Job opportunity: IT Director at Tumaini University, Makumira

Tumaini University Makumira has received a grant from the European Union for the project “Traditional Music and Dance Preservation and Promotion in Northern Tanzania” and now invites applications for the following position:

IT Director (15 hrs/week) for the new Cultural Arts Centre (CAC).

IT Director Requirements:

1. Open to Tanzanians only. Excellent knowledge of English and Kiswahili and strong communication skills are required.

2. Bachelor’s Degree or higher is required.

The monster phone, 6" Google's Nexus 6 Superphone is hereRunning Android 5.0 Lollipop, the pixel-rich, 6" Quad HD display screen, Nexus 6 is a Snapdragon 805 quad-core 2.7GHz processor and Adreno 420 GPU with dual front-facing speakers. It also has an f2.0 lens and 13 megapixel camera with optical image stabilization. Using advanced computational photography technology and HDR+, the pre-installed Google Camera does the heavy lifting so you can effortlessly take great photos.

It also comes with a Turbo Charger, so you can get up to six hours of use with only 15 minutes of charge. With a large 3220 mAh battery, you get over 24 hours of use from a full charge.

In the USA Nexus 6 will be available for pre-order in late October and in stores in November—with options for an unlocked version through Play store, or a monthly contract or installment plan through carriers, including AT&T, Sprint, T-Mobile, U.S. Cellular, and Verizon. Specific carrier rollout timing will vary. Check out google.com/nexus for more details on availability.

Vodacom yaingia ubia na taasisi za Kimataifa kusaidia wakulima nchiniTaasisi ya Connected Farmer Alliance (CFA) ya ubia kati ya watu binafsi na makampuni inayohusisha Vodafone, Shirika la Maendeleo la Marekani (USAID) na Shirika lisilo la kibiashara la TechnoServe leo yamesainiana makubaliano ya kwanza ya kutumia teknolojia ya mawasiliano ya simu kuongeza uzalishaji kwa maelfu ya wakulima wadogo wa vipato vya chini nchini Tanzania.

Free consultation! The Medical Service & Health Education Camp


Fear for Ebola causes USA College to reject Nigerian applicants

A small, two-year college in Texas sent at least two Nigerian students rejection letters saying they were not "accepting international students from countries with confirmed Ebola cases."

The story came to light when Idris Ayodeji Bello, a Nigerian activist and entrepreneur, tweeted a copy (copied above) of a letter apparently sent by Navarro College to one of his friend.

Bloomberg, who spoke to Bello, reports:
"Issuing a blanket ban on foreign applicants from countries with confirmed Ebola cases is akin to 'racism against Nigerians and discriminating against individuals based

Jeshi la Polisi lazungumzia taarifa za utekaji nyara watoto

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limekanusha vikali uvumi unaoendelea kuzushwa jijini Dar es Salaam kuhusu utekeaji nyara wa watoto wadogo wanaosoma shule za jiji hilo na kuwataka wananchi kuupuuza.

Akizungmza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Kamishna wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova, alisema kuwa mpaka sasa jeshi hilo halina taarifa yoyote ya mtoto kutekwa au kufanyiwa madhara yoyote kwa mtindo wa utekaji nyara.

“Jeshi la Polisi limegundua kwamba huu ni uvumi ambao haujulikani chanzo chake hivyo wananchi wanaombwa kuachana nao na kuupuza kwani unaleta hofu katika jamii bila sababu za msingi” alisema Kova.

Alisema kuwa pia uvumi huo umeanza kuleta usumbufu ambapo mnamo Oktoba 3 mwaka huu saa 3:00 asubuhi huko Vingunguti, mtu mmoja aitwaye

Zanzibar yaadhimisha miaka 50 ya Elimu Bure

Kikundi cha wenye ulemavu wa viungo mbalimbali vya mwili kikiwa na mabango yenye ujumbe wakati walipojumuika katika maadhimisho ya miaka 50 ya kupata elimu bure Zanzibar

Aliyemwua Afisa Usalama wa Taifa naye auawa

Kamishna wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova, amethibitisha kuwa Jeshi lake limefanikiwa kumkamata jambazi sugu aitwaye Paulo Thamas Milanzi maarufu Chinga (35), Mmakonde mkazi wa Chanika.

Amesema baada ya majibizano ya risasi jambazi hilo lilijeruhiwa na kufikishwa hospitali ya Muhimbili kwa matibabu lakini baadaye alifariki dunia.

Alisema jambazi huyo lilikuwa akitafutwa na polisi kutokana kuhusika kwenye matukio ya mauaji na wizi ikiwemo tukio la kuuawa kwa Afisa Mwandamizi wa Usalama wa Taifa, Sylivabus Adrian Mzeru Aprili 29, 2014 liliotokea Uwanja wa Ndege.

Aliongeza kuwa Chinga alikamatwa na bastola aina ya Star.'

Majambazi wenzake walikamatwa na kwa sasa wako gerezani wakisubiri taratibu za kisheria kuchukua mkondo wake.

Mkakamavu Rais Mstaafu Ali Mwinyi aongoza Dar Rotary Marathon

Mstaafu Rais Ali Hassan Mwinyi (amezaliwa Mei 8, 1925) akiongoza matembezi ya kilometa 5 ya hisani ya 2014 Dar Rotary Marathon ambapo waandaaji, Klabu ya Rotary walifanikiwa kukusanya takribani shilingi milioni 500 na ahadi ya shilingi milioni 300/- kwa ajili ya hatua ya pili ya jengo la kisasa la ujasiriamali na kituo cha taarifa-mali katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kitakachogharimu shilingi milioni 400/-. Pichani Rais Mwinyi anaongozana na Kamanda wa Kikosi cha Polisi, Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova (kushoto kwake) na Meya wa Manispaa ya Kindoni, Yusuph Mwenda.

(picha: Robert Okanda/THE DAILY NEWS)

Eh! Mwanamke amlazimishia mwanaume ngono hadi kumtoa ulimi

Taarifa ya Joseph Ngilisho kutoka Arusha

Kijana mmoja mkazi wa Kimandolu jijini Arusha, Paulo Simon (18) amelazwa hospitali ya mkoa Mount Meru, baada ya kubakwa na kisha kukatwa ulimi na mwanamke mmoja aliyekuwa akimtaka kimapenzi.

Tukio hilo la kusikitisha limetokea usiku wa kuamkia Jumanne majira ya saa 6.30 katika eneo la Tindigani, Kimandolu, wakati mwanamke huyo aliyetambulika kwa jina moja la mama Abuu alipofika katika baa hiyo kama mteja na baadae kumlazimisha mhudumu wa baa hiyo kufanya mapenzi bila ridhaa yake.

Simoni ambaye ni mfanyakazi katika baa hiyo, inayomilikiwa na Mwenyekiti wa Mtaa, Joel Mbasha, alisema mnamo majira usiku alikuja mwanamke huyo na kuagiza kinywaji na kumuhudumia.

Alisema ilipotimu majira ya saa 6.30 wateja waliisha na kuamua kufunga baa, hata hivyo mwanamke huyo alieendelea kunywa pombe taratibu katika eneo la kaunta.

[text] Nyerere Day 2015: Hotuba aliyoitoa Rais Kikwete mjni Tabora

Rais Kikwete akitoa hotuba yake wakati wa kilele cha mbio za mwenge 2014 ziilizofanyika katika uwanja wa michezo wa Ali Hassan Mwinyi mjini Tabora

Mheshimiwa Dkt. Fenella Mukangara (MB), Waziri wa Habari,  Vijana, Michezo, Utamaduni na Michezo;
Mheshimiwa Zainabu Omar Mohamedi, Waziri wa Uwezeshaji,  Ustawi wa Jamii, Vijana Wanawake na Watoto – Zanzibar;
Mheshimiwa Fatuma A. Mwasa, Mkuu wa Mkoa wa Tabora;
Mheshimiwa Samwel Sitta, Waziri wa Afrika Mashariki, Spika Mstaafu na Aliyekuwa Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba;
Waheshimiwa Mawaziri na Naibu Mawaziri;
Waheshimiwa Wabunge na Wajumbe wa  Baraza la Wawakilishi;
Ndugu  Mwenyekiti  wa CCM Mkoa wa Tabora;
Waheshimiwa Wakuu wa Mikoa kutoka Tanzania Bara na Zanzibar;
Makatibu Wakuu kutoka Wizara Mbalimbli Tanzania Bara na Zanzibar;
Waheshimiwa Mabalozi na Wawakilishi wa Mashirika ya Kimataifa;
Waheshimiwa viongozi wa vyama mbalimbali vya Siasa;
Viongozi wetu wa Kiroho kutoka katika Madhebu mbalimbali;
Vijana Wetu;
Ndugu Wananchi;
Mabibi na Mabwana;
Nawashukuru Mawaziri wetu Mheshimiwa Fenella Mukangara wa Serikali ya Muungano na Mheshimiwa Zainabu Omari Mohamed wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa kunialika kuja kushiriki katika sherehe za mwaka huu za kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru.  Napenda pia kutumia nafasi hii kumpongeza na kumshukuru Mkuu wa Mkoa wa Tabora na viongozi wenzake na wananchi wote wa Tabora kwa kukubali kuwa mwenyeji wa sherehe hizi na kwa maandalizi mazuri.  Hakika sherehe zimefana sana.  Tunawashukuru kwa mapokezi mazuri na kwa ukarimu wenu.

Tanzania kusuluhisha mgogoro Sudan Kusini

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS

Telephone: 255-22-2114512, 2116898
Website : www.ikulu.go.tz              

Fax: 255-22-2113425


PRESIDENT’S OFFICE,
      STATE HOUSE,
              1 BARACK OBAMA ROAD,  
11400 DAR ES SALAAM.
Tanzania.
 


TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI


 • Ni kweli ngazi ya vyama tawala na mikutano ya upatanishi kufanyika Arusha.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ametangaza kuwa Tanzania imekubali kuwa msuluhishi wa mgogoro wa kisiasa ndani ya chama tawala cha Sudan Kusini cha Sudanese People’s Liberation  Movement (SPLM), mgogoro ambao umesababisha kuzuka kwa vita ya wenyewe kwa wenyewe nchini humo.

Hata hivyo, Rais Kikwete amesema kuwa usuluhishi huo utakuwa wa kichama na Chama cha Mapinduzi (CCM) ndicho kitaongoza usuluhishi huo katika mazungumzo yatakayofanyika Arusha na kuwa jitihada hizo za Tanzania hazitaingilia mazungumzo ya kujaribu kusimamisha mapigano nchini humo yanayoendelea huko Addis Ababa, Ethiopia.

Prof. Jay ndani ya Kikao cha Kamati Kuu CHADEMA kilichokutana na wenye nia ya kugombea Ubunge 2015
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, Freeman Mbowe akiingia katika ukumbi wa mkutano wakati wa Kikao cha Kamati Kuu ya Chama hicho kilipokutana na Wanachama waliotia nia ya kugombea Ubunge katika Uchaguzi Mkuu 2015.

Picha hii na zote zinazofuata hapo chini ni kutoka kwenye blogu ya Habari Mseto.

Vita ya Tanzania na Uganda

10 points on How to write a passing paper

(image: yourenglishlessons.wordpress.com - How to Write a Discursive Essay)

 1. Do what the professor wants. Is there leeway when it's a question/answer type thing? Probably. Is there leeway when the professor says that you have to go somewhere or use a specific source? Not really. 
 2. A thesis/central idea is not optional. Your essay has to be about something. 
 3. Some of the ideas in the essay have to be your own. It can't all be summation.
 4. Organization is very important. Your paper has to explore/prove your central idea, and to do that, it can't be all over the place. Think of a debate if you must, just keep things tight.
 5. Sentence structure is another big one, run ons are evil because you're trying to cram so many things into one sentence that you lose track of what the sentence is really about, see not a very nice sentence to read. Keep things short and clean. 
 6. Intros have to be in proportion to the rest of the essay. You can't have a three page intro for a five page essay. Same with conclusions, this just tends to be more of an issue with intros.
 7. Only put in info that's relevant. If Newton's not important, don't throw in a life history of Newton. Only sum up what's relevant. If chapter 6 isn't important to your main point, don't sum it up.
 8. Know the text/info. Do not use the wrong theory, date, event, etc. It looks sloppy. 
 9. Tell the reader where you're getting things from. This means cite, explain, develop. It's an academic essay, so I need to know where you're pulling things from.
 10. To get above a C, pay attention to the rest. Diction and SPaG start becoming important, as does the quality of your ideas, the level at which you support it at, etc.

Hatimaye Kiongozi kijana wa Korea Kaskazini aonekana na mkongojo

Picha iliyowekwa hadharani juzi Jumatatu na gazeti la Rodong Sinmun, linalomilikiwa na gazeti la chama tawala cha Korea Kaskazini kinamwonesha kiongozi wa nchi hyo, Kim Jong-un akitembea kwa msaada wa mkongojo, alipozuru maeneo ya makazi ya watu katika mji wa Pyongyang.

Kwa siku za hivi karibuni, vyombo vya habari vya Kimataifa vimekuwa vikidodosa kuhusu hali ya afya ya kiongozi huyo kijana baada ya kutokuonekana hadharani kwa takribani mwezi mmoja.

Hivi karibuni, kiongozi mmoja wa nchi hiyo anaripotiwa kuadhibiwa baada ya kutamka kuwa 'afya ya Kim si ya kutilia shaka.' (picha: Rodong Sinmun/EPA /LANDOV)
A man watches a TV news program showing North Korean leader Kim Jong Un using a cane during his first public appearance, at the Seoul Railway Station in Seoul, South Korea, Tuesday, Oct. 14, 2014. North Korean Leader Kim Jong Un has made his first public appearance in five weeks, state media reported Tuesday, ending an absence that drove a frenzy of global speculation that something was amiss with the country's most powerful person. (AP Photo/Lee Jin-man)

Wananchi wampeleka askari wa barabarani kituoni kwa kusababisha ajali

Askari akiongozwa na wananchi waliomlazimisha kuingia kwenye usafiri wa Bajaj tayari kuelekea katika kituo cha polisi baada ya kutuhumiwa kusababisha ajali ya magari kwa kuruhusu magari kutoka pande mbili kupita kwa wakati mmoja.

Tennis events in Tanzania for 16 & Under and Wheelchair


The difference between direct & nonstop and connecting flights


Think that “direct” and “nonstop” are interchangeable terms? Nope. They are not.

If you are wondering which type of flight is best for you, consider these definitions:

Nonstop:

A nonstop flight is just what is says: a single flight between two airports with no stops. Business travelers prefer nonstop flights because they are the fastest. Unfortunately they are usually the most expensive.

Direct:

While a direct flight might sound like a nonstop flight, it’s not. A direct flight makes at least one intermediate stop along the way to its final destination, but has only one flight number.

Connecting:
A connecting flight will take at least two different planes with two different flight numbers to reach your final destination.