Salamu za Rais Kikwete kwa msiba wa Capt. Barongo

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA

DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS

Telephone: 255-22-2114512, 2116898
E-mail:  [email protected]
              [email protected]             

Fax: 255-22-2113425


PRESIDENT’S OFFICE,
      THE STATE HOUSE,
              P.O. BOX 9120,  
DAR ES SALAAM.
Tanzania.
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Rais Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia salamu za rambirambi Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Abdulrahman Kinana, kufuatia kifo cha Capt. Mstaafu John Rwezaura Barongo kilichotokea tarehe 20 Octoba, 2014 katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili alipokuwa akipatiwa matibabu.

“Chama kimempoteza mtumishi wake wa muda mrefu na muaminifu, ambaye amefanya kazi zake bila kuchoka na hata baada ya kustaafu amebakia kuwa muaminifu na mwanachama imara”. Rais amesema na kuongeza kuwa Marehemu amekuwa mtumishi hodari katika Jeshi, Chama na Serikali , hivyo mchango wake utathaminiwa siku zote.

Allan Lucky aibukia kwenye "moja na mbili"


Allan Lucky
Allan Lucky

Aliyekuwa mtangazaji wa kipindi maarufu cha Televisheni kinachohusiana na maisha ya wanafunzi wawapo shuleni, Allan Lucky a.k.a Rais wa Wanafunzi ambaye kwa sasa anafanya shughuli zake nchini Kenya, ameibuka na kipaji kingine, U-Dj.

Rakesh Rajani appointed as Ford Foundation New Director

(image: vimeo.com)


Rakesh Rajani appointed as Ford Foundation New Director of Democratic Participation and Governance


New York — The Ford Foundation today announced the appointment of Rakesh Rajani as director of Democratic Participation and Governance.

Mr. Rajani, a global leader on issues of social justice, has been at the forefront of citizen engagement and government accountability for two decades. He will relocate to New York from Dar es Salaam, Tanzania, where he currently serves as the head of Twaweza ("We Can Make It Happen"), the organization he founded to promote basic learning, advance access to information and enhance government responsiveness.

Prior to this position, Mr. Rajani served as the lead civil society chair for the Open Government Partnership, a novel initiative to promote government transparency and accountability. In three years, 65 countries have joined the Partnership and made over 2,000 commitments, the progress of which is assessed by an independent mechanism and the citizens they serve.

IMF warns Africa's Eurobond borrowing spree

Dar es Salaam - The International Monetary Fund (IMF) has warned African countries against rushing to issue Eurobonds, saying they may face exchange rate risks and problems repaying debts.

African governments facing falling levels of foreign aid are on a borrowing spree to pay for new roads, power stations and other infrastructure, prompting concern from many analysts that this could raise debt levels and undermine growth.

“It comes with some risks,” the director of the IMF's African Department, Antoinette Sayeh, told Reuters in an interview on Monday.

Toyota Kluger inauzwaModel ya mwaka 2002 Toyota Kluger

Uwezo wa injini ni cc 2360

Imeshatembea kilemeta 170,000

Bei ni shilingi milioni 17 (maelewano yapo)

Wasiliana kwa namba 0713242888 ikiwa unataji maelezo zaidi.

Tanzania to host The Economist Events’ Health Care in Africa 2014


DAR ES SALAAM, Tanzania, October 21, 2014/ -- The Economist Events will be hosting their Health Care in Africa Summit in Dar es Salaam, Tanzania at the Hyatt Regency, The Kilimanjaro on November 18th and 19th 2014.

Drawing together the key stakeholders representing the continents entire health care spectrum, attendees will discuss the key issues, challenges and opportunities facing health care in Africa.

The latest addition to the high-powered speaker line-up is Dr Joanne Liu, international president of Médecins Sans Frontières. Dr Liu will speak about the current Ebola outbreak gripping the continent and will focus on her organisation’s efforts at the front line.

Tanzania yajivunia kufikia malengo ya milenia katika afya, elimu

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, John Haule (kulia) akizungumza na waandishi wa habari kuhusu wiki ya Umoja wa Mataifa inayotarajiwa kuanza kuadhimishwa Ijumaa wiki hii (kushoto) ni Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez.

Na Mwandishi Wetu

KATIBU MKUU wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, John Haule amesema serikali ya Tanzania imefikia kwa kiwango kikubwa baadhi ya malengo ya milenia ya afya na elimu. MOblog Tanzania inaripoti

Akizungumza katika mahojiano maalumu na MOblog Tanzania ofisini kwake jijini Dar es Salaam baada ya kumaliza mkutano na wanahabari juu ya wiki ya Umoja wa Mataifa inayotarajiwa kuanza Ijumaa wiki hii, Haule amesema Tanzania imeyafikia kwa kiwango kikubwa malengo ya milenia katika afya na elimu.

South Sudan's SPLM warring factions ink CCM-brokered framework agreement to address conflict causes

The Chairman of the Tanzanian ruling party, Chama Cha Mapinduzi (CCM), President Jakaya Kikwete, CCM Secretary General Mr Abdulrahman Kinana, Tanzania Minister for Foreign and Internationa Relations Mr Bernad Membe, and Former Tanzania Vice President and Prime Minister Mr John Samwel Malecela, who chaired the talks, with the two principal rival leaders - President Salva Kiir Mayardiit, Chairman of SPLM in government and Mr. Riek Machar Teny, former vice president and leader of the SPLM-in-Opposition, in a group photo with delegates from the SPLM-in-Government
The Chairman of the Tanzanian ruling party, Chama Cha Mapinduzi (CCM), President Jakaya Kikwete, CCM Secretary General Mr Abdulrahman Kinana, Tanzania Minister for Foreign and Internationa Relations Mr Bernad Membe, and Former Tanzania Vice President and Prime Minister Mr John Samwel Malecela, who chaired the talks, with the two principal rival leaders - President Salva Kiir Mayardiit, Chairman of SPLM in government and Mr. Riek Machar Teny, former vice president and leader of the SPLM-in-Opposition, in a group photo with delegates from the SPLM-in-Government

Factions of the ruling party in South Sudan, the Sudan Peoples’ Liberation Movement (SPLM), on Monday 20th October, 2014 signed a framework agreement aimed at addressing root causes of the conflict that erupted in mid-December and plunged the country into violent crisis.

The signing ceremony, held at the Ngurdoto Mountain Lodge in the outskirts of Arusha, was witnessed by the two principal rival leaders - President Salva Kiir Mayardiit, Chairman of SPLM in government and Mr. Riek Machar Teny, former vice president and leader of the SPLM-in-Opposition, as well as the SPLM faction of former detainee, who also participated in the talks. 

Rais Kikwete ziarani nchini China

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagwa na maafisa wa Ubalozi wa China nchini Tanzania wakati akiondoka katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo tayari kuanza ziara rasmi ya siku sita katika Jamhuri ya Watu wa China kwa mwaliko wa Rais Xi Jinping. (picha: IKULU)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete leo, Jumanne, Oktoba 21, 2014, anaanza ziara rasmi ya siku sita katika Jamhuri ya Watu wa China kwa mwaliko wa Rais Xi Jinping, ikiwa ni ziara yake ya pili nchini humo akiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano.

Baada ya China, Rais Kikwete atafanya ziara rasmi ya siku tatu nchini Vietnam kwa mwaliko wa Rais wa nchi hiyo.

Finally! The "OnePlus One" phone pre-order period nears, Don't miss


For a limited time only, OnePlus is offering a pre-order system for it's phone, OnePlus One.

If you didn't know, up until a few days to come, you could only buy OnePlus One through an invite (and still can do so) but they now have an exciting alternative to invites.

With their pre-order system, you’ll be able to place your order for the One and immediately be told the estimated shipping time. Starting October 20th, 2014 for the seven days prior to pre-orders you will be able to arrange your shopping cart and save it just how you like it to ensure your checkout goes quickly and smoothly during the pre-orders hour. If you get an invite after submitting your pre-order, you can use it to skip the queue and get your device shipped right away.

In their blog, OnePlus says:
Pre-orders will offically open on October 27 at 15:00 GMT (08:00 PST, 11:00 EST). During a one hour time window, anyone can place an order for the OnePlus One.
Also, there are a few last things to keep in mind before you start shopping:
 1. Two of each item may be added to your cart. All prices are final upon order confirmation.
 2. After confirming your order, shipping address can be changed within the same country, but customer name cannot be modified.
 3. Pre-orders can be cancelled prior to shipping but no changes can be made to the items in your order.
 4. If your payment order does not go through before we ship your order, the pre-order will not be processed.

Please visit bit.ly/OnePlusPreorder to learn more and order!

Huduma bora za ujenzi DMV

Kazi yetu ni kutoa huduma bora za ujenzi katika maeneo ya Washington DC, Maryland na Virginia (DMV), kwa huduma za ukarabati wa nyumba yako, kitaalamu na kwa ufanisi zaidi.

Tunaweza kushughulikia mahitaji yote ya matengenezo yanayohusu ujenzi ama ukarabati wa nyumba yako, ili kufanya urahisi wa kile ulichoharibikiwa, kwa uhakika na uwaminifu zaidi juu ya utendaji wa kazi zetu bora kwa ajili ya kusaidiana na mteja kwenye maswala ya ujenzi kwa wamiliki wa nyumba katika maeneo ya hapa DMV.

Tupo DMV, tunatoa huduma za vipimo vya nyumba yako bure yani (free estimate), kwa ajili ya kumaliza tatizo la ukarabati wa nyumba yako endapo utakuwa na tatizo lolote lile.

Tafadhali wasiliana nasi kwa namba za simu 202-361-0671 au 301-728-3977

Email: [email protected]

KICHAI HOME REPAIRS

Professional Handyman Services, wakishirikiana na Abou's Tile Contractors

Pushing Past the Terrifying Dip in MotivationMy son, who is officially an adult in a matter of days, is facing a small crisis: the project he’s working on is not going well, and he’s ready to give up not only on the project but the career he was excited about not too long ago.

I can feel the horrible mixture of discouragement, disappointment, difficulty, despair he must be feeling, because I’ve felt it too.

I’ve felt this punch in the gut whenever projects or new ventures didn’t go well.

I’ve given up, and felt the disappointment in myself.

And I’ve pushed through this discouragement, and felt so much better. Pushing through was always better.

So I’m here to talk about how I push past what Seth Godin calls The Dip — that slump that we all hit when things get hard, which is (sometimes) before the place where things get great.

How do we know if we’re in a slump or if we should just quit? We don’t. There’s no way to know the future. There are times when there are a bunch of good indicators that you should quit — customers aren’t responding, the market doesn’t support your work, there are better opportunities. But the feeling you have when you’re in a dip is not a good indicator that it’s time to quit.

The feeling wants you to quit, but often you shouldn’t. Because if you do, you’ll never get great at anything.

How to Push Through


What do you do if you’re demotivated and disappointed? If things aren’t going well and you want to give up because they’re so hard? When you’re confused and overwhelmed?

AU convenes security retreat in Arusha, Tanzania

More than 100 international mediators, envoys and African former Heads of State will converge on Arusha, Tanzania on Tuesday for a two-day retreat to address emerging security challenges in Africa.

The African Union Commission is convening the fifth retreat scheduled to be held between Oct. 21 and Oct. 22 to be hosted by the Government of Tanzania.

The commission said on Monday that the retreat is to be addressed by the Tanzanian President, Jakaya Mrisho-Kikwete, UN Secretary General, Ban Ki-Moon and AU Commission Chairperson, Dr. Dlamini Zuma.

NAN reports that two Nigeria’s former leaders, Chief Olusegun Obasanjo and Gen. Abdulsalami Abubakar are among leaders expected to attend the retreat.

Lady Jaydee na Machozi Band kupamba uzinduzi wa MOG Bar & Restaurant


Government of Tanzania reaches to IMF to fix budget after aid cut

The International Monetary Fund said it was working with the government to review this year’s budget performance following the decision by donors to withhold $558 million (nearly Sh1 trillion) in aid due to corruption concerns in the power sector.

The government reached out to IMF at a meeting in Washington two weeks ago, expressing fear about serious disruption in government functions as 12 key donor countries, including the World Bank, held back on General Budget Support over Independent Power Limited (IPTL) sale scandal.

Ms Antoinette Sayeh, director for African department at IMF said they are looking at additional adjustments that will be needed “including some revenue actions to fill the gap left by the donor funding.”

Wanadai ni 'mapepo' hayaRussia’s President Putin to visit Tanzania (?)


Russian President Vladimir Putin is scheduled to visit Tanzania in February next year, The Citizen has learnt.

Although the Tanzania Foreign Affairs ministry neither confirmed nor denied the reports, sources in the diplomatic mission confided to The Citizen that there have been behind-the-scenes activities to ensure the success of the visit.

The minister for Foreign Affairs and International Cooperation, Mr Bernard Membe, declined to confirm reports on the tour, but revealed that he would be travelling to Moscow next month to honour an invitation from his Russian counterpart, Mr Sergei Lavrov.

Binti mwenye kifafa awekwa kwenye banda la kuku kutwa, kucha

Riziki Haji katika kibanda anamoshinda mchana kutwa na kulala usiku kucha


Binti wa miaka 20 aliyetambulika Riziki Haji mkazi wa Kijiji cha Kondo mkoa wa Pwani, wilayani Bagamoyo, yupo kwenye mateso makali kutokana na ugonjwa wa kifafa unaomsumbua kwa muda mrefu!

Riziki ambaye aliugua ugonjwa wa kifafa akiwa na umri wa miezi nane, amekuwa akiishi katika mazingira magumu kiasi cha kufungiwa ndani usiku na mchana.

Mtangazaji wa kipindi cha Hatua Tatu ‘Habari Ndio Hii’ cha 100.5 Times FM (ambaye ndiye mwandishi wa habari hii) Edson Mkisi Jr, alifika kijijini hapo na kushudia jinsi binti huyo anavyoishi katika mazingira ya ‘kinyama na mateso’!

Mkisi Jr alishuhudia sehemu anayolala binti huyo ikiwa katika mazingira hatarishi kiasi kwamba yupo hatarini kung’atwa na wadudu wenye sumu kali kama nyoka, ng’e ama tangu.

Aidha, imeelezwa kipindi cha mvua na baridi binti huyo huwa katika hali mbaya zaidi kutokana na makuti yaliyotumika kutengenezewa kibanda hayahimili hali hizo.

Akisimulia tukio hilo, jirani wa karibu na sehemu anayoishi Riziki kwa sharti na kutoandika jina lake, alisema Riziki amekuwa katika maisha mabaya kwa muda mrefu huku wazazi wake baba na mama wakitupiana mpira mtu sahihi wa kuishi nae.

“Baba wa Riziki yupo Zanzibar na anafahamu vizuri sana hali ya mtoto wake lakini wala hakuna msaada anaotuma….kuna muda mama yake aliamua kumpelekea lakini siku chache baadae alimrejesha kwa mama yake! Lakini pamoja na kumrudisha mama pia alimkataa na wasamaria wema wakamchukua na kuishi nae,” anasema jirani huyo.

Jirani huyo alibainisha kuwa akiwa anaendelea na maisha kwa msamaria huyo huku akionekana mwenye afya njema, alikuja bibi yake (mama mzazi wa mama wa Riziki) na kumchukuwa na kwenda kuishi nae Bagamoyo ambapo siku chache baadae alimrudisha kwa mama yake mzazi akidai ameshindwa kuishi naye.

Akizungumza na Mkisi Jr, mama mzazi wa Rikizi, Bi. Asma Ramadhani, alisema mtoto wake huyo awali alikuwa na afya njema lakini hajua alipatwa na tatizo gani alipompeleka kwa baba yake Zanzibar.
Kuhusu kumfungia mtoto wake ndani saa 24, alisema analazimika kufanya hivyo kutokana na hali yake huku akijitetea kwa kumuachia huru husababisha matatizo zaidi hasa anapoanguka sehemu yenye mawe.

“Zamani nilikuwa namruhusu anakwenda hata kisimani lakini sasa simruhusu tena kutokana na hali yake,” alisema.

Alipoulizwa kuhusu kibanda anacholala, alisema kutokana na hali ya Riziki anashindwa kumlaza na watoto wake wadogo hivyo kwa kuhofia kuwalalalia watoto hao nyakati za usiku pindi kifafa kitakapomjia.

Hata hivyo, alikiri maisha ya mtoto wake anapolala si mazuri na kuahidi kumhamisha haraka iwezekanavyo.

Naye Juma Amani Pazi, mwenyekiti wa eneo hilo, mbali na kukiri mazingira ya Riziki kuwa mabaya, pia alisema alikuwa hana taarifa kama katika eneo lake kuna mlemavu anayeishi katika mazingira hatari kama hayo.

  TBS list of TP Certified Companies; Suspended 'TBS' mark and Certificates for tested product

  Attached below, please

  1. Click here to download and view the file containing the list of Suspended 'TBS' mark and Certificates for tested product.
  2. Click here to download and view the file containing the list of TBS list of TP Certified Companies.