Kauli ya Shy-Rose Bhanji kuhusu taarifa za kutia aibu

Tuhuma:

Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EAC), Shyrose Bhanji kazua balaa kwenye kikao cha Bunge hilo mjini Kigali jana na leo! Walioandika trh 8 kwenda Brussels kwenye Bunge la EU members wote wa Tume yao na Wenyeviti wa Kamati. Wakiwa safarini kwenda ndani ya ndege sijuwi kukosa ile lishe aliyoizoea? Akawa anakunywa kama kichaa! Crews wakamzuia kuwa kwakuwa ndege ni ya mchana asinywe kupitiliza. Akaanza kutukana crews matusi yote unayoyajua!

Akawaambia hawajuwi kama yeye ni mbunge wa EAC? Akaanza kufanya fujo ndani ya ndege, akachukua chupa akapasua! Hapa security ndani ya ndege wakamkamata na kumtia pingu! Maneno yakawa yanamtoka ovyo. Wenzie walipojaribu kumtuliza wa kutoka Rwanda na mwingine Uganda (names withheld) akawageukia, tukana hadi marais wao hya kutosha! Hapo walikuwa juu ya anga ya Cairo.

Ebola-free Dallas Nurse Nina Pham meets Pres. Obama


The Ebola-free nurse Nina Pham visited U.S. President Obama after being cleared of deadly virus.

The 26-year-old was released from the hospital on Friday, eight days after she arrived at the National Institutes of Health in Bethesda, Md., and paid a visit to President Barack Obama in the Oval Office before her trip back to Texas. 

Pham contracted the disease while caring for America's 'Patient Zero', Thomas Eric Duncan, who died October 8, 2014.Taarifa: China, Tanzania zasaini mkataba wa mabilioni ya uwekezaji

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA

DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS

Telephone: 255-22-2114512, 2116898
Website : www.ikulu.go.tz              

Fax: 255-22-2113425


PRESIDENT’S OFFICE,
      STATE HOUSE,
              1 BARACK OBAMA ROAD,  
11400 DAR ES SALAAM.
Tanzania.
 

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Tanzania na Jamhuri ya Watu wa China leo, Alhamisi, Oktoba 23, 2014, zimetiliana saini Hati za Makubaliano (Memorandum of Undestanding) ambako taasisi za China zitawekeza mabilioni ya dola za Marekani katika uchumi wa Tanzania.

Shughuli hiyo ya utiaji saini imekuwa sehemu ya Mkutano wa Tatu wa Uwekezaji Kati ya Tanzania na China uliofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Nyumba ya Kufikia Wageni wa Serikali ya Diaoyutai mjini Beijing, China.

Aidha, utiaji saini huo ambao utaziwezesha taasisi kadhaa za Tanzania kunufaika na mitaji na uwekezaji kutoka China ulikuwa sehemu ya ziara rasmi ya Kiserikali ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete katika China kwa mwaliko wa Rais Xi Jinping. Rais Kikwete ameshuhudia shughuli hiyo ya utiaji saini.

Bado kuwakomesha wanaosema eti 'hufai, unaumwa!'Sumaye aweza kutimiza utabiri wa Nyerere

Frederick Tluway Sumaye ni mgombea anayejipambanua kwa taswira ya kupiga vita rushwa na anaamini kwamba uadilifu ndiyo sifa mama ya kiongozi ajaye wa Tanzania.

Katika mbio za urais ndani ya CCM za mwaka 2005 alikaririwa akikemea wale waliokuwa wanatumia kalamu na pesa kuchafua wagombea wengine akisema kuwa watu wa namna hii ni hatari kwa nchi kwa kuwa watatumia mtutu wa bunduki katika kunyamazisha wapinzani wao mara waingiapo madarakani.

Tangu wakati huo, Sumaye amejitambulisha kama mwanasiasa mwadilifu na kwa sifa hii anaamini kwamba ndiye mwana CCM pekee mwenye uwezo wa kurudisha heshima ya CCM machoni pa Watanzania.

Illegal resident who fraudulently acquired Tanzanian passport is set free for a Tsh 250,000/- fine

For a mere 250,000/- a man has been exonerated by the Kisutu Resident Magistrate’s Court in Dar es Salaam for fraudulent acquisition of a Tanzanian passport and unlawful residence in the country for an undisclosed period.

Yemenis national and resident of Dubai Hamaihya, Hassan Awadhi (48), yesterday pleaded guilty to both charges and paid of the fine.