Peroni Medi Nights


Ebola fight: East Africa's sending 600 health workers to West Africa

.

East African nations are sending over 600 health workers including 41 doctors to west Africa to combat the spread of Ebola, the regional five-nation bloc said in a statement Friday.

The decision was made after health ministers met this week, where they raised their concern at the “rapid increase in the number of cases and deaths” from Ebola, the East African Community said in a statement.

As of Sunday, 4,493 people had died out of a total of 8,997 cases in the outbreak, according to the World Health Organization, which has warned that the infection rate could reach 10,000 a week by early December.

The 619 doctors and health workers will be sent from Burundi, Kenya, Rwanda, Tanzania and Uganda.

Kenya is sending 15 doctors while Uganda will send 14, as well as

Tanzania extends audit into graft claims in energy sector

Tanzania's public audit office is extending its investigation into corruption in the energy industry, a move likely to further delay financial aid to the east African nation.

A group of 12 international donors has withheld aid payments until the investigation's findings are released and appropriate action taken by the government.

The move followed allegations by the opposition that senior government officials fraudulently authorised payment of at least $122 million of public funds. They said the money came from an escrow account held jointly by state power company TANESCO and independent power producer IPTL and went to IPTL's owner, Pan Africa Power (PAP) in 2013.

CNN MultiChoice African Journalist Award to be held at Mlimani City

The 2014 edition of the CNN MultiChoice African Journalist Awards will take place on Saturday, October 18, 2014 at the Mlimani Convention Centre in Dar es Salaam, Tanzania.

The Managing Director, MultiChoice Nigeria, Mr. John Ugbe, stated this in a statement on Thursday.

Ugbe said the competition, which received entries from 48 countries, including French and Portuguese-speaking countries on the continent, had 28 finalists from 10 countries.

According to Ugbe, the CNN MultiChoice African Journalist Awards represent the premier accolade for excellence in journalism on the continent.

“The awards have become the standard for excellence in journalism on the African continent and it is the reason for which journalists and media houses on the continent want to be associated with,” he said.

Dk Slaa: CHADEMA imebaini mkakati wa CCM wa kununua helikopta kwa fedha za Wananchi

CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimebaini njama ya serikali za kutaka kununua helikopta (chopa) tatu nchini China kwa ajili ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), huku wakidai kuwa ni mali ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ).

Hayo yamebainishwa jana na Katibu Mkuu wa CHADEMA Dk. Willibrod Slaa wakati akitoa maazimio ya Kamati Kuu ya chama hicho kuhusu mchakato wa Katiba na hatua ya kuipigia kura maoni Katiba inayopendekezwa.

Katika mkutano huo, Dk. Slaa alisema ana taarifa za uhakika kwamba mchakato wa ununuzi wa chopa hizo tatu, utakamilishwa wakati wa ziara ya Rais Kikwete anayetarajia kuzuru nchi hiyo hivi karibuni.

Katibu Mkuu huyo alisema taarifa alizonazo ni kwamba chopa hizo

Slaa - Kipofu kaona mwezi!

Siku zote tunajua kuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, Bwana Wilbrod Slaa ni mtu mwongo, mnafiki na mzandiki, lakini sasa amekuwa kipofu aliyeona mwezi.

Akizungumza na waandishi wa habari jana, Alhamisi, alidai kuwa amefanikiwa kunasa ratiba ya Mhe. Rais Jakaya Kikwete kwenye safari yake ya China na kubwata mambo mengi kuhusu ratiba hiyo.

Tatizo langu mimi ni uongo wa Bwana Slaa kuwa ametumia mbinu zake kunasa ratiba hiyo. Kwa nini nasema kuwa kauli hiyo ya Slaa ni uongo na kuwarubuni wananchi.

Blog mpya ya Kiswahili yazungumzia Sayansi, Saikolojia


Unakaribishwa kwenye blogu mpya (monstergala.blogspot.com) inayojihusisha na mambo ya sayansi, saikolojia na elimu ya mambo tofauti kwa lugha ya Kiswahili.

Kwa wale wanaopenda mambo yanayohusiana na sayansi, fikra na maswali mazito yanayotuzunguka, wanaweza kutembelea blogu hii www.monstergala.blogspot.com kusoma, kujadili au kuuliza maswali.

Job opportunity at Geita Gold Mine: SML Management Senior Officer

VACANCY ADVERTISEMENT

Geita Gold Mine (GGM) is situated in the Lake Victoria Gold fields of North Western Tanzania. It is located 5 km’s west of Geita town, about 85 km’s from Mwanza City and 20 km’s South East of the nearest point of Lake Victoria. The Mine is owned and managed by Anglo Gold Ashanti Limited.

Applications are invited from ambitious, energetic and performance driven individuals to fill a vacant position mentioned below:

ROLE TITLE:                SML Management Senior Officer

WORKS FOR:               ASM & SML Management Superintendent

QUALIFICATION:          A degree or tertiary diploma in Programs Management, Community Development, Land Management, Survey, Sociology, Law, or other relevant field.

Job opportunity at Geita Gold Mine: SML Management Officer

VACANCY ADVERTISEMENT

Geita Gold Mine (GGM) is situated in the Lake Victoria Gold fields of North Western Tanzania. It is located 5 km’s west of Geita town, about 85 km’s from Mwanza City and 20 km’s South East of the nearest point of Lake Victoria. The Mine is owned and managed by Anglo Gold Ashanti Limited.

Applications are invited from ambitious, energetic and performance driven individuals to fill a vacant position mentioned below:

ROLE TITLE:                SML Management Officer

WORKS FOR:               SML Management Senior Officer

QUALIFICATION:          A Certificate or Diploma in Mining, Land Management, Survey, Geology, Programs/Projects Management, Community development, Social Sciences or other relevant field.

EXPERIENCE:              1 year experience in the relevant field.

Job opportunity at Geita Gold Mine: Ore Control Technicians

VACANCY ADVERTISEMENT

Geita Gold Mine (GGM) is situated in the Lake Victoria Gold fields of North Western Tanzania. It is located 5 km’s west of Geita town, about 85 km’s from Mwanza City and 20 km’s South East of the nearest point of Lake Victoria. The Mine is owned and managed by Anglo Gold Ashanti Limited.

Applications are invited from ambitious, energetic and performance driven individuals to fill a vacant position mentioned below:

ROLE TITLE:                Ore Control Technician x2

WORKS FOR:               Mine Geology Supervisor

QUALIFICATION:         Minimum Form 4 and above with geology Technician Diploma level from a recognized Institution

EXPERIENCE:              At least 2 to 3 years practical experience in mine geology and open surface mining.

Job opportunity at Geita Gold Mine: Community Liaison Officers

VACANCY ADVERTISEMENT

Geita Gold Mine (GGM) is situated in the Lake Victoria Gold fields of North Western Tanzania. It is located 5 kms West of Geita town, about 85 kms from Mwanza City and 20 kms South East of the nearest point of Lake Victoria. The Mine is owned and managed by Anglo Gold Ashanti Limited.

Applications are invited from ambitious, energetic and performance driven individuals to fill a vacant position mentioned below:

ROLE TITLE:                Community Liaison Officers x 2

WORKS FOR:               Community Engagement Senior Officer

QUALIFICATION:          A degree or equivalent in Sociology, Community development, Political Science or any other field of the Social Sciences.

EXPERIENCE:              A minimum of 2 years’ practical experience in areas of Community Relations,

Job opportunity at Geita Gold Mine: ASM and SML Management Superintendent

VACANCY ADVERTISEMENT

Geita Gold Mine (GGM) is situated in the Lake Victoria Gold fields of North Western Tanzania. It is located 5 km’s west of Geita town, about 85 km’s from Mwanza City and 20 km’s South East of the nearest point of Lake Victoria. The Mine is owned and managed by Anglo Gold Ashanti Limited.

Applications are invited from ambitious, energetic and performance driven individuals to fill a vacant position mentioned below:

ROLE TITLE:                ASM AND SML Management Superintendent

WORKS FOR:               Manager: Community Affairs

QUALIFICATION:          Undergraduate degree in Land Management, Forestry, Agriculture, Environmental Studies, Community Development, Mining, Civil Engineering, Architecture or Law

Taarifa ya JWTZ kuhusu habari ya Wanajeshi kupora Wavuvi

JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIA

KURUGENZI YA HABARI NA UHUSIANO

Simu ya Upepo: "NGOME"
Simu ya Mdomo: DSM 22150463
Telex: 41051
Tele Fax: 2153426
Barua pepe: [email protected]
Tovuti: www.tpdf.mil.tz

Makao Makuu ya Jeshi,
Sanduku la Posta 9203
DAR ES SALAAM,

16 Oktoba, 2014

Taarifa kwa Vyombo vya Habari

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) linasikitika kuona taarifa katika baadhi ya Vyombo vya Habari hasa baadhi ya magazeti ya Oktoba 15, 2014 kuhusu Wananjeshi kutumiwa kupora wavuvi. Taarifa hiyo katika vyombo hivyo imesema Askari wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Mkoa wa Mara wameingia lawamani baada ya kutuhumiwa kupora wavuti zana za uvuvi.

Viwango vya kubadilishia fedha za kigeni leo Oktoba 17


Nyerere defies Gaddafi’s 24-hour threat

Julius Kambarage Nyerere
Julius Kambarage Nyerere

As the war continued with Tanzania troops heavily bombing Amin’s forces, Julius Kambarage Nyerere received an explicit threat from Colonel Muammar Gaddafi, which shocked him.

The 24-hour threat was delivered in Dar es Salaam by Libya’s ambassador to Tanzania.

In a note delivered to Nyerere by the Libyan ambassador to Tanzania, Gaddafi demanded that Tanzanian troops be out of Uganda within 24 hours. If this was not done, Gaddafi said, Libya would enter the war on the side of Uganda.

Rais Kikwete apongeza kijiji cha vijana "Pathfinde​r Green City" Tabora

Mwl. Nyerere alivyomwambia Ahmed Rajab: “Ulikuwa muongo tu”

Mwalimu Julius Kambarage Nyerere
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

KIZA kilikuwa kimekwishaanza kutanda nilipoikaribia hoteli ya St. Ermins jijini London. Hoteli hiyo ni ya nyota 4 lakini ina haiba ya aina yake na ipo mahala ndipo — karibu na Kasri ya Buckingham ya Malkia wa Uingereza, Kasri ya Westminster mulimo Bunge la Uingereza na ile saa yenye kengele maarufu iitwayo kwa utani Big Ben na karibu sana na kanisa la Westminster Cathedral.

Majira ya kiangazi yalikuwa yamekwishaingia kwa hivyo hali ya hewa ilikuwa ya huruma siku hiyo ya mwanzoni mwa Juni 1997. Hakukuwa na baridi, hakukuwa na mvua.

Nilikuwa nimekazana nikikimbilia hoteli ya St. Ermins ambako Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alikuwa mgeni wa heshima wa jumuiya moja iliyokuwa ikijishughulisha na mahusiano kati ya Muungano wa Ulaya na Bara la Afrika.