Job opportunities at the TFDA

The Tanzania Food and Drugs Authority (TFDA) , an Executive Agency under the Ministry of Health and Social Welfare which is responsible for the control of quality and safety of food, medicines, cosmetics and medical devices for the purpose of protecting public health, seeks to recruit intelligent, competent, open-minded, result oriented with high integrity Tanzanians to fill attractive vacancies.

Richard Mabala afiwa

Mwalimu Richard Mabala amefikwa na msiba wa mke wake mpendwa Manka.

Kupitia kwenye ukurasa wake wa Facebook, ameandika:
My beloved wide Etinisimbo (Manka) passed away today after months of fighting sickness. She has suffered so much. May God grant her peace now and all of us.
Kwenye kundi la Wanazuoni, dada Leila Sheikh ameandika kuwa, marehemu, "Alikuwa anaumwa na walikuja Dar kwenye tiba lakini alizidiwa wakaamua kurudi Arusha."

Hivi punde, Bwana Mabala amesema:
I want to thank everyone who has comforted and strengthened me at this awful time. Your concern and words of support have helped so much to take the edge of the pain I feel. The funeral will take place at my house in Olosiva Village, Arusha on Wednesday. All are very welcome
wavuti.com inaungana na wote walioguswa na msiba huu kumpa pole Mabala, familia, ndugu, jamaa na marafiki.

Marehemu apumzike pema!
Amin.

Makala ya wasifu wa Dk Slaa: Muadilifu, Mchapa kazi, Mwenye nakisi ya hekima, weledi

Wilbrod Slaa

Dk. Wilbrod Peter Slaa ni mwanasiasa pekee wa upinzani aliyedumu na mvuto wa kisiasa kwa muda mrefu zaidi kuliko mwanasiasa mwingine yeyote wa upinzani nchini Tanzania.

Katika siku za hivi karibuni ametajwa kuwa ndiye mgombea wa urais kinara wa kambi ya upinzani kupitia kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA).

Katika makala haya tunajadili wasifu wa mwanasiasa huyu katika maeneo ya uadilifu, uchapa kazi, hekima na weledi.

Dk. Slaa alizaliwa Oktoba 29, 1948 katika Kijiji cha Kwermusl, Wilayani Mbulu. Alisoma Shule ya Msingi Kwermusl mwaka 1958-1961 na Shule ya Kati (Middle School) ya Karatu 1962-1965.

Baada ya kufaulu mtihani wa Darasa la Nne, Dk. Slaa hakuendelea na masomo katika shule za serikali bali alijiunga na Seminari ya Dung’unyi Mkoani Singida mwaka 1966-1969 kwa masomo ya sekondari. Alifaulu mtihani wa Kidato cha Nne vizuri na kuchaguliwa kujiunga na Kidato cha tano katika Seminari ya Itaga Mkoani Tabora alikosoma kati ya mwaka 1970 na 1971.

Ni katika seminari za Dung’unyi na Itaga ambapo Dk. Slaa alifanya uamuzi

Girls in Mtwara in a better chance to avoid teenage pregnancies, school drop-outs, HIVBy Staff writer

Through education and resources on menstrual hygiene management provided by ‘Hakuna Wasichoweza’ Girls Empowerment Program, implemented by T-MARC Tanzania, a total of 6,000 adolescent girls in Mtwara region now have a better chance to avoid teenage pregnancies, school drop outs and HIV infections.

Speaking to this paper in Dar es Salaam recently, T-MARC Tanzania Public Relations and Communication Manager Maurice Chirimi said, the program was launched in 2013 with support from the United States Agency for International Development - USAID and Vodacom Foundation.

Chirimi elaborated that, through the program, T-MARC has facilitated the roll out of training sessions

Sheria Ngowi katika 'Mercedes Benz Fashion Week Africa 2014' Afrika Kusini

 


Jubilee ya Miaka 50 ya uhai wa Bendi ya Msondo Ngoma

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo,Prof. Elisante Ole Gabriel akipokea Cheti cha heshima kutoka kwa Muwakilishi wa Mfuko wa PSPF, Abdul Njaidi ambao ni sehemu ya Wadhamini wa Bendi hiyo ikiwa ni sehemu ya heshima kwa Mh. Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete kwa mchango wake mkubwa kwa wasanii mbali mbali hapa nchini.Cheti hicho kimetolewa na Bendi ya Msondo Ngoma.

Bendi Kongwe ya Muziki wa Dansi hapa nchini iliyodumu kwa miaka 50 toka kuanzishwa kwake mwaka 1964,Msondo Ngoma Music Band imesherehekea jubilei yake hiyo iliyofanyika Novemba 1, 2014 katika viwanja vya TCC Club, Chang'ombe jijini Dar es Salaam na kuwakutanisha mashabiki wake lukuki kutoka sehemu mbalimbali.

[Picha] Mdahalo wa Katiba Mpya wahujumiwa

Jaji Joseph Warioba akitoa mada.

Mtoa mada katika mdahalo wa kujadili Katiba inayopendekezwa, Jaji Joseph Warioba akitoa mada kabla ya mkutano huo kuvunjika katika ukumbi wa Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam, Novemba 2, 2014

via BBC -- Katika mazingira ya kutatanisha, siku ya Jumapili vurugu zimekatisha mdahalo uliokuwa ukiendelea kujadili mchakato wa katiba mpya ya Tanzania huku baadhi ya watu wakipigwa na kujeruhiwa.

Mdahalo huo uliokuwa ukitangazwa moja kwa moja kupitia redio na televisheni ulivurugika kutokana na kundi la vijana wapatao 20 kuanza kumzomea aliyekuwa mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba, alipokuwa akiwasilisha mada yake.

Vijana hao ambao haijajulikana walitokea wapi au walikuwa na ajenda gani waliinua mabango ya

Msamaria mwema anatafuta wanafunzi hawa awasaidieKuhusu picha hii ambayo imekuwa ikisambaa kwenye mitandao, msamaria mwenye nia ya kuwasaidia ameomba jina lake lisitajwe bali anaomba yoyote anayefahamu jinsi ya kuwapata hao watoto atume email kwa [email protected]

Mbaya! Mlipuko wa kitu kama bomu ndani ya gari waua na kujeruhiTarehe 01/11/2014 muda wa saa 07:45 hrs katika center ya Muhunze tarafa ya Kishapu na Wilaya ya Kishapu.

Gari no T. 848 AKA MITSHUBISH FUSSO likiendeshwa na Khalifa s/o Mussa 39, Muhangaza wa Ngara ambalo lilitoka tarehe 31/10/14 saa 04:00 hrs mjini Ngara kuja Mkoa wa Shinyanga wilaya ya Kishapu kupakia shehena ya mtama kwa mfanyabiashara alitwaye Donard s/o Nzugula (49) msukuma wa Muhunze.

Wakati gari hilo likiwa limeegeshwa dukani kwa mfanyabiashara huyo ili kusubiri kupakia mzigo huo dereva alishuka kununua sigara maduka ya jirani akamwacha utingo wake ndani ya gari peke yake ambaye anaitwa Juma s/o Rashid 21-23, mwangaza wa Ngara ambaye ni

Kilimanjaro: Aua mwanafunzi na kumla ubongo kisha ajikata uume

FRANCIS Fortunatus (9), mwanafunzi wa darasa la tatu Shule ya Marangu Hills Academy, ameuawa kinyama na mtu anayedaiwa kuwa mfanyakazi wao baada ya kumcharanga kwa mapanga kichwani na kisha kula ubongo wake.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP), Robert Boaz, alithibitisha kutokea kwa tukio hilo.

Alisema mwanafunzi huyo alifariki dunia juzi majira ya saa 1:20 asubuhi nje ya lango la kuingilia nyumbani kwao, Kijiji cha Samanga, Kata ya Marangu Mashariki.

Kamanda Boaz, alisema muuaji ametambuliwa kuwa ni Lawrence Mramba (22), ambaye inadaiwa alishikwa na mapepo yaliyosababisha pia kukata uume wake na kuanza kuutafuna kabla ya

Let Her Go (Reggae Version) by Chris MartinWell you only need the light when it's burning low
Only miss the sun when it starts to snow
Only know you love her when you let her go
Only know you've been high when you're feeling low
Only hate the road when you're missin' home
Only know you love her when you let her go
And you let her go

Staring at the bottom of your glass
Hoping one day you'll make a dream last
But dreams come slow and they go so fast
You see her when you close your eyes
Maybe one day you will understand why
Everything you touch surely dies

But you only need the light when it's burning low...

Staring at the ceiling in the dark
Same old empty feeling in your heart
Love comes slow and it goes so fast
Well you see her when you fall asleep
But never to touch and never to keep
Because you loved her to much
And you dive too deep

Well you only need the light when it's burning low...

OO oo oo
And you let her go
OO oo oo
And you let her go

'Cause you only need the light when it's burning low...

And you let her go