za ujio wa mgeni yeyote na wala hakukuwa na taarifa za kufanyika kwa kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere hapa nyumbani?

Majibu ya Shumake kwa maswali ya Chahali et al

Evarist Chahali pamoja na watu wengine, waliandika maswali na kuyawasilisha kwa Robert Shumake kuhusu mradi wa treni ya Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Mwalimu Nyerere (JNIA) jijini Dar es Salaam.

Hii hapa nukuu ya chapisho kutoka kwenye blogu yake kuhusu marejeo ya maswali aliyotuma...Utenzi wa Baraka: Miaka 15 bila Mwalimu imetuzidishia maumivu

Miaka 15 imeongeza maumivu
Wanajifanya kukupongeza kivivu
Laiti wangeweza tungezila mbivu
Miaka 15 bila ya mwalimu imetuzidishia maumivu.

Ni siku kama ya leo kwa mapenzi ya manani
Mwalimu kipenzi chetu ulipoondoka duniani
Sisi tunaokuenzi hatutasahau asilani.
Miaka 15 bila ya mwalimu imetuzidishia maumivu.

Watoto uliowaachia nyumba wamekosa umakini.
Kila wakifanyacho nchini kimetuzidishia umaskini.
Wamekosa usimamizi pamoja na dhamira ya ndani.
Miaka 15 bila ya mwalimu imetuzidishia maumivu.

Aogeshwa kwenye dimbwi la maji machafu kwa kuvaa sare za JWTZ


Pichani ni raia anaonekana akitekeleza adhabu ya kuogelea kwenye dimbwi la maji machafu huko Kariakoo jijini Dar es Salaam kwa amri ya mwanajeshi baada ya kukutwa amevaa sare ya Jeshi la Tanzania.

Blogu zilimopatikana picha na maelezo yake zimeandika kuwa mtu huyo alipokamatwa na kushindwa kutoa maelezo ya kuridhisha, aliamriwa kuvua mavazi hayo na kkuanza kutumikia mazoezi ya hatari.

"Haya mavazi raia wanayapenda ila kwenda kutumikia jeshi hawataki.... jamaa alichokipata hawezi kutamani nguo za rangi ya kombat maisha yake yote," umemaliza ujumbe kwenye blogu hiyo.

Nchini Tanzania, ni marufuku kuvaa sare ya Jeshi ikiwa si mwanajeshi halali.

Man from Tanzania prompts Ebola scare when was about to be arrested

On Saturday, a man who was about to be arrested on an outstanding warrant claimed he was feeling very ill after arriving on a flight at JFK, the New York Post reported.

The man had flown from his native Tanzania to Abu Dhabi, United Arab Emirates, and then on to New York, the newspaper reported.

He was put into a hazmat suit as a precaution because of the Ebola scare and was taken to Jamaica Hospital Medical Center for tests.

CBS - Officials: Airsick Passenger On Flight From JFK Prompts Ebola Scare At LAX

Nguvu ya Kodi kwa Vijana

Moja ya mabango mbalimbali yaenye ujumbe katika maadhimisho ya kumbukumbu ya kuadhimisha miaka kumi na tano (15) tangu hayati Baba wa taifa Mwalimu Julius K Nyerere afariki dunia
Timu ya washindi wa mchezo wa mpira wa pete katika bonanza hilo katika shule ya sekondari wakiwa katika picha ya pamoja

Magavilla: Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere

John: Ubunifu kidogo tu ulivyogeuza muelekeo wa biashara yangu

John

Wiki chache zilizopita tuliweka makala ya kijana wa kitanzania aliyeanza biashara na mtaji wa milioni nne na baada ya miaka mitatu ana zaidi ya milioni mia moja. Kama hukupata nafasi ya kusoma makala hiyo bonyeza hayo maandishi.

Katika makala ile tulipata kwa ufupi historia ya John Matiku na niliahidi kwamba John ataendelea kutushirikisha mbinu mbalimbali alizotumia kufikia mafanikio haya makubwa. Kwa ahadi hiyo, leo unapata makala moja wapo na nyingine zitaendelea kukujia hapa hapa AMKA MTANZANIA hivyo endelea kutembelea kila siku.

Leo John anatushirikisha jinsi ubunifu kidogo ulivyobadili mwelekeo wa biashara yake.

Ndiyo nathubutu kusema ni ubunifu kidogo kwa kuwa nilichokibuni kipo! Kama nilivyoeleza kwenye makala yangu ya kwanza, kuwa mwanzo biashara ilikuwa

What I do when I fail - Leo

(image: veronamoodley.blogspot.com)

I fail at things much more than you might imagine, given that I’ve written books on forming habits and being content with yourself and being a minimalist and more.

I fail at all of that stuff, and it feels just as horrible for me as it does for anyone else.

I get down on myself, feel guilty, try to avoid thinking about it, would rather hide it from everyone else.

Failing at things can really suck.

And yet, I get back up and try again.

I fail at eating healthy on a regular basis, but I keep trying again. I’m pretty good these days at sticking to an exercise plan, but I failed and tried again, regularly, for years and years.

I’ve made several attempts at writing the book I’m writing now, and

Linanikera hili bango...