Earth to face a 6-day blackout is a hoax gone viral

Sample of  hoax news

The screen-shot above has been circulating with a false message claiming that NASA has confirmed six days of 'total darkness' in December 16 to 22nd.

The origin of this report was on a satirical news site Huzlers.com, citing NASA administrator Charles Bolden as the source.

The fact is, Bolden’s emergency preparedness video was taken out of context to add weight to the report. When viewed as a whole, Bolden is discussing emergency preparedness in case of an earthquake or hurricane, in order to help US families to be ready for such scenarios.

NASA has not made any official statements regarding this report.

Two years ago, a rumor like this made the headlines, when a report claimed a worldwide blackout was coming due to the Earth passing through ‘Photon Belt’ on December 21 of that year.

Huzlers.com describes itself as offering “a combination of real shocking news and satirical entertainment to keep its visitors in a state of disbelief.” It is responsible for other hoaxes such as Ebola victims rising from the dead and Tupac Shakur claiming he was alive. (RT)

Woman in Street Harassment video "I have a right to feel safe."The now-viral YouTube video "10 hours of Walking in NYC as a Woman" has attracted more than 27 million views, sparked conversations about street harassment, inspired a parody, and provoked controversy about depictions of race all in less than the span of a week.

Another consequence: Actress Shoshana B. Roberts, the woman at the center of the video, has received violent threats.

"I do not feel safe right now," she tells NPR's Arun Rath.

"I'm alerting the police as to which jurisdiction I'm in, so my local precinct knows," says Roberts. "So

Tamko kwa Viongozi wanaoitumia TAHLISO

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

01 Nov 2014

Ndugu waandishi wa habari,

Kwanza napenda kumshukuru M/Mungu kwa mapenzi yake ya kutukutanisha hapa leo tukiwa wazima wa afya, pili napenda kuchukua fursa hii kukushukuruni nyie waandishi wa habari kwa kupoteza muda wenu na kuja kushirikiana na sisi , kwa hili tunawashukuru sana.

Ndugu waandishi wa habari,

Tuliopombele yenu ni viongozi halali wa shirikisho la wanafunzi wa elimu ya juu Tanzania (TAHLISO) ambao tumechaguliwa kihalali tarehe 14/12/2014 kufuatia uchaguzi mkuu wa TAHLISO uliofanyika chuo cha Afya Bugando Mwanza, ambapo uchaguzi huo ulimchagua ndugu Mussa Mdede (Mwenyekiti), ndugu Abdi Mahamoud Abdi (Makamo mwenyekiti), ndugu Halima Bakari Nyange (Katibu Mkuu), ndugu Rajab Ali Rajab (Naibu Katibu Mkuu), ndugu Mollel Hillary (Mhazini) na ndugu Khamis Hamza Khamis (Mhazini Msaidizi).

Ndugu waandishi wa habari

Kwa mujibu wa katiba ya shirikisho la vyuo vikuu Tanzania (TAHLISO) ibara ya 5 (2) NI MARUFUKU kwa kiongozi yeyote haswa wa ngazi ya juu katika TAHLISO kushiriki katika

Tanzania, Burundi zasaini mkataba wa umeme wa Rusumo

Waziri wa Nishati na Madini wa Tanzania , Profesa, Sospeter Muhongo (kushoto) na Waziri wa Nishati na Madini wa nchi ya Burundi, Come Manirakiza wakisaini mkataba huo.

TANZANIA NA BURUNDI ZA SAINI MKATABA WA MIAKA 50 KUSAFIRISHA UMEME KUTOKA MRADI WA RUSUMO 


Serikali ya Tanzania na Burundi zimesaini mkataba wa miaka 50 wamakubaliano wa mradi wa pili wa kusafirisha umeme utakaozalishwa kwenye kituo cha Rusumo.

Awali Tanzania, Burundi na Rwanda zilisaini mkataba wa kwanza wa mradi wa kituo cha kuzalisha umeme cha rusumo chenye mega watt 80, kilichopo wilayani Ngara, Mkoani Kagera, mwaka 2013 ambacho kiligharimu takribani dola za kimarekani milioni 340 zilizotolewa na benki ya Dunia.

Akizungumza Dar es Salaam jana baada ya kusaini mkataba huo, Waziri wa Nishati na

Hoax: Circulating 'perfume poison' message

A sample of circulating 'perfume hoax'

There is a message circulating online claiming that  "terrorists" were poisoning people with a lethal concoction of a perfume.

In fact, this is an old hoax which is said to date as far back as 1999 when it was alleged that US citizens were being targeted.

It re-emerged 10+ years later, thus forcing officials in some countries to clear the air about the claims.

Recently, another version saying packed in bottles carrying the Sarah Jessica Parker Lovely

Mwili wa marehemu Meja Jenerali Aidan Isidore Mfuse waagwa

Aidan Mfuse enzi za uhai wake


Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Rais Mstaafu Mhe Benjamin William Mkapa, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt Hussein Mwinyi, Waziri wa Ujenzi Dkt John Pombe Magufuli, Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange na Mnadhimu Mkuu wa

Taarifa kuhusu shutuma za Ndumbaro dhidi ya TFF

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

SHUTUMA DHIDI YA TFF


Oktoba 31 mwaka huu kupitia vyombo vya habari Wakili Damas Ndumbaro alitoa shutuma mbalimbali dhidi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF). Tunapenda kuuleza umma wa Watanzania yafuatayo;
  1. Hukumu dhidi ya Wakili Ndumbaro ilitolewa na chombo halali kwa mujibu wa Katiba ya TFF. Hivyo, TFF inatoa tahadhari kwa wanafamilia wa mpira wa miguu kutomhusisha Wakili Ndumbaro katika masuala ya mpira wa miguu katika kipindi hiki anachotumikia adhabu.

  2. Hadi sasa TFF haijapokea rufani yoyote kutoka kwa Wakili Ndumbaro. Hii ni kwa kuwa kupitia barua yake kwa TFF aliagiza asikabidhiwe nyaraka yoyote kutoka TFF hadi Oktoba 30 mwaka huu, hivyo hukumu ya Kamati ya Nidhamu dhidi yake alikabidhiwa

MwanaFA atembelea yatima kabla ya shoo "Vodacom Life is better" Tanga


Mlezi wa kituo cha kulelea watoto yatima cha Diana kilichopo jijini Tanga Tatu Chamchuo akipokea zawadi ya jezi kutoka mwanamziki wa muziki wa kizazi kipya Bongo Fleva Mwana FA alizozikabidhi kwa niaba ya Vodacom Tanzania, Mwanamuziki huyo alitembelea kituo hicho kabla ya kufanya shoo yake ya"Vodacom Life is better" katika ukumbi wa Lacasachika mjini Tanga hapo jana.

Semina ya "Uwekezaji Tanzania" "Doing business in Tanzania"
Kushoto ni Dkt. Frank Forka ambaye ni mkurugenzi PGCEDC Africa Trade Office akielezea njia za kufuata kwa mwekezaji kutoka Tanzania anapokuja kutafuta au kufanya mazungumuzo na wawekezaji wa Kimarekani kwa ajili ya kuingia nao ubia kwa ajili ya kuwekeza Tanzania. Dkt. Frank Furka alisema jambo la kwanza muhimu ni kujifunza utamaduni wa wafanyabishara wa

Mdahalo kuhusu mchakato wa Katiba Mpya Jumapili


THE MWALIMU NYERERE FOUNDATION

India/Makunganya/Bridge Str.,
P.O. BOX 71000,

DAR ES SALAAM

Fax No: 255 22 2119216/2116040

TANZANIA

TELEPHONE: 255 22 2118354
                         255 22 2119216


TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI (PRESS RELEASE)

MDAHALO WA KUJADILI UMUHIMU WA KUZINGATIA MAMBO YA MSINGI KATIKA KATIBA INAYOPENDEKEZWA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NZANIA UTAKAOFANYIKA KWENYE HOTELI YA BLUE PEARL, UBUNGO PLAZA DAR ES SALAAM
JUMAPILI TAREHE 2 NOVEMBA 2014 KUANZIA SAA 9.00 MCHANA MPAKA SAA 12.00 JIONI


Taasisi ya Mwalimu Nyerere inapenda kutoa taarifa kwamba imeandaa mdahalo wa Pili wenye lengo la kujadili umuhimu wa kuielewa kwa kina Katiba inayopendekezwa kama ilivyopitishwa na Bunge Maalum la Katiba. Mambo ya msingi yaliyomo katika Katiba hiyo yataainishwa na kujadiliwa na washiriki wa Mdahalo. Taasisi ya Mwalimu Nyerere inapenda kusisitiza kuwa lengo la mdahalo si malumbano au makatazo: Lengo ni kutoa fursa kwa washiriki wa mdahalo na wananchi kwa ujumla kujielimisha kuhusu Katiba inayopendekezwa ili waweze kuielewa vizuri, na hivyo kujiandaa

A 5.1 magnitude earthquake hits Tanzania


A 5.1 magnitude earthquake 55 km from Kondoa, Manyara, Tanzania was reported on Friday, October 31, 2014 17:04 PM (UTC time).

Mtwara yapata kivuko chake: M.V. Mafanikio

Kivuko cha MV Mafanikio (picha: Mtwara Kumekucha)

Kuhusu uwekezaji wa Dangote Industries (Tanzania) Ltd.

Mwekezaji hakupatakiwa kupewa gesi ili yeye atumie kuzalishia moja kwa moja. Hapa namaanisha kwamba hakutakiwa kupewa bomba lake peke yake ili yeye azalishe umeme, nishati ya uzalishaji na uendeshaji wa mitambo, kujenga reli yake mwenyewe kuleta mali ghafi kiwandani na kutengeneza gati yake mwenyewe pale bandarini Mtwara ili kusafirishia cement baada ya uzalishaji. Ila kutokana na umaskini wetu na ukosefu wa mitaji ya kuweka miundombinu ndio tumefika hapa.

Kama tungeweka miundombinu hii sisi wenyewe, mwekezaji angeuziwa umeme uliozalishwa na gesi husika, angeuziwa nishati ya gesi maalumu kwa ajili ni kuendeshea mitambo, angelipia miundombinu ya reli kupeleka malighafi kiwandani na kutoa cement kupeleka bandarini na kwingineko, angekodishwa huduma za gati la bandari iliyoboreshwa, na gati hiyo wangekodishwa na wahitaji wengine. Hapa utaona pato la kampuni au watoa huduma mmoja mmoja lingeongezeka, washiriki wa kuzalisha cement wangeongezeka na pato la taifa lingekua zaidi kutokana na kodi na huduma nyingine.
Kichwangumu - Mtazamo binafsi : Dangote Industries (Tanzania) Ltd.

Kutishwa na mafanikio ya wanawake


Wanaume wengi wana matatizo ya kuhusiana na nafsi zao wenyewe hali tunayoweza kuiita umaskini wa nafsi unaowafanya washindwe kuhusiana bila masharti na wanawake na kuwabebesha wanawake mizigo wasiyostahili. Mfano mmojawapo ni hili tunalolizungumza la kutishwa na mafanikio ya wanawake. Ni tishio hili la mafanikio ya mwanamke ndilo linalowafanya wanaume wengi kutafuta mahusiano na wanawake wasio na elimu, wenye utegemezi wa kipato ili waweze kuwatawala na kuwadhibiti.

Naomba sasa nioneshe kwa ufupi namna ambavyo tatizo haliwezi kuwa mafanikio ya mwanamke bali udhaifu wa mwanaume unaowafanya watishwe na mafanikio ya wanawake.

Msingi wa makosa ya kutafuta viongozi Tanzania na suluhisho lake

Msingi wa Makosa Katika Mchakato wa Kutafuta na Kupata Viongozi wa Kisiasa Tanzania na Suluhisho Lake


Utangulizi

Kwa siku kadhaa nitatoa mfulilizo wa makala juu ya makosa ambayo tumekua tukifanya kama Watanzania katika kujipatia viongozi na hasa wa kisiasa na baadaye nitajaribu kutoa mawazo yangu ya ni nini twaweza kufanya kusuluhisha jambo hili. Ninaandika haya nikujua ni kipindi muhim sana katika nchi ytu kwani tunaelekea kwenye chaguzi mbalimbali zitakazotupa viongozi kuanzia ngazia za serikali za mitaa,, mabaraza ya uwakilishi na Rais wa nchi. Natamani mawazo haya yasomwe na jamii kwa sasa ili yawe chachu katika fikra zetu tunapojiandaa na mchakato wa kupata viongozi wa nchi yetu.

Nikuombe tu kuwa unaposoma mawazo yangu, jitahidi kuyatenga na msimamo au mwelekeo wako wa kisiasa au mapenzi yako kwa mwanasiasa fulani ili uweze kunielewa ninachotaka kusema. Nia yangu katika mfululizo huu ni uongozi na Tanzania kama Nchi, Taifa na Watu; mbali kidogo na mitazamo ya kisiasa iliyotufanya watumwa wa fikra mbinyo zinazotunyima kusonga mbele katika karne ya 21.

Sehemu ya kwanza: Tumeharibu kwenye misingi.