9 Stanbic bank employees arrested after armed robbers grab TSh1bn

Nine employees of Stanbic Bank in Dar es Salaam were arrested yesterday evening as the police moved in to investigate a walk-in robbery in which over Sh1 billion was reportedly carted away by armed suspects.

The nine employees were among 13 people in custody over the heist at the bank’s Mayfair Plaza Branch along Mwai Kibaki Road.

Kinondoni Regional Police Commander, Mr Camillius Wambura, told The Citizen that the other four suspects included a watchman and certain three individuals whose identities he declined to reveal.

Mr Wambura said all of the suspects have been locked up at the Oysterbay Police Station as investigations continued to unravel the truth in the robbery that is being seen as an inside job.

Pres. Kikwete receives Hon. Professorship in China

President Dr. Jakaya Mrisho Kikwete being awarded Honorary Professorship at the China Agricultural University in Beijing this evening. On the left is Chair of the University Council Jiang Peimin and on the right is the University’s President Professor KE Bingsheng. (Photo: Freddy Maro/ The State House)

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro akana kuwepo mgonjwa wa Ebola

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe. Leonidas Gama amekanusha uvumi ulioenea kuwa yupo mgonjwa wa Ebola mkoani humo.

Akizungumza na mwandishi wa habari wa Redio Sauti ya Injili katika kipindi cha Dira kilichosikika hewani baada ya saa mbili usiku wa Alhamisi, Oktoba 23, 2014,  aliyemwambia kuwa zipo taarifa kuwa yupo mgonjwa amegundulika na dalili za ugonjwa wa Ebola huko Shirimatunda, Mhe. Gama amesema, “Msiwashituewatu bila sababu, hakuna Ebola”

Mwandishi: “Sasa anaumwa nini hyo mgonjwa kama siyo Ebola?”

Dadadala zaanza kutumia kituo kipya Sinza

Baadhi ya mabasi al marauf, daladala, yakiwa katika kituo kipya cha Simu 2000 kilichopo Sinza katika eneo lililo karibu na maghorofa ya jengo la Mawasilino (Mawasiliano Towers)

Kituo cha mabasi cha Simu 2000, jijini Dar es Salaam, kilifunguliwa jana kwa mkanganyiko huku wananchi wakihaha kutembea kwa miguu kutafuta daladala.

Wakazi wengi walikuwa wamesimama katika vituo vya daladala ambavyo kwa sasa havitumiki katika eneo la Ubungo mataa wakitafuta mabasi.

Baadhi ya abiria walisema walijikuta wakitembea umbali mrefu kufuata kituo hicho huku daladala zikigoma kusimama katika vituo vya zamani.

Rais Kikwete atamani muda wake umalizike

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa mfumo wa Tanzania ambako Rais anatumikia nafasi ya uongozi kwa muhula wa miaka mitano na siyo zaidi ya miaka 10 ni mfumo mzuri na unaovutia kwa sababu unaiwezesha nchi kupata fikra na mawazo mapya.
Aidha, Rais Kikwete amesema kuwa anaamini kuwa Tanzania itapata Rais bora zaidi kuliko yeye, Rais ambaye ataiwezesha Tanzania kusonga mbele kwa kasi kubwa zaidi.
Rais Kikwete pia amesema kuwa anayo hamu kubwa ya kumaliza muda wake wa uongozi, ili arudi kijijini kushughulika na wajuu wake na mifugo yake.

Rais Kikwete ametoa kauli hiyo leo, Jumatano, Oktoba 22, 2014, mjini Beijing, China, wakati akizungumza na mabalozi wa Afrika wanaoziwakilisha nchi zao katika China.
Mkutano huo uliofanyika kwenye Nyumba ya Kufikia Wageni wa Serikali ya China ya Diaoyutai, ulikuwa shughuli ya kwanza ya Rais Kikwete katika ziara yake rasmi ya siku sita ya Jamhuri ya Watu wa China ambako amealikwa na Rais Xi Jinping.

Nyumba 2 zinauzwa ZanzibarTangazo la kuuza nyumba katika eneo la Tunguu zikiwa katika eneo la Viwanja vya Plan zikiwa katika hali nzuri kama zinavyoonekana pichani. 

Kila moja inauzwa shilingi milioni 60/=

Kila moja ina vyumba 4 (master bad rooms 2 na viwili vya kawaida), ikiwa na living room, jiko na eneo kubwa la kuegeshea magari ndani pamoja na uzio wa ukuta.

Nyumba hizo ziko jirani na ni viwanja tafauti.

Kwa mawasiliano wasiliana na bwana Khalid kwa simu namba 0777 275 551.

Kikwete: "Kura hiyo itapigwa wakati wowote mwezi Aprili mwakani"

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa endapo mipango yote itakwenda kama inavyoandaliwa, Watanzania watapata nafasi ya kuipigia kura ya maoni Katiba Inayopendekezwa, ili kukamilisha mchakato wa Tanzania kusaka Katiba Mpya.
Rais Kikwete amesema hayo asubuhi ya leo, Jumatano, Oktoba 22, 2014, wakati alipokutana na kuzungumza na mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao katika Jamhuri ya Watu wa China.

Mkutano huo na mabalozi wa Afrika uliofanyika kwenye Nyumba ya Kufika Wageni ya Serikali ya Diaoyutai mjini Beijing ambako Rais amefikia, ilikuwa shughuli ya kwanza ya Rais Kikwete katika ziara yake rasmi ya Kiserikali ya siku sita katika Jamhuri ya Watu wa China kwa mwaliko wa Rais Xi Jinping. Rais Kikwete akifuatana na Mama Salma Kikwete aliwasili China usiku wa jana, Jumanne, Oktoba 21, 2014.

Dkt. Salim na Balozi Mbita watunukiwa Tuzo za Juu za Mwana wa Afrika


Waziri Mkuu Mstaafu, Dkt. Salim Ahmed Salim akipokea Tuzo ya Juu ya Umoja wa Afrika ya Mwana wa Afrika kwa Mwaka 2014 kutoka kwa Kamishna wa Amani na Usalama wa Umoja wa Afrika, Mhe. Balozi Smail Chergui. 

Tuzo hiyo ilitolewa mjini Arusha pembezoni mwa Warsha ya Tano ya Ngazi ya Juu kuhusu Amani na Usalama Bararani Afrika iliyoandaliwa na Umoja wa Afrika inayoendelea mjini humo. Tuzo hiyo pia imetolewa kwa Balozi Mstaafu na Mpigania Uhuru Mahiri Barani Afrika, Balozi Hashim Mbita. 

Rais Kikwete amteua Fella kuwa Katibu Mkuu Sekretarieti ya Kamati ya Kuzuia Biashara Haramu ya Binadamu

Rais Jakaya Kikwete amemteua Seperatus Fella kuwa Katibu Mkuu wa Sekretarieti ya Kamati ya Kuzuia Biashara Haramu ya Binadamu.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo kwa vyombo vya habari na Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Isaac Nantanga ilieleza kwamba uteuzi huo unaanzia Agosti ,mwaka huu.

Kabla ya uteuzi huo, Fella alikuwa Kaimu Katibu wa Kamati hiyo.

Toa maoni yako uboreshe muswada wa Baraza la Vijana la Taifa
Katika Mkutano wa 14 wa Bunge tarehe 21 Disemba 2013 ulisomwa Bungeni Muswada Binafsi wa Mbunge wa Sheria ya Baraza la Vijana la Taifa wa mwaka 2013 niliouwasilisha tarehe 31 Oktoba 2013.

Narudia tena kuwashukuru vijana na wadau tulioshirikiana kuandaa muswada huo na naomba kuendelea kupata ushirikiano wenu wa karibu katika hatua zinazoendelea.

Kuanzia tarehe 21 Oktoba 2014 Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maendeleo ya Jamii imeanza vikao vya kupokea maoni ya wadau kuhusu muswada huo. Nakala tete ya muswada huo inapatikana hapa, tafadhali pakua pitia na wasilisha maoni yako sasa.

Dj Allan Lucky: SIRUDI TENA - Mabeste, Jux, Rick Ross & Jay-Z


Je, umewahi kuisikiliza hii remix? Sirudi tena (rmx) - Mabeste & Jux ft. Rick Ross & Jay-Z Ipate hapa: hulkshare.com/allanlucky/mabeste-jux-rick-ross-jay-z-sirudi-tena-rmx

Victor Mlunde: CNN MultiChoice Journalist Awards showcases Tanzania

2014 CNN – MULTICHOICE JOURNALIST AWARDS SHOWCASES TANZANIA DESPITE FAILURE TO WIN A SINGLE AWARD

http://businessdayonline.com/wp-content/uploads/2014/10/Obinna-Emelike-CNN-Award.jpg
Culture Award winner, Obinna Emelike, reporting for Business Day newspaper in Nigeria.


By Victor Mlunde

Last Saturday, the world witnessed a historic annual CNN-Multichoice Journalist Award ceremony on the continent, hosted for the first time in our commercial capital, Dar Es Salaam.

The choice of Tanzania is not only an unprecedented honor to the great peaceful nation on the continent, but a rare opportunity to showcase Tanzania and open its market to the world.

I congratulate the event organizers and His Excellency the President, Dr Jakaya Mrisho Kikwete, for being the Guest of Honour, for his outstanding economic diplomacy skills and unending efforts in showcasing Tanzania to the world.

Vodacom opens up a new shop at Quality Plaza Shopping Mall

,Dar es Salaam October 23, 2014.Vodacom Tanzania has opened an ultra-modern retail shop at posh Quality Centre Uchumi Shopping Mall, along Nyerere Road. The mall has varieties of businesses such as shops, Cinema, arcade,offices and entertainment centers.

The new Vodacom Shop is expected to serve the company’s growing customer base around Nyerere Road Industrial area, Temeke, Ilala and Keko among others. Vodacom currently has over 82 retail outlets spread across the country where the recent launch of the Quality Centre Uchumi Vodacom Shop is the 6th in Temeke District. All these efforts are in a bid to take services closer to its clientele.

Kili Chats kuwakutanisha Ben Pol na Patrick Nyembela