Wananchi wagombea msufi uliong'oka miaka 3 na kusimama tena

10447627_721894961214173_1875934379784445685_n
Wananchi wakiustaajabia mti

Wananchi wa kijiji cha Mfuto katika Kata ya Ufulumo huko Wilayani Uyui, Tabora wamepatwa na mshituko na kuingiwa na hofu baada ya mti aina ya msufi, uliong'oka na kuanguka miaka mitatu iliyopita, kuinuka na kusimama wima kama zamani.

Mti huo wenye kipeo cha futi mbili inaelezwa kuwa ulianguka kwa upepo mkali na kuungua kwa moto wakati wa kuandaa mashamba. Mtangazaji wa TBC anasema kuwa mti huo ambao ulikuwa umeshambuliwa na mchwa, hivi majuzi ulionekana ukinyanyuka taratibu kana kwamba walikuwepo watu wanaunyanyua hadi uliposimama kama awali.

Mara baada ya kuenea kwa taarifa za kuinuka kwa mti huo, wananchi wengi walifika kwenye eneo husika na kuanza kugombea vipande vya mti huo, ambapo kila mtu alitaka kupata walao gome au sehemu yoyote ya mti huo ama hata udongo palipokuwa pamelala mti huo.

Afisa Mtendaji wa Kijii hicho, amesema kuwa Serikali ya Kijiji inaendelea kuwasiliana na Wazee wa kimila ili kupata maoni yao juu ya tukio hilo.  • Taarifa hii ni kwa mujibu wa TBC

Judge rules: Iran and Sudan must pay $622 million to victims of US embassies bombing in Kenya, Tanzania

(CN) - The Republics of Iran and Sudan must pay $622 million in damages to victims of the August 1998 embassy bombings that killed hundreds of people, a federal judge ruled.

The suicide truck bombings took place simultaneously at the American embassies in Nairobi, Kenya and Dar es Salaam, Tanzania.

In addition to the 224 people who died, the attacks reportedly injured thousands of others.

In 2011, a federal court found the Republic of Sudan and the Islamic Republic of Iran liable for what it described as these "unconscionable acts."

In determining the damages, the court adopted the findings of special master Paul G. Griffin, who awarded $622 million to 12 of the 71 plaintiffs in the case.

Spika Makinda, Mbowe, Lukuvi wawasili Oman

Mhe Spika akiwa na wenyeji wake pamoja na sehemu ya ujumbe wake. Wa kwanza kulia ni Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Mhe Freeman Mbowe na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera Uratibu na Bunge), Mhe William Lukuvi. Wa kwanza kushoto ni Mhe Ally Saleh, Balozi wa Tanzania nchini Oman. Mhe Spika yuko katika ziara rasmi ya kibunge ya siku sita.

Taarifa ya maazimio ya KK ya CHADEMA kuhusu Katiba na Kura ya Maoni

MAAZIMIO YA KAMATI KUU YA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO KUHUSU MCHAKATO WA KATIBA NA KURA YA MAONI KUHUSU KATIBA INAYOPENDEKEZWA
Dar es Salaam, Oktoba 16, 2014

UTANGULIZI

Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) imekutana katika kikao chake cha kawaida na kujadili, pamoja na mambo mengine, mchakato wa Katiba Mpya. Kamati Kuu imepata taarifa ya kina juu ya mchakato ulivyoendeshwa katika hatua mbali mbali wakati wa kutungwa kwa Sheria ya Mabadiliko ya Katiba na marekebisho yake na, baadaye, Sheria ya Kura ya Maoni.

Aidha, Kamati Kuu imepata taarifa ya mchakato ulivyokuwa katika hatua ya kuundwa kwa Tume ya Mabadiliko, kukusanya maoni ya wananchi na kuandaliwa kwa Rasimu ya Kwanza na ya Pili ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Tizama Fiesta 2014 LIVE online


Itaoneshwa kupitia link ya tanzaniabox.com...fiesta-live

Davido katika 'press conference' asisitiza atatumbiza na T.I kwenye Fiesta 2014

Msanii kutoka nchini Nigeria Davido akiongelea jinsi atakavyowaburudisha Watanzania leo katika jukwaa la Serengeti Fiesta muda mchache ujao katika viwanja vya Leaders.

Mwanamuziki kutoka nchini Marekani ajulikanaye kwa jina la kisanii T.I akizungumza na Waandishi wa Habari jioni ya leo kwenye moja ya ukumbi wa Sea Cliff hotel jijini Dar kuhusiana na onesho lake la kwanza atakalotumbuiza katika viwanja vya Leaders Club, jijini Dar katika tamasha la Fiesta 2014, ambalo hufanyika kila mwaka mara moja, chini ya waandaji bingwa wa burudani hapa nchini kampuni ya Prime Time Promotions Ltd sambamba na Clouds Media Group.

Simba, Yanga zatoshana nguvu

Beki wa Yanga, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ (kulia), akipambana na mshambuliji wa Simba, Elius Maguri (katikati) huku Kelvin Yondani wa Yanga akiwa tayari kutoa msaada wakati wa mchezo namba 27 wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Timu hizo zilitoka sare ya bila kufungana.
Beki wa Yanga, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ (kulia), akipambana na mshambuliji wa Simba, Elius Maguri (katikati) huku Kelvin Yondani wa Yanga akiwa tayari kutoa msaada wakati wa mchezo namba 27 wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Timu hizo zilitoka sare ya bila kufungana.

Picha zote: Francis Dande

Deutsche Welle: Donors freeze aid to Tanzania over fraud

Foreign donors are withholding aid to Tanzania following an alleged corruption case in which officials are accused of transferring $124 million (97 million euro) from the central bank to a private energy company.

Tanzania is likely to face an uphill struggle to implement its key development projects following a decision by foreign donors to withhold their aid funds. The decision came in the wake of an investigation into allegatons of corruption in the energy sector.

The donors, who had promised to inject $558 million (437 million euro) into Tanzania's 2014/15 budget, have so far only released 110 billion Tanzanian shilling ($65 million or 51 million euro). They insist that they will only release the rest of the budget after having seen a credible outcome of the investigations into the alleged graft.

Barua ya BASATA kuhusu kibali cha TI na Davido kwenye Fiesta 2014

Nakala iliyopachikwa hapo chini inaonesha barua yenye majibu ya Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) kwa Prime TIme Promotions kuhusu maombi ya kibali cha kumwingiza msanii Clifford Harris (TI) na David Adedeji Adeleke (Davido) nchini kwa ajili ya tamasha la Fiesta 2014 lililopangwa kufanyika katika viwanja vya Leaders Club tarehe 18 Oktoba, 2014.

(via ukurasa wa Vinega, Facebook)

Following donors fund withhold, Tanzania to borrow more to fund budget

Tanzania may borrow more to help finance its budget this year after foreign donors said they will withhold funding because of a corruption scandal, Finance Ministry Permanent Secretary Servacius Likwelile said.

The U.K., Japan, Germany and other development partners including the World Bank announced last week they will keep back about four-fifths of the $558 million pledged for the country’s 2014-15 budget. Foreign loans and grants account for about 15 percent of Tanzania’s budget, and the withheld funds may derail major spending plans in an election year, said Ahmed Salim, senior analyst at Teneo Intelligence in Dubai.

“I cannot discuss more details of the alternative financing plans, but we have borrowing arrangements with the central bank,” Likwelile said in a phone interview on Oct. 15 from the commercial capital, Dar es Salaam. “We can do more borrowing both internally and commercially.”

Worcester News cite satire website that Tanzania has Ebola

Worcester News, in the article by Gary Bills-Geddes that was First published Thursday 16 October 2014 in News and last updated 01:28 Friday 17 October 2014 on your website titled, "Ebola Fears Over School Trip To Tanzania" you mentioned that, "Rogers Kyaruzi, aged 23, of Atlanta is the second person to be diagnosed with Ebola in America. He recently returned from a trip to Tanzania and believes he may have contracted Ebola from a prostitute in Tanzania, with whom he had unprotected sex."

I wish to inform you that you copied information from a satire news site (please click here and read the bottom of the page) and published without knowing that there is no one in, or from Tanzania that has been diagnosed with Ebola. Please do not spread false information that may scare people and create unnecessary fear.

Unfortunately, you also made a blatant geographical mistake when you said, "Sierra Leone is on the east coast of Africa, while Ebola outbreaks have been affecting west African countries such as Sierra Leone - some 3,500 miles away."

Please note that in the map you so provided in the article, clearly shows that Sierra Leone is on the West. Had you done a little search and look in the map you probably would have avoided these obvious silly mistakes.

Lastly, please do read comments and suggestions left by readers on your website and do the needful.

Tanzania signs EAC pact with EU to bail out Kenya

Tanzania last night signed the European Union-East Africa Community trade pact, paving the way for the document to be forwarded to the European market for ratification.

The move gives Kenya exporters hope that they could soon start exporting goods duty free to Europe.

On Tuesday, EAC and the European Union reached a solution on the Economic Partnership Agreements (EPAs), which would allow Kenya and other EAC partners to avoid duty charged on goods exported to EU markets.

But while four EAC countries — Kenya, Uganda, Rwanda and Burundi — had put their initials on the text, Tanzania asked to ‘consult’ first before signing.

The plight of Tanzanian housemaids in Oman

Tanzania’s embassy in Oman has taken steps to address long-standing complaints from domestic workers hailing from Tanzania.

Speaking on condition of anonymity because he was not authorised to speak to media, an official with the embassy told The Citizen on Saturday, that the embassy had decided to take the measure following numerous complaints from Tanzanian domestic workers there.

“We have prepared a standard contract in order to safeguard rights for workers coming to work in Oman, this was due to the fact that majority of those who were brought here were treated contrary to promises they were given before coming here,” he said.

Mafunzo muhimu kutoka Marekani, Israel kuhusu Usalama wa Taifa

NIANZE kwa kuelezea matukio mawili, moja linaihusu Marekani na jingine laihusu Israel.

Tukio la kwanza linahusu kujiuzulu kwa aliyekuwa mkuu wa moja ya idara za usalama za Marekani (zipo nyingi) ambayo ina dhamana ya ulinzi na usalama wa viongozi wakuu wa taifa hilo na familia zao, US Secret Service.

Mkuu huyo, mwanamama Julia Piersons, alilazimika kujiuzulu baada ya tukio la hivi karibuni la kuhatarisha usalama wa Rais Barack Obama, kutokana na mtu mmoja, Omar Gonzalez, kuruka uzio wa Ikulu ya nchi hiyo akiwa na kisu, kabla hajadhibitiwa na maafisa wa Secret Service.

Hatimaye tukio hilo lililotawala sana katika vyombo vya habari vya Marekani lilimfanya mwanamama huyo, shushushu mwenye uzoefu wa zaidi ya miaka 30, kuitwa na kuhojiwa na kamati moja ya Bunge la Congress, na mwishowe alitangaza kujiuzulu.

Davido apigwa marufuku na Mahakama kufanya onesho Fiesta

Video: Mahakama ya Kisutu yamzuia Davido kuperform katika tamasha la Fiesta
Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Kisutu, Dar es Salaam imemzuia msanii kutoka Nigeria, Adedeji Adelek maarufu kama ‘Davido’ kuperform katika tamasha la Fiesta linaloandaliwa na Clouds FM na Prime Promotion, Oktoba 18, 2014.

Amri hiyo imetolewa jana (Oktoba 17) na hakimu mkazi wa mahakama ya kisutu, mheshimiwa D. Kisoka kufuatia maombi ya dharura yaliyowasilishwa mahakamani hapo na Times Fm Radio na Times FM Promotion.

Times Fm Radio na Times Fm Promotion walipeleka maombi ya dharura mahakamani hapo wakiitaka mahakama kumzuia msanii huyo kuperform katika tamasha hilo kwa kuwa licha ya BASATA (Baraza la Sanaa Tanzania) kukataa kutoa kibali cha msanii huyo kwa maelezo kuwa tayari alikuwa ameshachukuliwa kibali cha kuperform nchini Novemba 1 kwenye